Тёмный
No video :(

KWA MARA YA KWANZA MKE WA BILIONEA MSUYA NA REVOCATUS WAFUNGUKA BAADA KUKAA GEREZANI MIAKA NANE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@desderylasway9810
@desderylasway9810 6 месяцев назад
Mama mungu amekutetea usimuache Yesu uendelee kumtukuza
@jhood9653
@jhood9653 6 месяцев назад
Revocatus niliemuacha gerezan mwaka 2018 alikuwa ni Gentleman na mara nyingi alikuwa ananifundisha sheria na kweli nilishinda kes nikatoka gerezani nimeumia sana kumuona akiwa na hali hii😢
@Chimamy5242
@Chimamy5242 6 месяцев назад
Duuh maana anangeu kila mahali itakuwa ni vipigo au nini et
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j 2 дня назад
Marehemu siku zote hana haki,ila hawa ndio wauwaji bila kupepesa macho
@happyemanuel2070
@happyemanuel2070 6 месяцев назад
Jamani kesi huenda kwwli ama si kweli ila yupo Mungu msemaji wa mwisho
@wanyalugendo4776
@wanyalugendo4776 6 месяцев назад
Mungu yu mwema Revocatus Mungu akupunye
@african_channel
@african_channel 6 месяцев назад
Da Dunia tunapita Revo sijui amepatwa na Nini aisee ,Ila Mungu Ni mwema
@jhood9653
@jhood9653 6 месяцев назад
@@african_channel alikuwaga mwalimu wangu kule gerezani alinifundisha jinsi ya kuhoji mahakamani na nilifanya ivo miez 5 na nusu gerezani hatimae nikaachiwa huru na huwa namkumbuka sana revocutus nimeumia sana kumuona hali hii leo hawezi kuongea vzr na akiwa na afya dhaifu😭
@florayoram9563
@florayoram9563 6 месяцев назад
Damu ya aneth kama wametoka kwa nguvu ya pesa wajiandae na shooo ya Mungu tatizo damu ya aneth
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 6 месяцев назад
Umenena vema ndugu apandacho mtu ndicho avunacho
@helsonjonathan
@helsonjonathan 6 месяцев назад
Kwa iyo hukuridhika unao ushahidi waliua?
@dominiquemushy895
@dominiquemushy895 6 месяцев назад
Mama kama unalia ukweli sawa lakini kama damu ya Annet ipo juu yako Mungu atachelewa
@dominiquemushy895
@dominiquemushy895 6 месяцев назад
Kweli kama mama haujausika shangilia lakini kama unalia kiini macho ww jiandae tuu kwa bakora ya Mungu na damu ya anneti haitakuacha salama, kama umemua kwa ajili ya Mali hzo Mali hautazila
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 6 месяцев назад
Miriam usimwache Mwenye Enzi Mungu aliye kufanyia makuu Ubarikiwe sana my friend nenda kalee watoto wako sasa. Continue to be blessed!
