Тёмный

Luhaga Mpina amvaa tena Mwigulu Bungeni; Simbachawene aingilia kati amtega kwenye Vifungu 

Mwananchi Digital
Подписаться 986 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Vita ya maneno kati ya mbunge wa Kisesa na Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba bado ni mbichi ambapo leo Jumatatu Februari 6,2023 Mpina amemchokonoa tena Dk Mwigulu sasa akitaka akiomba bunge lipitishe Azimio la kuitaka Serikali kupeleka bungeni taarifa ya matumizi ya fedha zilizokopwa nje ya bajeti lakini akipendekeza Waziri wa Fedha awajibike.
Akochangia leo katika taarifa ya Kamati ya Bajeti, mbunge huyo amesema Kuna kusuasua katika usimamizi wa matumizi ya fedha ndiyo maana kumekuwa na malimbikizo ya deni la Taifa ambalo litapelekea riba kubwa kwa siku za usoni na hivyo kuongeza mfumuko wa bei.

Опубликовано:

 

5 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@edwardlutema6006
@edwardlutema6006 Год назад
Mpina mitano tena wakizingua hamia Airtel tuko na wewe wewe ni rafiki wa kweli uko upande wetu Rip Magufuli
@Atmospherec3
@Atmospherec3 Год назад
Mpina ananifurahisha sana
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Год назад
Kuna dua moja tukiiomba vizuri kila mtu kwa wakati wake, Mungu atatupa majibu haraka sanaa
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 Год назад
Ukimuona Tu mwigu unajua kazi tunayo
@kokukarokola4974
@kokukarokola4974 Год назад
Nakuelewa kaka namungu anakuelewa msemakweli mpenzi wa mungu. Japo majibu nimepesi mnoooo.
@polloz77
@polloz77 Год назад
Luhaga mpina next President
@user-jp7nr4vi1l
@user-jp7nr4vi1l Год назад
Heche bhn
@mwenem8130
@mwenem8130 Год назад
Safi sana MB Mpina, Mungu Akulinde🙏🙏
@nestor384
@nestor384 Год назад
The Real Man Undisputable remained standing. We are living the spirit of the true son of Africa The Late H.E Dr. JPM🙏🏻💪🏻
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Nchi ina kopa kama wendawazimu mwigulu ni mpuuzi sana alafu ana ita watu waganga wa kienyeji
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 Год назад
Ndio maana nasema wasukuma ndo wamebak waaminifu kwenye hii mchi sisi wengne tunajal matumbo yetu tu
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Год назад
Msukuma hagai hata kuongoza nchi hii wachilia mbali uwaminifu unaousema. Tumeona miaka mitano ya kidikteta chini ya muwaaji mkubwa mwendazake jiwe na kikosi chake cha SUKUMA GANG. Tunamshukuru M/Mungu kwa kumuangamiza huyu kiumbe ambae alitawala kwa mkono wa chuma. Hata Nyerere aliacha wosia, kati ya wasukuma, wachagga na wahaya haya makabila yasiachiwe uongozi wa juu ni nukxi. Sasa huyo Mpina ndie aliyewafilisi wavuvi kwa kiasi kikubwa wakati akiwa ktk utawala wa kishenzi wa jiwe magu.
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Год назад
Kiboko yenu ccm alikuwa ni pita msigwa na tunamuombea 2025 arudi bungeni harafu wengi wa ccm wabunge mnapigwa chini tembeeni mkijua mlibebwa na hayati magufuri wote ni mbeleko kuanzia mama mpaka nyie tunajua kwa hiyo lingeni tu kwa sahii tutakutana 2025
@johnhaulepesambili6905
@johnhaulepesambili6905 Год назад
Wanauziwa mawe jana nimeona foleni ya kutosha tena walikuwa wazee hadi huruma ase
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Год назад
Jamaaa amna anae muung mkono bungeni acha ktu siasa na tumbo
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 Год назад
Mpina mbunge Jemedali wa KARNE, pmj na itikadi kwa chama tawalablkn serious yupo kwa sjili ya kutetea wananchi Tanzania
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Год назад
Sisi ambao hatuna ushabiki tumefuatilia hoja za mpina na kisha tukafuatilia majibu ya Mwigulu, tukagundua ukweli uko upande gani. Wengine wanaumia kwa sababu walinyang'anywa uwaziri tu.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Год назад
Mbona hatujasikia Mpina alipotaja kwamba serikali ilikopa Trillion360(Tshs)? Alichosema Mpina kulingana na ripoti ya serikali jedwali No.2 serikali imekopa zaidi ya Billioni322(Tshs). Halafu akasema kwa mikopo ya ndani serikali iliidhinishiwa na Bunge kukopa Trillioni 1.84 badala yake ikakopa Trillioni 2.5(Tshs)! Mengine ni yale aliyosema ni kwamba Apr2021-Jun2022 deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 10.83,May na Jun2021 serikali ilikopa zaidi ya Trillioni 3.9. Halafu akasema huko nyuma deni lilikuwa linakua kwa 4% lakini miaka 2020/2021 na 2021/2022 limekua kwa (12.33)% Kulingana na clip hii hayo ndiyo aliyosema. Hivyo basi kama ni kumkosoa fuatilieni hlzo data alizotoa kama ni sahihi au la.
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 4 месяца назад
Ikitokea wabunge wanafanya mtihani basi mpina atakuwa kwenye top3
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Год назад
Una akili sana
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Год назад
Maranyingi nakuwa wa Kwanza ktk notification ya global channel. Naomba kuungwa mkono jamani na like zenu wadau.
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 Год назад
Hii sio channel ya Global Ni mwananchi
@Noricssa
@Noricssa Год назад
HIVYO VITI VISIVYO NA WATU VIUZWE PESA ILIPE DENI LA TAIFA Mnaweka vipi VITI vingi na havina Watu wa kukalia? Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali za Umma
@jan6703
@jan6703 Год назад
