Тёмный

Nini Chanzo cha VITA Visivyoisha Nchini CONGO? Huu ndio UKWELI Unaouma! 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #congo #drc
Leo hii nimeichimba kwa undani Congo na kiini cha machafuko yanayoikumba nchi hiyo tangu karne ya 18 hadi leo hii. Fuatilia kuanzia mwanzo hadi mwishi makala haya na usiache kusubscribe na kushare na wengine.
__________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

18 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Kama umefurahia video hii hakikisha una Subscribe, like pamoja na kushare❤
@marykavwanga8033
@marykavwanga8033 3 месяца назад
Inatakiwa wapate kiongozi asiye penda russha na ane wapenda wananch wake Yan kiongozi shupavu na mwadilifu
@WasongaOdhul
@WasongaOdhul 3 месяца назад
​@@marykavwanga8033😊
@MechackMurhamya
@MechackMurhamya 3 месяца назад
Sisi wakongomani tuna teswa sana Na kumumaliza mugoro huu si raisin kwakuwa wazugu ndio wanatupiganisha kupitia mali tulio nayo inatiya Rwanda kwakutu maliza
@MechackMurhamya
@MechackMurhamya 3 месяца назад
Na ingine tulipokea wa nyarwanda kwa upendo wao wanatugeukia kuwa mwuiba ndani ya kongo Ila sie wakongomani hatuya wayi kupiganisha nchi jirani zetu
@JosephKigamba
@JosephKigamba 2 месяца назад
Africa lazima tujikombowe kimawazo na tuwache ubinsfsi kwa viongozi wetu, hakuna siku tutapata uhuru kama tutazidi kuabudu wabepari ambao hufuja risilimali kwenda kujenga inchi zao, mwafrika tuzinduke kwa lindi la usingizi na tuwache ukabila na tupendane, Africa unite.
@bboyamos
@bboyamos 3 месяца назад
I CRYING FOR MY AFRICA 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@tariquexplore
@tariquexplore 3 месяца назад
Sio congo hata Mozambique 🇲🇿 mm nipo hapa watu wanakufa kukicha , ukweli ni sisi africa sio dunia ! Ni nchi hali halisi maafrica sisi ni fisi na viongozi wetu
@henryking6070
@henryking6070 3 месяца назад
Shida ya Mozambique na DRC ni RWANDA hiyo hiyo moja
@suzanne9517
@suzanne9517 2 месяца назад
Mungu saidia nchi ya Congo
@Feeltyre
@Feeltyre 3 месяца назад
wazo ni kuondoa mzizi wa fitina hizo mali za ardhini [rasiliamali] waziuze wagawane waache tamaa dunia mapito ndipo amani itarejea❤❤
@KalutaMsafiri
@KalutaMsafiri 3 месяца назад
Shukurani kwa taswira Yako. Ila ipo siku isiyokawia kufika, mkongomani atajikomboa mikononi mwa mkoloni Na vibaraka wake wakiwamo wakongo wenyewe Na huyo muaji. Kagame atakayeishi milele kama anavyo fikiri. Sisi tutashinda Na wanafki wakwisha.
@bboyamos
@bboyamos 3 месяца назад
GOD PROTECT DRC OF CONGO I LOVE CONGO GOD PROTECT ALL CITIZENS OF CONGO DAYS AND NIGHTS 😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤I LOVE CONGO
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 3 месяца назад
Chapa wahutu wanasapotiwa na congo Kwa sababu wanafanana
@juvenaryburchard719
@juvenaryburchard719 3 месяца назад
Je ni kweri ni waafrica wanapigana au kuna watu nyuma yao.Hizo siraha wanazotumia waasi,zinatengenezwa nchi gani.je zinapita nchi gani kuwafikia uko msituni.Mchakato wa kutoka siraha zinako tengenezwa hadi kufika kwa walaji waasi msituni Congo bila nchi majirani Tanzania,Rwanda,Burundi na Uganda bila kujua. Nafkiri kuna watu wakubwa sana wenye mabavu nyuma ya haya makundi. Hadi hawa ndugu wakipata akiri,wakajua kuwa wao ni ndugu na Waafrica ,wakakubari kuweka siraha chini na kujenga Africa moja.
@ephraimgreen1471
@ephraimgreen1471 3 месяца назад
Waafrika tujitambue tuache kushabikia Hawa weupe badala ya kupambania bara letu na nchi zetu leo tumeacha kupiga kelele kwa ajili ya congo tunaipigia kelele Ukraine acheni unafki
@juvenaryburchard719
@juvenaryburchard719 3 месяца назад
Nashangaa wanaopigana na waafrica kwa Waafrica.Kwanini hawa watu wasikubari Sela ya Mwalimu Nyerere ya Africa ni moja.Ni sis wote ni ndugu.Ndugu wanapigana na kuuana,huku wakiwakumbatia watoto wa nje ya Africa,wanajiibia kirahisi racilimali za wacongo.Sioni kama viongozi wote wa africa wakiamua kwa nia moja ya kumaliza hii vita ,watashindwa.
