Тёмный

Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda! 

SIRI ZA BONGO
Подписаться 771 тыс.
Просмотров 2,5 млн
50% 1

#sirizabongo
Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda! Askari huyu mara nyingi anakuepo maeneo ya Mbezi shule, Mwenge

Опубликовано:

 

26 июн 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,8 тыс.   
@user-iq1qu2ot8h
@user-iq1qu2ot8h 11 месяцев назад
Hakika askari wetu huyu anastahili kuwa mfano wakuigwa, Mungu amjalie maisha marefu na afya njema
@robertmwakimi3116
@robertmwakimi3116 Год назад
Namkubali sana huyu jamaa,hata ukiwa na hasira ukimwona tu zinapotea.kama matraffic wengine wangekuwa hivi,tanzania tungekua mbali sana,mungu ampe maisha marefu.
@user-cv1hk8vn9j
@user-cv1hk8vn9j Год назад
The best traffic officer ever well done our super traffic officer❤🎉
@delphinamakupa4914
@delphinamakupa4914 Год назад
I visited dar es salaam...around goba..I saw thus guy...I laughed the whole day but was happy that he was happy enjoying his work....
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 5 месяцев назад
Yuko vizuri SANA na kaziyake
@neemaally5997
@neemaally5997 Год назад
Yaan hata mda wa Kuwaza rushwa hana hata kidgo yaan nampenda sana na alivyokijana anapendeza sana na Mungu kampa mwili mwepesi furahia tu kazi yako kijana ❤❤❤❤
@tumainilukumay9907
@tumainilukumay9907 2 года назад
Damu ya Yesu imfunike nimempenda kwakwel,Mungu amuongezee nguvu daima
@mossesmichaelnzowa3378
@mossesmichaelnzowa3378 Год назад
Amen.
@MwittaJuma-yk5dm
@MwittaJuma-yk5dm Год назад
Huyu anapenda kazi yake Kwa moyo mumoja Yan safii, mungu ambariki San aendelee nakazi yake
@alexymdee
@alexymdee Год назад
Asipandishwe cheo bali aingezewe mshahara
@kigwandiohome4174
@kigwandiohome4174 Год назад
yesu kafikaje tena apa
@geofreylulu4360
@geofreylulu4360 Год назад
@@alexymdee pesa siyo kitu bro. apandishwe cheo kwa ufanisi wake maana anaweza kuwahimiza wenzake kujitoa kazini Kama yeye na yeye akiwa role model wao. vile vile cheo kikipanda sidhani kama mshahara wake utabakia pale pale
@saleheselemani5581
@saleheselemani5581 2 года назад
Mungu ambariki sana kwa kazi yake ikibidi aongezewe mshahara. Allah amlinde inshallah!!!
@marianamrosso795
@marianamrosso795 5 месяцев назад
😂😂anachekesha sana huyu jamaa mbezi shule pale yaani mnacheeka yeye hajali ndo kwanza yuko busy kuwachekesha
@JumanneKapinga-mk9zm
@JumanneKapinga-mk9zm 3 месяца назад
Na wengine waige kazi nzuri ya huyu afande Nampa big. Up
@aminabkr3192
@aminabkr3192 2 года назад
Huyu jamaa yuk pw San mwenyew nimemshuhudia kabisa mbezi shule pale👍👍👍
@josephmsanga6751
@josephmsanga6751 2 года назад
Napenda Askari Wote Wange kuwa kama Huyu! Maana pia anaondoa pia hata stress za madereva.Hongera Zake Kipenzi cha Madreva.Mungu Amwongezee Umri na Afya njema.
@angelbabee6233
@angelbabee6233 2 года назад
Nimempnd sanaaaa uyo tlafick mbwembwe nyngiiii hahahaha
@rosekimario8223
@rosekimario8223 Год назад
Mungu amwepushe na ajal za barabaran nampenda san
@ankohillary2165
@ankohillary2165 Год назад
M. Napenda wote wawe kama huyu
@sharifashabani8689
@sharifashabani8689 Год назад
Kiukweli ukifanya kazi kwa moyo unajisikia raha lkn ukifanya hupendi utaona no mzigo
@josesway8797
@josesway8797 Год назад
Aisee yuko vizuri sana. Napenda sana kupita njia hiyo na gari. Huwa nainjoy sana nikifika mazingira yale.
