Тёмный

MAMA AKUTANA NA WATOTO WAKE ALIOPOTEZANA NAO KWA MIAKA 53/AFUNGA SAFARI KUTOKA DAR HADI GEITA 

Geah Habibu
Подписаться 367 тыс.
Просмотров 65 тыс.
50% 1

Kupitia kipindi cha Leotena Cloudsfm kila mwaka ikifika mwezi wa tano tunatoa nafasi kwa wale wote wanaotafuta Mama na akina Mama wanaotafuta Watoto wao,Na mwaka huu tumekutanisha watoto na mama takribani watano mmoja wapo ni huyu Mama tuliomkutanisha na Watoto waliopotezana zaidi ya miaka 53..!
Wamekytana vipi tizama hapa ujionee mwanzo mwisho
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

11 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 313   
@smsalama6540
@smsalama6540 3 года назад
Wakwanza Leo jamani gongen like naomben ndugu zangu kweli damu nzito kuliko maji😔😔
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 3 года назад
Yaniii😥...Raha sana jaman daaah!asikwambie mtu mama mtamuu jamani Mungu awapumzishe wamama wote waliotangulia mbele za haki🙏🏽
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
Amina!
@shukridjibril6848
@shukridjibril6848 3 года назад
Amina dada angu 😔
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Allahumma amiiin
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 года назад
Hizi ndizo channel zenye Tija kwa jamii, Hongereni sana clouds media.
@neemazee1864
@neemazee1864 3 года назад
Jamani raha😭😭😭😭😭😭😭😭 msishangae nalia naona furaha mimi🤗🤗🤗🤗🤗ongereni sana!!!
@lissacosmas6978
@lissacosmas6978 3 года назад
Sasa apo unalia mbona tunaona emoji tu ndo zinalia
@ellvinkerush4920
@ellvinkerush4920 3 года назад
Ongereni tena sana👊
@neemazee1864
@neemazee1864 3 года назад
@@lissacosmas6978 wachawi amkosagi sasa we ulitaka nijirecord nalia... Uwezi juwa nilivyoona iyo vedeo jins nilivyojisikia kwenye moyo wng.. Au ulitaka iyo picha yngu apo ndio ilie.. Jiangalie bhn km umeshiba ugari na dagaa nenda kakojoe ukalale
@highthemetv7857
@highthemetv7857 3 года назад
Hatuja kushangaa mwaya acha kiherehere my 🌝🖐️
@neemazee1864
@neemazee1864 3 года назад
@@highthemetv7857, 🙏
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 года назад
Wamama tusiwe na vinyongo vikali hizi ni hasiraaa.....uwenda mama aliwakimbia watoto akawaacha na baba yao.Mungu mwema kawakuta hai
@nasseralhabsi1483
@nasseralhabsi1483 3 года назад
Huyu ni mama yenu kweli, sababu mnafanana sana.
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 2 года назад
Kama mtu na dada yake😭😭 GLORY TO GOD 🙌🙌
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 3 года назад
Manshaallah ❤️❤️Mungu ni mwanifu hakuna linalo shindikana kwake ni swala la mda tu
@babymkuya359
@babymkuya359 3 года назад
Wamefanana jamani sophia na mama mashallah😍
@shamzone388
@shamzone388 3 года назад
Jaman mungu mkubwa kawakutanisha leo miaka 51 sio mchezo
@nelsonjonathan5296
@nelsonjonathan5296 3 года назад
👏🏿👏🏿 𝙪𝙢𝙚𝙠𝙤𝙠𝙤𝙩𝙤𝙖 𝙫𝙮𝙚𝙢𝙖
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Hadi nimelia, dada Geah Mungu akutunze.
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 года назад
Mama ni mama jmn kapambana mpk kawapata wanae Wamefanana mashaAllah na binti ye
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 года назад
Jamani Hadi machozi ya furaha 😭😭😭
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 года назад
Wanafanana na binti ake. Huyo aliepata stroke
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Jamani Da Geah Mungu abariki kazi za mikono yako, wamefanana na mama yao 💞💞💞 Mungu ni mwema sana.