@ChimolasiniourMagawa
@ChimolasiniourMagawa 3 месяца назад
Hakika mungu iposiku atachoka nahao mashoga weupe. Wao ndio chanzo cha ndugu zetu kufa nakuishi katika mateso makubwa
@issahhussein1922
@issahhussein1922 3 месяца назад
Kazi nzuri brother keep it up
@ExauceKitkey
@ExauceKitkey 3 месяца назад
Congo tuna ujinga sana tuna mjua adui lakini hatuwezi kukiunga kikosi cha majimaji ili tumu vamie adui ambae ni taifa ndogo.
@paulnashanda
@paulnashanda 3 месяца назад
Tatizo mkubwa ni ubinafsi wa viongozi wa Africa.
@jumamjomba9167
@jumamjomba9167 3 месяца назад
Hakuna mtu au nchi yoyote inayoweza kukomboa Congo kama si wacongo wenyewe
@WilliamSosiende
@WilliamSosiende 3 месяца назад
Nivizuli RAisi wa congo chukuwa wanainci wenge waingee jishini kila province I wenajeshi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 месяца назад
Wazungu ndio chanzo cha haya yote,ikumbukwe congo iliwekwa kuwa "free state"wazungu hawawezi saidia vita kumaliza congo,bali vita congo itamalizwa na waafrica endapo tutaamua kuisaidia congo,bila hivyo vita itazidi kuwepo maana kuna mataifa mengi yanafaidika na vita hiyo,kwa kuuza silaha na kuondoka na mali za congo
@user-rk4yh4yy7w
@user-rk4yh4yy7w 3 месяца назад
Kwa namna gani tutaweza kusaindia kama dhamila zinatofautiana?
@GhanaKapenda
@GhanaKapenda 3 месяца назад
Iyo bendera niya congo brazzaville,ya kwetu ni 🇨🇩 Drc tafazali
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Pole sana na samahani kwa mkanganyiko huo. Wahariri picha wetu walichanganya kidogo na haitojitokeza katika video nyingine. Asante kwa kufuatilia na kiła la kheri!
@mbombokiala-uk8bh
@mbombokiala-uk8bh 3 месяца назад
Out kagame
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
👊✌🙏.
@user-ci4en6ej3r
@user-ci4en6ej3r 3 месяца назад
Wanyarwanda wata juta ipo siku
@bunyalagesp9121
@bunyalagesp9121 3 месяца назад
Rasili mali ilio kongo inachangiwa na wazungu kwa kuzia eneo la madini hakuna akna vita heb chunguza kimakini na inchi zisizo na madin
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
🫶🏼🫶🏼🫶🏼
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 месяца назад
Marecan wanafik wao ndio wanafadhir makundi yote mawil wanaipa serekal siraha na waasi wanapewa siraha waendelee kupambana wao wanavuna rasilimal za congo
@Welcomegee
@Welcomegee 3 месяца назад
Nimatatiza papa atujiwi tu mu lilie nani👁️👃👁️🇨🇩
@mjbrother2023
@mjbrother2023 3 месяца назад
Licha ya Vita kuhehendelea Ila mwisho wa vita ivi utakuja na avitafanya miaka miwili.
@user-df5mj2ft4w
@user-df5mj2ft4w 3 месяца назад
Ila wakongo wanavo tuzalau wakija tz km kwao Kuna Bata kila kona
@JeanKanyefishi
@JeanKanyefishi Месяц назад
Kuwa na inchi tajiri bila amani nikama kukuwa na mwanamuke murembo bila akili iyi mali ipewe wanainchi iishe nimojaya njiya za amani congo
@Bmsecret
@Bmsecret 3 месяца назад
Congo wanaumwana wao kwa wao so wao wenyewe ndio wanatakiwa kujituliza
@bunyalagesp9121
@bunyalagesp9121 3 месяца назад
Akuna kitu unajuwa wwe
@user-xh6fz2tu9d
@user-xh6fz2tu9d 3 месяца назад
Ukweli kuhusu serikali ya Congo wahasi waliopo Congo ni makundi ya viongozi wa serikali ya Congo ili wafanye ufosadi wa madini ya dhahabu na halimasi hivi vita havita kwisha kwa sababu ya viongozi kujawa tamaa
@ernestmasanja4641
@ernestmasanja4641 3 месяца назад
Rais wa DRC ayakusamye makundi yote ya waasi ambayo ni zaidi ya 100 wakae na kuondoa tofauti zao.wawe kitu kimija na dhamira moja.halaf waamuru raia wote walioko mashariki mwa DRC wahamie upande mwingine ambako M 23 hawapo.na wawape msaada wa namna ya kuhama.maana nyengine wawawezeshe kuhama kama wamasai wa ngorongoro tz.baada ya hapo mapambano yaanze wakitumia silaha nzito,ndege za kivita n.k. mabomu toka angan yamwagike kama mvua.huku jeshi litamde kwenye mipaka ya rwanda na uganda.upande wa kusini,magharibi na kaskazini pia.pasiwepo pa kutorokea
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 3 месяца назад
Rais wa drc ni mvivu wa kufanya maamzi hakuna rais pale
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k 3 месяца назад
I love africa lakini hawapendani
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад
Mtihani mkubwa sisi wa Africa tamaa ya madaraka ..Congo ni nchi tajiri mno sema nchi za magharibi zinatoa rushwa kwa viongozi wetu ambaye sio wazalendo ndio maana tunapata tabu ..
