Тёмный

WAZIRI MWIGULU NA MPINA HAPATOSHI, AJA JUU KWA UKALI/ AMCHANA MAKAVU" ACHENI KUKOSOA HOVYO" 

Uhondo TV
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 49 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Год назад
uongozi nidhamana kubwa unahitaji.uvumilivu subira hekima na busara nje ya hayo ni mtihani.utaona unachukiwa hupendwi watu wana wivu utaona wanachiki binafsi.utayaona haya yote iwapo utakasa kua na mambo hayo hapo juu.mungu wabariki viongozi wetu wape hekima busara na uvumilivu na kauli njema na thabiti.tuwe na viongozi bora na taifa bora.yaarabi tunakuomba haki na amani idumu na nchi yetu iwe na neema na baraka.aamin aamin insha allah.
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 Год назад
Mwenyekitiiiiiiiii kha taarifa husikia au😂😂😂😂😂
@magesamagesa5523
@magesamagesa5523 Год назад
Hongera sana mhe daktari wa uchumi binafsi nimekuelewa sana,
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Год назад
Mwigulu hatufai
@muhammadsungura3133
@muhammadsungura3133 Год назад
Wazir wa hovyo
@leonardmakwela3407
@leonardmakwela3407 Год назад
Congrats mwenyekiti, Una hekima kubwa ! Mh Mwigulu leo nimekukubali
@mengifrank8070
@mengifrank8070 Год назад
Naww mnyatulu nn hekimayake ipowap apokutozwa makato makubwa ivoo kwawatu wahali yachin
@grasianmalango2040
@grasianmalango2040 Год назад
Ongera mwiguru nmekuelewa sana
@floramwanja7860
@floramwanja7860 Год назад
Mwizi n hyo samia serikali ya awam 6 hovyoo hovyo
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Kabisa
@Princewaweru
@Princewaweru Год назад
Mwenyekiti ni mrembo sana
@nizarmanji5343
@nizarmanji5343 Год назад
Mpaka hapo hauna baya na mama oyeeeee.... Hilo la kusamehe wawekezaji na kuwanyoosha masikini ni kweli...acheni kutunyonya masikini bhana
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Год назад
Tuna waziri wa hovyo Sana ,yaani mfumko wa bei unaona upo sawa? Subirini 2025 tutaona
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Год назад
Ww ndo wa hovyo waziri yupo sawa
@mwingwasolozi8651
@mwingwasolozi8651 Год назад
Kale maandazi.
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Год назад
Mfumuko wa bei upo dunia nzima hadi USA kwenyewe mambo ni moto sasa mnataka Tz isiwe na mfuko wa bei as if Tz ipo nje ya dunia?
@peterkilasara4828
@peterkilasara4828 Год назад
Uchumi uko vizuri: Container 40ft Dar to Arusha 1.8M lakini kusafirisha Transformer 100/33 kutoka Arusha kwenda Pwani kutoka Tanelek Arusha ni zaidi ya 1.7M…. ni Tanzania ya leo, uchumi wa Kati. Tanesco hawana Transformer…. Nunua yako… bei na transport hapo! Maskini wanaongozwa na nani? Billion Billion Billion … nk
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 Год назад
Mnasamee matajili, mnawatoza masikini. Iyo ni kweli kabisa ata aibu huna
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Год назад
No state control. Waziri unajibu hoja kwa mihemuko. Kuwa mchumi na kutendea haki taaluma Ni vitu viwil tofauti. Tuna wachumi- wachumia tumbo.
@ligwalambakondeo5199
@ligwalambakondeo5199 Год назад
Yani Waziri wa fedha unasema suluhisho la ajira kwa watu takribani milioni ni kusamehe Kodi wawekezaji ili waajiri watu. Hatari sana, badili mifumo ya elimu ya hovyo inayoandaa watu waajiriwe tu. Mifumo ya elimu ni ya hovyo
@ariesastrology5708
@ariesastrology5708 Год назад
Kama nchii hii imeingiwa na mfumuko wa bei kuwa juu,hata kodi zetu hazina maana....mnanyonya kodi hadi wa hali ya chini kabisa,hii si sawa
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Год назад
Nenda kwenye nchi isiyo na mfumuko wa bei kama ipo kaka Kenya , Uganda kote ni vilio vya mfumuko wa bei
@amosafrica2350
@amosafrica2350 Год назад
Huyu mwenyekiti anayeongoza kikao naye ana shida. Watu wanaomba taarifa, kuhusu utaratibu yeye amebunda tu
@karoliwilliam8877
@karoliwilliam8877 Год назад
Mwigulu uko vzr sana
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Ameshindwa kujibu hoja! Aliyekuwa na dhamira ya kweli kuwabeba masikini alishatangulia mbele ya haki lakin ninyi akina mwigulu ni uongo mtupu mnayasema hayo kwa faida yenu na familia zenu
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Год назад
Kosa la mwigulu hapo ni lipi? Kosoa kwa hoja
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Год назад
Ndio mnampanda masikini au
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 Год назад
madarasa sio pesa ya covid tena na sio za tozo tena jamani mbona mnatuchanganya hivyo
@elishebawerema7155
@elishebawerema7155 Год назад
Taarifa mbona hamuipokei?