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 года назад
Haki ama kweli..wanafanana sana. Msichana anamtia mamake moyo asilie. Mungu Asante kwa kuwakutanisha pamoja baada ya muda mrefu.
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Год назад
Nimelia mimi😭😭😭😭
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 года назад
Yani nimelia mimi utafikili nawajuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ellvinkerush4920
@ellvinkerush4920 3 года назад
Kama mimi nimelia sana mungu yubo jamani
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 года назад
Had raha yaan.. Wamemfurahia. Wajukuu wacheshi Sana..
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 года назад
Allah awajarie jamani kazi nzur da gea
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Mbona machozi yamenitoka mm huku😭😭
@mwanaidijumanne4146
@mwanaidijumanne4146 3 года назад
Yaaan mm nimelia acha tu
@highthemetv7857
@highthemetv7857 3 года назад
Tunakujua una kiherehere 🌝
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 года назад
Hiki kipindi Kila nikiangalia ni machozi tu
@tumainirichard6298
@tumainirichard6298 3 года назад
Well done dada Gea Habib, kazi yako inaonekana na ni Bora Sana. God bless you for your effort.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 года назад
Mungu yu mwema jamenii ila mupelekeni mama sophia kwa maombi hali yake iwe nzuri afurai na mamayake
@zakwani885
@zakwani885 3 года назад
Alhamdu lillah lazima Utalia Masha Allah kuwaona pia ni uzuri na wamempokea uzuri Alhamdu lillah ni Jambo la furaha sana
@ellvinkerush4920
@ellvinkerush4920 3 года назад
Jamani kazi safi dada mutangasaji mungu yunawe 😥💪👊254 tuko bamoja👋
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
Masha allah nimejikuta nimelia walah kwa furaha jmn miaka 51 si kitu rahis
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Yani mpaka nimeria daaa maashallah maashallah Mungumwema
@aminatumbo7410
@aminatumbo7410 3 года назад
milima haikutani kweli binadamu Hukutana Hakika😭😭
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
Mungu ni mwema sana
@elidamathias6713
@elidamathias6713 2 года назад
Mungu ni mwema Baba angu kaniacha ni mimba tumekutana nikiwa na miaka 33
@saidhamad533
@saidhamad533 3 года назад
Kweli.usimzarau usio.mjua.unaweza mtukana mtu kumbe anakuhusu
@janemsamati6700
@janemsamati6700 3 года назад
Hongereni sana wapendwa, kweli milima haikutani, binadamu ukutana
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 года назад
Masha Allah bi mkubwa anafanana na bint yake aliyepata stroke
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 3 года назад
Bibi now you very happy Mungu Mwema sasa bibi Ata Ishi kwa Amani foreverrrrrr watoto wake ote hako Nao❤
@mariamsingo9910
@mariamsingo9910 3 года назад
Da Gea Mungu akutunze akupe wepes ktk Kila jambo.... Pengine bila wew uyu mama asingekutana na watoto wake mpaka umauti ungemfika, kweli milima haikutani na dunia kijiji... Furaha yao itafungua magum yako yote🙏🙏
@fainesimathiasi179
@fainesimathiasi179 2 года назад
Kaka zangu msizaee na kina mwajuma
@shukridjibril6848
@shukridjibril6848 3 года назад
Sawa kabisa geah my sister. God bless you
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 года назад
Nampenda mama sana hana shida🥰🥰🥰🥰💋👌👋
@nadhifahussein8802
@nadhifahussein8802 3 года назад
Mashallaah ❤❤
@abumoyo5341
@abumoyo5341 3 года назад
Mashallah Mungu azidi kuwakuza kwa mamaaa
@nooroman2535
@nooroman2535 3 года назад
Shukrani dada Geah
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 2 года назад
Don't juge . Mungu amsamehe madhambi yeke huyu mama nae dahhhh' mazingira makubwa
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 года назад
Alhamdulillah Da Gear Allah akubariki sana kwa kazi yako nzuri malipo yako kwa Allah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 2 года назад
