Тёмный

RC MAKONDA AKAMATA RISITI FEKI ZA MADINI MKURUGENZI ASHINDWA NA MAJIBU 

Adil TV
Подписаться 166 тыс.
Просмотров 99 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

9 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@johnbernad3990
@johnbernad3990 26 дней назад
Mh. Makonda Mungu akulinde sana maana na wewe wasije wakakufanya kama mpendwa wetu Dr.John Pombe Magufuli maana wewe ni Rais wetu wa badae
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 26 дней назад
Damu ya Kristo ikufunike uendelee kutimiza majukumu yako mwanangu
@auriliamushi4092
@auriliamushi4092 26 дней назад
Mkuu mungu akupe maisha nafatilia sana kI yako uko vizuri mno
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 26 дней назад
Kwa kweli Nchi yrtu inahitaji wakina Makonda 10 tu ili inyooke. Kuns madudu mengi mno. Mungu akulinde mwanangu nakupenda sana❤❤❤
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 25 дней назад
Daaih yani ikikupendeza mama yetu tunaomba makonda kila mkoa akae miezi minne minne mama tunakwomba
@user-np5rp2fi5t
@user-np5rp2fi5t 23 дня назад
Umeona ee
@MariagorethPetero
@MariagorethPetero 13 дней назад
Serikali sikivu italifanyia kazi😢😢😢
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 26 дней назад
Mkuu wa mkoa Tanzania ni makonda tu, bora awe mkuu wa mkoa mikoa yote.
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 24 дня назад
Kabisaaaaaa
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 26 дней назад
Tinaomba makonda aongezewe ulizi ndio lulu tulio baki nayo tu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 26 дней назад
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
@chandekaamiri3153
@chandekaamiri3153 24 дня назад
Makonda Mungu akupe maisha marefu
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 6 дней назад
Rc Makonda ni jdmbe la mafisadi wa jiji la Arusha ubarikiwe mungu akubariki
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 26 дней назад
Pia tuna pesa za kutosha ndo maana ndugai alisema sisi siyo watu wa kukopa pumbavu zenu mafisad wala pesa za walipa code
@Gamba81
@Gamba81 27 дней назад
Kuna madudu mengi sana katika hii nchii
@user-ih4ew6tq3z
@user-ih4ew6tq3z 26 дней назад
Mamayangu Samia muongezee ulizi uyu mwamba Ili anyooshe mambo...
@richardhosea8827
@richardhosea8827 26 дней назад
Wanatakiwa wengi Makonda's
@alimasimalembe3609
@alimasimalembe3609 23 дня назад
Makonda = Makufuli ❤
@SamwelDaudi-qj7js
@SamwelDaudi-qj7js 26 дней назад
Ila Tanzania ni nchi ngumu sana yaani kila kona ni upigaji tu
@JosephMagoha-zb3bb
@JosephMagoha-zb3bb 22 дня назад
Piga sipana hadi wanyooke muda siyo mrefu tunakukabizi nchi yote
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 25 дней назад
Wakuu wa mikoa yote.. Ya tanzania mwone kazi ya Hawa watu wanavyopambana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 27 дней назад
Walikua wanapigwa grisi Awazijui supana sasa wapigwe supana katikati ya Uma wa watanzania Supana makufuli junior Piga majambazi wote Ao 😂😂😂
@Nashoni-zp7gg
@Nashoni-zp7gg 26 дней назад
Baba makonda piga kazi tunakuombea sana
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 27 дней назад
Give the correct definition of the word basement🇰🇪🇰🇪
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 24 дня назад
Wakuu wa mikoa yote wafuate mfano wa Makonda.Mkoa wa Kigoma ukiwemo😢
@duncannjau1223
@duncannjau1223 11 дней назад
TZ people pay taxes and receipts issued. Kenya people do not want to pay taxes.
@mussaharun7257
@mussaharun7257 20 дней назад
Ni vema sana kuwa msikivu zaidi kabla ya kuwa muongeaji
@DeogratiusYesaya
@DeogratiusYesaya 23 дня назад
Najiulizaga tu hivi mikoa mingine haina matatizo IPO kimya wenye nayo.
@simonchristian6319
@simonchristian6319 23 дня назад
Kweli lakini
@leonardmwayeya13
@leonardmwayeya13 21 день назад
Jamani makonda uje nambarari
@user-pe1ii1et1r
@user-pe1ii1et1r 24 дня назад
Chama kimpe nafas y ursid
@kakuyajumanne7335
@kakuyajumanne7335 15 дней назад
Ila hili suala serikali ndo inafanya haya mambo
@kareem1182
@kareem1182 24 дня назад
Zamani uyuu jamaa nilikuaa namchukiaa ilaa sahviii awee raisii tuuuuu kwa kwel
@williammkenda5879
