Тёмный

Kutoka kuzungusha BIL. 2 kwenye BIASHARA yake, hadi MADENI ya Mil. 700 'Nilifikiria kujiua' - PART 2 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Kutoka kuzungusha BIL. 2 kwenye BIASHARA yake, hadi MADENI ya Mil. 700 'Nilifikiria kujiua' - PART 1
• Kutoka kuzungusha BIL....
Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 457   
@chancesholdan342
@chancesholdan342 Год назад
Hii interview imenipa Mtazamo tofaut sana kuhusu maisha. Kuvumilia, kufanya utafiti kabla sijafanya maamuzi, kusamehe na kutoamini mtu kirahisi
@tinomasangia5511
@tinomasangia5511 Год назад
Hii interview ingeweza kuoneshwa na kuuzwa kws big media ili watu wajifunze katisha sana. Big up Swai🔥🔥🔥
@frankjohachim5405
@frankjohachim5405 Год назад
Nimejifunza vitu vingi sana sana Kwa huyu bro asante sana bro sky Kwa hii interview yakibabe sisi wengine tumeptia vituvingi mabiashara yanaanguka na unaenda kuweka pesa kwenye kirimo unapigwa na mafriko unarudi mtaan una kitu unaanza na Moja now Tupo Asia tuna savaiv Mungu nimwema mzee.. One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
😳 Iraq mzee umeweza
@issansengiyumva5888
@issansengiyumva5888 Год назад
@@hajjiomary2383 mbona kawaida tu wa Africa tupo wengi
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Год назад
Kuna Moshe gani uko tuje
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 Год назад
@@hajjiomary2383 🤣🤣🤣 daaaaaaaaaaahhhh nakweli Mzee umeweza Baghdad Iraq wewe ni hatariii
@didakalaule7840
@didakalaule7840 Год назад
​@@issansengiyumva5888 Iraq mbona fresh tu tatizo watu waoga
@KheriKhamisiAlAbbasy
@KheriKhamisiAlAbbasy Год назад
Interview kama Hizi ndio zinazotakiwa kwa Sisi Vijana watafutaji Big Up Swai utafika mbali sana kwa Ujasiri ulionao
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 10 месяцев назад
Sio zile za kina dada ambao hawana maadili hata makaka nao wapo wanahojiwa adabu hawana.
@simonjunior7413
@simonjunior7413 Год назад
For the first time In life I just watched a whole hour interview session🔥🙌 Big up SNS
@ubaoni57
@ubaoni57 Год назад
Bro Fred maji au juice would be great 😃 watu wanakaukiwa sauti
@TheNdaki
@TheNdaki 10 месяцев назад
This is great approach,nadhani wadau wataiona nakuifanyia kazi ndomana tunaonaga maki katika mikutano au semina kumbee
@deusraphael2954
@deusraphael2954 Год назад
Achilia mbali huu mkasa, Huyu jamaa ni story teller mzuri sana
@efgeniamass278
@efgeniamass278 Год назад
Mi nimemuelewa lakin.
@adaking2786
@adaking2786 6 месяцев назад
For real..is a storyteller
@mwaulambo
@mwaulambo Год назад
Mafunzo ni mengi Sana kwenye hii interview Sky. Social media is very powerful in business, Kukata tamaa ni mwiko katika maisha
@dnx_Gr
@dnx_Gr Год назад
Bro amefungua siri nyingi sana kwenye biashara mwenye kusikia na asikia! Be blessed bro🙏🏿
@abdullahhamed2197
@abdullahhamed2197 Год назад
BIASHARA zote ni nzuri na zinalipa ukiwa unasimuliwa
@daniel_the_poet.
@daniel_the_poet. Год назад
Kabisa
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Ukweli usio pingika
@gebor28
@gebor28 Год назад
Kweli
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Год назад
😂😂😂
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 Год назад
Watu tunalia kweli umenena vyema
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Год назад
Uko sahihi Mr Swai; SNS is gonna be the future of the modern media in Tanzania 🇹🇿. Yaani naipenda style yao; just the best.