Amiin
@asiaokelay8421
@asiaokelay8421 3 года назад
Masha Allah
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 года назад
Mashallah
@jacklinejohn222
@jacklinejohn222 3 года назад
So nice jamani 😭🙏
@adelinamushi2892
@adelinamushi2892 3 года назад
Nemekupenda sana Gehabibu
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 года назад
Mungu ni mwema jamani wazazi tuwaeleze watoto wetu ukweli
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 года назад
geah habibu unathawabu nyingi sana kuleta furaha kwa familia mbali mbali
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 года назад
Mashaallah mungu mkubwa kwa kweli wamefanana
@priscacharlescharles9014
@priscacharlescharles9014 3 года назад
😭😭😭Nani kama Mama jmn half wamefanana mno
@ellvinkerush4920
@ellvinkerush4920 3 года назад
Hakunakama mama jamani
@priscacharlescharles9014
@priscacharlescharles9014 3 года назад
@leonardinabalenzi4005
@leonardinabalenzi4005 3 года назад
Ni kweli wamefanana mno
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 года назад
Mashallah ni raha sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah, Allah Muweza.Barikiwa Da Geah.
@samsungoman5626
@samsungoman5626 3 года назад
Maashallah mungu awaweke
@mammyprincess6494
@mammyprincess6494 3 года назад
Mashaallah raha kamanini
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 года назад
Masha Allah Mungu mkubwa hongera da geah Allah akubariki
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
maashaallah maashaallah
@rukiaamadadi3582
@rukiaamadadi3582 3 года назад
Mashallah 🤗🌹💏😘
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 года назад
Mashallah 😭😭🤲🤲
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 года назад
Subhanallh..furaha ilioje
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 года назад
Maashaallah
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 года назад
Furaha irioje jamani miaka 51😭😭😭
@sarahadam4535
@sarahadam4535 3 года назад
53**
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 года назад
Hongereni sana kazi nzuri
@njaumalaika5377
@njaumalaika5377 3 года назад
Kweli Mungu mkubwa! Miaka 54!! Duh kama ndoto vile.
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 года назад
Masha allah tabaraqallah
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 года назад
Hongera sana Geah unafanya kazi nzuri
@ruqayyahmohammed3188
@ruqayyahmohammed3188 3 года назад
Mashaallah
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 года назад
Hongera Sana da geah Jambo jema hilo
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 года назад
Mashallah happy for you I wish na mm one day nionane na my dad💔💔
@muniraally6066
@muniraally6066 3 года назад
Mashalla
@sharifahamisi2034
@sharifahamisi2034 3 года назад
Mashallah wamefanana sana
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 2 года назад
Wôte wanafanana mashaallah
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 года назад
Gaeha habibu nakupenda bure yaani mbarikiwe ww na tim yako
@fanjafanja4022
@fanjafanja4022 3 года назад
😭😭😭😭😭Nataman na mimi mama angu angekuwa kapotea tu kam ivi nijuwe ipo siku atarud lakin kafa mama angu😭😭😭😭 miak 20 bila mama ni tabu nitakukumbuk san mama
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Pole sana
@ashurakichokera1636
@ashurakichokera1636 3 года назад
Pole sana dear Allah ampe kauli thabiti uko alipo inshallah,,,,, Allah awajalie maisha marefu wa mama wote dunian
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 года назад
Pole sana fanja😭
@candymusa5090
@candymusa5090 3 года назад
Pole sana
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Polee sana ishaAllah
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 года назад
