Тёмный

KIGOMA MITAANI LAMI NYUMBA ZA NYASI BARABARANI ''KAMA HUWEZI KUJENGA UZA NENDA KIJIJINI''RC KIGOMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@jeremiahithamael2605
@jeremiahithamael2605 4 года назад
Umenifurahisha saana Mkuu , kwakweli tunapaswa kubadilika
@mamahustru
@mamahustru 4 года назад
Mkuu wa mkoa alitakiwa awape makavu live. Waache ushirikina. Hilo ndo tatizo Kigoma mjini, jimbo la Zitto Kabwe. Maustaadhi wanaendekeza Sana ushirikina na kusomeana Dua mbaya. Hiyo ndo sababu wanaogopa kujenga nyumba nzuri. Kuonewa wivu na kutupiwa kitu mbaya. Wabadilike. Maana kujenga wanaogopa na kuuza hawauzi hata uje na kiasi gani. Hata kufungua biashara watu wanaogopa. Tabu tupu.
@dianafyondi9048
@dianafyondi9048 4 года назад
Tena kama mwandinga ujiji duuuuuh ni taaabu kweli
@abubakarimussa1637
@abubakarimussa1637 4 года назад
Umejuaje
@vivianakinyi5352
@vivianakinyi5352 4 года назад
Jamani when i visited tZ i went there and was surprised to see majengo yana tishia
@AJMusicLM
@AJMusicLM 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DKC2ztZVXEs.html
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 года назад
Mji wa kishenzi sana huo nimefika mwaka 2016 nilishangaa sn full ushirikina pale ujiji
@blesslory1862
@blesslory1862 4 года назад
Nyasi ndo nzuri acheni zenu
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 4 года назад
Ni kweli lazima tubadilike wa bongo uwezi kujenga nyumba ya nyasi town bora huuze tuuu
@samuelmore2926
@samuelmore2926 4 года назад
La hasha
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 года назад
Kigoma haiwezi kujengeka leo wala kesho neh.
@msemajafar3873
@msemajafar3873 3 года назад
Safi waambie hao
@themwambazband7781
@themwambazband7781 4 года назад
Kichwa wazi kweli
@dianafyondi9048
@dianafyondi9048 4 года назад
Wambie baba maana wanazidiwa na manyovu vijijini
@iddikogo4987
@iddikogo4987 4 года назад
Serikali iwalipe hela ya kutosha hao watu kisha serikali wajenge mijengo mikubwa ya kuvutia katika hizo Barbara iwe ni sehemu za biashara,sio kila MTU aliye na nyumba barabarani alifuata Barbara akajenga bali wengine ni barabara ndizo ziliwafuata jamani Mara nyengine tuwe watu wakufikiria na kupanga maendeleo kwakuzingatia maisha ya watu yalipo anzia tusiwe tunatoa makavu bila kufikiria.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Brigedia jerenal nakukubali
@jumamwadhini6263
@jumamwadhini6263 4 года назад
Ngoja kwaza mkuu tuongee na mizimu ikikubali tutauza baba
@KhalidKhalid-zt1bc
@KhalidKhalid-zt1bc 4 года назад
usifukuze watu mjini kwani hii nchi ya mabepari tu ?maskini hawana haki?
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 4 года назад
wajengeeni gorofa hapo
@SEMANKA97
@SEMANKA97 4 года назад
Hawajui ujiji atalaka nje
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 года назад
Sawasawa huu mfano niliuona ruwangwa watu pesa ya korosho wanazilalia kwenye mchago nyumba za udongo akaja mkuu wa mkowa mpya akawatia kalinye kalinye sasa hivi nyumba mpaka mpekenyela bati tupu.
@athumantanzua7651
@athumantanzua7651 4 года назад
Tunapaswa kujua wamefikaje hapo na kushauriana nao kwa utulivu, nani hupendi vizuri??
@nassororamadhan8756
@nassororamadhan8756 4 года назад
zitto baba lao
@tofautistudio
@tofautistudio 4 года назад
Kwetu tatizo aina za watu wanaoish hawana maono ya maendeleo, labda uswahili huko ujiji na gungu
@mossassaid2683
@mossassaid2683 4 года назад
Mhmm
@nipolive..2745
@nipolive..2745 4 года назад
Kasulu ndo umepaona kijiji sindio acha zalau wewe
@sylvesterf.mbonimpaye1413
@sylvesterf.mbonimpaye1413 4 года назад
Ziwekwe by laws ,asiyeweza kujenga nyumba ya bati kiwanja kitaifishwe ,mjini kati iwe proper ghorofa ,huwez taifishwa usepe
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 года назад
Hahaha
@harmonize3476
@harmonize3476 4 года назад
Saratani/ sio tishio Tena jitibie mwenyewe kirahisi gusa link hiyo mbele ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-B1wLtyuzSWM.html
@harmonize3476
@harmonize3476 4 года назад
Zijuwe sababu zinazopelekea kansa ya matiti kwa wanawake gusa link hiyo mbele ujionee ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-g2Oo4T9NY_E.html
@ototek8037
@ototek8037 4 года назад
Vyakula vya msaada kama wanavyokula kenya ndo vinasababisha kansa
@ashampore6070
@ashampore6070 4 года назад
Kwa kigoma kazi ipo hapa mjini ndo wamejenga na magari kwao makumbusho,hatarii .
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Sasa kama mtu hana uwezo lami imemkuta akiwa hapo afanyeje achen unyanyasaji kula mtu na majariwa yake aliyojaeiwa na MUNGU🙏
Далее
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн