Тёмный

MAMA ALIYEPOTEZANA NA WANAE KWA MIAKA 43/AFANYIWA SHUGHULI YA KUKARIBISWA NYUMBANI/DUA MAULID 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 78 тыс.
50% 1

Juzi Jumapili nilialikwa shughuli kwa Mwanahamisi Kigamboni shughuli ya Dua maalum kwa ajili ya kumkaribisha Mama yao mzazi ambae walipotezana nae ndani ya miaka 43
Tizama hapa mambo yalivyokuwa
#geahhabibu #GeahTv #Matukioyageah

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 426   
@madinakheri487
@madinakheri487 3 года назад
Wallah mama mtamu, mama ni pepo , mama nifraha, Allah tujaalie tuwapende mama zetu na tuwatunze.
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 3 года назад
Amiin thumma Amina
@aiysharamdhan899
@aiysharamdhan899 3 года назад
Aamin
@themagadir
@themagadir 3 года назад
Ameen
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 года назад
Ameen,amen,Allah huma ameen🙏mashaallah mama ni pepo mwanahamisi,Allah akupe yenye kheri,umefanya jambo kubwa sana kumsilimisha mama,una pepo yako Aakhera,mtunze mama sasa asahau maumivu yake,utaipata pepo yako dadangu😍
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 года назад
Aamiin
@aiysharamdhan899
@aiysharamdhan899 3 года назад
Allahumma amiin mwana hamisi mungu akuzidishie Baraka Tele ww namama yako mzazi umefanya jambo jema lakumshukuru mungu nimekupenda Bure Dada nawaombea kwa Allah muishi maisha marefu
@mohgamhooga1270
@mohgamhooga1270 3 года назад
Masha Allah,,,,mungu awajaalie waendelee kuwa wote mama na watt wake wasiachane tena
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 года назад
𝖠𝗆𝗂𝗇𝖸𝖺𝗋𝗋𝖺𝖻𝖻🙏
@salehnassor8980
@salehnassor8980 3 года назад
Amin ya rabi
@kefrinpatson7800
@kefrinpatson7800 3 года назад
Nampenda sanaaa mwanahamis jaman.mwanahamisi upatapo ujumbe huu jua kama nakupenda sana.naitwa mama Devi kutoka mwanza
@mattydesigns127
@mattydesigns127 3 года назад
Wewe Kama mimi
@halimaburusi1776
@halimaburusi1776 3 года назад
@@mattydesigns127 Mama Devi mm apaa
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Hata mimi wallah Allah ambariki sanaa na baba yake mdogo
@chainbre275
@chainbre275 3 года назад
Wa tz Wana upendo n'a umoja snaa kuliko east Africa yani nyinyi muna ogoza kwa upendo MUNGU awazidishe roho Safi 🙏🙏
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
True
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Amiiiin
@thedeentv9325
@thedeentv9325 3 года назад
Amin ❣
@mariamsudi8845
@mariamsudi8845 3 года назад
Amiin yarabi
@vj8313
@vj8313 3 года назад
Amen, karibu Tanzania
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 года назад
Mabrook daa mwanamisi Allah azidi kukufungulia milango ya BARKA,akuzidishiye moyo huo huo mpende mamako dadaa
@lydiachembe9376
@lydiachembe9376 3 года назад
Masikini 😭😭 nimekumbuka mama angu jaman wazazi watam mungu wapumzishe kwa aman wazazi wangu 🙏🙏
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Pole sanaa
@magrethgirimwa8971
@magrethgirimwa8971 3 года назад
😭😭
@fatmahassan2554
@fatmahassan2554 3 года назад
Amiin ,mm had machoz ymenitoka iwsh awe wangu..