Masha Allah bib bado mgum
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 3 года назад
Maashaallah kheri hakuna kama mama dunian
@elizalyimo2241
@elizalyimo2241 3 года назад
Daaa hadi raha nimelia kwa furaha kwa kwel
@naomisamsoni1040
@naomisamsoni1040 2 года назад
Mbarikiwe sana kwa kqzi hii njema
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 года назад
Mungu akubariki sana yeah wewe na team yako
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Duu hadi nimelia jamani 😢😢😢Sophia kafanana na mama yake 😥😥
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 3 года назад
Asante Mungu.😭😭😭
@sadasalum8778
@sadasalum8778 3 года назад
Allah is the best🙏🙏🙏
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 2 года назад
Soo touching. Geah ur doing a great job . Long Live Geah
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 года назад
Alhamdulilah
@wemapingu8937
@wemapingu8937 3 года назад
Mashaallah. Nani kama mama nimejikuta nalia Mungu mrehem mama yangu
@zarhamakame8753
@zarhamakame8753 3 года назад
Amina kwa xote waxee wtu walio tngulia mble ya haki
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 3 года назад
Hongera kwao
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Год назад
Mungu akubaliki dada Gea
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
Sa ndio nini kuniuliza hivi mtoto wa mwenzenu 😥
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 3 года назад
Jamani nimelia ila nimejikaza siamini jamani yaani wamefanana hatari yaani daaah 😭😍😍😍❤
@florencemlay9333
@florencemlay9333 3 года назад
Na wamwfanana yarabi🙏🙏🙏
@debiesalma5311
@debiesalma5311 2 года назад
Miaka mingi jamani kabla mama yangu ajazaliwa
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 года назад
Mashallah ila watoto wanamakosa kwanini wasitangaze kua wanamtafuta mama yao?mpka mama anawatafuta watoto duh Allah awape umri mrefu 🥰
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 года назад
Akikumbuka ule uchungu utumbo woooote unakataa...mtoto anaumaa yaaani mwenzanguu achaa tuuu
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 года назад
Wame fanana jamani ❤❤❤
@mwanamwinyimwakani9598
@mwanamwinyimwakani9598 3 года назад
Jamani mungu ni mwema ongera kwa da G
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 3 года назад
Ni furaha sana kukutana na mzazi wako hasa mama jamani ila hapa naona wazazi tujifunze kuweka wazi kwa Watoto endapo wametengana sio kuwadanganya watoto ili wasijue mzazi husika yuko wapi maana kuna wazazi wengine wanadanganya watoto ili wasije wakachukuliwa na mzazi mwenzie sasa wanapotezana na kuwaangaisha watoto jamani.
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 3 года назад
Mungu ni mwema
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 3 года назад
Mashallah mashallah 😍😍😍😍😍😍
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 года назад
Naona umewalisha sasa unachati tuu by oman
@qwqw1665
@qwqw1665 3 года назад
Hatahivyo niraha sana jamani pia ww mjukuu wafanana na bibi kindogo waooooooo🙏🙏🙏🙏🙏😂😂😂😁👨‍👩‍👦
@annapatrick8316
@annapatrick8316 3 года назад
😘😘😘😘
@mwajumaomar3648
@mwajumaomar3648 3 года назад
Hongereni jamani nasikia uchungu maana namimi nimuhanga nilishafikwa namkasa kama huu
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 3 года назад
Sophia amefanana na mama yake mno. Hakika Mungu mkubwa
@RenatusFumbuka-gw4jo
@RenatusFumbuka-gw4jo 22 дня назад
Dah kweli mungu yupo
@estajoan6022
@estajoan6022 2 года назад
Nimeria sanaaa
@milkamugomo218
@milkamugomo218 3 года назад
Mama na bintie wamefanana sana
Далее
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
UTAMBULISHO WA VIWANGO VYA JUU KABISA
2:10
Просмотров 3,9 тыс.
MAMA AMTELEKEZA MTOTO KWA JIRANI
10:42
Просмотров 2,8 тыс.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13