Тёмный

Mwanzo Mwisho Historia ya HUSHPUPPI Tapeli na Tajiri Aliyeitikisa MAREKANI/ Hiki Ndicho KILIMPONZA 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Story ya Leo inavuka boda hadi katika taifa la Nigeria ambapo kijana kutoka katika familia ya kimasikini Ramon Abbas anaingia kwenye ulimwengu wa utapeli mtandaoni na kujipatia mamilioni ya dola lakini shauku yake ya kuonyesha utajiri alionao mtandaoni ndio inayomponza.
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

6 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 4 месяца назад
Mzimu wake umemwingia chif godlove
@user-id1gz3ng3k
@user-id1gz3ng3k 4 месяца назад
Ni mwizi waakili sana hamwagi damu
@mondigugo4392
@mondigugo4392 4 месяца назад
Makn Sana Ila huyu mwana nakubali Sana na nahamin atatoka tu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 месяца назад
Yote maisha lakini kila ujanja una mwisho mzuri au mbaya ndio maisha!
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 4 месяца назад
Umechambua vzuri sana kaka...Safi sana
@user-qy6kt5bb2w
@user-qy6kt5bb2w 4 месяца назад
Vip tena
@JeremiahYohana-br2bd
@JeremiahYohana-br2bd 2 месяца назад
Hizo nipropa ganda alizotengenezewa ili kuangusha nguvu ya muafrika. Mwenye akiri anaelewa.
@maticsleokas1785
@maticsleokas1785 4 месяца назад
naona naonaa mzeee noma saanaaa
@patriciachege2572
@patriciachege2572 4 месяца назад
Huyo dio mwanaume I say❤
@gilbertmateshi
@gilbertmateshi 4 месяца назад
Ounaone kanamsski i😢
@patriciachege2572
@patriciachege2572 4 месяца назад
How I wish I knew him😞
@mustafampande173
@mustafampande173 4 месяца назад
katika watu waliomuelezea huyu mwamba,wewe umejua kumuelezea yaani mtu unamalza bila swali loloteee,umetisha kwenye hili mzee 🙌🙌
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
shukran sana brother. Usiache kusubscribe na kushare kwa makala nyingine kama Hizi
@SaidMweta
@SaidMweta 4 месяца назад
Tuambie vijana kufanya kazi kwa haki,ndio utajiri unao dumu.
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 4 месяца назад
Achana nae huyo, hayo yalipita. Na adhabu alishapewa. (Bora haukuwa utapeli wa kumwaga damu ya Yesu😂😂😂)
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
🤣🤣
@dismaskombe5092
@dismaskombe5092 4 месяца назад
🎉🎉🎉
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 2 месяца назад
Mwanaume wa kazi
@alimzee
@alimzee 4 месяца назад
😢😢😢
@user-zr1mk3xd2x
@user-zr1mk3xd2x 4 месяца назад
Na mim natamani xn kuwa level za uyo Jamaa ili cku moja niyanyooshe mafisadi ya TZ yanayoiba pesa zetu na rasilimali za watanzania...mmammaaeeee!!
@amanimollel6196
@amanimollel6196 3 месяца назад
Atari kweli
@user-id1gz3ng3k
@user-id1gz3ng3k 4 месяца назад
Mungu amlaani
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 4 месяца назад
Amsameee
@kayblousmpeta-xe7zo
@kayblousmpeta-xe7zo 3 месяца назад
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 4 месяца назад
He is very intelligent!
@myself4128
@myself4128 4 месяца назад
he is actually the opposite! Very stupid u dont have a proper source of income or legit business yet ur living a flamboyant life style flashing online very dumb
@shamuleiza7212
@shamuleiza7212 4 месяца назад
Nime pata funzo kwa hili 🙏
@donvanpierre4369
@donvanpierre4369 4 месяца назад
nimejifunza kuwa zile siku 40 za mwizi ziaweza kufika mda wowote pia tushike amri za mungu
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 3 месяца назад
Huo mchongo hata mm ulinikut ila Sasa hawakuniweza......mungu alinijalia nikaluka
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂mwaka jana kidogo nipigwe nakitu kizito😂😂😂😂😂😂 dah wanajuwa sana yani wanakuonesha vitu vya thamani yama biliyoni nawewe unaingia kichwa kichwa😂😂😂😂😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 месяца назад
👊👍✌️.
