Asante sana Joyce. Kwa fursa za Canada, subscribe kwa channels za Joyce ru-vid.com/show-UC_Px-SuCUz3oc4S4wYv88Fw nyingine ru-vid.com/show-UCPy5p9_boEuOqmghFkwIAxg na ru-vid.com/show-UC-aXFT8of9rPzXj5yGOeByA
Kaka Mungu akubariki Sana Mimi ni mama mwenye mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,Yann natamani mwanangu ck moja akae tuu huko nchi za mbali,hasa wakianza kuwavaamia albino na kuwaua moyo wangu huwa unaumia sanaaa,na Imani iko ck Mungu atasikia kilio changu,mtoto akienda shule huna Amani akichelewa tu kurudi kidogo huna Amani kaka ni mateso makubwa Sana kwa mzazi ck zote huna amani.
Mungu akiamua kukubariki atakubariki popote pale, watu wengi wanaishi maisha ya amani na furaha nyumbani afrika kuliko wanaoishi Ulaya na Marekani, ughaibuni stress ni nyingi, Kuna maisha baada ya pesa, kufanya kazi na kupata pesa haimaanishi maisha mazuri please, mambo ya kusema nyumbani Hakuna kitu mnakosea, napenda kukufwatilia sana EBM, but stop underestimate our continent and our countries, Hakuna sehemu Nzuri na tamu ya kuishi kama Nyumbani , hivyo Msiwadanganye watu eti Nyumbani Hakuna Kitu please.
Kweli kabisa umenena zunguka kote ila maisha mazuri ni kupambana ukiwa nyumban maana kama ni mafanikio Mungu humpa yeyote kwa wakati ufaao na mahali popote
Joyce and EBM you do not reply requests on how one may succeed in coming for studies. Kindly help. I am a Tanzanian and I would like son to study there in electrical career. I am ready to pay for the fees.
Imagine naitwa Joyce Nyevu and I want come to Canada as a International student and I want to work there forever and I live there forever.And I wanna be a Doctor when I come there.I really really love Canada🇨🇦🇨🇦😘😘so much.May God bless you Joyce K and Ebm.Thank u for informing me🙏🙏🥰💜
woooo nimekua nikitfta maelekezo haya kwa mda mrefuu sana sana nashukuru EBM na mrs joyce kwa maelezo sahii sana broo.mimi ni driver guid na naweza endesha ma truck na pia naweza fanya plumbing pia broo na ninahitaji kuja uko canada kwa kweli
Yaani nyie mnafanya kazi nzuri sana! Mungu awape afya njema. Mie moyo unaniuma sana ! Mwaka huu nitaomba dv kwa mara ya kwanza , ninaipenda sana canada proof of fund ndio inanitesa maana mie na familia ya tuko sita , kwa uweza wa mungu lazima niingie huko one day .
Sijambo. Haujambo? Mr.. E. B. Makulilo ninakuomba wewe binafsi na watanzania wengine mnaoishi Marekani na Canada na Ulaya unganeni ili muanzishe pia kampuni za kiuchumi ili tufanye biashara mbalimbali za halali kati ya Tanzania na huko mliko. Pia mje mjenge Viwanda nchini Tanzania na katika nchi za SADC. Tanzania tunazo korosho zilizobanguliwa, mazao ya k kilimo, madini, n.k. ambavyo tunapenda tuuze huko mliko. Tanzania tunahitaji mlete mitumba ya nguo, kompyuta, friji, teknolojia, mashine za viwanda vidogo, n.k.
Wabongo kibao wapo kiwanjan na wengi wanamaplan ya kuwekeza bongo sema serikali haitendei haki hawa watuu kama wangepata uraia pacha wengi wangewekeza nyumbani
Hello joy am so grateful to hear from you about shifting to abroad Sasa nawezaje kukupata in box niulize maswali yangu am so interested na nimekuwa natamani kupata info kama hii
Hello again how is u wewwwe nilikuliza mabo kathaa regarding Canada you didn't reply for me you have very bad heart towards I know u from your village limuru you help those who have money like
Watu wamekosea pesa inayopewa watoto ni matumizi ya watoto sio ya wazazi, watu wamesahau hiyo, na ya pili africa pia ina hitaji watu skils sasa tukitoa watu wote wana skills nani ata baki kwetu home, so this program of immigrating skills sio healthy kwetu we need also skills people to remain hiyo ndiyo inaangusha africa.