Тёмный

MABISHANO YAKISHERIA MBUNGE AWACHACHAFYA MAWAZIRI NA MWANASHERIA MKUU,SPIKA AINGILIA KATI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@user-nn3yy3ou2w
@user-nn3yy3ou2w 5 месяцев назад
Mungu akulinde Dr Tulia,unajua sana
@user-sk1xp8of6x
@user-sk1xp8of6x Месяц назад
DR tulia mungu akujaalie unaumakini sana na usikivu mkubwa hakika bunge letu imempata spika!! Hongera sana
@user-le1mq9od8w
@user-le1mq9od8w 5 месяцев назад
Tanzania mumshukuru sana mungu aliwachagulia speaker bora Mungu akulinde saana Dr. tulia
@salilamaigah1401
@salilamaigah1401 5 месяцев назад
Speaker hupo vizuri
@jimmundakega9480
@jimmundakega9480 5 месяцев назад
Safi sana madam Speaker.....World Speaker Dr.Tulia God bless you.
@jrelias9398
@jrelias9398 5 месяцев назад
Dr Tulia nakupa maua yako.
@petermwacha9909
@petermwacha9909 5 месяцев назад
Huyu dada ni komesha,nikomeshee hao wapenda kula wenyewe spika wangu mzuri.
@user-yt8db6et9q
@user-yt8db6et9q 5 месяцев назад
Hongera Sana dadangu Tulia unafaa Sana Kuwa kiongozi Mungu akubariki sana
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 5 месяцев назад
Kiukweli uwezo anao
@hipolitenestar9207
@hipolitenestar9207 5 месяцев назад
Hongera sn tena sn mwamba mwanisongore umegusa wengi ktk hili
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 5 месяцев назад
Daaah Mume wa huyu Dada/Mama Mashaallah Mashaallah Mashaallah More than bright 🎉
@farijala1
@farijala1 5 месяцев назад
Ndugu usihadaike na U Bright wa Mtu. Unaweza Kuta Mume anajuta Humo ndani. Maana Huwa inatoka kwenye Bright na KUWA Mtata na Mjuaji
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 5 месяцев назад
Huna Akili
@victorphilipo
@victorphilipo 5 месяцев назад
Ujachaguliwa kuwa sipika wa mabunge kimamosa mungu ungepata raisi kama mwamba mwenda zake inchi ingeturia kama jina rako
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 5 месяцев назад
Nilikuwa na kigugumizi na Tulia,lakini kongole yako spika kwa hili.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 3 месяца назад
Nadhani Mwigulu yuko sawa Mhe spika jamani.
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 5 месяцев назад
Nilikuwa sikuamini ktk maamuzi yako lakini kwa hili hongera sana
@NETIQIncorporation
@NETIQIncorporation Месяц назад
safi sana Mh. Tulia
@eliusngereza156
@eliusngereza156 5 месяцев назад
Huyu mama ndiye alitakiwa kuwa mfano waongoza Nchi kama Raisi ninahuwakika watu wangekuwa na imani Sana na uongozi wa wanawake
@chekanao4298
@chekanao4298 5 месяцев назад
alafu chonde chonde nyie wabunge tunaomba mtoe hizo sheria sijui ni taratibu , kuwa eti ajira zikitoka mahali wanasema kuwa muombaji asiwe na umri uliozidi miaka 26 au zaidi, kweli inauma sana kwetu sisi tuliomaliza chuo kikuu tumeishia kubaki nyumbani na hatuoni hata umuhimu wa kusoma kwetu. kama hata ajira zinatolewa tena kwa kubagua umri. inauma sana kwakweli. au unasikia eti awe na uzoefu wa miaka 3, sasa kama kila sekta wanasema hivyo huyo mtu anatoa wapi huo uzoefu kama kila mahali wanambagua kwa staili zao.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 месяцев назад
Huyu waziri mwigulu kumbe ni mjinga haelewi
@user-xc1wv5lm1u
@user-xc1wv5lm1u 5 месяцев назад
Yani spika ....unaakili wewe .....big up sana ...madam ...bila wewe hao kina mwigulu watatuambia tuende msumbijii
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 5 месяцев назад
Katambi unajichanganya sans,,hata madam redio anakuignore
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 месяцев назад
Ata mimi sio mbunge nimekuelewa vizuri.