@georgekatunzi5860
@georgekatunzi5860 3 месяца назад
Nimependa san Ulivoelezea Wewe Ni Mkalii sana
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Shukran sana. Usisahau kusubscribe kwa makala kama hizi
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we 4 месяца назад
Yote maisha tu
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 26 дней назад
Waswahili wasema siku za mwizi ni arobain inaeza ikawa siku 40 au miezi 40 au miaka 40 lakini zitafika tu naomba tutafute pesa za halali kwa jasho letu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 месяца назад
Uhalifu upo na wenye pesa za kunjunga hawajulikani kama JK bongo
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 4 месяца назад
Aliuza nafsi yake kwa shetani mwisho ni majuto na kilio
@salehalmamry5765
@salehalmamry5765 4 месяца назад
Daima Mali ya dhuluma inamwisho wake
@benjaminesekon8074
@benjaminesekon8074 4 месяца назад
Don't show off after success.
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
100%! Thanks for watching. Please subscribe and share for more content
@luganosimon4111
@luganosimon4111 4 месяца назад
Huyo peponi anaweza kwenda kuliko kwa kuwa pesa tumezikuta na hakuna tone la damu inemwagika.Wala rushwa na wanafiki ndio viumbe hatari sana kuliko Chui poring.Ni wangapi wanaagiza dawa feki na kuua watu wasio na hatia? Ni heri anayeweka sumu kwenye kikombe maana ataua mmoja kuliko anayeweka Simu kwenye chanzo cha maji ama tenki
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 4 месяца назад
Angerudi nyumbani tu yasingemkuta
@AbubacarCade
@AbubacarCade 3 месяца назад
NAtamani Kia kama uyu jMa
@osoromageta3381
@osoromageta3381 4 месяца назад
Na bado aliweza kutapeli bilioni 95 akiwa hapo jela
@davidfredrick7946
@davidfredrick7946 3 месяца назад
Katumia akili sana kwenye utapeli wake..sema kilicho mualibia ni anasa nyingi na anajua michongo yake si halali
@yusuphraphael3422
@yusuphraphael3422 3 месяца назад
Imeandikwa wanaume tutakula kwa jasho so tusichague kazi huyu ni mwamba kabisa katuwakilisha vyema wanaume .
@user-qi7eo7dz7t
@user-qi7eo7dz7t 3 месяца назад
Hawa wamizigo sim, laptop wapo kwengi tuwe makini to
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
Mnona hii ni ya siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Imepitwa na wakati. 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-nv3uu6kw6v
@user-nv3uu6kw6v 4 месяца назад
Natamani ningekuwa ni miongoni mwa hao wanafunzi 12
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 3 месяца назад
Hata mimi
@annievibes8794
@annievibes8794 4 месяца назад
Huyo Raymond alishanipata mimi kipindi cha miaka 10 nyuma wakati naishi Norway ana maneno matamu sana ya kulaghai mimi nilikuwa naongea naye mpaka kwenye cm na alifanikiwa kunitapeli dolla 1500 tena ilikuwa pesa yangu ya rent mbwa huyo afe tuu jela 😢😢ila mara ya pili alijaribu tena hapo ndiyo nilimshtukia tukamchezea deal mie rafiki yangu nilimtumia western union invoice ya uongo alipanick huyo na hapo ndiyo akaacha kuwasiliana na mimi😢
@TeamKRX
@TeamKRX 4 месяца назад
Pole unaishi wapi sasa sisi bado tupo
@annievibes8794
@annievibes8794 4 месяца назад
@@TeamKRX mie nimehama Norway last year mwezi wa 11
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 месяца назад
Aseee polee mi pita Alisha nitapeli Bora wewe
@JoshuaLutindi
@JoshuaLutindi 3 месяца назад
Yupo vyema hajaua cha mjinga huliwa na mwelevu
@cimpleweston6327
@cimpleweston6327 4 месяца назад
Usiache kujalibu jiamini una weza fanya bidii ondoa majigambo icho ndicho nilicho jifunza jamaa alifeli kidogo tu alipaswa awe na uwekezaji ambao ungekuwa kama kimvuli chake cha kujifichia
