Тёмный
No video :(

KIKAO: JANUARY MAKAMBA USO KWA USO NA SALIM KIKEKE/ MASWALI MAGUMU NA MAZITO | KASRI 

Crown Media
Подписаться 123 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

#kASRI #crowntv #salimkikeke
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@MohamedHarithi
@MohamedHarithi Месяц назад
Kiukweli sisi ni vijana but hatupend kufatilia vitu muhimu ila bro kikeke #ali kiba mnafaaa kasli bonge la kipindi na hiii ipeleken azam nahisi hiii itakua ni mmoja kti ya vipindi bora ndan ya tz ❤❤❤❤🎉
@elisharaphael8680
@elisharaphael8680 Месяц назад
Na ndio maana tunabaki kulalamika tu mitandaoni lakini kujitokeza hadharani hatuwezi, hatusikili na hatutaki kujifunza tukafahamu vitu kwa undani
@successpathnetwork
@successpathnetwork Месяц назад
Kipindi kizuri sana hongera my brother Kikeke... Tunajifunza mengi wafuatiliaji! Tupe madini - Ezden J.
@nicholausluvanda1502
@nicholausluvanda1502 Месяц назад
Hongera sana Salim Kikeke, umekuja ku-revolutionize mindsets zetu vijana watanzania kufatilia masuala yenye umuhimu na tija kwa taifa letu. Hii itasaidia sana vijana kufatilia masuala ya uchumi, kuji-engage kwenye shughuli za uzalishaji na uchumi kwa ukubwa wake, badala ya ku-focus na masuala ya michezo na entertainments, ingawaje ni mazuri kwa burudani, lakini ni muhimu yakafwata kwa kiasi na wakati maalum, na sio kuwa center ya narratives zetu mainstreams. Kongole !
@nabaodesigner9449
@nabaodesigner9449 Месяц назад
Salimu Kikeke nina kukubali sana, na maojiano yako na mueshimiwa waziri umenikosha sana. Nina amini uta boresha Crown 👑 media. Nina kufatiliya toka USA 🇺🇸 Atlanta Georgia
@King_Kalinga_Tz
@King_Kalinga_Tz Месяц назад
Njoo na kwangu ucheke mkuu...usisahau KUSUBSCRIBE
@MohamedHarithi
@MohamedHarithi Месяц назад
For sure ukifatilia kipind hiki huwishiwi kutoa comment ila kipind hiki na maswali ni zaid ya bunge letu
@JamalyzoMilanzi
@JamalyzoMilanzi Месяц назад
Kazi njema sana mnafanya vyema sana crown media 👑 hapo ni nyumbani
@honestthomas1549
@honestthomas1549 Месяц назад
Kikeke umeuliza swali la kibingwa sana... Matajiri wanataka nn kwetu
@King_Kalinga_Tz
@King_Kalinga_Tz Месяц назад
Pita na kwangu ucheke mkuu
@user-do1xs4om1b
@user-do1xs4om1b Месяц назад
Nyie ngozi nyeusi mmezidi kusafiri, na hatuoni faida yeyote zaidi kuuza bandari, ww makamba ungependeza zaidi kama utaachia hiyo nagasi uliyo nayo umekula kwa mda mrefu inatosha tuwape nafasi watu wengine. My brother kikeke huyo hawezi kupingana na mama samia. Unajaribu kumtwanga maswali magumu sana bigup
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Месяц назад
Fanya kazi mkuu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Uwekezaji wa Makamba ni bomu. Huyu jamaa hana record nzuri. Serikali ina recycle watu wale wale wakati tuna vijana welevu na uwezo wa kuleta maendeleo makubwa. Shida hawajulikani. Hawana wazazi waliokuwa kwenye system
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 Месяц назад
Masha Allah tabarakallah! Kipindi kizuri sana Salim. Nakumbuka kipindi chako cha "kisa na mkasa na Salim Kikeke"
@user-mm1xk1xc5z
@user-mm1xk1xc5z 15 дней назад
Wow kikeke🎉🎉🎉
@zingahassan5851
@zingahassan5851 Месяц назад