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Umeungea ukweli ndugu yangu rushwa imetupoza wa congomani
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 месяца назад
@@Neemaa098-yf9os ndio hivyo ndugu maana Africa tuna kila kitu lakini viongozi wenye tamaa ndio tatizo kubwa kwetu..Mfano hai Madini yanayoteneza betri ya simu au vifaa vingi ya simu na computer yapo Congo Lkn hamna faida yanaibiwa watu wanateseka bila chakula maisha mabovu ardhi nzuri kila kitu kipo lkn mabebari ndio yanafaidi bila kuungana Africa hatuwezi kuendelea lazima tuache utumwa...Africa ndio tunatakiwa tuwasaidie hao wanyonyaji sio wao watusaidie lkn uongozi rushwa kubwa ni mtihani mkubwa..Tuombe mungu atusaidie kama walivyofanya kule Niger,Mali,Burkina na Chad kufukuza wote mabepari waonaoiba mali zetu tutafika mbali
@ashahania5207
@ashahania5207 3 месяца назад
Mhhhh! Ndio Afrika yetu safari. Yetu ya ukombozi bado hii ndefu sana.
@samwelkulwa
@samwelkulwa 3 месяца назад
Nakuelewa xana
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Asante sana
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 2 месяца назад
Tunapiganishwa wwnyewe kwa wenyewe kwajili ya njaa ndio tunazid kumizana
@user-ci4en6ej3r
@user-ci4en6ej3r 3 месяца назад
Joseph si mu congomani Rwanda ime muingiza tu,
@shukurukaheja8605
@shukurukaheja8605 3 месяца назад
Kina mwanzo lazima kiwe na mwisho
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 3 месяца назад
Hawa watusi kiboko yao ni wahutu ndio maana kagame kila akilala anawaota FDLR😂😂
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 3 месяца назад
Bila Rwanda kufanya hivyo interahamwe watakuja kutusumbua
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 3 месяца назад
Kushait or hemetic Kwa vita ni hatari
@enockmukiza3622
@enockmukiza3622 3 месяца назад
Uko mwongo si kasereka ambae aliuwa kabila wongo
@KaserekaHenock
@KaserekaHenock 3 месяца назад
Canzocavitayacongonikagametukonaimaniiposikuhayayoyatapitamunguyupoanatazamaanacokifanyakagamenawatuwakewazungu
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Kagame Ana Ninians ya kupiganisha Congo nduguyangu?kagams amesapotiwa na wazungu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 месяца назад
Mali inawatafuna imekuwa laana
@KaserekaHenock
@KaserekaHenock 3 месяца назад
Huyojosefukabilasiyemucongonimunyarwanda
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 месяца назад
Wazungu ndo chanzo,Africa hiezi pata amani ingawapo Wazungu wapo hai
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Mbona nchi zingine zina amani na maendeleo na wazungu wapo?
@miltonsggtltd8934
@miltonsggtltd8934 3 месяца назад
Mimi naona hiyo vita congo kin achoweza kusaidia kuisha kwavita congo inchi igawanywe marambili ziwe inchi mbili miminafikiri ndio inaweza kusaidia kumaliza vita
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 3 месяца назад
Sio kweli, mnapenda starehe wakongoman,,mnashindwa na kabila moja ? Watusi ?
