Тёмный

WAZIRI MWIGULU VS MPINA HAPATOSHI “TULIMUONA ALIKUWA ANAFANYA SHEREHE AKICHOMA NYAVU” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha bajeti kuu ya serikali kwa mwka wa fedha 2023/24.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@johnlukanga2004
@johnlukanga2004 Год назад
Leoo umeongea maneno ya point sana,mkifanya ivyo Mungu pia atatubariki sana
@zeyzey5439
@zeyzey5439 Год назад
MUNGU AKULINGE MPINA❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Год назад
Mpina analo.. tuone vita ya MUNGU wa Mwigulu na mungu wa Mpina nani atapotea.
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc Год назад
Thanks my brother kumbe ulikua umemroeka mjomba
@dennisbishubo4629
@dennisbishubo4629 Год назад
Hapo mwigulu nimekuelewa huko vizuri bigup
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Год назад
Tokea nimfaam waziri wangu mwigulu reo kaongea pointi sana seckta binafsi zieshimiwe
@chizakabwebwe5511
@chizakabwebwe5511 Год назад
"Mkiyajua hayo heri ninyi mkiyatenda" ! 🙏🙏
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Год назад
Asante Tumekuelewa.
@zakiamaige1923
@zakiamaige1923 Год назад
Saluti kwako Wazir uko sahii Tunanyanyaswa sana
@machettemachette521
@machettemachette521 Год назад
nimekuelewa sana
@onesmokihanza8473
@onesmokihanza8473 Год назад
Huyu jamaa hata akiongea mambo za maana kama Leo bado simuelewagi tuu😂😂😂😂
@andrewdukho8795
@andrewdukho8795 Год назад
Tupo pamoja
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
Ww mwenyw ujielew unatk umuelewe mwezio
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
haswaaa. yani anatumia madhaifu ya mwizi mwenziwe kujisafisha makosa yake
@merekwangujati158
@merekwangujati158 Год назад
Hakuna heshima , Sheria ya nchi inasemaje , sio unatopoka tu mwigulu , kama Mtu halipi Kodi Sheria inasemaje?
@benjaminjulius8021
@benjaminjulius8021 Год назад
Hapa mwigulu tupo pamoja
@atisia
@atisia Год назад
Mungu akubariki sana kwa utetez huo,barikiwa sana👏👏👏👏
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Год назад
Utetezi gani uyo mnafki tuu
@georgeoballah1764
@georgeoballah1764 Год назад
Hongera Hon. Mwigulu,leo nimekuelewa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MPINA ANA MFADHAIKO !!! KACHANHANYIKIWA!! HASIDI SANA KAMA YULEEE.....!!
@mickyusuph9839
@mickyusuph9839 Год назад
Leo nimemuelewa mwigulu kakandimiza umo umo
@EDENKATININDA
@EDENKATININDA Год назад
Daaaah duniani watu wanabadilika mwigulu unaongea busara kiasi hicho mungu yu hai kwelikweli ktk hili uko vizuri sana mwigulu mpina hana maana kabisa hafai hata kidogo tena mpina ni njinga😅😅😅
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Год назад
Chadema
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 Год назад
Mbona haya Huwa mnaongea sana Lakini mambo Huwa Yako vile vile TU. Cku zote tunafungiwa TU.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Год назад
Sheria zikifuatwa kutakuwa hakuna shida ,waende TRA kuiba ndio maana .
@amosantony9546
@amosantony9546 Год назад
Kwani kuwachomea mama ntilie na kusafisha mji nani alisema na vitambulisho vya machinga je ilikuaje 😂😂😂
@ExzodaciMvango-cu6er
@ExzodaciMvango-cu6er Год назад
Leo nimekuelewa sana kaka angu
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Migogoro binafsi mnaleta bungeni
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Hv ww unajifanya leo umeokoko? We jib hoja za bandari
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
eti linajifanya tetezi nawajinga wanaliunga mkono sijui wamesahau lilipo waropokea waende urundini.