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
Dah Mwenyezi Mungu azidi kukupigania na usiamuache Mungu utamiliki zaidi na zaidi
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 Год назад
Mimi nilikimbiya pressure za deni moja tu nikaja south Africa nikafanikiwa kulipa big up sana kwa mama yangu kwa kunitia moyo
@beatricekemirembekiwanuka7768
Mimi mpaka Leo napambana 😪😪😪
@frankmwamahonje7770
@frankmwamahonje7770 Год назад
Dah madeni yasikie tu kwa watu 🥹
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 Год назад
Mungu amfanyie wepesi bro, kayapitia makubwa mno. Utasimama tena. Jina la kipindi- GREAT COME BACK.
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Год назад
Ndio raha ya kufanya biashara huku kichwani uko vizuri, huyu ni Mchumi, big up sana for sharing your ups and downs, a lot of lessons 👏🏽 👏🏽 👏🏽
@tranqyiltranqyil7822
@tranqyiltranqyil7822 Год назад
Japo sijaishi sana kwenye hii dunia ila moja ya point kubwa alioongea brother hapa ni "KITU CHOCHOTE KINACHOKUPA MATOKEO HASI(NEGATIVITY) ACHANA NACHO KABISA HATA KAMA NI NGUMU VIPI PAMBANA KIACHE KWA AJILI YA FAIDA YA NAFSI YAKO.Katika kila kona ya maisha hii nadhani inaokoa sana amani ya moyo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Kijana muwazi na mkweli..,hawa ndio wanaume sasa. Sky is not the limit young man.
@mercyjulian2493
@mercyjulian2493 Год назад
Best interview ever jamaa is very smart Mungu atamfanyia wepesi.
@DianaShayo-io1pz
@DianaShayo-io1pz Год назад
Yaani umenikumbusha kitu,niliporudisha furaha yangu nimeanza kuamka tena kidogokidogo,hongera Kaka umenigusa sana
@alexpeter5423
@alexpeter5423 Год назад
Best best ever interview ,Big lesson.
@geeva99
@geeva99 Год назад
Dah jamaa inaonekana anaroho nzuri sana, ila kapambana sana toka student to 2bil inazunguka 🙌🏾
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 Год назад
Walah namkubali sana magari mtaani kwa mara ya kwanza nimeangalia interview nzima amenobadilisha mindset kaongea facts sana
@liubenny8561
@liubenny8561 Год назад
My home boys nipo hapa South Africa nimeangalia hii video yani duh swai big up sana nipo kwenye changa moto nabiashara kama hii ya magari sema nimejisikia furaha sana kuona hii yani duh I'm so happy for this
@juliethswai4263
@juliethswai4263 Год назад
Kakangu Swai wewe ni fighter sana..hongera na pole na changamoto za biashara...kabla hujanunua na kuuza anza na Mungu
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 7 месяцев назад
Mungu pia kuna mda anakupa mtihan kukupima iman yako km ni wengne angeshajiua.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Best interview ever, sky mtafute na yule mr kuku kama atakua mkweli ana kupanda na kushuka sana yule jamaa
@Kasyetaderrick
@Kasyetaderrick 10 месяцев назад
I dont know why i missed this interview..One of the best real life expirience..Mengi sana nimejifunza..Shoutout for SNS..Mnafanya kazi nzuri sana aseee..Be blessed all
@jeremiahchriss9346
@jeremiahchriss9346 Год назад
Ukiacha mambo kadhaa yaliyomyumbisha mwamba, Huyo dogo aliegongesha gari anawakilisha chanzo cha anguko la wajasiriamali wengi, mara nyingi tunadondoshwa na watu tunaowajali, moyo huwa mzito kumweka kando mtu unaemthamini hata kama anakupa hasara. Tuendelee kupambana bila kusahau kuwawekea mipaka wafanyakazi wetu.
