Тёмный

MAWIFI WAVURUGA KITCHENPARTY YA WIFI YAO KISA STATUS ZA WHATSAPP/ACHAMBWA KWA KIGOMA CHA URUGWAI 

Geah Habibu
Подписаться 367 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Tukio hili lilitokea Kigogo jijini Dar es salaam ambapo mawifi waliamua kuharibu shughuli ya wifi yao yani Mke wa kaka yao kwa kuandaa shughuli yao ya kigoma cha urugwai na kumchamba wifi siku hiyohiyo ya Kitchenparty ya wifi yao.Sababu ya yote hayo inadaiwa wifi huyo aliwachamba wifi zake kupitia status za whatsapp.Lakini hilo pia halikuzuia wifoi huyo kufanya shughuli yake ya Kitchenparty.Tizama hapa kisa kizima
#Hekaheka #Geahhabibu #GeahTv

Опубликовано:

 

16 май 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,6 тыс.   
@captenndunga6745
@captenndunga6745 5 лет назад
Kama unaamini hao mawifi hawajaolewa kwahiyo huo ni wivu gonga laik twende sawa... kaulimbiu tokomeza wivu.
@mariahamis219
@mariahamis219 5 лет назад
Saaana my
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 5 лет назад
Nikweli kabisa hawajaolewa
@hadijahalidi1375
@hadijahalidi1375 5 лет назад
Kabisaa
@sashababy1321
@sashababy1321 5 лет назад
Iyo ni laana ya mke mkubwa km umemfatiria geah uyo bwana harusi ana mke tayari .kilicho fanyika hapo aho mawifi walimkuwadia kakao uyo shoga Yao. Shoga alivyo mnasa kaka mtu ushoga kwa bi mdada ukapungua na kumzibiti kaka wifi roho juu 😂😂😂😂mke mkubwa anachekaje
@captenndunga6745
@captenndunga6745 5 лет назад
Tokomeza wivu.
@PetetIgnas
@PetetIgnas 5 лет назад
kama unasoma comments na kuangalia huu ujinga huku unacheka nipe like
@goldenesta8649
@goldenesta8649 5 лет назад
miyeyusho tv 😂😂😂😂😂😂😂Yaniii
@aminashabani9180
@aminashabani9180 5 лет назад
Hahaaaaaa kwakel huu ujinga
@hawapeter170
@hawapeter170 5 лет назад
miyeyusho tv
@jacksonmwakimonga8329
@jacksonmwakimonga8329 5 лет назад
Jmn
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 5 лет назад
miyeyusho tv hahahahaa
@marygregory7566
@marygregory7566 5 лет назад
Kama una hamu ya kujua status zenyewe zilikua zimeandikwaje gonga like
@lulusimbeye5437
@lulusimbeye5437 4 года назад
Niwivut kama unaamn mawifi waachisha ndoa zawat tujuane.🙏🙏🙏😂😂😂😂
@judesammy9643
@judesammy9643 5 лет назад
Hii yote huletwa na kutokumjua mungu na elimu pungufu ahsanteni
@teddyeward4086
@teddyeward4086 5 лет назад
Jude Sammy you're right
@praxedadominic9864
@praxedadominic9864 5 лет назад
Fact
@sweetmama6885
@sweetmama6885 5 лет назад
Kwa kweli. Duh...!
@fatumakweka5950
@fatumakweka5950 5 лет назад
Umenena sana
@winslowzirops3598
@winslowzirops3598 5 лет назад
Kabisa ndugu
@FatmaMohamed-bz4cj
@FatmaMohamed-bz4cj 5 лет назад
May Allah forgive you all n show you the ryt path ameen
@winbenard5505
@winbenard5505 5 лет назад
Mm napita tu kusoma coment km tupo pamoja gonga like twende sawa
@wazirsalum4264
@wazirsalum4264 3 года назад
Pamoja sana
@mpendahaki_home_decor
@mpendahaki_home_decor 4 года назад
"The only weapon that can destroy a world is Education" Ngoja niendelee kumsimamia mwanangu asome ili aondokane na huu ujinga kwa uwezo wa Muumba.