Good program from Salim kikeke#kASRI...Big up for the cameras..4K.. mashallah #crown media...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Месяц назад
Crown ❤
@mohamednabahan9031
@mohamednabahan9031 Месяц назад
Kazi nzuri sana inavutia kufatilia habari zenu hongereni sana
@King_Kalinga_Tz
@King_Kalinga_Tz Месяц назад
Njoo youtube kwangu ucheke
@ndayizeyecharles1024
@ndayizeyecharles1024 Месяц назад
❤ great
@alihussein4303
@alihussein4303 Месяц назад
Big Up Crown,Big Up Tanzania ✊🏿
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
thank you Salim for this great Interview..but the interviewee seem to give general responses, he isnt finishing them so as to get exactly what the common w/nchi wants to know..he tried though but we would appreciate antoher inteview with him. one mor thing Salim, would you mind checking out the roundtable ya Ruto na Journalist as well as the X Space between him and the Gen Zs of Kenya? these are very keen and critical ideas laid down by their President that he has been working on for sometime. it will help u while interviewing our head of state one day or even key leaders in our govt sir..thanks again
@joshuarose6756
@joshuarose6756 Месяц назад
Honger salimu San
@elvinl1029
@elvinl1029 Месяц назад
Good saana
@viootanzania9080
@viootanzania9080 Месяц назад
Mwenzi mungu awape hitaji lenu crown media inshaahllah by yusuf kutoka dodoma
@mytelecom2019
@mytelecom2019 Месяц назад
this guy ni kiongozi kudos
@emilegentil9538
@emilegentil9538 Месяц назад
Crown niya moto wazee
@abuuahmad623
@abuuahmad623 Месяц назад
Niseme kuwa inaonekana hizi elimu za miradi ya viongozi kusafiri na kuitafutia nchi watanza nia hawana na wala viongozi hawaambi watanzania
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Месяц назад
Kikeke naomba ujaribu kumtafuta boss TCRA atueleze kwanini makampuni ya simu yanatuibia na wao wamenyamaza tu unaweka vocha hujaitumia ikipta saa 24 imeisha hii manake nini na wao wapo kimya tu mtafute kaka mambo kibao tu nimeona hata uvivu kuandika
@juniormsumari6036
@juniormsumari6036 День назад
Hiyo changamoto yako ni rahisi kujibiwa, utaelezwa tu kuwa unapotaka kununua bando huwa kuna maelezo yapo pale kwamba bando hili litaexpire ndani ya saa 24, siku 7, siku 30 n.k ss unaponunua alaf hutumii then likiisha ulalamike hapo utakuwa haupo sahihi ndio maana wakaweka na huduma ya kifurushi cha halichachi ambacho ni mahususi kwa watu wa aina kama yako. But ili kujenga hoja ni vzr ungeshauri labda katika maboresho ikiwemo kuongeza dakika au Mb kwenye kifurushi cha halichachi, na tatizo lingine ni kujua kwanini sasa hv Mb's zinalika sana tofauti na awali? Tukiweza kupata majibu ya haya maswali ndipo mjadala wetu unaweza ukaanzia hapo, kwamba tufanyeje sasa ili kuweza kuboresha huduma za mitandao yetu ya simu.
@ommydec2887
@ommydec2887 Месяц назад
Super🔥🔥🔥
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Месяц назад
Welldone kikeke kwa maswali mazuri, na je kwani lazima rais asafiri kila mara na msururu wa watu, kazi ya balozi ni nini.
@user-zm5qf5zl9r
@user-zm5qf5zl9r Месяц назад
Super brand
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c Месяц назад
Hii Tv Itafika mbari sana Pongezi kwa Kiba Kikeke Wajina Mtu sahii Drc kwetu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
👊✌️👍.