@aisharenatus1678
@aisharenatus1678 3 года назад
Pole
@africa7479
@africa7479 3 года назад
Pole jmni
@manenokawawa5708
@manenokawawa5708 3 года назад
Nimejikuta nikitoa machozi ya furaha jmn allah mkubwa jmn nimefurahi mama kuwa mwislam mashaallah
@aishaally2730
@aishaally2730 3 года назад
ALLAHUMA BARIK YARAB am so happy for them
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 года назад
Mashaa allah alhamdulilah mungu mwema wallah hakuna Kama mama❤️❤️🤲🙏
@happysanga3909
@happysanga3909 3 года назад
Nani Kama mama dada tunaishia kuona Mama wawenzetu pumzika kwa amani Mama nimekumic kipenzi changu mungu akupe maisha ya Furaha Mama angu
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 3 года назад
Mashallah wap mzee taji na kanzu yake ya blue 🤗🤗mzee mwenye pepo yake kesho akhera inshallah aliamua kumuacha mke mwenye roho mbaya km izirael ili aoe mke mwenye roho nzr kidogo ili amlelee watt wa Kaka yake maisha mrefu kwake mzee taji 💋💋
@fesalchambuso8023
@fesalchambuso8023 3 года назад
🤣🤣🤣🤣etiii kma ezeraili
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 года назад
Amiin Yarrabb
@deborahlyelu9114
@deborahlyelu9114 3 года назад
Ni wachache Sana mungu ampe kila lililo jema mzee taji
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 3 года назад
@@deborahlyelu9114 amina 🤲
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 3 года назад
Alhamdullillah hakuna kama mama katajwa ktk quran mara tatu mama wa 4 ndio baba tuwapende wazee wetu
@madinakheri487
@madinakheri487 3 года назад
Mashaallah Allah awajaalie maisha mema wamtunze mama Yao wapate pepo.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 года назад
𝗂𝗇𝗌𝗁𝖺𝖺𝗅𝗅𝖺𝗁 𝖺𝗆𝖾𝗇🙏
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
Ma shaa allah , mwenyezi mungu azidi kumtunza watoto wake wapate raha za mama na baraka
@ramadanswelem9709
@ramadanswelem9709 3 года назад
Dada Gea Habibu umefanya moja ya Ibada Jazaa yko utaipata kesho kwa Mwenyezi kwa kuikutanisha hyo Family Maashaallah Maashaallah Maashaallah Maashaallah.
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
@@ramadanswelem9709 ni kweli mungu amjalie pia
@baiaaa2809
@baiaaa2809 3 года назад
Samahani khadija shem wa khumud
@shamijuma7259
@shamijuma7259 3 года назад
Ma sha Allah,hila huyu mama mpole sana mpaka anatia huruma
@mariamufungo9619
@mariamufungo9619 3 года назад
Ni kweli na ndiyo maana hata huyo marehemu baba yao alimtesa sana na mpaka kumpokonya watoto
@johntay8813
@johntay8813 3 года назад
Furaha niliyonayo hadi kiliyo kumuona mama karudi katika nuru ya wi islam Mashaallah
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 года назад
Inapendeza sana' Mungu ni mkubwa alhamdullilah
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 3 года назад
Mama mpole Sana hata kaa yake yakinyonge ndo mana alidhulumiwa watoto na mumewe ona sasa maajabu ya Allah wetu takbiiiiir
@wamburasungura6812
@wamburasungura6812 3 месяца назад
Acha ujinga hujui kilicho tokea mbona baba kawalea vyema na wanamaisha mazuri
@mariamali1887
@mariamali1887 3 года назад
MashaAllah mashaAllah Allah barik. Kila nikitzama machozi yananitoka kwa furaha. Nafuraha imezidi mama pia kuingia ktk nuru ya uislam mashaAllah mashaAllah 👌👌😘😘😘❤❤❤
@habibarashid2997
@habibarashid2997 3 года назад
Nimejikuta nafurah kama vile nimemuona mama anguu 😭😭 mlio na wazaz mumshukuru mungu wakat wote kwa wengine twataman kumuona mama hata sekunde moja lakn ndio haiwezekana teena 🤔🤔
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 года назад
Polesana tukowengitunatamani kuwanaojapo dakika
@habibarashid2997
@habibarashid2997 3 года назад
@@fatemaligalawa1918 Asante mwaya pole na wewe pia ,tujitahd kuwaombea kila wakat mama zetu 🙏
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 года назад
@@habibarashid2997 Akika Dua ndiochakula chao ira mm wazaziwangu wote wametangulia
@EustaceRimoy-sg6lc
@EustaceRimoy-sg6lc 3 месяца назад
Jaman tazama ilivyo vyema na kupendeza ndungu wakipatana na kufurahi kwa pamoja mashalaa ❤
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 3 года назад
Mashaallh hata mm namtafuta baba Wa mtot wangu ni miaka 41 Sasa sijui alipo Jina laje ni jamali nilikutanaga nae kibaha alikua anaishi na mzee Haji jiraniake alikua ni mama pii sijui nampataje hadi Leo nasikia tuu kwa ni katoro na sijui katoro ni wa
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 года назад
Mungu mkubwa jaman mama mtamu hakika nimejiskia furaha sana kwahatuoa mliofikia hongeren sana na Mungu a waweke pamoja
@shamsakihobya4811
@shamsakihobya4811 3 года назад
Jamani nililia sana siku ile mama amekutana na watoto wake?ba mdogo Allah akupe maisha marefu jinsi uli vyolea hao watoto,mama pia ongera kukutana na watoto wake lngawa Aisha alifariki basi ni mapenzi ya mungu.
