Тёмный

UCHAMBUZI MZITO WA UCHAGUZI WA UINGEREZA | KASRI LA KIKEKE 

Crown Media
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@EmanuelGeoffrey
@EmanuelGeoffrey 10 дней назад
Nani yupo kama mimi bila kusikiza crown Sijisikii vizuri,, kama upo nipe like zako hapo
@JoseWilson-vb2di
@JoseWilson-vb2di 10 дней назад
@@EmanuelGeoffrey sante sana mkuu
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 10 дней назад
Tupo wengi tu bila kuskiliza crown tunaumwa tena homa kali sana 😣
@abrablack
@abrablack 10 дней назад
Yaani BBC hii hapa. Hii imekaa vzur sana. Congratulations Crown media. Hapa ni nyumbani
@MuharramHassan-gc3wl
@MuharramHassan-gc3wl 10 дней назад
Sijawahi kucomment hata siu moja ila leo namimi nimejaribu yoye sababu hii ni channel ya watanzania kikeke allah akubariki na pia akuhifadhi kwa kuibadilisha tasnia yetu tanzania kama upo mamimi like hapo
@Ambagaye
@Ambagaye 10 дней назад
Kikeke umeleta mabadailiko makubwa sana kwenye utanganzaji wa Tanzania. Crown Media itakuwa media house kubwa sana kutokana na utangazaji wako.
@CostantinoFredrick-dw8nh
@CostantinoFredrick-dw8nh 10 дней назад
Kipindi kikubwa sana, kinachochambua Kwa kina,crown oko vzuri
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 10 дней назад
Sasa BBC ya nini wakati kila kitu tunakipata hapa
@barakaPaulo-ei8zp
@barakaPaulo-ei8zp 10 дней назад
Hahaha qubaliiii sanaaaaa
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 10 дней назад
Na kikeke Ana watu ambao alifanya nao kazi bbc kwaiyo lazima apate Habari nyingi inje ya nchi
@OnlyRuky
@OnlyRuky 10 дней назад
Congratulations Crown radio 👊
@ELIAMICHAEL46
@ELIAMICHAEL46 10 дней назад
Hapa ni nyumbanii crown Media on fire 🔥
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 9 дней назад
Hivi Salim hicho kipaji Huwa unakumbuka kumshikuru Mungu. Yan unatangaza vizuri kiasi kwamba mtu huchoki kusikia. Hii imekaa vizuri san. Mungu AKUPE maisha marefu
@albertjames6845
@albertjames6845 10 дней назад
Kikeke ni hazina ya tasnia ya Habari
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 10 дней назад
Crown 👑 media
@fadhilimpini
@fadhilimpini 10 дней назад
Wakwanza from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-iu1ym3dc2i
@user-iu1ym3dc2i 10 дней назад
Tudo ndani ya mozambiqui
@MaarufuAmani-bq6qc
@MaarufuAmani-bq6qc 10 дней назад
Hii radio itafika mbali sana
@KHALFAN-m4o
@KHALFAN-m4o 10 дней назад
Inshallah
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 8 дней назад
Kuanzia sasa jinanjisajii kua mwanafamilia wa hiki kipindi. Yaan ni BBC mtupu. Hongera king kiba hongera pia Salim kikieke. Hii ndio maana ya chombo cha habari. Burudani sawa lakini habari kama za muhimu ndio msingi wa kitu kinachoitwa chombo cha habari. Hii ndio itakayotofautisha kati ya redio za udaku na chombo cha habari. Big up sana crown Media
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 8 дней назад
Kule Wasafi upuuzi mwingi na umbea.... Hii ndio tulikuwa tunataka watz 🇹🇿 kupata elimu sahihi
@JumaMatiko-zp5nm
@JumaMatiko-zp5nm 8 дней назад
Hongera sana Salim kikeke wa tanzania tulikuwa tumeikosa Sana sauti yako brother!.Ulipotoka bbc tulikuwa tumeikosa sauti yako Sana.
@amirlehao8945
@amirlehao8945 10 дней назад
Bila shala zuhura yunusu anahitajika hapa weka na Charles Hillary
@JoseWilson-vb2di
@JoseWilson-vb2di 10 дней назад
Kwel mmeleta mapinduzi makubwa ya habari hongereni sana tena sana najivunia kuwa mwanafamilia wa grown media nikiwa hapa njombe makambako
@EmanuelGeoffrey
@EmanuelGeoffrey 10 дней назад
Karibu mwana makambko mwenzang
@Oficialkb
@Oficialkb 10 дней назад
Jaman ongezen vipinde bila crown tuwende maana tushazoea burudan, fanyen kwel basi 🔥🔥🔥🔥🔥
@fadhilisule
@fadhilisule 7 дней назад
We kikeke weeewe dah BBC yangu imerudi karibu kabisa
@petermgaya9693
@petermgaya9693 9 дней назад
Huu ndio uchambuzi sasa. Hongera kikeke
@carolernest9222
@carolernest9222 10 дней назад
Mapinduzi ya industry ya habari 🔥
@barakamfilinge6943
@barakamfilinge6943 10 дней назад
Uchambuzi mzuri sana na kipindi Cha kuelimisha sana
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 10 дней назад
Sasa utachaguwa wewe kama kuskiliza juma lokole aliebkuwa hajuwi nini maana ya habari ama kuskiliza redio ya watu walio somea habar
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 10 дней назад
​@@ISSASHABANI-sw7lxmsanii amenunuwa jumba la kifahari 😂😂😂
@barakamfilinge6943
@barakamfilinge6943 7 дней назад
@@ISSASHABANI-sw7lx 😃😃😃
@paul1985ization
@paul1985ization 10 дней назад