@jacquelinejulius5013
@jacquelinejulius5013 3 дня назад
Yaani mm nikimkuta barabarani huwa nafurai sana anavyofanya kazi yake kwa kuipenda Mungu ambariki ampe maisha marefu.
@magdalenemuchoki9326
@magdalenemuchoki9326 Год назад
love from Kenya. Beautiful. Sijastaajabu kuona haya kutoka Bongoland. Creativity yenu ni ya hali ya juu, nd'o maana tunawapenda
@allykarama5574
@allykarama5574 2 года назад
Maa Sha Allhaa Hiki ni Kipaji Alicho Tunukiwa na Allhaa Anafanya Kazi Ndani ya Nafsi yake Nimeipeda
@sabryahmed6940
@sabryahmed6940 Год назад
This officer is a one in a million.
@powerofgodtv9982
@powerofgodtv9982 Год назад
Kwa mm binafsi kwakweli nimejifunza kitu huyu askari anaipenda sana kazi yake wala hajalazimishwa piya inatakiwa awe mfano kwa wengine utakuta trafiki anasababisha foreni bila sabbu za msingi ila huyu dah!!! aiseee big up sana bro God bless you
@sebastianrespickius5267
@sebastianrespickius5267 Год назад
MUNGU Abariki kazi ya mikono yako mahana unaipenda nimejifunza kit kwak chanzo cha kupoteza uchovu n kupenda Nazi yako God bless you
@girremahamed5451
@girremahamed5451 2 года назад
Ma sha Allah Tabarakaala, jamaa yupo fit sana na anaimudu kazi yake,na pia ana enjoy sana tena sama
@dannypeter4951
@dannypeter4951 Год назад
Huyu mtu mungu ampe maisha marefu katika kazi yake
@Lukasilevokatusi
@Lukasilevokatusi 3 дня назад
namkubali Sana Huyu jamaaa anafanyakazi kwamoyo mmoja sana tens anaipenda kazi yaka vzuli mnooooo mungu ambaliki sanaaaaa
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 7 месяцев назад
Hongera Sana, Yuko na moyo Safi, damu ya Yesu imfunike Kaka yetu ili na wengine wajifunze kupitia kwake.
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 2 года назад
Jamaa yupo vizuri, namkubali kwa sanna. Mungu ampe afya na kila la heri katika kazi yake na maisha yake kwa jumla.
@haikaelmamuya931
@haikaelmamuya931 2 года назад
Ni kweli huyu Kaka ndio maisha take mwanzo siku amini mpaka nilipopita eneo lake la kazi Ila ndio utendaji wake. Mungu azidi kukubariki Bro.
@convenantTV
@convenantTV Месяц назад
Yupo vizuri ukipenda KAZI yako hakuna uchungu moyoni ...Mungu amlinde baraka Tele kutoka kenya
@luluchasama9347
@luluchasama9347 Год назад
Huyo jamaa ni noma,ni kweli anapenda kazi yake,asiondoshwe barabarani bila kufundisha wengine,ila aongezewe mkwanja
@saidifund3868
@saidifund3868 2 года назад
Vizuri sana ni mazoezi ya mwili viungo vinakuwa madhubuti Mungu ampe afya njema.
@alymuhammad8104
@alymuhammad8104 Год назад
Mm nimefikia kutaka nimuon laiv yan kwa anvyo furahisha by abeid ridhwan suleiman kutaka dong kitarun ukipenda $tar big*
@martinisadru
@martinisadru 2 года назад
Mungu amlinde katika kazi yake, wangepatikana Askari wengi kama huyo katika majiji makubwa hapa nchini foreni zingetoweka na maendeleo yangekua kwa kasi, maana watu watafika kwa wakati katika kazi zao.
