Тёмный
No video :(

MAFANIKO YA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 1 CHA SERIKALI YA AWAMU YA SITA. 

GPSA Tanzania
Подписаться 287
Просмотров 48
50% 1

Mafanikio ya GPSA katika kipindi cha mwaka mmoja cha Serikali ya awamu ya sita ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Ununuzi.
Washiriki ni Bwana Mwakiselu Mwambange (Mkurugenzi wa Uendeshaji-GPSA), Bwana Erasto Raphael (Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA na Takwimu-GPSA) na Bi. Rustica Sanga (Meneja Maghala na Udhibiti Vifaa-GPSA) ambapo mtangazaji alikuwa Bi. Asha Haji kutoka TBC.
GPSA imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya Ununuzi kwa kuanza kutoa huduma zake kidijitali kupitia mfumo wa kielektroniki wa "GPSA Integrated Management Information System (GIMIS).
GPSA tunasema, "Pata huduma za Wakala kidijitali kupitia kiganjani mwako".

Опубликовано:

 

13 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
На фейсконтроле 💂
09:41
Просмотров 811 тыс.
Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake
3:29
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 718 тыс.
Raila’s walkover AUC win.
10:51
Просмотров 540
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 380 тыс.
На фейсконтроле 💂
09:41
Просмотров 811 тыс.