@vivianchawe7561
@vivianchawe7561 5 лет назад
Ni roho mbaya tuu alishindwa kumtafuta mpaka amuaribie.Wanawake tutafute pesa tuachane na ujinga
@mauasalumu6734
@mauasalumu6734 5 лет назад
Vivian Chawe muvi ya gabo
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 5 лет назад
Kabisa
@tyriahpaul9893
@tyriahpaul9893 5 лет назад
Vivian Chawe
@jumaarabin581
@jumaarabin581 4 года назад
Vivian Chawe swadakta
@lightinesnaumukweka6739
@lightinesnaumukweka6739 3 года назад
Yani jamani mawifi muwe naroho ya mungu nnahila kama nn kanipenda mwenyew vifu wa nn bs njooeni muolew nyie kama bafaidi sana
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 3 года назад
Subhanah Allkah Watu wazima hovyo.Yote sababu ya kutomuhofu Mungu na kukosa la kufanya. #Ni hovyo
@obinalaurent6922
@obinalaurent6922 5 лет назад
Wenzangu #tokomeza wivu mko wapi jmn mgonge like zenu! Jaman tumkumbuke Mungu ndugu zangu haya yote ni mapito tuu
@elidamessio621
@elidamessio621 4 года назад
Kheri ugeuze akili yako kua kamusi ya muongozo wa maisha yako...Mungu tetea kaka zangu wapate wake wema na sio kama hao
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 лет назад
Tusomeni dini nduguzangu. Hii Dunia tunapitia tu akhera ndiko makazi
@mariamuadam732
@mariamuadam732 5 лет назад
kabsa asee
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 5 лет назад
Kweli kabisa ndugu yangu, mwenye mungu akuongoze njia iliyo nyoka
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 5 лет назад
Allah awaongoze coz hawajui watendalo
@rozleeerasto5558
@rozleeerasto5558 5 лет назад
@@mariamuadam732 11qqq1100p1
@annievibes8794
@annievibes8794 5 лет назад
@ZAWADI Dadzie hilo lilishasemwa kwenye hadithi wanawake ndiyo wa kwanza kwenda motoni
@aishaaboud4406
@aishaaboud4406 3 года назад
Hawa kweli wanajua Mungu na siku ya mwisho Inna lillah wainailayhi rajion 😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 5 лет назад
Hawajamdhalilisha biharusi wamejidhalilisha wenyewe na upuuzi wao na hao ma mama watu wazima ovyoo hawana hawanani wakiulizwa hawaungani bora nikose Mali nipate akili duh ujinga mzigo ulimbukeni kazi
@alibinbinali9566
@alibinbinali9566 3 года назад
mnnnnnnh
@naimawaney1646
@naimawaney1646 2 года назад
Allah aniepush mashog kam hawa yarab
@sylviajoseph4081
@sylviajoseph4081 5 лет назад
walewenzangu n Mimi wa kusoma comment gonga n like hp
@annamkomba576
@annamkomba576 5 лет назад
Daah....wachafu..sura hazina haya..ndio matokea ya kukosa kazi za kufanya..hapo kesho hata mbuni ya kuanzia kesho hawana.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 лет назад
We hujamsikia mmoja akisema muuza miguu ya kuku
@gloryavelin2583
@gloryavelin2583 5 лет назад
😂😂
@jasheparker8275
@jasheparker8275 5 лет назад
lol
@rashdhamdun
@rashdhamdun 4 года назад
@@bjzee1981 ahahaha 😂😂😂
@magrethbbw7524
@magrethbbw7524 5 лет назад
huyo mwenye msauti kama sufuria inakwaruzwa angejiona angejichamba mwenyewe Kwanza,watu wenyewe mikorogo imedunda waswahili bwana wamekosa kazi
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 5 лет назад
Haaaaaaaa kabisa mikorogo imedunda haaaaaaaaaa
@leonaidinanamala2699
@leonaidinanamala2699 5 лет назад
Haziwatoshi
@aisyanamaro9658
@aisyanamaro9658 5 лет назад
mmejikoboa mkorogo imedunda hamna lolote
@soniars6254
@soniars6254 5 лет назад
😆😆😆😆😆
@tonypaul9166
@tonypaul9166 5 лет назад
Hhahaa
@zamzamahmed5718
@zamzamahmed5718 4 года назад
Any Kenyan here 😂😂😂😂🙊🙊🙊 eeh ndo maana waume zao waja Kuowa Kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dorahwakio7369
@dorahwakio7369 4 года назад
Niko apa✋
@haibaali7147
@haibaali7147 4 года назад
Balaa