@ethanethan4437
@ethanethan4437 5 месяцев назад
Nampongeza mh mbunge mtoa hoja hili swala ni la kibaguzi kabisa yaaani kupata tu hiyo nafasi ya JKT ni ngumu na kujuana kwingi kila chombo kina chuo chake cha mafunzo na mh Rais hutoa pesa za mafunzo ko kiondolewe tu then wataenda kupata mafunzo kwenye vyombo vyao vya ajira
@deohaule8161
@deohaule8161 5 месяцев назад
Ni ajabu kuona mawaziri na wabunge ku support uonevu kwenye kwenye ajiri za jeshi. Jeshi alijengwi na JKT, jeshi zuri linajekwa na nchi inayo toa fursa kwa watu wote wenye vigezo ili kupata best candidates. Leo jeshi la Uingereza na marekani wana ajiri waafrika kutumikia majeshi yao, wanacho jali ni umri wa mwombajo, tabia yake na afya yake na sio vinginevyo.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 5 месяцев назад
Mbona kwenye mgao wa umeme kukata Kodi ya majengo kwenye Luku hakuna kusikilizana mnaamua tu kweny kumbana mwananchi taarifa ni lukuki
@user-bw2ec1jb7b
@user-bw2ec1jb7b 5 месяцев назад
Mungu akusimamie spika
@tarisisnjau6060
@tarisisnjau6060 5 месяцев назад
Nashuku spka kwakujali watoto wakulima maana same saulika mama ❤
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 Месяц назад
lonanzaa ipya hapo sio mchezo happ jesho
@sanduulemo
@sanduulemo 5 месяцев назад
Duuuuh huyu mwana washeria, watz, anajibu jambo kama alikuwa hayupo
@emlongetcha88
@emlongetcha88 5 месяцев назад
HII NIAJABU SANA, KUNAWANAJESHI WENGI MNO AMBAO NINAWAFAHAMU HAWAKUPITA JKT NA AMBAO WAMEPITA JKT WAKO MTAANI BILA AJILA WANATAABIKA (SHIDA KUNA KUNDI LA WATU WAMEFANYA JESHI KUWA KAZI ZA WATOTO WAO) MWIGULU NA WENZAKE TUNAJUA MNATAKA WATOTO WENU TUU... NCHII DUU!! NIHUZUNI
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Nkweli
@chloecallie3619
@chloecallie3619 5 месяцев назад
Mh spika leo nimekupeñda zaidi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
Nakubaliana na Mh Muigulu 12:55-13:28 kigezo cha jeshi kisiwe cha lazima kiwekwe kama requirment. maana itamfanya muombaji kutosita kuomba kazi. kama hitakuwepo italeta utata kwa muombaji kuwa sasa kama ni jeshi inamaana lazima niwe nimepitia jeshi? Mh Muigulu nakubaliana nae
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
hello
@user-xc1wv5lm1u
@user-xc1wv5lm1u 5 месяцев назад
Unasemadje ...kigezo kiwepo wakati lengo ni kuondoa bias ...mkuu .....chukua vijana wakaanze upya...
@PartySekemi
@PartySekemi 5 месяцев назад
Kwanza huyu mwana sheria hajui kusoma amepewa tu cheo kama zawadi
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Aibu kweli, double standard employment hata kwenye critical positions or organs kama AG (Mwanasheria mkuu wa Serikali)...PAMOJA na Elimu yake kisheria, academic confidence ni muhimu sana, sasa AG anatetemeka, anababaika, je ataweza kuitetea NCHI katika masuala muhimu? Kweli hakuna wanasheria mahili kwelikweli nchi hii? Tunaleta uhuni na ushabiki hata kwenye critical positions kama AG.
@lameckmatonya
@lameckmatonya 5 месяцев назад
Hakuna mtu mgumu mbele ya hoja kuntu
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Nakubaliana nawe Lameck Matonya, we need such smart brains
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 5 месяцев назад
Shida watoto wao wanaogopa kwenda Jkt ndio maana wanakazia kuusu jkt mtapata tabu sana kuitoa jkt juu ya vyombo vya ulinzi na usalama
@getrudejohn9811
@getrudejohn9811 5 месяцев назад
Kigezo hicho kiwepo kama added advantage ila kisiwe cha lazima kuwazuia vijana wengine wenye sifa kupata nafasi. Kwa kuwa wanaenda kupata mafunzo upya.