@alexdukes5547
@alexdukes5547 Год назад
We waziri ni laana wa nchi hii ,unafoka foka unalaapu chikichiichikichii ungekuwa baba mwenye nyumba sijuwi tu hiyo families ingekuwa vipi
@kisotatiitye8221
@kisotatiitye8221 Год назад
Waziri hovyo , jibu hoja mpina acha lecture
@remmychilongozi9677
@remmychilongozi9677 Год назад
Na tozo tunazokatwa zinakwenda wapi?Mwigulu aache kujibu kirahisi rahisi tu
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Год назад
Madarasa hujayasikia hapo?
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 Год назад
Hayo ni majibu au mipasho
@khalfaniutaly1303
@khalfaniutaly1303 Год назад
Tumekuelewa waziri hongera sn hao wengine wanataka madaraka
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Год назад
Aiseee!!
@ngusawales2039
@ngusawales2039 Год назад
Mpina uko vizur ila mwenyekit duuuhhhh!!!
@israelherman4984
@israelherman4984 Год назад
Mwenyekiti wa bunge mbona hataki taarifa?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Год назад
Wewe Mwigulu Mungu anakuona, kwani hakuna mfumuko? Pamoja na hayo Nyerere alikusomesha bure na bado hatukuwa na mfumuko
@celinamosha9420
@celinamosha9420 Год назад
Mungu atakuonyesha yeye kwa jinsi unavyotufanyia
@charlesbonny3242
@charlesbonny3242 Год назад
God and Jesus life
@babalao910
@babalao910 Год назад
Duh! Shetani amewekeza sn TZ.
@godblesskasamwa888
@godblesskasamwa888 Год назад
Angekuwepo maguli asingekuwa waziri tena maisha yake hana hoja kabisa
@neutraltv9393
@neutraltv9393 Год назад
Uyo magu aliyeficha mapene china au mwngine?
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Na huyo Mwigulu nae kaficha wapi?
@rajabali2574
@rajabali2574 Год назад
Kwani madarasa si mlisema ni mkopo wa covid?
@athumanhassani805
@athumanhassani805 Год назад
Huyu anapenda siasa kila sehemu analeta siasa
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 Год назад
Waziri nimekuelewa sana
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Год назад
Hongera sana mwenyekiti huyo wataarifa katowe taarifa kwa mama yake.
@reonaldmsenga5525
@reonaldmsenga5525 Год назад
Kama ungekuwa unajua maana ya taarifa basi usingemtusi
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Wew ni mjinga saaaaana
@matimbwamtotom3150
@matimbwamtotom3150 Год назад
Ili ndio tatizo la wabunge wa chama kimoja mimi mwenzenu nimechokaaa
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Год назад
Mh. 👍
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Год назад
Taarifa taarifa taarifa husikii au makasiliko ya nini Sasa😄😄😄
@billgussy6099
@billgussy6099 Год назад
Anaye sema mwenyekiti taarifa kapigwa na kitu kizito🤣🤣
@solomonkuyi1384
@solomonkuyi1384 Год назад
Uganga unapande zote mbili uwe unataluma ya kizungu au ya kienyeji wote ni uganga Tu. Kwani paraphysicology na uchawi ninitofauti .uwanga na uganga ni vitu viwili tofauti japo kuwa wote wanataluuma zao,mnadaganya kwa wasioyajua.
@yustogembege9161
@yustogembege9161 Год назад
Mwenyekiti mwenyewe kiziwi kama cyo kiziwi ana kiburi ko hasikii taarifa na utaratibu wa watu
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 Год назад
Uganga wa kienyeji tena bungeni duuu
@zakariaroitt5055
@zakariaroitt5055 Год назад
wazili waovyo kabisa
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 Год назад
Viwandani mshahara maskin unaujua mh,naamini Kwa sector binafsi mshahara na manyanyaso mengi
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Mwenyekiti usikii tarifa usikii hizo au unafanya kusudi mambo mengi yamebadilika tofauti yalivyokuwa enzi za JPM mzalendo
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Год назад
wanafunzi vyuoni hawajapa mikopo yao mnabaki mnadangya tu. watoto wetu wanahangaika tu. Ukweli mtupu ulizia vizuri
@WaziriJuma-m2p
@WaziriJuma-m2p 5 месяцев назад
Mwenyekiti anazingua kisa anaongea WAZIRI wa fedha kaweka foni Kwa wengine
@kingmandama8382
@kingmandama8382 Год назад
Kwani mwenyekiti ana matatizo gani 😭😭😭😭
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Год назад
HATUNA WAZIRI HAPA
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Год назад
Mwigulu na bashe kunakitu siosawa mnawafanyia wtz ndio mengine mkosawa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Год назад
MWIGULU!