@kulthumabdulrahman2915
@kulthumabdulrahman2915 2 года назад
Mashaallah
@sharefazngepar8646
@sharefazngepar8646 Год назад
Kipindi icho napita apo naelekea msasani job namiss tz
@IsayaMtasiwa-jd4ei
@IsayaMtasiwa-jd4ei Год назад
Uyu mtu mungu ampe maisha malefu kwenye maisha yake kwamana niwachache sana wenye moyo kama wake safi
@halimahamis3280
@halimahamis3280 Год назад
Mungu amlinde sana nawenye husda!Aamiin rab
@Mtayamwega
@Mtayamwega 2 года назад
Daaah! Binafsi mwenyewe nimemkubali sana huyu jamaa. Mungu ampe maisha marefu na mafanikio katika maisha yake.
@aminabobudeo2675
@aminabobudeo2675 Год назад
Mungu amuongoze katika maisha yake
@raphaelmitimingi6081
@raphaelmitimingi6081 3 года назад
Anafaa kuongezwa mshahara na kuwafundisha wengine waww na ari ya kuipenda kazi kama yeye! Nimempenda sana!
@nobertevarist6952
@nobertevarist6952 2 года назад
Me Kwa mala ya kwanza kumuona nilijua anatumia kijit ise
@guidokalinga
@guidokalinga Год назад
Mm namkubali sana tena sana na ni shauri mzuri kwa madereva kama kuna mapungufu katika gari hatoi adhabu atakupa onyo , kwa mdomo, ilikaidi unapigwa faini Mungu mtie nguvu
@SimeonMwakalobo
@SimeonMwakalobo 10 месяцев назад
Hongera sana Askari kwa kuipenda kazi yako. Nakuombea Baraka na Neema ya Mungu.
@user-sb5ei2bh6k
@user-sb5ei2bh6k 6 месяцев назад
Uyu djaama nampenda sana Kuna watu wako ici anavituko asipo Vanya vituko Yani kama anaumwa Yuko vizuri from congo DRC.
@hashimuhaji1036
@hashimuhaji1036 2 года назад
Dah!kusema ukweli kila mtu na kipaji chake ila jamaa yuko vizuri zaidi ya sana
@jujudanda5511
@jujudanda5511 2 года назад
This man must be promoted binafsi nilishawahi kumzawadiya 20,000. Akiwepo hapo makutano ya fire. Good guy serikali impromote itakuwa motisha kwa wengine. Japo I will stay missing him
@kazenmronga4163
@kazenmronga4163 Год назад
Ckuhz yup chin uku mbez shule
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 Год назад
clean money alijipatia wala sio rushwa
@LizzyMeibuko-qr7iy
@LizzyMeibuko-qr7iy Год назад
dah ningekuwa nae karibu ningempa binti yang amuoe kam hajaoa nampenda san
@peteruzia8313
@peteruzia8313 Год назад
Asanteee sana yupo vizuri sana Lakn pia hicho ni kipaji.kuroka kwa Mungu.kweli hasa Maana sis tunaona kwa macho yetu. Wenyewe kuna matrafk wana upendeleo kabsa hawamuogop mungu. Ukfka matumbi unakaa masaa ma2 Mpaka uvuke tazara hv ni kweli
@erickegidius6625
@erickegidius6625 3 месяца назад
Mungu akulinde Afande, chapa kazi. Idara zote za Serikali na hata zile za Private sector wanatakaiwa kuwa na watumishi wa hivi kuanzia ngazi ya juu.
@makameali6441
@makameali6441 3 года назад
Mimi nimempenda na nuombea kwa Allah adumu nayo kazi yake inshaallah
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
Kabisa nimempenda mno yaani ningekuwa boss wake ningempandisha cheo faster
@shamsafarijala4801
@shamsafarijala4801 3 года назад
Nimempenda bureee mungu aendelee kukupa afya njema
@fransiscashayo4914
@fransiscashayo4914 28 дней назад
Kazi nzuri sana mpaka naenjoy kuangalia unaipenda kazi yako. Mungu akulinde na akuonyeshe Nuru na mwangaza zaidi. Ukawe nyota ya dhahabu. ❤❤❤❤
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 года назад
Mungu amtangukie katika kazi yake.