@sawanjema4889
@sawanjema4889 Год назад
Nimekuelewa
@cosrevynewchord2022
@cosrevynewchord2022 Год назад
Nimeamini kumbe Saa zingine hata saa mbovu husema ukweli
@johnlukanga2004
@johnlukanga2004 Год назад
tangu nimekujuwa Mwigulu,leo umekuwa na uluma na kuongea mambo yanayowatesa watu. kwa ustawi wa sekta binafsi,kuna kodi hosha mabango,Hotell levy asilmia kumi,na kodi ya mapato TRA na zingine nyingi tunaumia,kufunga biashala sio jambo la kiungwana,kwa ustawi wa taifa
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Год назад
Mzeee mpina yuko vizuri wajubwa huwa hanfungi zaid wanaonewa wadogo ivo maduka kwa ambaye hafati utaratib afunge mfano unauza bila lesseni,unabidhaa mbovu au unaibia wateja kwanini usifungiweeeeeee??????? Hizo ni siasa mpina namuaminia anajua anachofanya
@bongo39
@bongo39 Год назад
Huyu mpina mie naona kama anatapatapa na ni dikteta wewe baada ya kutetea wananchi waliokuwrka hapo ulipo leo unataka uwakandamize hao waliokuweka hapo unakinzana na raisi wakati raisi anataka wananchi wake wapate maendeleo leo wewe kimbunge kimoja tuu unasema eti wafungiwe biashara zao au unataka like kila kinachojadiliwa wewe ndio wa kwanza kushadadia yatakushinda
@pillympili5804
@pillympili5804 Год назад
Mnaoneana wivu kwasasa wewe mwigulu ndo upo dabweni unapiga mwenzio mpina yupo bench lazma akutamani tu poleni sana wezi wa taifa
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
MPINA KICHAA KAMA YUPO NAMNA IYO AFAI KABISA KWAIYO PESA ZAKE ANAZANI NASISI TUNAZO FALA SANA UYO MZEE Kwan yeye hajui sisi wananch Ndiyo tunamlipa mshaara Kwenye hiko kiti alicho kalia!? Kodi zetu uku chin tuna buluzwa Hili yeye hapate kulipwa
@danielmmota4242
@danielmmota4242 Год назад
Apo mwiguru yuko vizuri
@merekwangujati158
@merekwangujati158 Год назад
Mbona una mwijia juu mpina we elimisha sio lazima umfarce Mtu direct , hafu kingine we unapotosha kwani mpina anaamini wapi? Acha uroho
@malcomx4067
@malcomx4067 Год назад
Kila Kitu raisi Samia, Samia, Samia... Mbona mtamfanya raisi achukiwe na wananchi. Tatizo ya Mwigulu jadili hoja na si mtu.
@ZionTZ09
@ZionTZ09 Год назад
tatizo watz sio wakuwafanyia hio...watz ukiwa fair wanakupanda kichwani....tupo hapa. mpina yuko sahihi....mtarudi hapa. mzalendo wa kweli anajua anawajibu wa kulipa kodi...sio mpaka abembelezwe
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Год назад
Pin leo kafel
@onesmokihanza8473
@onesmokihanza8473 Год назад
Mheshimiwa kawa Mzee wa mipako😂
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 Год назад
Mpina namuelewaga sanaaa oja zake na namsubir akujin
@aclassservices2245
@aclassservices2245 Год назад
kweli
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 Год назад
Sasa umekuwa
@norascomulenzi222
@norascomulenzi222 Год назад
MWIGULU AJIBU HOJA SIO POLOJO, kariakoo wamegoma sababu ya sheria zako leo unajifanya unatetea wafanya biashara.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MPINA KILA JAMBO ANAPINGA,HATA KAMA JAMBO LENYEWE LINA MANUFAA KWA WANANCHI NA TAIFA,.NAMSHAURI AENDE KULE KWA AKINA FUPI WANAOPINGA TUUU!!