@nestorylawrencemsoffe6539
@nestorylawrencemsoffe6539 Год назад
Mwenyekiti kwa nini unazuia taarifa, kuwa na haki.
@humphreynestory1005
@humphreynestory1005 Год назад
Oyoooooooooooooo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MPINA KUNA ANA HASIRA NA AWAMU YA 6 !!! MHESHIWA RAIS WETU KIPENZI SAMIA SULUHU HASAN TUNAKUOMBE KWA ALLAH,AFIA NA BUSARA UENDELEE KUTUONGAZA!!!
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Год назад
Sasa huyo mwenyektikwanini haluusu taalifa
@jacksonsungwana2344
@jacksonsungwana2344 Год назад
Mbona kuna wanafunzi kibao WA Elimu ya juu hawajapata hiyo mikopo?Hii nchi bhana !
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Год назад
Mwigulu amejibu vema kabisa
@reonandmpangalushu3434
@reonandmpangalushu3434 Год назад
Mwenyekiti wa bandia hovyo kabisa
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Год назад
Mbona mnatudanganya
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Sisi tunataka bei ishuka
@isackakyoo6446
@isackakyoo6446 Год назад
Mbona mnatutoza sisi tunaoanza lkn wa nje mnawasamehe
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Год назад
Anajificha kwenye wanafunzi na watu mnashangilia
@ennyngalawa2809
@ennyngalawa2809 Год назад
Mnachekesha
@andreakomba312
@andreakomba312 Год назад
kupanga bajeti shida mheshimiwa kwakweli mama tuondolee uyu anashidwa kujua hata watu wanaohitaji mikopo 😂😂😂😂😂
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 месяца назад
Spika umekalisha unapasha kiti vp hisikii taarifa
@remmychilongozi9677
@remmychilongozi9677 Год назад
Huyu Mwigulu ndiye aliwaambia watanzania wahamie Burundi,kwa ajili ya tozo,mama akasema zinajenga shule leo wanasema bajeti wametoa bilioni 160 hizi mbona ni tozo zetu?
@4hestatecompany20
@4hestatecompany20 Год назад
2025 iyoooo
@remmychilongozi9677
@remmychilongozi9677 Год назад
Mwenyekiti naye hafai kukaa kwenye hicho kiti hasikii taarifa
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Год назад
Mbn kama kuna kaugomvi
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Год назад
Sasa mzee mwigulu! Mbona unatuijia ju? Hilo povu sio la nchi hii!
@babalao910
@babalao910 Год назад
Mnawekeza kwenye Madarasa, hayo majengo tu yanafaida gn?? Waalimu hamuwaajiri, Hao watoto wanafundishwa na kina nani? ACHANENI NA HIZO SIASA WEKEZENI KWENYE ELIMU YENYE AJIRA.
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Год назад
Alisikia Una mtoja , kwani hela uvico si ndo zilijenga madarasa?
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 Год назад
Mwenketi Kauma Meno Hahahaha 🤣
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 Год назад
Hatuna waziri hapa make nikimsikiliza hoja zake simuelewi kabisa
@latifazakuani1218
@latifazakuani1218 Год назад
Kwa kweli Namshukuru Mheshimiwa Rais kwa kutoa Fedha na watoto wakapata mkopo. Mwanangu ni mnufaika, alikosa mkopo lakini baada ya bunge kutoa maelekezo kijana wangu naye amekua mnufaika
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Год назад
Matanufaika hadi lini watu tunalala njaa subirini 2025 mtaelewa somo na hiyo mikopo ya zuruma bamashinono
@joshuajeremiah1464
@joshuajeremiah1464 Год назад
Wewe nae mnafik inamana kumbe unashukur tu kwa kuwa mwanao kapata mkopo vp asingekuwa amepata kam hao wengne walivyokosa ungemshukuru rais au
@joshuajeremiah1464
@joshuajeremiah1464 Год назад
Ningekuona wa maana km ungesemea kwa faida ya wote
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Год назад
@@joshuajeremiah1464 kweli kabisa tunasumbuliwa na machawa ya bibi kizee uraisi wa bahati na sibu
@joshuajeremiah1464
@joshuajeremiah1464 Год назад
@@lilykarim8968 umeona ee
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Shida ya hawa viongozi wapo kisiasa sana lkn hamna uwajibikaji kabisa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Год назад
Na zile zilizopo China za bargaining amezipeleka nani na ni utawala upi?
