Chini ya serika ya ccm .Treni hiyo hata miaka.miwili itakuwa hoi.waulize mwendo kasi,wanachechemea,ccm ni kiumbe,wana uzoefu wa hujuma.waulize Uda,waulize kamata, Waulize shule za wazazi,waulize Urafiki.waulize sukita, waulize Bndari.
Muongeza treni kwa hizo bei kikweli ni affordable Kikubwa kusiwe na usumbufu Kama Mabasi ya mwendo kasi yalianza vizur badae ukawa mwendo GHASI Badala ya mwando KASI