@rehemaelibariki9222
@rehemaelibariki9222 Год назад
Endelea kumtegemea Mwenyezi Mungu, Utasimama tena.
@ApipaTV
@ApipaTV Год назад
Hongera Bro Sky Kazi nzuri sana bro Unatufungulia Dunia, infos za tech kama crypto, habari, interview za kutu-energize You are really special
@stephanifesto7354
@stephanifesto7354 Год назад
Swai, you are a man and a half. Roho nzuri nayo inakufanya ubarikiwe zaidi
@hamesmido2975
@hamesmido2975 Год назад
You have such a good heart bro 💜 even the way you talk
@SamsonMkisi-k1z
@SamsonMkisi-k1z 10 месяцев назад
THIS IS ONE OF THE BEST INTERVIEW FOR YOUNG BUSINESS MEN HAVE TO LEARN.....PONGEZI SANA SWAI, MUNGU AKUBARIKI SANA NA ENDELEA KUMWAMINI MUNGU WETU.... STICK TO YOUR PRINCIPLES
@julianaboniphace7351
@julianaboniphace7351 8 месяцев назад
Pl
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 Год назад
Nimejifunza mengi sana Asante sana brother
@princemallya4085
@princemallya4085 Год назад
Interview bora ya mwaka
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 Год назад
Namshukuru Mungu yaan Nina kiubahir fulan,yaan mm tu kiwepes nikutumie ela yangu kirahs nikupe ela tufanye biashara
@deuskaganda7277
@deuskaganda7277 Год назад
Very educative interview. Always, turn a challenge into an opportunity.
@JofuJoel-wy7sc
@JofuJoel-wy7sc Год назад
swai wewe nimfano wa vijana wengi sana namimi nimepitia mengi magumu nabado napitia magumu japo kilamtu hanapitia magumu kufatana na kitu unachotafutia riziki mungu hakulinde sana
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Год назад
Alichokisema swai nikweli hauzagi gar za kishamba na za hovyo, nilikuwa namkubali sana kipind anaanza hiyo biashara ila ilibid nimkimbia kwa hasira maana nilikuwa kwenye kujtafuta alafu mm nilikuwa nahitaji tugar twa 4+, ila kiukweli ndo mana nmefatilia mahojiano yote sababu nikir swai nimemfaham ameanzia chini sana....tumejifunza meeeng sana kupitia hili sana sana hongera kwake, ELIMU ALIYOTOA NI YAKULIPIA ILA TUMEIPATA BURE. NA KUNA KIPANDE AMEONGEA NAKICHUKUA NAKIPOST STATUS NIKIKUBWA SANA NA NNAJUA WATU WANGU WATAKISAMBAZA SANA, KIPO DAKIKA YA 38, kuhusu wanaokupga vita,
@samuelsolomonmaji
@samuelsolomonmaji Год назад
SNS Huwa mnanikosha sana, keep it up the good content
@francissilayo.3457
@francissilayo.3457 Год назад
Much respect bro it's really a touching life story Zaidi nimefurahishwa na moyo wako wa kusamehe hasa huyo mlinzi kidogo chozi linitoke kwa jinsi ulivyomsamehe
@christinembeye5489
@christinembeye5489 Год назад
Well said Young Guy. Ukiwa nacho na Kusaidia Wengine wenye Uhitaji inampendeza Mungu. Stay Blessed.
@beatricealexander8094
@beatricealexander8094 Год назад
Asante kwa hii interview imenitia moyo sana namshukuru Mungu nimeanza kuwalipa wateja wangu.
@shau78
@shau78 Год назад
kila mfanyabiashara anapaswa kuangalia hii interview. God bless you Sky. God bless you Swai. Swai you are a giant na huna kiburi. watu wengi hawako tayari kufichua walipofeli ili wengine wajifunze. kuna watu wajinga watakudharau kwa sababu ya kufunguka hivi. umesema siri zako kama sadaka. Mungu akubariki. kama wewe umeweza na mie naweza
@adeliphinusgabone7431
@adeliphinusgabone7431 Год назад
Safi sana,nimependa zaidi alipoona waganga na washilikina wasingemtoa kwenye changamoto zake za kibiashara safi sana.