@revocatuslugola6354
@revocatuslugola6354 Год назад
Hela zinaeda kwenye mpila
@hichayasin7244
@hichayasin7244 Год назад
WAGANGA WA KIENYEJI SIO WALIPAKODI?! WACHA ZARAU WEWE! HAO WAGANGA WAKIENYEJI NI WAPIGA KURA WA NCHI HII REKEBISHA KAULI YAKO EBOO!!!,
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Год назад
Mwigulu acha uzezeta watu wamesoma wanajua ujinga na wizi unafanya
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Год назад
Hatjaelewa uganga manake Nini bungen
@modestmasuba7765
@modestmasuba7765 Год назад
Mpina unavaa tai ya bendera yetu kumbe mwizi???
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Год назад
Mimi nauliza ,na madarasa ya tozo na cov19 Ni yapi?,
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 Год назад
Walisema madalasa yalijengwa nahela hizo Leo anasema wametowa hela yawap tena lais kasema juzi kunahela ziko nnje hajuwi hayo mbona hajawai kusema kwani mbona kikaleo tunasikia makampuni yako hum ndan nayanasemehewa ukwel haupo mwenyekiti kwanini hapokei taalufa
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Mwigulu wizi ndo unajuwa uongozi huuwezi
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Год назад
TUNA MAWAZILI MIZIGO NCHI HII BAS TU
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Год назад
Waziri waambie Leo umeongea ukweli waache wapambane na waganga
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Год назад
Mgaga niyeye aliyerudi kwenye uwaziri kwa bahati mbaya ya kubebwabebwa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Год назад
Huyujamaa anakiburi
@silasponeka1773
@silasponeka1773 Год назад
Huyo mwigulu anaongea utopolo tu. Kutumia pesa inje ya bajeti ni kosa. Hapo ndio upigaji unaanzia
@yaledtibihika1307
@yaledtibihika1307 Год назад
Kwa nn mara ya kwanza walikosa? Kuna kitu hapo!!
@meckymecky5036
@meckymecky5036 Год назад
Hhhhhhh wanashindana
@eliapendamwinuka4222
@eliapendamwinuka4222 Год назад
Huyu mwenyekiti naye huenda ni kondakta wa yale mabasi
@hakieliya7507
@hakieliya7507 Год назад
Hivi huyu ni waziri au ni msemaji wa bing stars. Mpina hajasema kuhusu ada na madarasa maana hilo mlishakubaliana bungeni kasema ishu ya kulipa bilioni 300 kampuni ya simbioni hicho ndicho mmbunge alihoji, mwenyekiti unamlinda waziri wape wabunge nafasi ya kutoa taarifa wenye akili tunajua huyu anafanya ngojera, ndio maana alisema twende Burundi maana wanajua watakachokifanya ni kuwatesa watanzania.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Год назад
Mhmmm
@drdrex113
@drdrex113 Год назад
Jamani eee, si tuliambiwa fedha za madarasa ni kutokana na fedha za Covid? World bank na IMF? sasa kuchota za ndani tena imetokea wapi hii? Halafu mahitaji yote hayo kwa nn yawe ya dharura wakati takwimu zipo wazi kabisa...kwamba wangapi watamaliza shule kila mwaka na kuhitaji mikopo? Hapa kuna kilichokorogwa korogwa tuuuu
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Sisi hatutaki kuajilowa na wawekezaji tupeni ardhi yetu tukalime na kujiajili wenyewe sisi Huku kigoma mahindi yamefyekwa na kuuliwa mifugo yetu tuna miaka 40 tutajiliwa na Nani au nikututesa kweli Tanzania Haina haki kwa wasio wabunge na wafanyakazi tu.chemba kwa hayo uliyosema pumbafu mjinga were.
@godfreymashauri70
@godfreymashauri70 Год назад
Kweli hali ni mbaya,pole dada yangu,vipi ulikutwa na sekeseke la Kazaroho au Mwanduhubhanhu?
@afidhusultan4967
@afidhusultan4967 Год назад
Ukuma huuu mtu anaomba atoe tarifa ukuma unaendelea
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Год назад
Tuliwaambia bunge la walewale halina maana wala ufanisi
@omarrashid6543
@omarrashid6543 Год назад
Professionalism
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Год назад
Na wawekezaji wa ndani mbona hamuwasamehi kodi?
Далее