@floramboto7571
@floramboto7571 5 месяцев назад
Mh spika upo sahihi sana respect
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 5 месяцев назад
Je majeshi ya nchi nyingine pia wa jkt, hicho kigezo sio sahihi,
@mwarabusaid5115
@mwarabusaid5115 5 месяцев назад
Kigezo kiondolewe hukuna maana yoyote kupita Jkt,
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 5 месяцев назад
Kweli wewe Dr wa Sheria
@user-lk3mk5eu8t
@user-lk3mk5eu8t 5 месяцев назад
Huyu mulimtoa wapi maana huwa huyu mwanashelia kumwelewa ningumu Sanaa
@songeza
@songeza Месяц назад
Pia wanaenda jkt wanatumikia na ajira hawapati wanarudishwa walikotoka
@bahatigwivaha2201
@bahatigwivaha2201 5 месяцев назад
Dr Tulia 100%. Saafi sana.
@user-db5hv2xw3y
@user-db5hv2xw3y 5 месяцев назад
Spika anajielewa sana.
@jonhpatukapatuka867
@jonhpatukapatuka867 5 месяцев назад
Kweli kabisa hata mm nilikosa nyafasi kama kijana kujiunga jeshi la wananchi kwkuwa sikupita jkt
@tarisisnjau6060
@tarisisnjau6060 5 месяцев назад
Amina mama
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 5 месяцев назад
Ovyo kabisa mtawapata askari ambao sio wazalendo Jkt ni misingi ya mwalimu nyerere
@mussacanal8025
@mussacanal8025 Месяц назад
Mmungu akupe afya njema na uhai mrefu
@user-db5hv2xw3y
@user-db5hv2xw3y 5 месяцев назад
Polisi namafunzoyake jkt anamafunzo yake.
@user-bw2ec1jb7b
@user-bw2ec1jb7b 5 месяцев назад
Spika uko vizuri dada
@mashakambugi6730
@mashakambugi6730 5 месяцев назад
Kigezo cha uzalendo kisiwe kichaka cha wajanja wachache kujificha.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Ni kweli kabisa, hii INAENDA hata kwenye Mikopo ya TAIFA kuwa initiated kupitia ikulu ili yakitokea madudu yoyote yalindwe kwa hoja ya kuyltoshitakika
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 5 месяцев назад
Itafika wakati hata mtu kuwa karani awe ametoka jkt pia. Polisi na mwanajeshi yeyote anapikwa toka mwanzo kutoka raia kuwa askari. Hiyo ya kutegemea jkt kuwa askari wa aina yoyote ile haina maana. Waende wakafundishwe kuanzia mwanzo. Waende fresh watoke askari. Added advvantage ndio hiyo imekosesha watu ajira kwa vile sio wanawake pale tangazo linaposema kuwa mwanamke ni sifa ya ziada
@GabrielSanga-fx1uy
@GabrielSanga-fx1uy 5 месяцев назад
Jamani ayo mambo mjitaid muwe unayamaliza toka 2021 maka leo hamja maliza tumeumia weng
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Smart point
@furahachuma9039
@furahachuma9039 5 месяцев назад
Katika hili, mh. Mwigulu ni janga la Taifa.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
kusema neno Mh Mwigulu ni janga lingine la taifa ni kutotutendea haki, kwani kwa msimamo yake isiyojinasibisha na uhalisia wa maslahi yetu a taifa aitwe tu Mwigulu na si (MH)
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Hongera Mh George Mwaisongole kwa hoja uliyoi-comment. Uzalendo kwanza
@mohamedmillanzi9070
@mohamedmillanzi9070 5 месяцев назад
Spika unasimama na wanyonge
@songeza
@songeza Месяц назад
Yupo kama makonda sasa tuseme hivi makonda rais tulia makamo😂😂 ndoto et
@niubility5745
@niubility5745 5 месяцев назад
Mwana sheria mkuu wa Tz ni kiazi , ulimi mzito ana shauri vipi serikali?
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 5 месяцев назад
Huyu si chadema hana sera hapo anstupotrzea muda nyrr alimwota malaya mtu wa namna hii ...akili za makaya ni kuzipuuza tu
@juliuslengai5089
@juliuslengai5089 5 месяцев назад
Taarifa zimekuwa nyingi mamae 😂😂😂😂
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 5 месяцев назад
Tumesema isiwe kigezo Cha kuajiriwa eti mpaka apitie j k t kijana aajiriwe tu siyo mpaka apitie j k t
@chloecallie3619
@chloecallie3619 5 месяцев назад
Mwigulu ulimwengu umekushangaa sana
@user-qd1fc4mq6o
@user-qd1fc4mq6o 5 месяцев назад
Mh. Spika hicho kigezo cha kupitia j.k.t. Kina hubaguzi kihondolewe kabisa. Hakuna kiwe kigezo cha ziada kihondolewe kabisa.