@barickprogrammer
@barickprogrammer Год назад
Kitu kikubwa sana bro sky unafanya, pia swai ni mtu kazi kweli, kiukweli madeni yanaua jumla, SnS ni dude kubwa, nilichokipenda unaruhusu hata kutaja watu au company bila hiyana✅✅✅✅🤛🤛🤛 nimepata kitu kikubwa leo🙏🙏🙏🙏
@gloriagosbert2236
@gloriagosbert2236 Год назад
Interview ipo very educative…. Muhoji na Mr Kuku tafadhali
@godfreymwanache668
@godfreymwanache668 Год назад
Mfano mzuri sana brother, we shoul stand up and accept the chellenges
@allyayoub5060
@allyayoub5060 Год назад
Kazi nzuri mno. Big up sana crew ya sns na Mr. Swai Life is all about learning. Tuendelee kujifunza
@GiftAbduly
@GiftAbduly 7 месяцев назад
Nmeangalia hii interview wallah ww kaka unajiamin sna kitu ambacho weng wanashindwa hongera sna Allah akunyanyue tna pole kwa changamoto za Dunia........
@ChristopherYamawasa-tn1kv
@ChristopherYamawasa-tn1kv Год назад
The best interview ever Asante sana Sky
@bryanmussa2508
@bryanmussa2508 Год назад
Much respect my brother sky interview Fulani ivi ya kibabe inajenga na kuelimisha, by the way kipindi hiki tukiite HARAKATI ZANGU ambacho kitakua kinagusa wajasiriamali wote wakubwa na wadogo ili tuweze kujifunza kutoka kwao yaani movement zao mwanzo mwisho
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Год назад
Huyu ni tajiri mkubwa sana...ila aombe sana Mungu nakukata roho za hasara,nuksi mikosi na mabala Yesu amuinue zaid
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Kusamehe kwako kaka ALLAH atakuinua zaidi ya ulivyokuwa una roho nzuri bro
@mariamkanyata6328
@mariamkanyata6328 Год назад
Great story
@gsmartcreation5655
@gsmartcreation5655 Год назад
Psychology na body language vinaweza kusema mtu akiwa anaongea ukweli na hata anapo danyanya. Nice interview, jamaa ni mpambanaji ila kuna namba ukifikisha huwezi ongea kama unaziota. Watu wenye pesa hawasemi , na wakisema unaweza usiwaelewe.
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Smart
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 Год назад
Point yako kwamb jamaa muongo
@niccoelias3889
@niccoelias3889 Год назад
Big up for this interview
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Год назад
Swai nimesikiliza story yako mwanangu, nakupongeza kwa kumsamehe huyo mzee mlinzi na kijana, Mungu anasema samehe na wewe umesamehe.Mungu akuinue.
@RATELFX
@RATELFX Год назад
"A story behind every hustlers" jina la kipindi muhite hivyp
@danielarapmoi3041
@danielarapmoi3041 Год назад
nimependa sana kuskiza changa moto za bishara ili nijifunze SNS KAZI NZURI SANAA 🙏🙏🙏 tuletee wengi ili tujifunze sisi wenye nia kufanya biashara
@salhaabdulrahman6323
@salhaabdulrahman6323 Год назад
One of the best interview 🙌
@watundumaonlinetv8373
@watundumaonlinetv8373 Год назад
I got some points.jamaa ameongea vzurii Sanaa💪🏿💪🏿
@denisndaki167
@denisndaki167 Год назад
Big up sana Swai very inspiring
@meryglory2012
@meryglory2012 Год назад
Asante Sana Kaka swai Mungu azidi kukupigania.