@mwanamkasisuleimaniikosawa9582
@mwanamkasisuleimaniikosawa9582 4 года назад
Ushasema dada
@rukiamwakuzimu3863
@rukiamwakuzimu3863 4 года назад
Kabsa wadaa umbea tu
@milkamugeni7940
@milkamugeni7940 4 года назад
Wakenya tunaheshima zetu sio hawa walio jipara wakaa kma utumbo wa pweza 😂😂😂😂😂
@zenamalela8077
@zenamalela8077 5 лет назад
Makeup ya bi harusii hta bure c pakiii nikalalia🤣🤣🤣 mawifii nao mikorogo imedundaaa jmniii 😂😂😂😂 tafraniii tuu
@RioIpo
@RioIpo 5 лет назад
Zena malela Hahaha nimecheka full mikorogo
@joycemwakamisa5116
@joycemwakamisa5116 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sasbinjuma518
@sasbinjuma518 4 года назад
Kwa kweli mwenzangu
@saramss7262
@saramss7262 3 года назад
Judy sammy ubarikiwwwe hahaa
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 5 лет назад
Bora serikali ilihamia Dodoma Dar wamemwaachia Wazaramu wenye mji wao 😅😅😅😅
@tiktoktanzania2832
@tiktoktanzania2832 5 лет назад
Saba Simba 😂😂😂😂😃😃😃
@rukyiakimolo802
@rukyiakimolo802 5 лет назад
Saba Simba 😂😂😂😂😂😂
@munirayakoub3682
@munirayakoub3682 5 лет назад
Umesema kweli
@mlondagumbiro7890
@mlondagumbiro7890 5 лет назад
Unadhani hao wote wazaramo
@nestakalabwe2001
@nestakalabwe2001 5 лет назад
Saba Simba 😀😀😀😀
@khayratmuhamed6730
@khayratmuhamed6730 5 лет назад
Lol! Mungu aniepushie mawifi km hawa
@user-qr2gj3jp9l
@user-qr2gj3jp9l 5 лет назад
Kabisa
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@asyadezz1939
@asyadezz1939 5 лет назад
Allah amstir Ashura inshaAllah,nawote waskilizane tuwe na mwisho mwema💕
@ladysalimkabora9952
@ladysalimkabora9952 5 лет назад
Mambo YA kiswazi hayo. Ndugu wa mume ni wa kuishi nao kwa hekima sana Infact hapaswi kufanywa marafiki
@roseedger2778
@roseedger2778 4 года назад
Hakika ndg wamme hawana urafiki
@directorbony185
@directorbony185 4 года назад
Mi kweli kabisa huna undugu na sisi unajali tu wakwenu
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 года назад
Misungo hao atavitabu hawajui kusomba
@sjofficial752
@sjofficial752 3 года назад
Ndugu wa mume wanafikiri ulikotoka ni shida zilikutoa sijui hawa mbwa wapoje
@bushbabytz
@bushbabytz 5 лет назад
Kweli Dar nimeamini ni ya Wazaramo! Wanaume wa Dar kwa wanawake hawa hakika wanapata tabu sana.
@luundamoonhajjluunda8764
@luundamoonhajjluunda8764 5 лет назад
Napenda mauno tu mengine nawaachia wenyewe. All the way from Kenya, MSA.
@azizamuhali5531
@azizamuhali5531 5 лет назад
Luunda Moonhajj Luunda hahahahaha
@khadijanasoro6510
@khadijanasoro6510 5 лет назад
Kwa hali hii ndio maana wanawake tuko wengi Motoni Allah atuongoze yarab
@thetycoon8799
@thetycoon8799 5 лет назад
Kwamba uswahilini huwa hamna stress, yani nyie mnavuruga tu mtu akikuletea zogo mnavuruga tu 😂😂😂nimeipenda hiyo...😍
@neemaruttaiwa6202
@neemaruttaiwa6202 5 лет назад
Mmmmmmmh ndo maana ctaki kuwajua mawifi namjua mme tuu
@nonoplatnum6951
@nonoplatnum6951 5 лет назад
Doh jamani wivu mbaya!! Ila makeup ya bi harusi hapana kwakweli
@mmajonnhykenya5034
@mmajonnhykenya5034 5 лет назад
😂😂😂
@rehemamarelo3424
@rehemamarelo3424 4 года назад
Royce Katera mambo
@babyggg1509
@babyggg1509 5 лет назад
Mkorogo pia umewachanganya akili😂
@doreenmakasi2867
@doreenmakasi2867 5 лет назад
iron lady
@JBB875
@JBB875 5 лет назад
Hahahaha
@alaminabdallah8539
@alaminabdallah8539 5 лет назад
Tru
@alaminabdallah8539
@alaminabdallah8539 5 лет назад
iron lady mambo vipi
@babyggg1509
@babyggg1509 5 лет назад
@@alaminabdallah8539 Poa
@rozleeerasto5558
@rozleeerasto5558 5 лет назад
Geah nakupenda... Dada
@abdulfatahjuma5355
@abdulfatahjuma5355 5 лет назад
kama umeamini pombe si chai gonga like
@aminaselemani429
@aminaselemani429 5 лет назад