@vwctvtanzania
@vwctvtanzania Год назад
Leo waziri umekuwa na maneno mazuri Sana hongera
@sekishafii3896
@sekishafii3896 Год назад
Leo ndio nimekulewa Sana waziri
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu Год назад
me najua siyo wewe ni vinomdo vya kariakoo ndo vmekukunyoosha😊😊😊😊
@jimmykiberu6817
@jimmykiberu6817 Год назад
hello
@sirkapese2428
@sirkapese2428 Год назад
Leo mwigulu umeongea points tupu
@georgeoballah1764
@georgeoballah1764 Год назад
Mpeni Mpina fremu Kariakoo akaone changamoto.
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Год назад
Huna jipya www waziri Jubu hoja Elewa uchomaji wa nyavu haramu ulitusaidia tukala samaki waliyopotea njoo ujionee leo Ziwani Kama kuna samaki
@benjaminsuleiman1852
@benjaminsuleiman1852 Год назад
Mwigulu anaongozwa na hisia
@gidionmanwingi8936
@gidionmanwingi8936 Год назад
Kabisa
@awadhiabdallahjuma8481
@awadhiabdallahjuma8481 Год назад
kwahyo hekima nikutuambia tukaishi Burundi kweli Nyan haoni kundure
@kitovagvankiwele3447
@kitovagvankiwele3447 Год назад
Leo mwigulu nimemuelewa
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 Год назад
Serikalini ndomahala pakipiga hela nami mwanangu akishahitimu masomoyake kazi yakwanza TRA
@bakarially3679
@bakarially3679 Год назад
Mwigulu ameongea kitu very important na muelekeo wa nchi yetu kama watanzania
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Год назад
Tatizo amueleweki mara afai mara uko very
@enocksamwel3146
@enocksamwel3146 Год назад
Mpina mtu nanusuu acha izoo tunamuelewa
@melickmwanzalima9436
@melickmwanzalima9436 Год назад
Hata kama niharamu
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Год назад
Kama kodi ndio nguvu ya maendeleo sasa wasiolipa mnawafanyaje .Na msije mkasema mmebinafsisha bandari kwa sababu hii.Sheria ya nchi ikoje kwa wasiolipa?
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Год назад
Kumbe una akili ila unafanya makusudi kubinafsisha bandari
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Kwani kubinafsisha kwako inamaana gani
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
😂😂😂😂 ila watu mna vijisentens!!
@Princewaweru
@Princewaweru Год назад
Aah mzee baba mi sikuelewagi kabisa yaan
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Wewe brother utakuwa na matatizo , Leo amenyoosha kama ungekuwa mfanyabiashara ungeelewa
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
ukiwa unajitambua naunawekakumbu kumbu, huyu jamaa lazima usimwelewe.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Год назад
Mwiguru umefeli sana maana sheria za nchi haziwezi kuvunjwa hivyo kwenye nyavu halamu mpaka sasa zinachomwa, hivyo jibu hoja za mbunge mpina na Acha kujificha kwenye mgongo wa raisi Hivyo kama raisi anasema wewe kazi yako ni ipi Rais wa Tanzania fukuza huyu waziri wa fedha ameshindwa kujibu hoja za wabunge na kukushauri
@dicksonmichael-xq8nr
@dicksonmichael-xq8nr Год назад
Mpina ni timu dikiteta mangufuli ongela mwingulu
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Shetan hta akivaa kanzu kamwe hawez kuwa shekhe! We mwinguru ni shetan
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Год назад
Tulia mwenzio afundishwe ukuzaji wa private sector as process. Sio kuchoma vifaranga, kuchoma nyavu, kufunga viwanda, mara kuzuia basi lenye samaki for almost a year. Kichwa Cha panzi
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
kabisa
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 Год назад
Leo mwigulu umenikosha Sana .mpina ni dikteta
@lembodila4655
@lembodila4655 Год назад
Utafikir leo ndoo kateuliwa leo uwazir kumbe hata huko nyuma alikuwa waziri inajiuliza kipindi kile wewe kama waziri ulikuwa unamsaidia nini Kama mchumi??? Usomi wetu hautusaidiiii
@danielmmota4242
@danielmmota4242 Год назад
Mpina kwa kinyakyusa ni masikini
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
kwa kisukuma chetu cha kahama, mpina maana yake ni YATIMA.