@mercypeter162
@mercypeter162 Год назад
Stori nzuri sana inafanana Na mapito yangu kabisaaaa. MUNGU mwema sana tusikate tamaaa nimejifunza kitu kikubwa
@beatricekemirembekiwanuka7768
Kweli ndugu yangu
@khamisomary7428
@khamisomary7428 Год назад
My best interview in this channel 🙏
@hashdede
@hashdede Год назад
You have a big heart bro, congratulations
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Год назад
Hii cession mpya nzuri na ina mafunzo mengi. kuteleza sio kuanguka, na kukosea sio kifo, kupitia makosa unaweza kujifunza.
@judithawadhi3510
@judithawadhi3510 Год назад
Big up sana Swai.Hongera kwa kupambana na mapito.Aisee umenielemisha sana
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Год назад
Asant broh kwa kutupa somo sisi tulio huku chini tunajitafta
@winepreneur7329
@winepreneur7329 Год назад
Hizi ndio motivation sasa...
@ngendaeliot
@ngendaeliot 10 месяцев назад
THIS IS NOT JUST AN INTERVIEW, RATHER LIFE EXPERIENCE AND PRACTICAL BUSINESS EDUCATION IN REALITY. I'M WRITING THIS COMMENT TODAY 26/11/2023 SO THAT WHEN GOT LIKED OR REPLIED I'LL BE REMINDED ON UPS AND DOWNS IN THIS LIFE. MAY GOD BLESS BOTH OF YOU. 💙
@mugoliciroyi5088
@mugoliciroyi5088 Год назад
Mungu wangu ame ni jibu ku pitiya iyi interview na Furaha Ndio kila kitu ❤na nda pambana tu hadi mwisho,changamoto ni rafiki ya mafanyikio,big up kwa SKy na Asante sana kwako mupambanaji kwa ku ni tiya moyo na ku nipa nguvu
@OliabuMjuni
@OliabuMjuni Год назад
👍
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Год назад
Hii interview imenigusa Sana nlidhan nipo pekeyangu biashara unatakiwa upambane Sana na ukubali changamoto na majina mengi utaitwa ila muhimu kumuomba mungu tu uchawi hauwezi kushinda nguvu ya mungu.. Muhimu kuomba kupata wateja sahihi bas maana wengine huwa Sio wateja.. Wanakuja kwa lengo la kukutia katika matatizo..
@vincentnkana4921
@vincentnkana4921 Год назад
Best interview inafundisha sana
@yusufsuleiman7886
@yusufsuleiman7886 9 месяцев назад
Kweli inanipa ujasiri kutokukata tamaa , shukran brother kwa lesson nzuri yako yamaisha
@saidaachi8178
@saidaachi8178 Год назад
Katika maisha yangu nafeli mara nyingi kwa kuamini watu
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Mim pia imenikuta sana hiyo lakini nashangaa kwanini Huwa narudia kufanya haya makosa????
@NusrahBizimana-ry6iq
@NusrahBizimana-ry6iq Год назад
Interview nzuri sana Allah atakuraisishia usijali Bro
@simonseyongwe
@simonseyongwe Год назад
Namkubali sana mwamba MAGARI mtaani anajua sana
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Год назад
I can see the next Tanzanian billionaire.. big up bro.. ntakuja kununua gari kwako
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 Год назад
Pole Sana Kaka binadam hatujui kuna kuanguka nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwako
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 10 месяцев назад
Chunya sio simple kama wengi wanavyodhani Walapesa yake si nyepesi kama mnavosimuliana UKWELI ni chunya pesa mingi watu wako nazo si zakawaida ukijidanganya we umejichanga vpesa zako miaka kadhaaa udanganywe ukaanze biashara ya madini chunya umekwisha Kwa nza utapokelewa na matapeli pili hakuna la maaana utafanya CHUNYA IS MY HOME KIBAONI
@Boaz22
@Boaz22 Год назад
Mwamba uliniuzia rav4 kill time 2018, nadhani unanikumbuka, mbuya hapa, nakukubali sana,umenyooka
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 Год назад
Wa kwanza Mimi nimeguswa mungu akubariki kaka huyu ni mfanyabiashara kweli najua ulikua namengi ya kutueleza ni vile muda haukutosha ila mungu akubariki umepanda Mbeya njema mungu atakulipa mema
@nackieamerald7134
@nackieamerald7134 Год назад
Mungu akubariki kaka, you have a good heart ❤️
@generosennko8343
@generosennko8343 7 месяцев назад
Safi sana. You have a right attitude towards life and business. Posperity is yours. Thanks alot. You have inspred me. Am not gona give up too.