@niubility5745
@niubility5745 5 месяцев назад
Huyu ndie mwana sheria wa Tz? Hasara kubwa sana
@edwinmsuya3813
@edwinmsuya3813 5 месяцев назад
Hivi huyu mwigulu anafanya watu hawana akili
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 Месяц назад
sasa tutafanyje kwalo tutamsaidoaje lakino sheria haina onevuu
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 5 месяцев назад
Kiti lazima kiongee kisheria na sio ubabaishaji wa kitz.Kina kazi ya kusimamia maamuzi magumu inayoyapitisha sio kututungia sheria kila uchao vyombo vyote vya umma viwajibike.Usisahau kitengo cha ujasusi kile kinachoua wasomi na wanasiasa wanaotaka kuleta mageuzi yenye tija ndani ya nchi yetu.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Yaap user, tatizo ni USIMAMIZI WA UTEKELEZAJI WA MAAMUZI MAZURI YANAYOPITISHWA. RIPOTI ZA CAG huwa zinaishia wapi zaidi ya kumaliza fedha za ukaguzi za watanzania? Let's keep serious please.
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 5 месяцев назад
Mwigulu unaonaje tuhamie burundi pamoja
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 5 месяцев назад
Maongezi tuu .amna kitu .
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 Месяц назад
usiwbiebwacjechakato chakufanya ni kihakikisha thobotisho baruwa onayotumila kee ni yahalali jee baria tutazijuajebkiwa nobzahahali
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 5 месяцев назад
Haiko sawa hiyo hoja kwani bila shaka kuna watu wamenyimwa haki za kuaajiliwa hivyo mchakato unapaswa kubatilishwa
@songeza
@songeza Месяц назад
Uko makini speaker
@hamisikisinzah8113
@hamisikisinzah8113 5 месяцев назад
Sasa Kabisaaa, saaafi Saaanaaa!!!
@wanguwangu34
@wanguwangu34 5 месяцев назад
Leo Tulia tutulizie hawa mwaziri vilaza, ukiondoa Jery silaa nadhani wengine wote vilaza.
@emmanuelmsambya5293
@emmanuelmsambya5293 5 месяцев назад
Tulia ni master plan
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 5 месяцев назад
Mheshimiwa spika tunaomba hizo ajira zilizotangazwa zifutwe zianze upya
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
🤝☝️
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 Месяц назад
zakuithonisha kutowa hela kwa bano kuu
@hamisikisinzah8113
@hamisikisinzah8113 5 месяцев назад
Speaker Tulia yuko sahihi!!
@hamisikisinzah8113
@hamisikisinzah8113 5 месяцев назад
Sawa Kabisaaa!! Kigezo cha JKT kiondolowe!!
@samsonmwaipaja4839
@samsonmwaipaja4839 5 месяцев назад
Sawa Mh Spika huu ni utu
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 5 месяцев назад
Wewe tulia 2030 utkuwa mgombea mwenza wa makonda hiyo haipingwi popote chukua hii msg kaa nayo kwanza picha yko ilobaki ni uhai kuomba uwepo kipndi 2030 bc.
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 5 месяцев назад
Mheshimiwa spika tunusuri na hii ajira ya mkataba ya mwaka mwaka kwenye sekta binafisi maana tunanyimwa fulswa ya kukopo benki
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 5 месяцев назад
Mbali na yote ifike hatua Tanzania irekebishe changamoto za Muungano kupitia Katiba Mpya. Huu mjadala umeonesha waziwazi changamoto za kiutendaji linapokuja suala la Muungano katika kufanya maamuzi.
@kisinza6077
@kisinza6077 5 месяцев назад
Mimi naliona hili Kwa jicho la mbali sana! Hili jambo Mh. Tulia ametumwa, na hii ni mhsusi sana Kwa ajili ya watu flani wapo upande X Kwa Sheria ya ajira iliyopo hawawezi kupata nafasi, ila Kwa mfumo huu ukipita wateletwa kama Mvua Ili waliopo JKT waendelee kusubiri. Anyway! Ngoja tuone mpaka mwisho.