@Innocentlichad
@Innocentlichad Год назад
Jamani naipenda mimwenyewe kaziyangu kamahuyu trafiki
@user-ly8hd6pg7w
@user-ly8hd6pg7w 5 месяцев назад
Kweli Mungu akulinde Sana
@user-ly8hd6pg7w
@user-ly8hd6pg7w 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤ waoooooh nimependa Sana🙏🙏🙏🙏🙏
@robertbutahe2835
@robertbutahe2835 2 года назад
Bonge la Traffic police officer. Safi sana. Good job, keep it up.
@JamilaOmari-qs4cp
@JamilaOmari-qs4cp Год назад
Safy
@magomakabanja480
@magomakabanja480 6 месяцев назад
Yaani Ningekua Dereva Ningempa Hata Lako Moja Maana Kanivutia Sana Wengine Wamebakia Rushwa Tyu Buku Buku zetu Wana Chukua Watakufa na Laana za Rushwa na Watakufa Vibaya
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Год назад
Good Job,siyo rahisi kuiga kitu ambacho hakiko kwenye damu,huyu askari anaipenda kazi yake na hivyo ni vizuri serikali imuangalie. Muda wote anasmile,hata akikamata mtu huwa anaelimisha na hapendagi rushwa.Mungu ambariki
@selulehamisi4928
@selulehamisi4928 Год назад
Naomba unitumie namba zahuyu askari nimpe zawad amenifurahisha sana
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Afande wangu mungu akupe maisha marefu kwani nafurahi sana unachokifanya
@amaniswai4969
@amaniswai4969 3 года назад
Awe mwalimu kwa wengine,na hapendi sifa Ila anajali kazi yake na anaifanya wa upendo wa Hali yajuu.hongera bro
@dianasamson9311
@dianasamson9311 Год назад
Yuko vizuri sana... akikaa barbarians hakuna misongamano.... welcome. Mungu akulinde Ascari wetu.
@deusogiro9044
@deusogiro9044 Год назад
nampenda ssna Askari uyo Kama wangekuwa wote Kama uyo daa tungefurai Sana mungu ampe ulizi afanye kazi vizuri kupita iyo
@peteryonna4434
@peteryonna4434 2 года назад
Ama kweli anafanya kazi vizuri sana mungu amlinde na ambariki katika kazi zake aliyoichagua na vituko vyake nimevikubali sanaaaa
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 Год назад
Anafaa kuigwa
@eliahnjavike4827
@eliahnjavike4827 Год назад
Asipandishwe cheo,bali aongezewe mshahara.
@user-eq2wg9hx6o
@user-eq2wg9hx6o 6 месяцев назад
Jamanii aamishiwe arusha tutafurahi sana❤
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 4 месяца назад
Mashalah inapendeza Sana . Anafamya kazi yake kiuweled Sana .Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu
@abdulqareemabdallah2579
@abdulqareemabdallah2579 6 месяцев назад
Dah analet raha za barabarn mawazo hakun makosa tufanye wenyewe kwa huyu askar big up Allah akupe umri mrefu
@leahmgunda5248
@leahmgunda5248 2 года назад
Anafanya kazi aliyopangiwa na Mungu mwenyezi.Wazazi tusilazimishe watoto kazi wasizozipenda.