@djdj3urj88
@djdj3urj88 3 года назад
Mwanahamisi nakuunga mkono namie mama angu ningepoteana kama wewe nahisi ningefurahi namie lakini nimezika sitamuona tena nimelia sana mungu akujalie
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Allah awarehemu mama zetu awaweke penye wema pepon
@shamijuma7259
@shamijuma7259 3 года назад
Pole sana inauma sio siri kikubwa kumuombea duah,kesho kwa mungu utasimama naye in sha Allah
@mariammbodze2649
@mariammbodze2649 3 года назад
Pole Sana
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 3 года назад
Amiin
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 3 года назад
Mashaallah dada angu mungu akujalie kwa kusilimisha mama yako mungu akulipe duniani na haela
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
Amiin Amiin Amiin tabarak rahmani❤
@nusuramiraj5537
@nusuramiraj5537 3 года назад
Mashallah mama Analia kwa furaha🥰🥰🥰
@munaashmahmoud1862
@munaashmahmoud1862 3 года назад
maashaAllah ALLAH amuweke mama ampe umri mama aipe furaha familia
@geturdablatch9706
@geturdablatch9706 3 года назад
I'm thankful congrats to Mwana and everyone make it possible. ❤
@aminachaulaya278
@aminachaulaya278 3 года назад
Nimemkumbuka mama yangu nimelia m/mungu akupumzishe mama yangu
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 3 года назад
Mashaallah tabarakallah mngu akuzidishie umri mrefu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Ongera sana MWANAHAMISI kwa kumpokea mzazi wako.Mungu akubariki sana.
@leilamdee2213
@leilamdee2213 3 года назад
Asante sana dada umefanya vizuri
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Dada Gia Daba hilo lililopigwa hapo nzuri sana
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 3 года назад
Nimependa . Walivyo msilimisha ni jambo adheem hili hawakutaka Mama apotee 😍mashaallah mfunze na ibada amjue zaid allah na amshukuru sana kwa hili maana ni miujiza ya al jabari.
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 года назад
Hadi machozi yananitoka...mashllh karibu katika njia ilionyooka
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Ooh mungu ni mwema jamani inshallah mungu awajalie mema hii familia inshallah geah na yule msichana aliye enda na mamake akiwa tumboni alikuja kweli? Its amazing.
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 3 года назад
Kasema yule hawapatani yupo Nairobi
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 года назад
@@rizikibakar3186 In Shaa Allah, tumuuombee kwa M/mungu amuhidi ili apate kurudiana na mamaake ili nae aje fahamiana na ndugu zake. Aamin
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 года назад
Allah awajaalie furaha milele daima na awazidishie nuru ndani ya nyumba yao
@aminahussein327
@aminahussein327 3 года назад
MashaAllah Allah azid kuwaajaalia furaha itakayodumu milele🤲🤲
@esthernambeye627
@esthernambeye627 3 года назад
Asante mungu kwa wema na upendo na mimi mwomba mungu siku moja kaka yangu aje aonekane
@saidyssaley1509
@saidyssaley1509 3 года назад
Mama kang'ara Masha Allah ♥️🥰😍
@shanaharuna217
@shanaharuna217 3 года назад
Mashallah*Allah awape Umri mrefu* Hongera Baba Taji kwa Moyo wa pekee
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wallah nimekosa comment nimeishia kulia tu basi mashallh 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Dah jmn😥😥😥
@jenedmohamed8985
@jenedmohamed8985 3 года назад
Kiswaili
@jenedmohamed8985
@jenedmohamed8985 3 года назад
Simba nayanga
@jenedmohamed8985
@jenedmohamed8985 3 года назад
Kiswaili
@jenedmohamed8985
@jenedmohamed8985 3 года назад
Kiswaili
@mwajumaabeidy8137
@mwajumaabeidy8137 3 года назад
Unafanana na mama yako habibty ' nafurahia furaha yako mn sio jambo dogo kwa kweli.Mungu Aishikanishe pamoja furaha yenu milele
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 3 года назад
Safi sana mama ajisikie vizur. Maana najua alikuwa naaibu frani, miaka ilikuwa mingi mno.