@samraper1274
@samraper1274 Месяц назад
Safi sana kazi nzuri nimependa mahojiano
@joshuarose6756
@joshuarose6756 Месяц назад
Mlete Lissu Hapo
@JOHNINSURANCE
@JOHNINSURANCE Месяц назад
Hizi habar safi kabsa kusklza sio vyombo vngne makelelekelele meeengi kwakwel yani.
@hussein_mbonye
@hussein_mbonye 2 дня назад
LEO OSCAR UKO VIZURI SANA.... UNAULIZA MASWALI MUHIMU SANA. BORA YULE CHAWA HAYUPO ANGEHARIBU INTERVIEW
@EtieniRama
@EtieniRama Месяц назад
Crown kazi zuri sn❤❤
@mohamednabahan9031
@mohamednabahan9031 Месяц назад
Kanzi nzuri sana
@athumanhusen6008
@athumanhusen6008 Месяц назад
Makamba ni mwizi
@halfanihamadi3683
@halfanihamadi3683 Месяц назад
Nzuri sana
@mjukuuthebrand
@mjukuuthebrand Месяц назад
Safi sana
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 Месяц назад
Kazi nzuri sn
@LauMagwaja
@LauMagwaja Месяц назад
Saf sana kiba na bro kikeke kipnd kizur
@user-sr9js6rj5v
@user-sr9js6rj5v Месяц назад
Semeni ukweli lini vitatolewa hivyo hadhi maalum, sasa ni miaka kadhaa tunasikia na kuambiwa kesho kesho na huu mwaka unaisha pia. Ni lini???
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Месяц назад
Asante kikeke umekuja tufungua akili mkuu
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q Месяц назад
Safi sana hapo kwenye Diaspora mmeupiga Mwingi
@mdbosco1640
@mdbosco1640 Месяц назад
@REMMY962
@REMMY962 Месяц назад
Maswali yalikuwa sawa na muhimu ila JANUARY MAKAMBA alijibu kwa juu juu tu, hilo ni changa la macho, kumekosekana maswali ya kukaza supana. huu ushilikiano na nchi za magharibi uta cost Tanzania vitu vikubwa ambae hamtokuja kusahau yani subiri mda kidogo mtaanza kuona madhara yake.
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 Месяц назад
Mahojiano hadi Raha ❤❤😊😊
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Месяц назад
Waziri anajibu vzr katuria bila kupaniki kweli kakomaa mkuu
@zedkaz001
@zedkaz001 Месяц назад
Hapa safi nitakuwa na nyinyi mpaka mwisho.
@SawayaNm
@SawayaNm 17 дней назад
I definitely don’t understand Kiswahili anymore! What is Sera? I call TZ Embassy in NY and nime uliza is true I don’t need a visa anymore since I was born in TZ and I am US citizen now! Wame sema BIG NO! Makamba was my school mate in Forest Hill! I am shocked with this misinformation! This is considered very misinformation in Media! No wonder why he lost his post as Foreign Minister! 😳😢😮😅
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 Месяц назад
Kuhusu hadhi maalum ni jambo zuri sana
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Месяц назад
Tz vibari changamoto wanazungusha sana
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Месяц назад
Nimempenda salimu ulipomgomea Mzee alipotaka kusema kuwa kwamba wao ndo wamefanya pato liongezeke from diaspora baada ya kuanza hatua wakati hizo uwekezaji ulikuwa uleule
@wamburawambura1968
@wamburawambura1968 Месяц назад
🤔
@GbpAud_King
@GbpAud_King Месяц назад
Rais ajaye
@abuuanwar0076
@abuuanwar0076 Месяц назад
Mbona wawekezaji wanakuja kufanya biashara za kawaida sana, hamuoni mnaongeza ushindani kwa watanzania?
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 Месяц назад
Yani nimeanza kusikiliza leo nimeanza na naibu waziri mkuu na hii kwakweli njia hii mliyo ishika iwehivi hivi
@GbpAud_King
@GbpAud_King Месяц назад
January Makamba ametulia sana hapanic
@muddyChela-vc3kw
@muddyChela-vc3kw Месяц назад
Umu 2 kwa👑👑👑 ni nyumbani
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Месяц назад
Mmewatambua hadhi kivipi wanadayasbora...