@joycejulius5800
@joycejulius5800 2 года назад
Nampenda saan namuonag pia 🥰❤️
@nimphermonicah4754
@nimphermonicah4754 Год назад
This guy is Amazing ❤️❤️❤️👍
@bscollection9469
@bscollection9469 Год назад
Ulinzi wa KRISTO uwepo juu yake na pis watu wajitolrr kumsapoti
@rehemamkumbo6746
@rehemamkumbo6746 11 месяцев назад
Safi sana kwakweli inafurahisha inaonyesha jinsi gani anavyo ipenda kazi yake namuombea kwa MUNGU YESU AMLINDE NA MABAYA YOTE YASIMPATE DAMU YA YESU IWE JUU YAKE POPOTE ATAKAPO KUA
@madamelucy8429
@madamelucy8429 5 месяцев назад
Mie mwenyewe nimempenda bure ila sijaona hata wa kudondosha hela ya soda wakati wakiwa baa wakihudumiwa vizuri wanaacha keep change , pongezi kwake ❤
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 года назад
Mimi nimempenda hakika anafanya vizuri, barikiwa mtangazaji
@emmanuelshayo2794
@emmanuelshayo2794 2 года назад
Mungu ambariki aisee. Ni kijana mzuri na anaipenda kazi yake.. BIG UP
@mboyagift9558
@mboyagift9558 2 года назад
Kaz nzur san.mung ambarik.a
@robnsonurasss5042
@robnsonurasss5042 Год назад
Mungu amuweke maisha marefu ❤❤❤
@MelicianaYoram-rg5cl
@MelicianaYoram-rg5cl 11 дней назад
Goba umeihama brother foren zipo Kama zote lakin so mbaya ni kazi nzuri Sana 🙋
@abdulazeezuae2442
@abdulazeezuae2442 Год назад
Mi naona hana habar ya kupendwa ndivo halivyo uyoo hata kwake hanaonekana mtu mwenye vichekesho mashaAllah
@metuselangungulu4011
@metuselangungulu4011 Год назад
Tz we are proud with this kind of workers may God bless a man
@yasinta2342
@yasinta2342 Год назад
Proud of** SIO PROUD WITH!
@RamjiNdomba-cz7qv
@RamjiNdomba-cz7qv Год назад
Yuko poa vizuri na Kila mtu ana kalama yake so huyo ni kalama ambayo Mungu amempa pamoja na kwamba ananipenda kazi yake
@paulolaizer9133
@paulolaizer9133 2 года назад
Mwambo yuko vizuri kwa kweli mungu amtiye nguvu
@hunaynasalimu-te6fi
@hunaynasalimu-te6fi Год назад
Mashallah nimempenda mungu amuongoz katk kaz yake amuondoshe na husda wengine hawapend anachokifanya huy askari
@mohammedkombawadomtznamungopig
Huyu mwamba nakubali sana namfahamu muda kidogo ukipita maeneo alipo una enjoy kiukweli Mungu ambariki sana
@sharifuteacher5025
@sharifuteacher5025 2 года назад
Allhamdulillah allh amtangulie kwa kila jema kwenye kazi yake insha allh
@magumeangelo7926
@magumeangelo7926 2 года назад
Mungu ampe afya njema ikiwezekana serikali imwongezee mshahara maana anaipenda kazi yake. Na anaifanya kwa weledi mzuri sana
@magumeangelo7926
@magumeangelo7926 2 года назад
Mungu ambariki
@magumeangelo7926
@magumeangelo7926 2 года назад
Piga kazi kaka wengine wajifunze kwako
@adammartinmwigune4501
@adammartinmwigune4501 2 года назад
Mimi binafsi nimemkubali, anaonyesha dhahiri kazi ipo kwenye damu.
@user-up2ef7dc6k
@user-up2ef7dc6k 7 месяцев назад
Yupo vizuri cn askari ❤mng amtangulia ktk kz yake in shaallah
@charlessando4129
@charlessando4129 2 года назад
I like this man Soo Much the way he is responsibilities for his duty
@mirajiissa4721
@mirajiissa4721 2 года назад
Safi sana uyo jamaa
@saidally4890
@saidally4890 2 года назад
Nampenda sana naomba hapewe posho ilinawengine wawe nawivu waige undajiuo
@saidimgawe6548
@saidimgawe6548 2 года назад
👍
@amirikyaka6942
@amirikyaka6942 2 года назад
Safi sana mkuu hinimeipenda sana
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Год назад
Jamaaa anafanya kazi vizuri sana inafaa aongezwe cheo Ila hata akipewa cheo zaidi ,asiache kuongoza magari barabarani . Kulikuwa na mtu akiitwa mayenu pia vizuri sana.
