Тёмный

Lilian Lema Afunguka Kuhusika katika Connection na Aslay, Mama yake Mzazi alivojisikia! Part 1 

LilOmmyTV
Подписаться 544 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Lilian Lema afunguka ishu ya Connection yake na Aslay! Aelezea ilivyotokea hadi Kanisani kwao

Развлечения

Опубликовано:

 

3 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Месяц назад
Sawa Lilian lakin mhona unajieleza pasipo kuulizwa maswalii lakn unajieleza vizuriii...nimeipenda iyo
@safiyabenda9535
@safiyabenda9535 Месяц назад
I love her🥰
@hassanimsizilo
@hassanimsizilo Месяц назад
Unyama sana
@danielmsanga
@danielmsanga Месяц назад
Umeua mzee ommy
@RoseMsiani
@RoseMsiani Месяц назад
Zdaaah kwel unafaa maan unaongea Atari
@enjobw5682
@enjobw5682 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@Better0world
@Better0world Месяц назад
Ila harmonize😄
@BerthaModest
@BerthaModest Месяц назад
Mnajiendekeza snaa
@m.vmediazawadi4570
@m.vmediazawadi4570 Месяц назад
kazuli sana kama lulu eliza
@suzymike78
@suzymike78 Месяц назад
Kanajiamini sana
@modestmkali3436
@modestmkali3436 28 дней назад
I do love Lil Ommy, mambo ambayo watu wanachukulia negative huwa anajutahidi kuyachimba ili tujue ukweli, firstly watu walikuwa wanachukulia huyu binti kama vile ni katoto kadogo, pili walikuwa wanamchukulia kama vile ni muhuni tu na hana elimu yoyote, now tumejua kuwa kwanza sio mtoto, maana kama kasoma miaka mitatu chuo kikukuu na akamaliza 2017 maana yake sio mtoto mdogo, but also ni msomi, ana akili, from now on mpeni heshima yake
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Месяц назад
Hyu ndio yke dda alileta mchakato mzima wa wtoto wa elfu mbili sio.
@mussambilinyi423
@mussambilinyi423 24 дня назад
Mcheshi sana huyu bint
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c Месяц назад
Lema WA wapi jaman
@redmarkcreations45
@redmarkcreations45 Месяц назад
Lema ni mchaga
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c Месяц назад
@@redmarkcreations45 Namm ni mchaga halafu ukoo wangu pia ni lema
@kimchi-91
@kimchi-91 Месяц назад
Nigeria 🇳🇬
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c Месяц назад
@@kimchi-91 Mim natokea Kilimanjaro Kijiji cha kyier
@nancyg8664
@nancyg8664 29 дней назад
​@@user-gh3zf4ow4c😮kumbe unajua af sababu nawewe ni lema. ulikua unatujaribu au
@nancyg8664
@nancyg8664 29 дней назад
wachaga wazuri nyie
Далее
From Tanzania 🇹🇿 to Paris 🇫🇷 (Part 1)
2:15
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Просмотров 173 тыс.