Kweli kabisa. Hapo bungeni wanahitaji viti kama kumi tu na chumba kama sebule za mitaani. Tuache kuchezea pesa za wananchi!!!
@Noricssa
@Noricssa Год назад
@@jan6703 Wameharibu pesa kujenga midude mikubwa maviti haryana hesabu watu wanaoingia humo kila siku wanahesabika alafu wanaongelea uchumi, pesa wanachezea MUNGU TUNAHIJI HURUMA ZAKO hawa wanasiasa wanafanya utupende zaidi kabla ya wakati kwa msongo ya mawazo 😭😭😭
@emanuelkatambi6902
@emanuelkatambi6902 Год назад
Nimekuelewa!
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 4 месяца назад
Hahahahaha matumiz mabaya ya viti
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 Год назад
mwananchi media nakupongeza sana kwa kukata huo ushuzi wa " taarifa mwenyekiti".
@user-ic3jn4uz9f
@user-ic3jn4uz9f Год назад
Hv huyu kwann asipewe cheo kikubwa zaid
@nyamnyororosaid7027
@nyamnyororosaid7027 Год назад
Ila huyu simbachawene sijui huwa Ana shida gani
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Год назад
Mpina uko sahihi unafaa kuwa Raisi wetu
@tembeleadunia
@tembeleadunia Год назад
Taarifa mbona umefutwa ???
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Год назад
Hakuna kitu
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Год назад
Kaka wewe ni mtanzania
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Год назад
Huyo ni waziri wa nchi ..huyo kalewa ...haoni wala hasikii ..tumbo hilo duuuh
@abednego3876
@abednego3876 Год назад
Watz wamekufa kama video hii ina like 88 tu watu wamekufa akili hazipo
@aggreykwilabyanoni1581
@aggreykwilabyanoni1581 Год назад
Tunaramba asali
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 Год назад
huyo mwigulu alishatumbuliwagwa na mhe magufuli kipind cha uhai wake,alishaona hapo hakuna mtu.
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 4 месяца назад
Huyu ni Bora kuliko mwigulu
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Год назад
Bunge hili bana mpina watakuuwa hebu jiulize mara hii tu wakati tumesikia umesema bilioni wamekugeuzia wanakuambia trioni ili uonekane umekosea lengo lao usieleweke kwa wananchi
@frankphiri9132
@frankphiri9132 Год назад
Wanaonyangangwa uwaxiri muwe mnajitathimin Luhaga unatafuta mamna ya kurudia uwaxiri utateuliwaje Kwa kiwango Cha uelewa ulionao sometimes najifunza kuwa mawaziri wengine wanatolewa ktk nafasi zao kulingana idhaifu wa kucatchup mapema unaweza kwenda shule lkn ukawa mgumu wa kuelewa mambo Kwa haraka mpk nguvu ya ziada itumike, mpina kasoma ila ni wale Maslow learner Mwigulu nenda nae trtb atakuelewa usimchape viboko
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Год назад
@@frankphiri9132 Wewe ulioyaandika yote hayana ukweli wowote !!!! Pole sana hujitambuwi.
@geofreyraphael8367
@geofreyraphael8367 Год назад
Unafiki tu mbona kuna rais alikuwA anafanya matumizi nje ya bajeti na hamkusema wakati ule?
@johnhaulepesambili6905
@johnhaulepesambili6905 Год назад
Usimtishi ase
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Kwani kitabu chenu kimeandikwaje
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Год назад
Tunarudi kule kuleeeeeeeeee.
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Huyu mbunge anauchungu nataifalake sijuinae atapewaubalozi ili wabakie pangupakavutupu?
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Hyu mheshimiwa mpina kwawakatihu vilaza wameshikahatam inabidialindwe ss cjuwiatalindwananani namuachiamungu
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Год назад
Mbn mnakata mnaunga why
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Wbunge wanaoliteteataifa ni mpna alikuwa polepole bashiluali kakulwa basi
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Tunaludi kulekule ambako dola inakuwamfukonikwamtu ukihitaji mtuanakubadilishia anavyotaka Rip JPM
@janettemalipula8476
@janettemalipula8476 Год назад
0000
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Год назад
Acheni kumtishia mpina ni msomi jemedari
@sharifaabdala1565
@sharifaabdala1565 Год назад
TUNALAMBA ASALI BWANA MPINA TUACHE 🤣🤣🤣
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Bilioni bwana tumeskia sio trillion aache uongo huyo
@Nufaila442
@Nufaila442 Год назад
Huyu jamaa Anaelementi za Kidikiteta uchwara
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 Год назад
Huna akili ww
@czmediaconsultant5640
@czmediaconsultant5640 Год назад
Wewe utakuwa unatoka Pwani mnapenda kulelewa sana
@edwardlutema6006
@edwardlutema6006 Год назад
Simiyu jimbo la kisesa
@celinamosha9420
@celinamosha9420 Год назад
Namuona rais wa wanyonge ajae
@majigedioniz8049
@majigedioniz8049 Год назад
Mwamba huyapa natamani kujua Mh ruhaga mpina anatoka mkoa gani
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Год назад
Mwanza
@johnsmwandu7338
@johnsmwandu7338 Год назад
Simiyu
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 Год назад
@@haidhabushiri9558 no
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Год назад
Nchi inarudi kule kuleee... sijui kwanini Rais anaendekea kumuacha Mwigulu kwenye nafasi yake...
@johnhaulepesambili6905
@johnhaulepesambili6905 Год назад
Usimtishi ase
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt Год назад
Haaaa
Далее
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Просмотров 46 тыс.