@f.a6043
@f.a6043 2 года назад
Hakuna jambo zuri kama mtu kupenda kazi yake MUNGU AKUBARI Traffic officer asipandishwe Cheo ili azidi kuonyesha mfano mzuri wa kazi lkn aongezewe mshahara
@samwelimabula
@samwelimabula Год назад
Wao jamaa anaheshim kazi yake mimi binafsi nimempenda
@user-es2yt1jc4i
@user-es2yt1jc4i 18 дней назад
Mimrundi niombeen naipenda tz saana nimepata mtihan niombeen nice tena ninakija mtz msambaa
@mukafumumukafumu6100
@mukafumumukafumu6100 Год назад
Kweli kazi hii usipoipenda utakuwa mtumwa. Hongera kijana wetu mpendwa.
@margaretwangari3523
@margaretwangari3523 Год назад
This is so good! GOD BLess him and help others to learn from him 😂
@pendopeter3769
@pendopeter3769 3 года назад
Nimependa pia nafikiri ni askari kijana ndo maana. Askari ambao umri umeenda pia na walionenepa wanaona tabu kusogea sogea haraka kwa kuchangamka wanasimama sehemu moja, japo wapo vijana ambao hawajitumi hii inakuwa nitabia ya mtu pia.
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 Год назад
Daaaah nimeipenda style yake feeling today from NEW YORK CITY 🏙️
@kelvinmhilu6509
@kelvinmhilu6509 2 года назад
I love this guy his in love with the job and his enjoying it his super
@deofelix8003
@deofelix8003 2 года назад
Good job afande
@lokurepeter3396
@lokurepeter3396 2 года назад
Has to be promoted
@kamburanyamaronda1893
@kamburanyamaronda1893 Год назад
I appreciate too
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 года назад
Miaskari mingine inajificha pembezoni kutafuta mlungula
@user-mr7vv1kc8v
@user-mr7vv1kc8v 6 месяцев назад
mashallah,,kiukwel ni traffic mzr amby anaijal na kuipend kz yk,ALLAH akuongoz kweny mazr n mafanikio
@omarykiza
@omarykiza Год назад
This man deserves a Prize 🏆
@SimoniPhilipocom-ce7xi
@SimoniPhilipocom-ce7xi Год назад
Hai broo
@dayanakassanga944
@dayanakassanga944 2 года назад
Safi wazalendo bado wapo nchi hii
@user-kj8bd6rq5c
@user-kj8bd6rq5c Год назад
Hata Mimi nimependa Yuko sawa kabisa Mungu amlinde na ampe maisha marefu
@user-rp2hv1fb8g
@user-rp2hv1fb8g 8 месяцев назад
Mm mwenyewe nimempenda Sana tena Sana kweli anaipenda kazi yake wengine niwakorofi Sana huyo anavyoonekana hataukikosea hawezikukuazibu Bali atakuonya tu
@mourinhowakawe7867
@mourinhowakawe7867 3 года назад
Mungu akuzidishie police wetu
@josemgy1199
@josemgy1199 Год назад
This man deserves a prize
@solomonpeter8843
@solomonpeter8843 Год назад
Mmabodaboda wameshapack wanamshangaa tu
@StarmallyStushery-yj9po
@StarmallyStushery-yj9po Год назад
Dah! Huyu me hua namkubali sana ni mtu flan wa kipekee sana kwanza hajisikii hana malingo ni kipenzi cha watu na ndo zao la Marehemu linabaki kiasi😭😭😭😭 yuko poa sana
@user-le7uv3iw9j
@user-le7uv3iw9j Год назад
Hongera sana Askari huyo nashauri na wengine waige mfano wake Mimi Allen nyudike
@juniorberbilizjr921
@juniorberbilizjr921 2 года назад
❤❤ God bless him
@anastanziaaroisi8666
@anastanziaaroisi8666 Год назад
Safi nimeturia sana huyu turafk jembe anaipenda kazi take naanajali uutu sana nawengine wajinze
@nkolemuya9283
@nkolemuya9283 2 года назад
Huku kutesana tena karne hii ya technology Msiweke traffic lights kwa nini Hongera kwa kujitoa askari wetu ila afya yako ni muhimu pia ili ulitumikie taifa na familia yako kwa umri mrefu zaidi
@jemawiliam9075
@jemawiliam9075 2 года назад
Traffic light zipo ila maranyingi huwa ndio sababu ya jam ndio huenda askari kupunguza jam kwakuwa taa hazina upendeleo huluhusu kwa muda marumu
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Год назад
@@jemawiliam9075 kweli anasaidia unakuta taa zinaruhusu upande ambao magari hamna au machache, so anasaidia sana nimependa ubunifu sio kila saa stooop! Lete kadi lesenia mara bima mara fire extinguisher
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 Год назад
Huyu jamaa ktk kazi yake anapata faida nyingi sana 1)Mshahara 2)Umaarufu. 3)Mahusiano mazur na watu 4)Uchapakazi nzur kazini/kwa ofisi 5)Mazoezi. Yaan huyu haitaji gym hata akiondoka hapo basi kila kitu kipo sawa ktk mwili wake. Kwa kifupi yupo vzur sana ktk majukumu yake.