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 месяцев назад
Hakuna cha mwenye enzi katumia pesa za erasto kumuua anate na hizo hizo kahongea kutoka jela uzuri wewe ni best ako tumpe mda kama Mungu kalala atatoboa ila kama Mungu yu hai time will tell
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 6 месяцев назад
Nime kupa like ili kwa sababu mimi nami ni binadamu na tuko kwenye dunia mmoja tusichukiane maana kila kitu na wakati wake chini ya Jua sasa hivi ni kuwaombea amani hii familia ili wakae na umoja wa kupendana na baraka za Mwenye Enzi Mungu ziwashukie wote. Remain blessed@@PrinceHendry-hp8vv
@mohddelo
@mohddelo 6 месяцев назад
Ukweli anaujua mungu
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 6 месяцев назад
Kama kweli mlilmuuwa yule dada damu haiendi bure nawaambia nanyi mtaondoka kwa upanga hapa hapa duniani kikweli wanasheria moto unawasubiri
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 6 месяцев назад
Hapo umesema na mimi nakubaliana na wewe kama kweli amemuua kale kadada kazuri Aneth ,basi tumwachie MWEMYE ENZI MUNGU atende lakini sio sisi ,kazi yetu sisi ni kuomba amani katika familia hizi mbili wapatane na wapate baraka tele ili na sisi tubarikiwe na tupate baraka tele! Remain blessed
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 месяцев назад
Nyie ambao hamjui hili tukio nyamazeni huyu mwanamke katumia hela za kaka wa marehemu kununua haki ila dam ya anate itakua juu yake kama kaini
@rachelkaymax547
@rachelkaymax547 6 месяцев назад
usiseme kitu usichojua...usihukumu
@moHamedHassan-qy7pm
@moHamedHassan-qy7pm 18 дней назад
Hii kesi imeifatilia maelezo ya huyo mama ndiyo yaliyo mtoa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 18 дней назад
@@moHamedHassan-qy7pm sio maelezo ni pesa ndo imemtoa maelezo ni zuga ili ichezeshwe kisheria ushahidi ulikua wazi kama anga lilivyo ila pesa pesa pesa pesa
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j 2 дня назад
Siku zote marehemu hana haki,ila hawa ndio wauwaji bila kupepesa macho
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 дня назад
@@rachelkaymax547 wewe ndo ujui
@alexvenas2699
@alexvenas2699 6 месяцев назад
sijakielewa kilio Cha kinafiki Cha huyu dada aise😢 kama hawakuhusika kweli poleni sana kwa kukaa gerezani kwa miaka nane, lakini kama mulihusika damu ya huyo dada haitawaacha salama lazima iwatafune nyinyi na vizazi vyenu.
@goodlucktarimo6170
@goodlucktarimo6170 6 месяцев назад
Hawakuusika Acha umbea
@edson2450
@edson2450 6 месяцев назад
Alikiri mwenyewe kua Aliua Lakini, Sababu ya Muda wanaona watu wamesahau.
@jacquilinekimaro2717
@jacquilinekimaro2717 6 месяцев назад
Kwanini useme kilio cha kinafiki na huna uhakika kama aliua au la?!
@user-tp1kd8nj1s
@user-tp1kd8nj1s 5 месяцев назад
Huyu mama simfahamu hata hii familia si ijui laminitis huyu mama hajahusika kabisa. Wifi zake na mamamkwe walimsingizia wakatengeneza na mashahidi wa uongo.Na polisi wa huko AR walimtishia na kumtesa huyu mama akakiri kuuwa ili wasimuuwe.
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Месяц назад
Huyu si halikili mwenyewe
@user-wb9gy2xx3p
@user-wb9gy2xx3p 6 месяцев назад
Hii kesi inafunzo aliyeshinda anamshukuru Mungu na aliyeshindwa anamuachia mungu aamue hukumu ya kweli
@TheBibleCodes973
@TheBibleCodes973 6 месяцев назад
Mhubiri 9:12 [12]Maana mwanadamu naye hajui wakati wake; kama samaki wanaokamatwa katika nyavu mbaya, na mfano wa ndege wanaonaswa mtegoni, kadhalika wanadamu hunaswa katika wakati mbaya, unapowaangukia kwa ghafula. For man also knoweth not his time: as the fishes that are taken in an evil net, and as the birds that are caught in the snare; so are the sons of men snared in an evil time, when it falleth suddenly upon them.
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 месяцев назад
Kuwa tajiri shida,kuwa maskini shida.Mungu tulinde viumbe vyako upendavyo wewe.
@mwanaiddi9660
@mwanaiddi9660 6 месяцев назад
Pole mama walikuonea ila mungu atawalipizia
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 6 месяцев назад
Gerezani kubaya jamani huyu kaka alikuwaa pande la mtu mungu msaidie arudi kwenye afya yake pole kaka
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 6 месяцев назад
Afe kabisa
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 6 месяцев назад
Walishakaa gerezani miaka 8 kwahiyo hata wakitoka ni sawa maana ni kama walishatumikia kifungo.