@williammkenda5879 25 дней назад
Makonda hoyee,,,pambana vaava
@anwaryrutenge5695
@anwaryrutenge5695 26 дней назад
Yan Jamaa fara huyu. jamaa anashindwa jielezea. Ahahah
@ElizabethMungo
@ElizabethMungo 2 дня назад
Mama anaupiga au haupigi
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 25 дней назад
Makondo ndiyo mtu pekee anaye wakilisha wakuu wa mikoa yote akika makonda aongezee ulinzi mama tunakuomba
@valenakomba7686
@valenakomba7686 22 дня назад
WATANZANIA ASILIMIA 90% NI WEZI NA WAPORAJI ZA MALI YA UMMA.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 17 дней назад
✔️✔️
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 26 дней назад
Nchi imeharibika sana hii 😢😢😢😢
@barakamanga5502
@barakamanga5502 19 дней назад
Nchii Hainan hata mwongozo, kila mtu anafanya anachoweza
@simonainea5387
@simonainea5387 22 дня назад
Eee bhana hamna kitu,😂😂 mnatuona matipa mnatutipua tu😂😂😂
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 25 дней назад
Nimwendo wa spana
@user-pr3hf4lm9o
@user-pr3hf4lm9o 21 день назад
Jpm is bark
@drtobias_
@drtobias_ 27 дней назад
Kaka kwa video hii wewe Bado uko nyuma sana
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 27 дней назад
Unaomba Kaz nin
@PANJAAJEREMIAH
@PANJAAJEREMIAH 24 дня назад
Apewe ulinzi Zaid uyu mwamba
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 24 дня назад
Kuna mambo yanauz Kuna watu wanakusanya ushuru ata kwa viboko kumbe izo pesa zinaingia mifukon mwa mbwa fulan
@nasibueleman-dw9dd
@nasibueleman-dw9dd 22 дня назад
Usibishie uyo Yuko saii Tanzania yote ndoivo
@mejamiela7436
@mejamiela7436 26 дней назад
Huyu nae sijui kwnn anatoa za mda hv
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 24 дня назад
Awa watj wamepata bahati
@imanimbwaga7005
@imanimbwaga7005 26 дней назад
sjaona shida ya huyu kijana
@user-kn3vy1qy6j
@user-kn3vy1qy6j 2 дня назад
Shida
@CristinLyanga
@CristinLyanga 25 дней назад
Mzibue kibao huooo!
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 26 дней назад
Yaaani wananchi bhnaa wanaweza kukuchomeaa tuuuu
@israelimarco6465
@israelimarco6465 22 дня назад
mama napendekeza umpe miezi 6 Kila mkoa
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 24 дня назад
Hii ni picha za ccm kwani huu ujinga unafanywa na wakina nani ji serekali yao wenyewe watanzania bila kubadilisha utawala nyimbo xitakua hizi hizi huyu kaiba huyu kafanya hivi mpaka mtachika
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 24 дня назад
Wanawadanganya wa n anchi mno. Hata wabunge pia wafanye kazi yao kikamilifu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 22 дня назад
NDUGU MAKONDA , UKISUBIRI MPAKA MIAKA MITANO MINGINE ETI IISHE NDO UGOMBEE URAHISI, HII NCHI ITAKUWA IMEKWISHA . TUNAKUOMBA FANYA CHINI JUU 2025 NA WEWE UGOMBEE URAISI HATA KAMA NI KWA CHAMA KINGINE LA SIVYO NNCHI ITATEKETEA.😢
@MWALIMUNASSORO-bj4ok
@MWALIMUNASSORO-bj4ok 24 дня назад
Mwamba Sana hyu jamaa
@AllySarumbo
@AllySarumbo 22 дня назад
Makonda ni mwamba nimdudu.
@user-iv5fk8uc5n
@user-iv5fk8uc5n 27 дней назад
Noma sana
@johnnyahi4875
@johnnyahi4875 25 дней назад
Ki0ngozi wajuu hajapoa anaupiga mwingi
@SamwelDaudi-qj7js
@SamwelDaudi-qj7js 26 дней назад
😂
@MarthaMaduhu
@MarthaMaduhu 26 дней назад
Piga kazi jembe la magu
@MobegiOmwenga
@MobegiOmwenga 23 дня назад
Ata magufuli alikua kujifanya anajua sana.sio wote ni wako.jipange wacha uzuri unapangiwa mabaya mbwa wewe
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 15 дней назад
Kajifunze kuandika kwanza ndio uje kukoment
@MobegiOmwenga
@MobegiOmwenga 23 дня назад
Ma side show.utafaili tuu kuku wewe
@onesmoshija9904
@onesmoshija9904 27 дней назад
Mweshimiwa mwenyekiti, mkuu wa mkoa
@Gamba81
@Gamba81 27 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 26 дней назад
😂😂😂
@emmaa_God1
@emmaa_God1 26 дней назад
😅😅😅😅😅
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 25 дней назад
Ameyatimba😂😂😂😂
@amirlehao8945
@amirlehao8945 25 дней назад
Nadhani watu wanaelewa sasa Mzee Kazi yake ilivyokiwa
@MWALIMUNASSORO-bj4ok
@MWALIMUNASSORO-bj4ok 24 дня назад
Mwamba Sana hyu jamaa
@MarthaMaduhu
@MarthaMaduhu 26 дней назад
Piga kazi jembe la magu
Далее