@zubedaally-5736
@zubedaally-5736 3 месяца назад
Napenda sana huyu Askari Kwa njinsi anavoongoza magari nawengine wajifunze kupitia yeye naamini anafanya KAZI anayoipenda na kuifurahia kutoka moyoni❤
@graciousdavid9818
@graciousdavid9818 2 года назад
He is amazing!! I like it.
@engmasanjamayenga5048
@engmasanjamayenga5048 2 года назад
Naipenda sana hawa ndo wanatakiwa
@abelikizitosawasawa635
@abelikizitosawasawa635 2 года назад
Vizur sana 👊👊👊
@rashidmohamed6792
@rashidmohamed6792 Год назад
Mwamba anauchapa mwingi
@janetmanyansa7385
@janetmanyansa7385 2 года назад
so encouraging,l like it
@elikanayese5076
@elikanayese5076 Год назад
Jamaa yuko pw
@user-pw9go3bj9j
@user-pw9go3bj9j 3 месяца назад
Mwenyezi mungu akulinde akupe maisha marefu, lkn pia uwe makini na vyombo barabarani maana break hua zinafeli wasije kukuumiza bure traffic wetu. Siku nikija TZ ntakutafuta
@mayalapaul320
@mayalapaul320 Год назад
Namkubari sana mwamba sio hivyo tu pia ni mcheshi nilimuona sehem nikamkubari sana mungu ampe maisha marefu
@rukiammanyi-qm9iz
@rukiammanyi-qm9iz Год назад
So proud of him 🫠
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 2 года назад
Mashaallah
@HappyHockey-dc7ju
@HappyHockey-dc7ju 2 дня назад
Kiukwer huyo asikari Yuko vizur sana by kassim adam
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Год назад
Kazi na burudani na Raha jipe mwenyewe. Hapa jua wala mvua itapita pembeni kumpisha afanye kazi yake. Vijana kuweni wabunifu vinginevyo mtabaki kulalamikia mishahara. Nina Imani huyu jamaa baada ya kazi huwa haitafuti jioni yake bali inamtafuta. Umeelewa! Ushauri ni kuwa asisahau kuanza na maombi ya ulinzi wa Mungu maana mashetani wenye wivu ni wengi wasimponde Bure.🙋🙋🤓🤓
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Mashaallah 💞
@swalehemshana4684
@swalehemshana4684 Год назад
Ukweli nimemkabal
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 2 года назад
❤😍❤
@fenethmsungu3363
@fenethmsungu3363 Год назад
Powa sana
@mahepajumanne
@mahepajumanne Год назад
Hongera sana kwa kazi nzuri mkubwa wangu traffic 🚦
@wakunyamba2853
@wakunyamba2853 4 месяца назад
Yupo vzr na anaipenda kazi yk na kazi ni burudani kwake. Mi kwa mtazamo wangu apewe nafasi awafundishe wale matrafic wanaosinzia barabarani km mateja
@MINJAANDEKIAMSUYA-ul4os
@MINJAANDEKIAMSUYA-ul4os 7 месяцев назад
Mimi pekee nimempenda sana. Na WMENYEZ MUNGU ambariki katika maisha yake na awe na mafanikio
Далее
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
HAJRA MWIZI WA PIKIPIKI (Ndaro na Steve mweusi)
11:21