kaka nakukubali sana ushauri wako umenitoa sehem moja kwenda nyingine kupitia mawaz yako nilitoka kijijna elfu tano now nina milik mtaji wa laki 3 na smart pia na gheto bomba kabsa mungu akubaliki
Naaam mwalim ni kweli aisee naa nikwambie maneno yako yananisaidia sana kwenye ushauli wa wadogo zangu waliopo shule nawaambiaga kila siku nawapa amasa ya kusoma aisee!! Kwamaana nyingine ni kupuuza kijana ukishajitambua ukawa na akili ya kujitaftia lisiki unatambua ni wapi unaweza kupitia namaanisha ukatambua mzuri, mbaya wako msaidizi wako n.k asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
Bro Joel umenibadilisha sana katika maisha yangu NIMEANZA kukufuatilia 2020 nimejifuza mengi mazuri kwenye video zako na kwenye vitabu vyako , Kwa kweli Mungu akubariki sana, umetuelimisha sana katika maisha yetu wengi tunajivunia Wewe . Ubarikiwe sana🙏🙏
Barikiwa san kak unatoa elimu kubwa sana na najifunza mamb meng xan kutok kwako hakik umekuw n mentor bora kwang.....Nawezaje kupata vitabu vyako hasa cha 1.Timiza malengo yako 2. Ishi ndoto yako
Shukrani kiongozi, ila nilikuwa na shwali unipe ushauri kaka kuna watu wasio jiweza kila wiki Nina wapaga musaada sasa ningeli hitaji unipe mwelekezo namuna ya kuishi nao katika kuwa saidia
Ahsante Sana Mr Joel nanauka Video zako zinanimalizia bando sana napostigi sana huku Status na Wadau wanakuelewa vzr sana But Mm nilikuwa naombi hivi kama kuna uwezekano wa mm kuongea na wewe Mr Joel Nanauka.. mm nipo Zanzibar
Actually nimegundua hata sisi watazamaji wako tunakuchukulia poa sababu muda wote upo unapatikana na contents zako zipo muda wowote, so hatutilii maanani ohooo . Daaah sawa