@RaphaelHhari
@RaphaelHhari 5 месяцев назад
mchakato wenyewe wa jkt haunauwazi,ndiyo unakuwa mwanzo wa mazingira magumu kwa usawa wa fursa ya ajira kwa kila mtu mwenye sifa za msingi, kwa vizuri kigezo hicho cha jkt kitupiliwe mbali
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
NAKUUNGA MKONO KISINZA, WAJINGA NDIO WALIWAO. Hii imepangwa ili nchi turubuniwe na kuona serikali imeamua kizalendo ili ipate political legitimacy kumbe utekelezaji ni uleule, kwani hakuna wa kufuatilia michakato ya ajira, wanajikosha, hawaaminiki. Hii imeletwa kimkakati ili itumike kama propaganda ya kizalendo aheading elections. Let's wake up please.
@giftkalenge418
@giftkalenge418 5 месяцев назад
kama sio la muungano mnaamuaje mambo ya Tanganyika?
@jacksonmalechera3424
@jacksonmalechera3424 5 месяцев назад
Kwa hii mh.spika uko juuu
@elbattawy2864
@elbattawy2864 5 месяцев назад
Kwa hili tu nampongeza Tulia, kule zanzibar pia wajifunze maamuzi haya
@songeza
@songeza Месяц назад
Tulia kisiwe kigezo cha ajira
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
KWELIII. MBONA NGUGU ZAO WANAWAONGIZA BILA KUPITIA JKT?.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 5 месяцев назад
Mimi napata shida sana kuelewa kwamba unaweka masharti ya kibaguzi juu ajira na hasa unamlenga nani?, watanzania ni sisi wote why tubaguane, ndiyo shida ya watue kuteuliwa Kwa nafasi ambazo hawakuzitaka, wanasheria wengi tz vilaza
@kisinza6077
@kisinza6077 5 месяцев назад
Tanzania visiwani oyeeeeeeeeee!!!!!! Vijana wote Unguja Pemba Kama kawaidaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 5 месяцев назад
Tulia sikiliza watu MTU anazungumza hajamaliza unadakia kana kwamba unajua kila kitu
@ellyitete938
@ellyitete938 5 месяцев назад
Kama namuona Limbe kule jkt kigoma alivyonuna
@EdwardMghuna-rg8rx
@EdwardMghuna-rg8rx 5 месяцев назад
Nawapongeza kwa hili
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 5 месяцев назад
Mwiguru kuna kikaango chako hapo ukisema kweli ni uongo ukisema uwongo ni uwongo pia hivi mtawezaje kuajiri mwanajeshi asiyepitia jeshini hapana ndugu zangu wabunge someni alama na nyakati tutakufa kama nzi acheni uvivu wa kufikiri wapo wenye sifa na wasio na sifa
@mohamedmillanzi9070
@mohamedmillanzi9070 5 месяцев назад
Hapo ni kati ya wanyonge na waliofanikiwa
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
really Mohammed
@user-di3mb3sr9p
@user-di3mb3sr9p 5 месяцев назад
Hatar sana
@emmanuelmsambya5293
@emmanuelmsambya5293 5 месяцев назад
Leo nimeamini mwigulu hana uwezo wa akili
@batiforakihwele7731
@batiforakihwele7731 20 дней назад
Hongera mh spika unafaa kuwa kiongozi unatoa maamuzi sahihi
@jumannegeorge5594
@jumannegeorge5594 5 месяцев назад
Unafaa Sana Tulia,.
@user-fr1tv3xk8d
@user-fr1tv3xk8d 5 месяцев назад
Chukua maua yakooo mamaانبعهههههحولبؤءةااااأ
@user-fr1tv3xk8d
@user-fr1tv3xk8d 5 месяцев назад
Wembe ni uleule usiwe
@imamuhamza
@imamuhamza 5 месяцев назад
Yani hawaaa wanataka wauzamitumba wazikdikuwaaa wengii mtaniiii hawana loloteee
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 5 месяцев назад
Kuajiriwa na sio Kuajiliwa, Utaratibu na sio Utalatibu, Ajira na sio Ajila. Hawa jamaa wanaharibu ufasaha wa Lugha ya Kiswahili. Warudi JKT.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
😂
Далее
Mchujo wa mawaziri wateule
1:00:05
Просмотров 522