Wallahi nlijuwa ni mwanae huyuu, Mashaallah, nami nampenda sana Sheikh Othman maalim namuomba mungu amjalie mtoto wangu awe miongoni mwao kina salim, muswadiq na wengine
MashaAllaah tabarakaAllaah kwakweli twazidi kupata warisi wa Sheikh wetu Uthaman Maalim Allaah azidi kuwahifadhi wote kwa jumla na awazidishie elimu yamanufaa
MASHAA ALLAH UNAPATATHAWABU NYINGI SANA INSHAALLA NA HIVI NDIVYO ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KUNFAYAKUN ANAPENDASIYO WANAMUIGA DAIMONDI NA HAMONAIZI SIJUWI WANATUHARIBIYA WATOTO WETU TU BASI 🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️❤️❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🇹🇿🕌❤️❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️
Nikweli kabisa sheikh Othman maalim ni sheikh bora nasi bara ya sheikh. namuomba Allah anijalie mtoto mwema na Allah ampe mtoto wangu chochote kitu kutoka kwa Othman maalim
Mashaa Allah namkumbuka sheikh wangu Othman maallim tokea msikiti mabluu mpaka kina Ali Hassan Mwinyi na Shamhuna wakihudhuria darsa zake za mwezi wa Ramadhani wakati huo Allah amhifadhi amrhibishie iman yake
Mashaallaa Allah bariq mungu akutangulie kijana mwenzetu, pia hakuna tatizo akikopy kwa asilimia 100% kwa sababu mawaidha ni maneno ya mwenyezi mungu sio music huwo useme lazima awe na staily yake tofauti
Kwanza hongera sana sheikh Othman Maalim, kwani kufaulu kwa mwanafunzi ni sifa kwa mwalimu, kisha Allah akuzidishie kijana wetu Salim Ally pamoja na wenzako, kwani ni raha ilioje vijana wakiiga mema kama hayo kuliko upuuzi. Hapo ulipotowa kipande cha waadhi kama hukusema si copy and paste, ningejuwa umefanya hivyo, coz umempatia hasa sheikh Othman, sauti, matokeo na miondoko, maa shaa Allah, tabaarak Allah...thanks
kijana unajitahidi ila nenda kajifunze vizuri hukmu za Qur-aan(tajweed) maana kuna baadhi ya makosa yako wazi katika kuzisoma Aya za qur-aan...Shukran.