@nicodemusfidelis3772
@nicodemusfidelis3772 Год назад
Mbwanee hapo umenenaa
@elifurahaelisha4380
@elifurahaelisha4380 Год назад
Mwigulu Sasa kakua
@igulug5450
@igulug5450 Год назад
Ukweli mtupu
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Год назад
Kama mnajua Kuna shida ya ajira kwanini mnawaleta waarabu ambao wataweka maroboti kufanya kazi
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Unataka watu wabebe makontena
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Год назад
Sio wafanyabiashala wakubwa hata machinga
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 Год назад
Nyote ni ccm mmessbabisha vido
@kigoracredit7314
@kigoracredit7314 Год назад
Nimekupenda bule leo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MAMA SAMIA ANAWAJALI WANANCHI WAKE!! HONGERA RAISI WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA UNAUPIGA MWINGI
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Год назад
Unayoyasema yakutekelezw hivyo ni mema lakini tatizo sivyo itakavyokuwa ktk utekelezaji af punguza hisia unapochambua hoja uache kushambulia mtu
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Год назад
Mnatufundisha nin kafanyeni na nyie hiyo kazi acha kumzodoa mpina mmetuibia sana
@philjonez3324
@philjonez3324 Год назад
kila siku Mpina nipo upande wako ila Leo Mpina I'm sorry sikuungi mkono kwenye hili lakufunga biashara..kufunga biashara sio solution najua kila Jambo linaongeleka..kila kitu kinaongeleka na unawez kuongea na mfanya biashara na mkafika katika solutions ..yes Kuna penalties .. njia ni nyingi za kutatua matatizo na mfanyabiashara..Labda iwe biashara haramu ambayo itakuw ni kosa kisheria..Pia Mpina ni kiongozi mzuri sana ila kitu kimoja tuu unanikwaza kwamba wee kila kitu unapinga hii aileti picha nzuri kwako sababu itaonekana ni mtu mwenye chuki baina yako na viongozi flan ..by the way hoja zako ni nzuri na tuko na wewe mheshimiw mpina na wewe ni kiongozi mzuri kwa kuwa upo na wananchi
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 Год назад
Msikilize mpina kajibu mapigo
@mwangachibago5375
@mwangachibago5375 Год назад
Mh mwigulu you have spoken
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
We hta useme nn ww watanzania hawakupendi ww ni katili san watanzania hatutaki
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
👏👏👏👏
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Год назад
Duh....😂
@maase2023
@maase2023 Год назад
Mpina hafai kabisa
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Год назад
Hao wamachinga mnao watimua kla sku ni sawa na kufunga biashara zao!..acha unafk wewe mwigulu
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Год назад
Mpina unatusemea Asante yeye alisema tuhamie Burundi daaaah, Asante serkali kwakuwa hamjaruhusu watu kumiliki bunduki hovyohovyo, naona kipindi cha maamuzi ya Hamza yamefka kwenye hii nchi
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Год назад
Unakumbuka uliwahi kuchana paper za chadema bungeni Kwa dharau
@awadhiabdallahjuma8481
@awadhiabdallahjuma8481 Год назад
vp mzee waburundi baada yakutubana kwenye tozo kuwajuu Leo naona unatufariji na kutofungwa kwa biashara alooo!
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
halafu cha ajabu mijinga isiyo kuwa nakumbukumbu inashangilia 😟😟😟
@angeramatulanya4122
@angeramatulanya4122 Год назад
Nimekuelewa sana
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 Год назад
Mbona haya Huwa mnaongea sana Lakini mambo Huwa Yako vile vile TU. Cku zote tunafungiwa TU.
Далее
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16