Тёмный

''MAKONDA usiogope, tunakuelewa sana, Mishale mingi inaenda pale patakatifu" Naibu Waziri Dr. Mollel 

Gilly Bonny Tv
Подписаться 495 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

''MAKONDA usiogope, tunakuelewa sana, Mishale mingi inaenda pale patakatifu" Naibu Waziri Dr. Mollel
Naibu Waziri wa afya Dkt. Godwin Molle amesema hayo leo tarehe 29 Juni 2024 baada ya kutembelea kambi maalum ya matibabu bure inayoendelea kufanyika katika viwanja vya Sheik Amri Abed Arusha.
Kambi hiyo iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda hadi kufikia leo imehudumia zaidi ya wagonjwa 25,000 ikiwa ni siku ya sita tangu imeanza

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@hawakiza6067
@hawakiza6067 5 дней назад
Wajifunze kutoka kwa makonda
@machujamathias7165
@machujamathias7165 5 дней назад
Makonda utafikaa Mbali
@ngelelanangale6798
@ngelelanangale6798 4 дня назад
Maneno ya hekima saana ya siyo na wivu wala unafiki yaliyotolewa na naibu waziri wa afraid kendal kwa makonda
@astrinomgesi-np5xv
@astrinomgesi-np5xv 5 дней назад
Mwamba Makonda
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 5 дней назад
Bureeeeeeee mmmmh sidhan
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 дня назад
Wacha chuki za kijinga Makonda kafanya kitu kubwa
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 5 дней назад
Kampen izo zimeanza
Далее
КТО ЭТО БЫЛ?
25:31
Просмотров 884 тыс.
КТО ЭТО БЫЛ?
25:31
Просмотров 884 тыс.