@neemareuben311
@neemareuben311 6 месяцев назад
Huyu baba anaumwaaaa haswaaaaa yani aiseee 😢😢😢😢mmmmh
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 6 месяцев назад
Walimuua Anetty gizani lakini Mungu wa mbinguni atawaumbua hasharani! Damu itkitafuna kizazi hicho millennium na milele! Mungu sio mnafiki!😢😢😢
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 6 месяцев назад
Anaye ua Kwa upanga atakufa kwa upanga kama kama kwer ni Yesu tunamtukuza lkn kama unalitumia Jna lke kama kivur basi ipo cku Kila kitu kitaanikwa juu batini
@user-qw3yi6hy6d
@user-qw3yi6hy6d 6 месяцев назад
Baba wa watu anatoka na changamoto zakiafya maskini,,,huenda hata alikua framed
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 6 месяцев назад
Pole sana Revocus kaka
@zuwenahussain6973
@zuwenahussain6973 6 месяцев назад
Nimeona machozi feki ya uyu mwanamke,
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 6 месяцев назад
Me to
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 6 месяцев назад
Fekiiiiii
@user-rm9wn7xx6e
@user-rm9wn7xx6e 6 месяцев назад
😂😂😂😂wizi mtupu hakua hata na mawazo kanenepa
@mickeyraymond8007
@mickeyraymond8007 Месяц назад
Hata kilio chake sio Cha mtu aliyesingiziwa ni kilio Cha mtu aliyehonga
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 6 месяцев назад
Revocut anaumwa nn huy ten atakuf tu 😂😂
@wanyalugendo4776
@wanyalugendo4776 6 месяцев назад
Mungu amponye
@jacquilinekimaro2717
@jacquilinekimaro2717 6 месяцев назад
Daaahhhh
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j 2 дня назад
Killer
@MohamedMkota
@MohamedMkota 6 месяцев назад
Mm nachoona hp km kwel ameua tumuachie mungu lkn km ujaua ndg pole sn
@neemamghamba
@neemamghamba 6 месяцев назад
Kama walimuua kweli basi malipo kayapata mapema uyo revo
@user-jl6uj4lf6q
@user-jl6uj4lf6q 6 месяцев назад
Marehemu kushinda kesi Huwa ni ngumu sana,hasa Kwa sisi ngozi nyeusi,lakini Mungu atawaonyesha ukuu wake.unashukuru kinafiki Mungu gani huyo anayekubali kuua kiumbe chake alichokiumba?😂😂😂
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 6 месяцев назад
Kumbuka Mungu anasamehe
@salhakyande3905
@salhakyande3905 6 месяцев назад
Ok
@albedinamiya7683
@albedinamiya7683 6 месяцев назад
Ungomvi wa mali jee hiyo mali siku ya mwisho atenda nayo kama waliuwa huyo dada tumuachie mungu ndiye hakim wa mwisho lakini kama hawajafanya hilo tukio pia tu.uachie mungu wa mbinguni.
@lawfencemkanyia7808
@lawfencemkanyia7808 6 месяцев назад
Ngoja niwe na soma coment tu mm
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 6 месяцев назад
Ungemtaja Yesu toka awali, yote hayo yasingetokea. Shetani alikudanganya kiasi kikubwa sana. Sijui utajikosha na sabuni gani usafishike.
@user-jl6uj4lf6q
@user-jl6uj4lf6q 6 месяцев назад
Dunia hii hata hao waliotoa hii hukumu nafsi zao wanajua kabisa kuwa huyo Binti mrembo Mali za kaka yake ziliondoa uhai wake,nawe wakili hata kama umelipwa mamilioni unatapa Raha gani kushuhudia ukweli unapotoshwa.mungu nyoosha mkono wako watu wajue kuwa wewe upo na utaendelea kuwepo.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 месяцев назад
Wacha tu ndugu yangu 😢
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 месяцев назад
Acha watu wachezee Dunia lkn mpango wa Mungu upo vile vile
@rehemamangara6795
@rehemamangara6795 4 месяца назад
Kama walimuua binti wa watu hukumu yao wataiona
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 6 месяцев назад
Mahaka za TANZANIA azieleweki tena. Watu waovu na matukio yako wazi kila itwapo Leo Wana kuwa huru ilihali walisha umixa watu wengine!
