Тёмный

KISA CHA ISHA MASHAUZI KUPIGWA / BIFU NA KHADIJA KOPA 

Gangana Info Channel
Подписаться 365 тыс.
Просмотров 72 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

2 окт 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@abedijumman-6106
@abedijumman-6106 Год назад
Ilove ur lyrics voice supirya kip it ip.
@nasraali6157
@nasraali6157 5 лет назад
MashaAllah dada napenda nyimbo zako hasa ni mpe nana na uliyoimba na thabit my dear u sing so nice u hv vry good voice Allah akukinge na husda maana husda hatari leave long i love u
@jasminfantasticiddy4307
@jasminfantasticiddy4307 5 лет назад
queen of the best melody 😁😁😁😁uko PW mamy
@maryammarym4437
@maryammarym4437 5 лет назад
Mashaa allah umenenepa fanya mazoezi
@furahasolange2278
@furahasolange2278 5 лет назад
Umepoteya dada. Tumeku miss dada. Sauti nyororo.
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 5 лет назад
Dah! dada isha nani kama mama naipenda kinomaaaaa wallah
@kimmagna1984
@kimmagna1984 5 лет назад
Mungu usimtie bibi. Mziki haramu haramu haitaki tochi sema allah akijaalia ifike mahala ujihidi na yy akuletee hidaya tu.
@binurusm8886
@binurusm8886 5 лет назад
Hee!! Jamani sindio maumbile yake, mbona anapendeza tu huyu mdada, hongera Mashauzi kwa jinsi ulivyo.
@binurusm8886
@binurusm8886 5 лет назад
Nakukubali sana Mashauzi, Kwanza huna skendo, halafu upo 'sirias' na kazi yake.
@suleimanalkindy5731
@suleimanalkindy5731 5 лет назад
MashaAllah ina sura nzuri, sauti nzuri lakini unene wako umekufanya uwe shapeless na unakuwa hupendezi unapokuwa jukwaani. Juitahidi ufanye diet na mazoezi uwe na mvuto zaidi
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 лет назад
Nakupend sanaaa kwa za zamani naipend kibanz changu jichon
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 5 лет назад
mashauz namkubari sana hususani ile nyimbo ya nimeshajipanga ukewenza
@herryjoseph790
@herryjoseph790 5 лет назад
Nampenda sana na mungu azidi kumlinda
@nooromar6233
@nooromar6233 5 лет назад
Namkubali sana Esha hizi ndio burudani sio upuzi unawo imbwa sasa na interview yake nzuri sana ni mwanamke mzuri yuko straight forward hana short cut na mengine inshallah with time yata ongoka ❤️❤️
@user-nt9ex8tx2z
@user-nt9ex8tx2z 5 лет назад
Nakupenda we my sister mungu anashuhudia WALLAH
@memoz860
@memoz860 5 лет назад
wow ♥♥♥ u too Isha Ramadhani
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 лет назад
Dada hogera unasautu nzuri sana nakukubali sanaaaaa❤
@binurusm8886
@binurusm8886 5 лет назад
Endelea kujitafutia rizki mwaya, Mungu ndie mpangaji wa maisha ya kila mmoja, Mungu atakulinda, Aamina.
@aniphajuma260
@aniphajuma260 5 лет назад
Aisee isha nakupendaaaa sanaaaaaa
@assanbazwadiki1336
@assanbazwadiki1336 5 лет назад
Isha na mupenda sana😍😍😍
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 лет назад
Nimekupenda buree Mungu akubariki
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 5 лет назад
Da ishaa nakupenda Sana ww na kz yako. lv you somach
@magrethndunguru7019
@magrethndunguru7019 5 лет назад
hongera sana
@amisi.lwamboamisi1699
@amisi.lwamboamisi1699 Год назад
Kiwele.wele
@blacknature7637
@blacknature7637 5 лет назад
Nakukubali 😍😍
@mohammedsaid7645
@mohammedsaid7645 5 лет назад
Aisha nakukubali nakupenda Sanaa hata cjielewi ...Kisauni Mombsa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Tupo wingi wakisaun kumbe mm kisaun tuatugae
@bukuruhassan6328
@bukuruhassan6328 5 лет назад
Jamani mimi nampenda isha saana 😘😘
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 лет назад
Isha napendaga hapo unapisemaga hatari😂😘
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 5 лет назад
Nakupenda sana Dada ake
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 лет назад
Oh mama nipe radhi kila nifanyalo hawaachi kuniseemaa
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 5 лет назад
isha mashausi nakupend munooooooooooo
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Maa Shaa Allah smart Mashauzi Allah akutangulie ln Shaa Allah nyimbo zako ni mafunzo.
@naimabwinga8572
@naimabwinga8572 5 лет назад
hahaha ukuku kare
@naimabwinga8572
@naimabwinga8572 5 лет назад
hahaha ukuku kare
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 5 лет назад
KUMBE MPOLE SANA HUYU DADA NA PIA ANAONEKANA AKO NA HESHIMA NZURI