@rashidathumani2250
@rashidathumani2250 Год назад
Shukrani sana kwa kipindi
@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 Год назад
Mmetisha sana sana wakuu!! Sky na Jose mmeua, hii interview ni kiboko sana.. nitaisikiliza wiki nzima. Part 1 nimeisikiliza mara 5 hadi sasa
@dulla9195
@dulla9195 Год назад
This is true life story
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
Nimefarijika kwa hii interview
@kanisiuschumacannireal-zg2ee
This is masterpieces
@fthbiasharaservices
@fthbiasharaservices Год назад
Ni kweli “Usi Depends on a single income”. Lakini, angalizo unatakiwa kabla hujawewekeza Katika biahara nyingine. Ni usifanye Uwekezaji kwenye Biashara ambayo huna uelewa nayo.
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Good interview ever big heart
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Год назад
Pamoja na mazuri yote uliyotushirikisha nimependa na nimebarikiwa ile kwanza inaonyesha unahofu ya Mungu, ile kwanza kujikubali yaani kuikubali ile hali unayopitia ,umesema utoaji wa zaka na sadaka umeikataa furaha ya pombe na lolote linalokunyima furaha hii itoshe kwamba ni ishara ya kuwa na hofu ya Mungu barikiwa san sna
@andrewexlusive8063
@andrewexlusive8063 Год назад
Kaka ninayo yapitia nikama yako na pia nipo mwishoni kuyamaliza kama wewe ilifikia changamoto nikazizoea nikawa naziona zakawaida lakini wakati huo napambana nazo madeni yamejaa mtaji umeyumba lakini Mungu nashkuru ananipambania kila hatua coz ilifika pahali mbele nikawa naona gizi sijui kesho itakuwaje lakini mpaka sasa naimani nitavukatu hongera sasa kaka pia Asante.
@nicodemusbura7669
@nicodemusbura7669 Год назад
Pole bro.
@mucci_AI
@mucci_AI Год назад
Mm nina maden ya design hii mamb ya advance sio poa aisee sema hii mara ya pili sina stress nafanya kazi nalipa kidogo kidgo maana wateja hawNa huruma kabisa
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 Год назад
Brother SKY Mungu akubariki
@musason1680
@musason1680 Год назад
Jamaa nimekubali sana yuko real kabisa
@ediuskatamugora4052
@ediuskatamugora4052 Год назад
Nimelia kwenye kuangalia hii interview 😭😭😭
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Год назад
Good heart,keep on going swai
@RafaShabani
@RafaShabani 7 месяцев назад
Daaah Asante sana swai.! najiona ni mimi kabisaa, mapito uliyo yapitia hata mimi nimepitia yani nimeanza upya kabisa. Nilikuwa na Duka Kubwa zuri sana la nguo ila nimeanguka mno sasaiv nipo oman najikusanya upya. Kikubwa ni mwiko kukata tamaa🙏
@VickEdson-z1d
@VickEdson-z1d 5 месяцев назад
Hizi stor nzuri zinatufunza maisha safi sana kaka nimejifunza kitu
Далее
@ItsMamix учу делать сигму😎
00:12
Просмотров 663 тыс.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 2
23:20
Просмотров 166 тыс.