@henryking6070
@henryking6070 3 месяца назад
Mmbwa msenge wewe unafikiri wacongo sisi maboya wajanja sana sisi paka wewe Kagawe kuma la mama yako una sound like Rwandese
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Niko pamoja na were nchi igawanywe ni viruri
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Hakuna Friday ya kumwaga damu kilasiku
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 3 месяца назад
Wacha Rwanda wawafagire interahamwe chapa hayo interahamwe
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 2 месяца назад
Intera Hammersmith ni watu kama were inappropriate wezekana hamza ndugu yako ila nakupa pole ndugu yangu
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w 3 месяца назад
Serikali ya congo iko dhaifu kwa kusimamia mambo ya ndani ya nchi. Kama ni swala la mali asili mbona Tanzania 🇹🇿 tunazo za kutosha lakin amani ipo ,serikali iko makini sani
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 3 месяца назад
kaka mwalimu Nyerere aliacha watu ,Mobutu aliacha wajinga tatizo yote ni Mobutu hakujenga watu
@GhanaKapenda
@GhanaKapenda 3 месяца назад
Mali zenu ni ndogo sana,3/100,za congo ni 84/100,ya mazao duniani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
User nchi yao hawakuipata kwa amani ilikuwa kwa mitutu ndiyo maana jwenye bendera yao kuna alama nyekundu sisi ni wa amani na Marais wote wanaoingia humo ndiyo wansochangia kwa uroho wa utajiri
@MenzaSuleiman
@MenzaSuleiman 3 месяца назад
Congo ni tajiri usilinganishe na ufukara wa tz
@tumwesigyejackson9421
@tumwesigyejackson9421 3 месяца назад
Please get understand in resources, Congo is much far richer compared ta Tanzania.
@emmanuelamonique7308
@emmanuelamonique7308 3 месяца назад
Tatizo kubwa la congo Kwanza serekali inayo chamsha ubaguzi wa kikabila kati ya raiya wake Kisha mahusiyano makubwa kati yaserikali na waasi wa fdlr ambao wameuwa ma milioni inchini Rwanda Kisha kunahitajika serekali kamilifu congo na siyo wizi na wapenda rushwa ikiwezekana congo ingaligawanyika sababu hata ukubwa wake nitatizo vilevile
@JosephBilombelejosbimtungwa
@JosephBilombelejosbimtungwa 3 месяца назад
We boya ongea unachojua sio unachosikia Inchi moja afrika isio na na hali ya ubaguzi wa kikabila ni DRC Ukabila ungeikabili kongo ingekua imeshagawanyika mapema sana ndicho wazungu wanachotafuta kitokee pale congo Kumbuka kongo kuna kabila 255 Na wanakumbatiana kuikabili laana ya mbegu za utusi linalotumiwa na wazungu kuichafua inchi ili waendelee kuiba rasilimali za inchi hiyo
@NgaboJeanvier-iw4yu
@NgaboJeanvier-iw4yu 3 месяца назад
hiyo ndi uwongo mtupu yaani kagame na museveni wameunda kundi laa watutsi na lengo yawo ni kujenga imaya ya kitutsi afrika mashariki yote maana yake vitu hii ni ndefu zaidi kwa mfano wanataka uganda-rwanda-congo-burundi-na kigoma tz viwe zehemu za imaya yawo ya kitutsi vingine mnasikia ni uwongo sasa wa tutsi katika utawala wao wana mpango gani ni wauaji uporaji unyanyasaji zidhi ya ukabira inchii yeyote inatawaliwa na watutsi kunakuwa migogoro ya hapa na pale hata Rwanda ya kagame amejitawala lakini kurejesha amani kumeshindikana kabisa anaua sana sana watu kabila ya wahutu zaidi mamilioni 2 ya wahutu wameuwawa bila hatiya nahatimae zaidi 2milioni wametawanyika inchii za jerani ahadi sasa.
@henryking6070
@henryking6070 3 месяца назад
Wewe ni mmbwa aujuwi kitu
@henryking6070
@henryking6070 3 месяца назад
​@@JosephBilombelejosbimtungwaTuna Kabila 450 baba siyo 255
@JoyPetitrich
@JoyPetitrich 3 месяца назад
Inabidi Umoja wa Afrika umuekee vikwazo Rais wa Rwanda na serekali yake na azabu yakufo itumike kwakila musaliti yeyote wa inch na Rais ainuwe Maisha yawanajeshe
@uwimanaissa8755
@uwimanaissa8755 3 месяца назад
Uki panda mahindi uta vuna mahindi . Selikali ya Congo imefukuza sehemu ya wanainchi yake ya kaskazini ambae ni wa Tutsi . Hao wa Tutsi ndio wa me shika silaha ili warudi kwao . Kwa hivo Selikali ya Congo ipande juu ishuke chini kama hai wape haki yao Wa Tutsi isahau amani mpaka kiama.
@JamesErnest-qg5pz
@JamesErnest-qg5pz 3 месяца назад
Hivi wakiweka jeuka awo waznzungu vipi tunauwana wenyewe
@KaserekaHenock
@KaserekaHenock 3 месяца назад
Canzocavitayacongonikagametukonaimaniiposikuhayayoyatapitamunguyupoanatazamaanacokifanyakagamenawatuwakewazungu
Далее
Сколько метров чернил в ручке?
16:35
Swahiba Alivyomuua Shujaa wa Afrika THOMAS SANKARA
19:32