Тёмный

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Mwaka 2018 ndo nilimfahamu Oscar baada ya kukutana nae kwenye kituo changu cha kazi ya kutangaza mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika jijini Johannesburg nchini Afrika ya Kusini. Alikua mmoja ya watu ambao walinikaribisha vizuri sana kwenye team na kwa wakati huo yeye ndo alikua anaishikilia rekodi ya kuwa ndo mtangazaji mdogo zaidi kwenye team ya watangazaji nami nikaja kama Binti PEKEE ambaye ambaye alikua anatangaza mpira wa miguu kwa lugha ya Kiswahili. Combination yetu ilikua nzuri sana na kwa kipindi hiko ambacho kilikua cha mwezi mmoja tulielewana na ku bond vizuri sana.
Oscar anapenda raha, anapenda kucheka na kuishi vizuri, anapenda ukweli na kubwa zaidi ni Rafiki mzuri sana. Pengine la zaidi ambalo nna uhakika Mama yake mzazi kule Kaliuwa anajuvunia sana ni la usomi, ni mwanafunzi mzuri ambaye anapenda kujiendeleza, sasa anamalizia Masters yake kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alishawahi kuwa Mwalimu kipindi cha nyumba kwenye maisha yake na kwa mawazo yangu ya haraka hii ndo ambayo inamfanya awe ni mmoja kati ya wachambuzi makini kabisa ambao nchi hii inayo, nguvu yake ni kuhakikisha pale kwenye ukweli unasemwa hata kama itakua kwa njia ya mas’hara, ila atausema!
Aliamua kuwa Baba na hili ni kwa mujibu wake baada ya kunikatalia katakata kwamba mtoto wake wa kwanza alikua ni wa ‘bahati mbaya’ kama ambavyo baadhi ya wazazi husema, Oscar anasem alikua anajua nini anafanya na Mama wa mtoto yule so kusema alikuja kwa bahati mbaya ni kama kumkosea mtoto yule ambaye alikuja kipindi ambacho Oscar alikua bado hajajiweka vizuri kwenye maisha yake na zaidi kwenye masuala ya kazi, na pia ananikumbusha jinsi alivyokua anajiona anajua saana na kama vile watu waliokua wanampa nafasi kipindi kile kama vile walikua hawanuelewi kabisa.
Anaamini kwenye kujifunza kila kukicha ili kupanua wigo wa uerevu na kwake yeye Elimu ndo ufunguo wa maisha toka siku ya kwanza.
Kama Baba wa watoto wawili ambao kwa kiasi kikubwa amekua hapo kwaajili ya vijana wake, Oscar anaamini kwenye kuwa pale kwaajili yao, kuwapa kile ambacho yeye hakukipata kutoka kwa Mzee wake wakati anakua, kuwa pale kwaajili ya watu wa familia yake na zaidi Mama yake ambaye kwa mujibu wa Oscar Mama ndo nguzo yake. Binafsi nayajua mengi ambayo amayafanya Kijijini kwao Kaliuwa kwaajili ya familia yake na hata ambao hawamhusu.
Humu mimi na Rafiki YANGU tulijadili mambo mbalimbali ya ki maisha na familia, kazi na muskabali wa biashara ya mpira kwenye NCHI yetu na dunia kwa ujumla, pia tuliongelea umuhimu wa familia na kupata mtoto ukiwa na umri mdogo, suala la ajira na hustle wakati tunakua nalo hatukulicha nyuma. Yangu matumainj nawe uta enjoy pia.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

27 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@mohammedhalfan
@mohammedhalfan Год назад
This is my favourite online session at this digital platform....I like it.....big up Ace jay
@josephk90
@josephk90 Год назад
Dah! Kumbe Oscar msomi🖖 Ila Salama video zinachelewa sana.
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Год назад
Kila mtu ni mhimu,katka maisha na wote tunategemeana.maisha ni kama engine au ni system kila kifaa ndani au nje ya engine kinamanufaa.
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes Год назад
Tujuane baada ya Oscar kuja WASAFI 💪💪💪💯💯💯💯💯✔
@tattoz4677
@tattoz4677 Год назад
Nice, look different madam Salama, we appreciate your work One of the best show to ma life
@theophilromward4996
@theophilromward4996 Год назад
I see! This Oscar is very intelligent! Hii ongea yake ni ha level ya juu mno.
@patrickmukundichalamila3038
Uongeaji wake unamfanya awe makini sana
@leonardcharles3169
@leonardcharles3169 Год назад
kiukweli juu ya suala la ualimu Oscar ameongea vyema sana, Mimi pia nimemaliza degree ya ualimu pale udsm, baada ya miaka 2 ya kazi ya ualimu kwa kuzingatia aina ya malengo niliyonayo kwenye maisha, niliacha kazi na kurudi chuoni kusomea fani nyingine ambapo nilimaliza degree ya uchumi na kupata ajira kama mchumi. kiukweli mafanikio niliyoyapata ndani ya miaka 6 ya ajira kama mchumi, mwalimu anaweza kuyafikia kwa miaka 65 ya utumishi wake
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Год назад
Mafanikio yetu sisi waalimu tukibahatika ni kusomesha ndugu,watoto,hao wakisoma fani Kama hiyo yako na wanakuwa na mafanikio
@mastermind5729
@mastermind5729 Год назад
@@hadijamandanje6189 🤔
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Год назад
Ukweli 100% mm mwenyewe naona kabisa sitoboi.
