Тёмный

RC MAKONDA ACHUWANA NA MWANAJESHI ANAYE TEMBEYA NA SILAHA YA MOTO ARUSHA 

Adil TV
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

29 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 День назад
Shikamooo kaka makonda ❤❤❤❤kazi njema
@luganokasongwa1677
@luganokasongwa1677 16 часов назад
Hivi ndivyo viongozi wanavyo pasawa kuwajibika kwa wananchi wake mungu amuongoze ktk kazi zake
@StellaMwasha
@StellaMwasha День назад
Ubarikiwe mnoooo mtumishi wa haki
@bizimungumgassa4455
@bizimungumgassa4455 2 дня назад
Kwa kweli mungu akutie nguvu mh Makonda unatatua matatizo ya wanyonge!
@user-mr8vl9cy8i
@user-mr8vl9cy8i 2 дня назад
Mungu akubariki sana kiongozi wetu shujaa wetu. Kaza buti songa mbele
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q День назад
Mie nawambia uyo makonda ni mtume katumwa namungu tunakuomba mama samia makonda uyu umlete kila mkoa akae miez sitasita ili anyooshe Dunia mama
@user-fp9ei8gg8s
@user-fp9ei8gg8s 2 дня назад
Muheshimiwa makonda Nakuaminia ww nizaid ya kazikaz Ww ilitakiwa uwe rais wa tz tunakutaka sana watanzania Ujekua kiongoziwetu wa taifa❤
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 2 дня назад
Makonda MUNGU azidi kukulinda,
@AbdalahAlly-pw4dt
@AbdalahAlly-pw4dt День назад
Hongeramkuu nakuwaminikwaziyako
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 дня назад
SASA HUYO MENEJA WA BANK NAYE, . WATANZANIA YAANI UNAFHULUMU MPAKA MZEE? . MUNGU AWALAANI KWA KWELI.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 6 часов назад
Mwandishi niboya Askal anae chuana na makonda yukwapi chanel zinashindwa kukua sababu ya uongo boya mwandishi
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 19 часов назад
Hv mama samia uliwaza nini kuturudishia bro makonda..ukwel kabisa kupitia makonda umepata kupendwa hata ww mwenyewe ukituletea watu wenye hofu ya mungu hata taifa unaloliongoza litampendeza MUNGU kwakwel japo misukosuko ni mingi ila tutacmama tu imara
@maliyusiosika9457
@maliyusiosika9457 17 часов назад
Uko vzr
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 День назад
Huyo ni zaidi ya makufuli
@MauBonde
@MauBonde День назад
Huyu jamaa tunafanana misimamo kuhusu utamaduni wa mwafrika ila kuna kuna busara na uchunguzi kwa sababu hatuko utawala wa Nyerere,kila kitu kiko wazi kupitia technology uongozi ni wito,mimi nashangaa viongozi wengi wa taifa wanakimbilia fedha ,kuna kifo,namkubali huyu jamaa kupinga ushoga afrika ila mambo mengine anahitaji mafunzo ya kiutawala zaidi......
@user-mr8vl9cy8i
@user-mr8vl9cy8i 2 дня назад
Una wachapakazi wawili slaa na makonda tu wengine ni vichomi tu
@user-mr8vl9cy8i
@user-mr8vl9cy8i 2 дня назад
Mama samia fukuza wakuu wote wa mikioa hawana jipya
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 2 дня назад
Jembe Makonda
@user-pz1qn7re3b
@user-pz1qn7re3b 9 часов назад
Mimi naomba ugombee Urais mwaka 2025 tumekufatilia sana mitandaoni upo vzr tupo nyuma yako makonda
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga День назад
Lazma nikaonane na MH Makonda walah
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g День назад
Makonda jembe jeshi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 День назад
Bank haizulumu mtu. Tabia za wateja kupeana namba za siri wanaibiana wenyewe.
@GreysonMheni-ln9rm
@GreysonMheni-ln9rm День назад
Kwahyo hizo walizorudisha wao benki ndo walipewa namba za Siri au unamaanisha nn
@sarahpallangyo4076
@sarahpallangyo4076 День назад
Na alikua muajiriwa
@user-oy9wr2zc6x
@user-oy9wr2zc6x 21 час назад
Sasa kama wanapeana namba za Siri, hizo walizorudisha zimetoka wapi?na alivyosikia yupo kwa makonda amempigia simu asiongee kwa nini? Kama watu wanaibiana wenyewe?
@zachariaobama8616
@zachariaobama8616 3 часа назад
Huyu mwambq akigombea urais atapitq moja kwq moja
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 День назад
💔
@EnikoSanga
@EnikoSanga 19 часов назад
Makonda nakuombea mpaka uwe rais
@ShaqharMagram
@ShaqharMagram 2 дня назад
Wakuu wamikoa wegine hawamuoni makonda kumaamaezao
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m День назад
Hahahahahahahahahahaha
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola День назад
Wanaona aibu kupiga na hapo ndio wanapo zidi kufeli
Далее
치토스로 체감되는 요즘 물가
00:16
Просмотров 4,1 млн
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00