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Kabisa kabisa. Alifeli hapo tu. Anyway. Shuktan kwa kufuatilia na usiache kusubscribe
@MariamHamad-lr3xc
@MariamHamad-lr3xc 4 месяца назад
Inatoa funzo dhalim hadumu akidumu hudumuka yaani hupata tabu
@user-cy5ck8lh4j
@user-cy5ck8lh4j 4 месяца назад
mimi yalinikuta kuna msichana yy picha yake aliyonitumiya ni pilot nayupo ktk ndege alinidandaya yy anataka kunitumi alap moving camera vitu kibao njzawadi akanitumia picha ya xada yake yupo uholand ni sister nimtumie dalla 1000 ilianitumiye ndipo nilipo mtukana 2 zawadi gani mtualipiye kwanza hizo doll national benk
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Asante kwa kfuatilia na kwa ku share kisa chako. Hongera kwa kua hukutapeliwa. Usiache kusubscribe na kushare video hii ili uendelee kuwa karibu na channel hii❤
@user-qy6kt5bb2w
@user-qy6kt5bb2w 4 месяца назад
Mimi ni wa kwaza na wa pili
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Hongera na asante sana kwa kufuatilia. Usiache kusubscribe kwa makala nyingine kama Hizi
@samito001
@samito001 4 месяца назад
Maskini akipata mataco hulia bwata😂
@ezramnyilinga3735
@ezramnyilinga3735 4 месяца назад
Tuko pamoja tokea pwani bagamoyo mapinga
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Asante sana kwa kufuatilia. Usisahau kusubscribe na kushare na wengine.🥰
@user-qk9cz9si8m
@user-qk9cz9si8m 4 месяца назад
Mwamba uyu apa😂
@user-gv8pf6if9m
@user-gv8pf6if9m 4 месяца назад
Miakaa 11 sio mingi kama jamaa bado ana knowledge kichwani
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Kabisa. Ahsante kwa kufuatilia, usiache pia kusubscribe na kushare
@luckymwakitalu-ob3ds
@luckymwakitalu-ob3ds 3 месяца назад
Nmejifunza kitu jamaa alifeli kitu kidogo sana akil alikuwa nayo lkn alishindwa kuweka biashara ya kivuli so stupid...😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 месяца назад
Mimi niliambiwa nitume 150€ nitapata 50000€ 😂😂😂😂EEeeee
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
😁😁😁 pole sana. Kama hukutuma Hongera
@philemon-mz2fv
@philemon-mz2fv 4 месяца назад
Nimejfunza kutafuta pesa kwa njia yoyote ili kutmza ndoto
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 месяца назад
Hawa ndo wanaume wanao jielewa mwanamme tafuta pesa kwa njia yeyote bhana heshima ya kidume pesa
@usher_bambi9413
@usher_bambi9413 4 месяца назад
😂😂😂😂Ilinitokeaga 2017 ilikuwa mzigo umekwama Kenya nilitakiwa nilipew dollars 300
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Hatari kweli kweli. Ulilipa ama uliweza kimbia mtego?
@usher_bambi9413
@usher_bambi9413 4 месяца назад
@@charleskombe ilibakia kidunchu tu Maan Kuna cousin angu ana mke Kenya kwaiy aliwapigia smu wamuelekeze mkew akafate huko ofisn afu hela pia atawalipa huko wakaturamba block😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bila hvyo ningelia vibaya sana
@alexchamy2289
@alexchamy2289 4 месяца назад
Bado yule jamaa anayeita wengine maskini mbwa taka taka. Huenda ndiye mmiliki wa kundi la hiyo pesa tuma kwenye namba hii.
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 4 месяца назад
Si bora ameponda raha za dunia ameish maisha mazuri hata akifa hakuna raha hajaonjaaa
@johasaeed391
@johasaeed391 4 месяца назад
Sasa kifungo cha miaaka 11 sijuwi mbona anakaribia kumaliza😅😅😅😅
@jenniferkalinga736
@jenniferkalinga736 3 месяца назад
Miaka michache sana hiyo atatumikia kifungo chake.atarudi tena sema atakuwa amenifunza.
@Rkdigtech
@Rkdigtech 4 месяца назад
🎉🎉
Далее
Что нового в 11.2?
58:32
Просмотров 68 тыс.
If the President wants you dead || James Khwatenge
18:32