@jamessanga7120
@jamessanga7120 Год назад
inategemeana unazungumzia nini, mshahara au pesa! unaweza ukawa na mshahara mdogo ila ukawa na pesa nyingi watu wana mawe ya kutosha unaweza dhani una hela kumbe kwa waalimu wengine ni za kawaida sana!
@simonmdemu
@simonmdemu Год назад
Mkuu
@husseinmajid2390
@husseinmajid2390 Год назад
Salama amemuuliza very simple technically kuhusu UHARAKA kwa namna alivyojifunza na tunaomsikiliza,sasa alivyojibu Oscar mbona mlolongo na kajibu vitu tofauti. He was answer to reply.
@tanziluhizza8214
@tanziluhizza8214 Год назад
Tuko pamoja salama na Mzee wa kaliuwa
@angansiaswai4520
@angansiaswai4520 Год назад
@Salama appreciate
@damiankimaro9665
@damiankimaro9665 Год назад
Salama na oscar oscar💪💪💪💪
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 Год назад
Acha ualimu uwe KAZI💪💪💪
@mombamo5
@mombamo5 Год назад
Daaaaah huyu jamaa apindishag maneno, ni mkwel all the time
@mussamoshi3205
@mussamoshi3205 Год назад
Namkubali sana mwamba
@egnokapinga16
@egnokapinga16 Год назад
Daa.! Oscar ana uthubutu😅✊🙌
@musagiriba7155
@musagiriba7155 9 месяцев назад
Salama noma sana
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Год назад
OSCAR THE BIG BRAIN ✊
@kelvinedward5091
@kelvinedward5091 Год назад
Kwa hyo wote tusiwe walimu.. Nyie matajiri watoto wenu watafundshwa na nani
@stevennyondo2215
@stevennyondo2215 Год назад
Ualimu ulikuwa wito zaman saiz ni kazi.
@Bongovlogs
@Bongovlogs Год назад
Salama leo kakutana na mtu anaongea kama cherehani 😂😂
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Mzee wa Kaliuwa on fire
@alexmoses1430
@alexmoses1430 Год назад
Salama mtafute Jesse John ufanye naye interview
@chidydullah1714
@chidydullah1714 Год назад
Mzee wa kaliuwa
@hamida_educationist7224
@hamida_educationist7224 Год назад
Amejibu vizuri kwenye swali la ualimu. Serious note education kama professional haijazingatiwa...
@hashemsaef1516
@hashemsaef1516 Год назад
Salama hata mwalim hawezi kuwa mwalim kabla haja fundishwa
@adriafurahamatemu6080
@adriafurahamatemu6080 Год назад
💯💯💯💯💯💯
@Limonga_jr
@Limonga_jr Год назад
First
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj 3 месяца назад
Mzee wa kaliuwa😂😂
@bulahlushali6081
@bulahlushali6081 Год назад
Kazi yeyote ya kutegemea mshahara haiwezi kukutoa kimaisha,,, fanya Cha ziada nje ya mshahara.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 Год назад
Kwhy Mimi stoboi😭
@mwinyijumamtoo4011
@mwinyijumamtoo4011 Год назад
Kwani walimu siwanafanyiwa assessment ndio interview yake kinachopaswa kufatwa ni apate ajira prvte ndio wafanyiwe interview
@mrishomkolela4633
@mrishomkolela4633 Год назад
NASUBIL INTERVIEW NA MPOKI
@Ganzo077
@Ganzo077 Год назад
Second
@Gtunewaves
@Gtunewaves Год назад
A BOY FROM KALIUA
@georgekweyamba5569
@georgekweyamba5569 Год назад
Good
@jeanettemukagatare824
@jeanettemukagatare824 Год назад
Well done miss Jabir Keep it up
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 Год назад
Unapenda Mazoezi?? Njoo jifunze kupitia Mazoezi rahisi ukiwa nyumbani bila kwenda gym subscribe pia
@emanuelkiwanuka578
@emanuelkiwanuka578 Год назад
Episode ya zuchu ilishushwa Nini aionekani Tena y??
@CoachHafidh
@CoachHafidh Год назад
Hata mi najiuliza
@catenzeki678
@catenzeki678 Год назад
mm pia nmeitafuta saaana
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 Год назад
Kwani Salama unaolewa lini tuje Ubwabwa nawewe?
@fredrickswai2566
@fredrickswai2566 Год назад
Kwenye TBC kuna kakipande hapo kamekatwa afu story ikachange. If u know u know
@CoachHafidh
@CoachHafidh Год назад
Nisanue mzee
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Год назад
Vuta sn sigara huyu jmaa
@fra_nyuki
@fra_nyuki Год назад
7th
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 Год назад
Aalafu wataitoa 😂😂😂😂
@maryshirima1234
@maryshirima1234 Год назад
Majibu zaidi ya kilichoulizwa...😥
@tinnobobu3404
@tinnobobu3404 Год назад
Ivi nin maana ya #likitokaliote
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Jua likitoka liote
@emmanuelerasto8137
@emmanuelerasto8137 Год назад
Huyu jamaa bwana muache2 ana akili sana
@juliamlonda7991
@juliamlonda7991 Год назад
akili nyingi sana.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Kwanini nyingine amuwek RU-vid
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 488 тыс.
Приятного аппетита 🤣
0:15
Просмотров 6 млн