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
@@mamitomamita6284 Maa Shaa Allah anaongea poa ana jielewa.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
@@naimabwinga8572 😂😂😂😂😂😂
@mayasaathumanidrisa7429
@mayasaathumanidrisa7429 5 лет назад
napenda cn nyimbo zako dada isha
@abdysheshe5026
@abdysheshe5026 5 лет назад
I love Dada isha
@mossinismail3921
@mossinismail3921 2 года назад
Aisha,musique ao kuimba mimi nazani ni ku transmetre messages (ujumbe)sasa,vipi, unataka kiingilio hata kwenye interview?Usinifanye nibadilike nikuogope,jaribu kutafakari tena,MAMA NIPE RADHI!!!!??
@merrymboya1784
@merrymboya1784 5 лет назад
dada nakupenda bure
@glorylema1927
@glorylema1927 5 лет назад
Nakukubali sana Isha mashauzi
@zuwenathabith3653
@zuwenathabith3653 5 лет назад
Nakupenda sana mashauz uko vzr.
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 5 лет назад
Naakukubali esha
@iddidd9554
@iddidd9554 5 лет назад
Yani katika wasanii ninaowapena sana huyo ni no 1
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Mashauzi
@coolfettyog8496
@coolfettyog8496 5 лет назад
kukupenda tu isha
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Penda Sana somo yngu 😘
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 лет назад
dah nimependa sana dada kumpa mwanao jina la miongoni mwa milango ya mauridi
@deusijohn8935
@deusijohn8935 5 лет назад
nice
@khalidykilale2940
@khalidykilale2940 5 лет назад
Pendaga sana huyu dada
@leilaalphonce932
@leilaalphonce932 4 года назад
Nakupendaga bure yaaani ,nyimbo zako zinanikosha sana mtani wangu
@maisaramai4632
@maisaramai4632 5 лет назад
Namkubali sn aisha
@zuenamohamed2021
@zuenamohamed2021 5 лет назад
Penda sana wewe dada Aisha Mashauzi. Mm napenda mama nipe radhi.
@doramarcel1013
@doramarcel1013 5 лет назад
Nimependa rangi yako ya ngozi isha
@nasmasalimu9508
@nasmasalimu9508 5 лет назад
nc l love you dada
@hajikhatib8840
@hajikhatib8840 5 лет назад
Naomba N0.yko.nasma plzz
@nasmasalimu9508
@nasmasalimu9508 5 лет назад
@@hajikhatib8840 a.a nitumiye yako na usisahasuu code ya m ahali uko yani kama t anzaniya ama Kenya kwa sababu sijuii uko pw
@jumakhamis226
@jumakhamis226 5 лет назад
nasm naomba nitumie namba yako plz
@hasiyakeniyausiachiebabu7634
@hasiyakeniyausiachiebabu7634 5 лет назад
iyo nyimbo yenye yaimba yaitwaje nataka kudownlod nisaidien
@zedybaybe4433
@zedybaybe4433 5 лет назад
Nimpe nani
@maraimhaidari992
@maraimhaidari992 5 лет назад
Mashauzi ana sauti tam😍😍😍😍
@aishafransic8749
@aishafransic8749 5 лет назад
Penda sana dd isha
@aminaomary1380
@aminaomary1380 5 лет назад
Nakupenda bure da Isha Mashauzi
@faridadaudi5726
@faridadaudi5726 5 лет назад
penda sana huyo mtu jamani
@zamdaliuka5452
@zamdaliuka5452 5 лет назад
Love u isha
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Mtu wadini minywele kama shetani,visoma Gani fyuuu
@justinamasuka6880
@justinamasuka6880 5 лет назад
Ziada alute gig
@wiilliamcharles4794
@wiilliamcharles4794 5 лет назад
viki
@emmybakari5642
@emmybakari5642 5 лет назад
Nakupenda bure isha
@nailathabdull1317
@nailathabdull1317 5 лет назад
Aisha wallah sina mbio kwako
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 лет назад
Muislam na umesoma din unajichora utaeleza nini mbele ya Allah
@taturashidi3870
@taturashidi3870 5 лет назад
Kaza buti dada
@taturashidi3870
@taturashidi3870 5 лет назад
Kaza buti dada
@salimaamir5561
@salimaamir5561 5 лет назад
Nampenda isha paka naumwa
@fatumawambangulu3543
@fatumawambangulu3543 4 года назад
namkubari sana dadaisha
@haithamrubeabuhet2637
@haithamrubeabuhet2637 5 лет назад
Isha nakukumbuka zaman nilipokua naenda dukani kwa hator ulipokua unafanya kaz majumbani hhhhh saiv unanyodo ww co zanchi hii
@saunakatauyanawausufanyeni9504
isha mwenyewe nakukubari adi naumwa nyimbo zako ni za kizazi sana
Далее
Rope climb tutorial !! 😱😱
00:22
Просмотров 5 млн
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 219 тыс.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Просмотров 74 тыс.
ALABAROMI with ALHAJI DR.ORIYOMI HAMZAT
1:30:28
Просмотров 15 тыс.
JUA KALI LEO IJUMAA FULL HD VIDEO
10:27
Просмотров 2,3 тыс.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
Просмотров 326 тыс.
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Просмотров 11 млн
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
Просмотров 1,7 млн