@sf2tv
@sf2tv 19 дней назад
Koti la kuazima
@hajiseleman6632
@hajiseleman6632 Месяц назад
@kikeke punguza spana hizo
@King_Kalinga_Tz
@King_Kalinga_Tz Месяц назад
😂😂 Za kichwaaaa Njoo na kwangu ucheke mkuu
@user-kh1tn6yr8b
@user-kh1tn6yr8b Месяц назад
Mh hii aiko sawa tuwe makini sana watu ambao sio watanzania
@user-px7jf7xs6k
@user-px7jf7xs6k Месяц назад
Zanzibar,Malawi na Tanganyika
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Hapa ni home
@usafiaps318
@usafiaps318 Месяц назад
Mh.Tueleze Wazi Tumejiandaa Vipi Na Hawa Mnaowathamini Sana Wawekezaji Tunanufaika Na Nini Hasa???Mfano Uliopo Wazi Ni Rasilimali Tulizo Nazo,Mh.Huoni Tunawapa Wao Zaidi Kuja Kama Wawekezaji???Tungewaajiri Tunapata Zaidi.Fikiria Hili!!!!
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Hajiamini kama sisi wenyewe twaweza. Kwanza wangetoa hati milkiki kwa watanzania wote nchini. Wakawekeza kwa watanzania wenyewe. Huwezi kutulinganisha na uwingi wa India na wengi wahindi hawana nchi. Sisi tunayo.
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 Месяц назад
Doto biteko kajielezea vizuri kuliko huyu jamaa
@erickmakundi9760
@erickmakundi9760 8 дней назад
Lkn kwann alitumbuliwa?
@seneu.2128
@seneu.2128 Месяц назад
Kikeke uko vizuri sana, kinachosikitisha nikuwa bajeti ya ofisi ya Rais ni siri, wakati hapo kenya kila safari ya rais vyombo vya habari vinapewa gharama zilizotumika.
@MrOnii255
@MrOnii255 Месяц назад
izi camera jaman aiiiiih
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Месяц назад
Kwa swala la wana diasporas hapo mh makamba umefanya vizuri. Manake hapo zamani wanadiasbora kutwa kutishiwa na kuwa hawawezi kumiliki ardhi...
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Месяц назад
Musaada WA nini
@JackJack-oi2io
@JackJack-oi2io Месяц назад
We kikeke😂 napenda maswal yko yapo kwetu laiay
@loyalmediatz
@loyalmediatz Месяц назад
Hii ni interview bora kati ya zote ulizowah kufanya katika siku za hivi karibuni, tafadhal naomba uione comment hii #kikeke
@irenekalinga323
@irenekalinga323 25 дней назад
Anaongea kama sio kiongozi aiseh
@danielmgalla558
@danielmgalla558 Месяц назад
Nadhan muoneshe full picha za discussion itapendeza zaidi
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 Месяц назад
Kikeke toa ndevu upo kama mapung'o?
@user-po5tm4we4b
@user-po5tm4we4b Месяц назад
Kazi ngumu akiwezi ,bwawa la nyerere alishindwa,alisema mwezi wa sita ,kaja musukuma mwezi wa pili tu kitu teyari, uyo kazi laini na maneno mengi ,si tunataka vitendo
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Месяц назад
Inchi ngumu sana hii.
@Ba63828
@Ba63828 Месяц назад
Rushwa inachafua jitihada za serikali
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Месяц назад
Na kwanini tunategemea misaada na nchi ina utajiri mkubwa na je riba yake ni ngapi
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Mpe elimu huyo. Anajibu juu na haelewi haya mambo kinaganaga. Ni mpiga filimbi mzuri.