Ile Radio ya Familia inaaanza kukosa uhalali. Niwaombe sana Crown msiweke uchawa sana. Uchawa unagawa watu. Kuweni fair kwa kila mtu. Sisi sote ni nchi moja.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 дней назад
Hamna chawa hapo hapo professionalism ndio imezingatiwa ndo maana kila mtu kakaa kwenye sehemu yake sio mtu mmoja anachambua lila kitu kikee huwezi mfananisha na mtu yoyote kibongo bongo Huyu alikua mwanahabari wakimataifa
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 10 дней назад
That is democracy
@bensonmwakalindile8545
@bensonmwakalindile8545 10 дней назад
Aiseeh hongeren kama crown,na kikeke na timu yako.keep it up.kaz nzur
@mwendajr6035
@mwendajr6035 10 дней назад
Mnatisha sana crown media
@jinsiyakutengezavijora8909
@jinsiyakutengezavijora8909 10 дней назад
Watuache t2 midia zote
@frankyeye
@frankyeye 8 дней назад
Crown media so hot
@saidjuma9782
@saidjuma9782 7 дней назад
Yeeebabah 😇 😇 😇
@official_m.jay255
@official_m.jay255 10 дней назад
Aminia croun
@linnashayo6710
@linnashayo6710 9 дней назад
Aiseee hii crown nimeipenda buure
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 10 дней назад
Hapa ni home
@math2sany97
@math2sany97 10 дней назад
Tuko pamoja
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 10 дней назад
Abu mleteni crown 👑
@Lamar-e4t
@Lamar-e4t 10 дней назад
Crown 4Life 💥🔥🔥🔥
@rajabumhasha8468
@rajabumhasha8468 10 дней назад
Hongera crown
@Ufahamu-01
@Ufahamu-01 8 дней назад
Safii kikeke
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 10 дней назад
Crown 👑 nihatari sana tz , midea zingine utasikia msani flani amenunuwa gari jipya😅😂
@EmmanulYoram
@EmmanulYoram 10 дней назад
😅😅😅
@WiliamTomas-oo9kb
@WiliamTomas-oo9kb 10 дней назад
Noma sana kumbe utamu uko uku
@user-iu1ym3dc2i
@user-iu1ym3dc2i 10 дней назад
Poa
@dicksontimotheo7617
@dicksontimotheo7617 10 дней назад
bila crown hakuna masisha naona siku haziendi kabisa
@JemesSakala
@JemesSakala 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@HamimuMakumba
@HamimuMakumba 6 дней назад
🎉
@alcadoathumani9957
@alcadoathumani9957 7 дней назад
Kweli hapa ninyumbani
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 дней назад
✌️👍👊.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 9 дней назад
Na ccm pia itaondoka madarakani In Shaa Allah anaebisha aje na hoja
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 дней назад
Kipindi kimetuliya sio vya fujo vya kinanihi kule
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 8 дней назад
Vita vya Gaza vitaleta mageuzi mengi uk ufaransa na usa na ulaya yote
@WilliumJoseph-i8w
@WilliumJoseph-i8w 10 дней назад
Maana halisi ya combo cha habari ✊
@abdullahabdulla9697
@abdullahabdulla9697 10 дней назад
Sio combo Ni chombo
@danielmgalla558
@danielmgalla558 10 дней назад
Bonge la kipindi
@khamzdady7977
@khamzdady7977 10 дней назад
🔥🔥🔥👑
@azizaomary2568
@azizaomary2568 9 дней назад
❤❤❤❤
@abukhadija1993
@abukhadija1993 10 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 10 дней назад
Kuna wapuuzi walisema oooh salum kikeke katoka bbc kaja kuajiriwa na crown sasa kama walikuwa hawajuwi hichi ndo kilicho mfanya ali kiba mbaka amvute kikeke
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 7 дней назад
Amvute wapi wakati wote ni wamiliki wa hio media kikeke na alikiba wote wameweka shares hapo
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 10 дней назад
Huyu jamaa ni kichwa
@mosescalvinnyoha120
@mosescalvinnyoha120 10 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@allyiddy4542
@allyiddy4542 9 дней назад
Azam chanel namba ngapiiiiii ?
@AliDulla
@AliDulla 10 дней назад
Bbc kiba umeweza bro
@funforfunnychannel
@funforfunnychannel 10 дней назад
Yan kikeke tunahisi kama bbc vile tu
@adelinakihwelo721
@adelinakihwelo721 10 дней назад
BBC
@abukhadija1993
@abukhadija1993 10 дней назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Yegon254
@Yegon254 10 дней назад
Hii ni kubwa zaidi
@EtieniRama
@EtieniRama 10 дней назад
❤❤❤😂😂❤❤❤😮
@ayubugeorge2168
@ayubugeorge2168 8 дней назад
Zelensk hana uhalari wa kuwa Raisi Muda wake ulishapita
@MwigaAdam
@MwigaAdam 10 дней назад
Democrasia yakweli na furaha zaidi
@petermgaya9693
@petermgaya9693 9 дней назад
Sana aisee Democrasia ya Hali ya juu mno, chama kinaondoka kinakuja chama kingine
@softsoftbby8013
@softsoftbby8013 10 дней назад
Kapata ushindi kwa sababu ya waislam,waislam walionesha nguvu ya ummoja
@WilliumJoseph-i8w
@WilliumJoseph-i8w 10 дней назад
🎉
@sadikiissa2454
@sadikiissa2454 10 дней назад
❤❤❤❤
Далее
NACHATI NA MWARABU
10:31
Просмотров 134 тыс.
How the Titanic Was Found
22:19
Просмотров 1,9 млн
SALIM KIKEKE USO KWA USO NA N/WAZIRI MKUU DOTTO BITEKO
28:56