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 3 года назад
Mashaallah mashaallah Allah awape mwisho mwema
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 года назад
Mashallah maboorkin mama mtamu jamanini mama pepo mama ndiyo kila kitu katika duniya hakuna mama wakusikiziwa daima mama yako ni mama yako hakiwa hai muonyeshe upendo wallah raha nawapenda hakina mama wote😍😍😍❤
@mwanaashasoud2561
@mwanaashasoud2561 3 года назад
Mungu awabarik inshaallah iwe kheir
@habibamoh1043
@habibamoh1043 3 года назад
Allahu awapekheri nyingi mama namtoto
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 года назад
Hongera saana mwana hamisi mungu a nawapenda saana inshaallah muwe na maisha mema
@nooor1120
@nooor1120 3 года назад
MaashaaAllah mama kangara uso km sasahivi kashuka kutoka ulaya.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
Yaani hawakuona jema jingine zaidi ya kumsilimisha mama. Jamaani
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 года назад
Mashaallah tabaraka Allah mama kaslim thakbr, Allah awarehem sie ambao wetu wametangulia mbele za hakii Ameen Ameen, na walo nao wazazi Allah awape afya njema na maskizano mama ni kila kitu katika dunia
@fauziatumbo8221
@fauziatumbo8221 Год назад
Hongera sana daa Mishi kwa kumkaribisha mama vizur
@faridambarakaalafary9974
@faridambarakaalafary9974 3 года назад
Mashallah mwanangu Asha jina lautoto hongera kwakumslimisha mama
@faridambarakaalafary9974
@faridambarakaalafary9974 3 года назад
Mashallah baraka llah
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 3 года назад
Mipango ya MUNGU haichunguziki !!! Mola awatunze 🙏🙏🙏
@tomi4055
@tomi4055 3 года назад
yaani mwanamisi kafanana sana na mm yake masha Allah
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
Hapo kwa kumsilimisha kwa dini ya haki pame nifurahisha sana
@mundhiraliy1307
@mundhiraliy1307 3 года назад
MashaAllah❤ Allah atuzidishie mapenzi kwawazazi we2 🙏
@joharihussein2182
@joharihussein2182 3 года назад
Mashaa Allah Allah AKBARU wallahi hadi raha kumuona mtt anampeleka mama ake kwenye kheri.
@jamymfinanga8619
@jamymfinanga8619 3 года назад
Wew mwanamis wew mungu akupe maish maref jaman nimejikuta machoz yananitoka jaman mmh mungu awape maish maref na mama yenu kah yaan mama wawatu analia kwa furaha jaman mungu kamkutanisha na watot wake
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 3 года назад
Happy women’s day to all of the women’s in the world 🌎
@msengaalawi2035
@msengaalawi2035 3 года назад
Ama kwa hakika pia ashukuriwe na baba yenu kwa kuwalea kidini na leo mmeslimisha mama yenu kiukweli nimependa sana , mwanaamisi na nduguzo mmefanya Jambo na uishi vyema na mumeo mungu ni muweza
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 3 года назад
Uso wa mama sahizi una nuru tofauti na akivyokuja
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 3 года назад
Maumivu ya watoto wake yalikuwa moyoni,mzigo kautua ,amani ya moyo nayo ni tiba tosha
@midasheby6445
@midasheby6445 3 года назад
Kwakwelii atachipuwa upyaaa huyuu watamshangaaa
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 3 года назад
Mungu nimwema kwa wote
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 3 года назад
Mashallah mama kapendeza
@bintabou828
@bintabou828 3 года назад
Mashaallah mashaallah
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 3 года назад
Mama mama ndio Mungu wetu wa dunia Mungu baba tulindie mom zetu 😍🥰🥰
@omanoman2044
@omanoman2044 2 года назад
Maashaallah TAQUBIIR TAQUBIIR
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 3 года назад
Hongera mama Na wanae. Maulid yameharibiwa sana na wabubifu
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 года назад
Mashallaaah hakika inapendeza sana allaah awabariki watu wote mliohuzulia allaah awape furaha familia furaha ya dunia mpak akhera
@qilil7
@qilil7 3 года назад
ALHAMDULILLAH ALAA NIIMAT AL,ISLAAM
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 года назад
Masha allah mungu awabariki wanafamilia
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 года назад
MashaAllah Takbir Allahu Akbar 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 aka bachuchu mombasa
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦💎💓❤
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 года назад
@@rehemasalim4590 shukran
@themagadir
@themagadir 3 года назад
mashaAllah mashaAllah Allah awape furaha ya kudumu InshaAllah
@wardw3022
@wardw3022 2 года назад
MashaAllah MashaAllah Mungu ni mwema wallah
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 года назад
Allah awabariki hakika tusikate tamaa kwa Rehma za Allah mfundisheni mama kuswali
@shamilamo9159
@shamilamo9159 3 года назад
Maasha Allah mwenyezi mungu awazidishie upendo daima
@florandomba6822
@florandomba6822 3 года назад
Kula nikiangalia hii najikuta natokwa na machozi,,,,,,hongereni Kwa mapokezi mazuri ya mama,!