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 Месяц назад
Regardless of whatever people say, I always say this man deserves to be a president and infact i wish CCM can make this decision in 2025 before it’s too late. Scrap that Samia off our faces please
@user-mb8ov2ic1i
@user-mb8ov2ic1i Месяц назад
Kipindi ni kizuri maoni yangu Ungeongeza kamera nyingine moja ambayo itakua inawaonyesha wawili kwa pamoja.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Vijana wasio ona mbali ndio wanaoona kikeke anauliza vitu mhimu hapo utana vichwa vidogo visivyo ona mbali wapo tu
@HanafiRamadhani-vf4de
@HanafiRamadhani-vf4de Месяц назад
ina wezekana unacho sema kiko sawa tunaomba utuelimishe kwanini hayuko sawa
@user-kh1tn6yr8b
@user-kh1tn6yr8b Месяц назад
Wahindi wapo wengi Dunia
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Месяц назад
Kazi nzuri saaana Mhe January Makamba
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Месяц назад
Makamba,Ni Kwa nini watalamu wetu hawaunganishi wafanya Biashala kutoka inchi zote za inje zijenge viwanda TZ ?
@karthala6676
@karthala6676 Месяц назад
Wapi kwenda kupata Hiyo card nikija Tanzania
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Месяц назад
Hakika safari it's too much jaman MARAFIKI SI ata Kwa simu wanaweza kuwasiliana ?? Safari nyingi na zinatumia mabilion ya ela jaman it's too much kama mwalimu Nyerere aloanzisha ili TAIFA alitambea lakin akawa na muda wa kutulia KUJENGA nchi yake ,sisi tunaozurura Zaid Leo mmmmm hatukatai kutembea ila mmmmmm MWOGOPENI MUNGU maana ata huo uwekezaji bado wazawa hawanufaiki wanaishia kuwa MACHINGA na vibarua je inatufaisiha Nini NO
@mrremote8113
@mrremote8113 23 дня назад
Mbona anaongea vitu vile vile waliovyofanya wenzie anaulizwa vitu vya msingi anajibu utumbo tu hiyo wizara haifai kabisa zaidi anajitengenezea njia ya kushibisha tumbo lake
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Месяц назад
Nina washukuru yote wa heshimiwa kwa kutufahamisha mambo mazuri ya maendeleo.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Месяц назад
Salim hiyo hadhi maalum ni kwamba imeshaanza tayari mbona hujambana hapo aweke tangazo rasmi kwenye port of entry zote watu wasisumbuliwe
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Месяц назад
Baloz anafanya nini kuongelea mbaazi kuluko rais aende kuongelea mbaaz
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp Месяц назад
January katupiga changa la macho kama kusafir sana Kwa rais ndio kuleta maendeleo ya nchi basi kipindi Cha kikwete tungekua tulishatoka kwenye kundi la nchi maskn Magufuli ambaye alikua hasafir Kwa mda mfup tukaingia kwenye nch za uchumi wa kati kwaiyo msione wananchi punguan sana mama apunguze kudhurula uko nje mabaloz wafanye Kaz Yao
@MegaBack2life
@MegaBack2life Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Месяц назад
Crown ni mabingwa sana
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 Месяц назад
Hujamaha akili yake yote hatakuwa raisi wa tanzania
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Месяц назад
HIKI KIJAMAAA KIJANUARI HUWA SIKIEREWI KIONGO SANAA KINASIFIA UJINGA RAIS ANASAFIRI OVYOO
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Месяц назад
Iyo miswali
@PeterNMzee
@PeterNMzee Месяц назад
Nasikia makamba ndo Rais ajaye baada ya Maza..... Bongo bana 😮
@MohamedHarithi
@MohamedHarithi Месяц назад
For sure ukifatilia kipind hiki huwishiwi kutoa comment ila kipind hiki na maswali ni zaid ya bunge letu
Далее
NPC Bloxfruits🤖🔥| Doge Gaming
00:13
Просмотров 640 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 3,1 млн
President Ruto's "Story za jaba'
7:05
Просмотров 25 тыс.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,5 млн