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 6 месяцев назад
Pesa ndugu yang tafta pesa kwanza uache kulalamika
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 6 месяцев назад
Unalalamika wap Sasa Ili usikike ndio katoka mfate Hakim amrudishe jela
@TheBibleCodes973
@TheBibleCodes973 6 месяцев назад
Ngoja zamu yako ikifika utatafuta na ww hizo Mahakama za Tanzania.
@barikimoshi4443
@barikimoshi4443 6 месяцев назад
Wew jamaa mpuuz nin, unamhoji mgonjwa vitu gani sasa😡
@user-gc2bk4rq9k
@user-gc2bk4rq9k 6 месяцев назад
Apandacho mtu ndicho atakachovuna...Damu ya nduguyo yakulilia mlangoni...
@noekenny3771
@noekenny3771 6 месяцев назад
Jamani Revo ame badilika sana.
@FidesMassawe
@FidesMassawe 6 месяцев назад
Mnoo yani....kila nikiangalia hii clip siamini kama ni yeye
@mamapeace6730
@mamapeace6730 4 месяца назад
Pore dada ya dunia
@joycemushi8492
@joycemushi8492 6 месяцев назад
Njoo kaka angu watoto wako wapo salama kabisq
@PrayGodJackson-fq2yz
@PrayGodJackson-fq2yz 6 месяцев назад
Kwake ni wapi jamaniii kaka wa watu mpaka kapatwa na maradhi 😔😔😔
@wanyalugendo4776
@wanyalugendo4776 6 месяцев назад
Amina Mungu aponye ampe afya njema
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 месяцев назад
Atalipa dam ya anate yeye na kizaz chake cha kwanza mpk channe
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 6 месяцев назад
Mama mnafki huyu eti mtukufu nibaba muuwaji mkubwa ww
@CatherineMvanga-oz8bd
@CatherineMvanga-oz8bd 6 месяцев назад
Unahuakika usiombe kilicho mpata huyu mama kikupate ukweli najua Mungu pekee usihukumu
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 6 месяцев назад
@@CatherineMvanga-oz8bd kelele mbwa we unataka kumbeba mtu kwani sie wendawazim kwenda zako uko
@CatherineMvanga-oz8bd
@CatherineMvanga-oz8bd 6 месяцев назад
@@mrsmumewangu4907 inawezekana niwedawazimu kweli Mungu atawafuraisha na hiyo familia ni jicho La Mungu niliamini hiyo story na kujua kweli huyo mama ameua, ila ndoto niliyo pewa juzi nimeamini hakuwa naatia Hivi kwa akili ya kawaida amue Wii kwa lipi na na maelezo ya msichana wa kazi ukiwa na akili utajua kabisa alipikwa ili amframe huyo mama kumbuka Mungu ni Mungu wa Jane na yatima na alie muokoa huyo mama ni Mungu wewe inaonesha umelishwa sumu bila kuomba Mungu akufunguwe macho ujue ukweli pole Mungu akusamehe na ukweli simjui huyo mama ila mlitengenezea chuki mbaya ambayo Mungu ataipanguwa na kuweka ukweli wazi
@marymanoni5536
@marymanoni5536 6 месяцев назад
Ugomvi wa mali huu jamani
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 6 месяцев назад
Sana nimemuelewa hapo wifi mtu alippsema wanapaka nyumba rangi. Yaani hawa itakuwa walimpoteza muuaji pale walipomface mjane ndio muuaji
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 6 месяцев назад
@@user-vy2bc6xg3i akil zao fupi 😂😂😂 wao wenyew walikuwa wanawaz hel za billionea her kufa masikin tu kam ndo hiv
@idrisalubwaza3028
@idrisalubwaza3028 6 месяцев назад
HAKI INA NUNURIWA HIVIHIVI TUMEFUATIRIA KESI MTUHUMIWA KINGAMBONI ARIENDA KUFANYA NINI NAMAHAKAMA YA MWANZO YEYE MWENYEWE ARIKIRI KUWA WIFI WAKE ARIKUWA ANA MFUATFATA MM NAONA HATA MUME KUNATATIZO TUNAONEWA
@issacalley5145
@issacalley5145 6 месяцев назад
We acha tu
Далее
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 516 тыс.