@husnahassan6289
@husnahassan6289 3 года назад
Mashaallah enapendeza mno mno Allah alidumishe jambo hili milele Allahumma Ameen
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 года назад
Masha Allah,bismillahi TABARAKA ALLAH ,ALLAH AZIDI KUIBARIKI HII FAMILIA NA DAA GEAH ALLAH AKUFUNGULIE MIANGAZA NA BARAKA KATIKA FAMILIA YAKO MASHA ALLAH JICHO LA HASADI LISIWAONE
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 года назад
Mama mwema na wtt wema mashaallah Allah awazidishie mapenzi baina yenu muendelee kumtunza mama yenu..kwani wengi wanalia na kutamani kuona mama zao angalau kwa dakika tu. Poleni na hongereni sana.
@mwamvuajuma8723
@mwamvuajuma8723 3 года назад
Mashaallah
@omarizuberi2300
@omarizuberi2300 3 года назад
Mmi nakupongeza sana dada mtangazaji kwa kazi yako nzuri uliyoifanya mungu akuongoze inshaalla naangalia nikiwa Qatar 🇰🇪
@christinajames2620
@christinajames2620 2 года назад
Mama nikitu ingine .Mimi mama yangu mzazi kaniacha namiaka mbili,nikaishi kwaa mama yangu mlezi,nae ameniacha nyie inauma mnoo.hongereni kwakumpata mama
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 года назад
Hongereni sana Mungu aibariki hii familia nawapenda
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 месяца назад
Mwanahamis umefanya jambo kubwa sana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 года назад
Da geya mungu akupe afiya njema nawenyefamiliyanjema
@zaitunihotti4110
@zaitunihotti4110 3 года назад
Subhanallah,mama mtamu kwakwel mama kabak anatoa machoz ya furaha tu🙏🙏🙏
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 года назад
Allahu akbar Allahu akbar maasha Allah..kila lenye shari ndani kuna kheri Alhmdulilah yaarab
@rehemaothman2185
@rehemaothman2185 3 года назад
Inapendeza Sana
@latiffamohamed7358
@latiffamohamed7358 3 года назад
Mashallah kila lakheir kwenu nyote
@rukiaathumani2330
@rukiaathumani2330 3 года назад
Mama ni mama wallah asiempenda mama yake hatoiona pepo ya Allah I love you mama yangu
@salmamwanyiro8348
@salmamwanyiro8348 3 года назад
Mashaallah mungu amjalie maisha marefu mama nawewe upate furaha
@ashurabihongo1498
@ashurabihongo1498 3 года назад
Masha Allah Masha Allah
@razikimustapha4731
@razikimustapha4731 3 года назад
MA SHAA ALLAH ALLAH AWAJALIE KHEIRY DAIMA
@maimunamsakamali9152
@maimunamsakamali9152 3 года назад
ManshaAllah duh natamani na me ningemuona mama hata kwadakika lakin ndio haiwezekan
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Kwahiyo huko Kenya miaka yote hakuwa na dini huyo mama? Alitafutaje wanawe bila maombi na kama aliomba aliomba kwa dini ipi? Mm muislam na mtu kusilim ni jambo zuri lakini kusiwe na shinikizo jmn.
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 3 года назад
True love kwa all family mungu awabariki
Далее
HUYU MAMA KAOGA MAPEMA LEO/WATU WA HUKU HAWAULIZI
9:47
MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE/MAJIRANI WATOA USHUHUDA
12:18
HEKA HEKA ZA MIKOPO MPAKA EFM
8:58
Просмотров 188
NATIKISA PENDO - BURUDANI ZA MASHAKA (4)
16:02
Просмотров 35 тыс.