Abdulfatah Juma wazalamu munakelasana
@saphiaramadhani9635
@saphiaramadhani9635 5 лет назад
Abdulfatah Juma loioe
@abdulfatahjuma5355
@abdulfatahjuma5355 5 лет назад
Saphia Ramadhani loioe
@RioIpo
@RioIpo 5 лет назад
Amina Selemani hahaha Wazaramu sie hatuna jema
@magemhina9311
@magemhina9311 5 лет назад
jamn
@omartaty1930
@omartaty1930 5 лет назад
Aliye mpodoa bi harusi mbinguni atapaskiya kwangu😁😁😁😁😁
@ummalqitat5091
@ummalqitat5091 5 лет назад
Hahahaha
@gloryavelin2583
@gloryavelin2583 5 лет назад
😂😂
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 5 лет назад
😂😂
@rehemaathman572
@rehemaathman572 5 лет назад
Hahaaaaa
@mariamsayari7880
@mariamsayari7880 5 лет назад
😂😂😂😂
@mariamvicent7312
@mariamvicent7312 5 лет назад
INNA LILLAHI WAINA ILAYHI RAJIUNI NDO SABABU TUNAAMBIWA WANAWAKE WANGI TUTAINGIA MOTONI NA HAKIKA KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI NA HAKITOMFAA MTU SIO WATOTO WALA MALI ZAKE WALA SI NYINYI MARAFIKI ZAKE ISPOKUWA LITALO MFAA YEYE NI AMALI ZAKE NJEMA HAKIKA FANYA UFANYA NA TENDA UTENDALO HAKIKA UTALIPWA KUTOKAKA NA MATENDO YAKO YAA ALLAH TUJAALIE MWSHO MWEMA NA UTUEPUSHE NA ADHABU YA KABUNI
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 лет назад
Kigogo Mburahati moja hyoooo 👌👌👌👌👌👌...... Ashuraaa eeee.... Huna pambe bibieeee 🤣🤣🤣...
@ameenaalebri2952
@ameenaalebri2952 5 лет назад
Mungu Wang nisamehe ila hawa wamama n wachafu kila kitu tabia sura zao hao n wamama wa bar mwezie kaolewa shida nn
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 лет назад
Ameena Alebri haswaaaa
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 лет назад
Wachafu mpaka tabia
@suzanjackson5103
@suzanjackson5103 5 лет назад
Wamejichubua kama nini sura zao mbaya
@furahadavid766
@furahadavid766 5 лет назад
Atareeeh
@latypherngombo1022
@latypherngombo1022 5 лет назад
Mawifi wameumbuka ni wivu tu unawasumbua 🤣🤣🤣🤣 walijua mwenzao hatopata watu, hatopata vitu sherehe haitofana kumpiga chura teke ni sawa na kumuongezea mwendo usikute mwenzao alijiandikia tu wao wakajishtukia mazero brain 😂😂
@leilatmfaume6163
@leilatmfaume6163 5 лет назад
Mawifi km hawa wakija kwangu nawapikia chakula na pilipili tele
@venosaphamphili5898
@venosaphamphili5898 5 лет назад
Tabia mbaya watu wazima hata haya hamna
@ezeredamwenda7254
@ezeredamwenda7254 5 лет назад
wanaongea hao
@vennymaxmillian9505
@vennymaxmillian9505 5 лет назад
Hawa mawifi nyumbu wa manyala , wanautindio wa ubongo,wanawaz kupga felf tu
@HlwomanOman
@HlwomanOman 5 лет назад
AlAfu bora awakwenda wange aribu shuguli kulikua na watu na heshima zao
@praxedadominic9864
@praxedadominic9864 5 лет назад
Nakupenda sn Dada Geah mungu akupe maisha marefu
@sarahmsusisarahmsusi388
@sarahmsusisarahmsusi388 5 лет назад
Mmmh nilikuwa nasikiaga tuu kumbe hayo mambo yapo aiseee kosa vyote ila sio akili
@neemachriss2605
@neemachriss2605 3 года назад
kabisaaaa
@saramss7262
@saramss7262 3 года назад
Waislam haooi
@alfarsiali2779
@alfarsiali2779 5 лет назад
Dah wanawake wa Tanzania tujitahin kutulia bas ili tupate heshima ktk mataifa mbalmbal jamn ndyo maana Tanzania hatuendle I hv nyiee huwo mda mngeutumia kufanya kaz kuleta uchumi wa Nchi tungelalamika kwel maisha magumu hlf ooh hamna wanaume wa kuoaa mambo yenyew hvyo mhhh Allah tusitir ss wanawake na wasichana wa Tanzania roho inauma Sana dah
@beatriceuiiopleeryjeremiah3118
Aliyempaka make up bi harusi mungu anamuona
@janethbernady8406
@janethbernady8406 5 лет назад
Helimu duni ,na kutokumjuwa Mungu du hongereni. Uyo anaejifanya ndio waongeaji wakubwa sura zimewaparama kwa krimu .ni wivu tu umewajaa mwenzenu kupata hifathi
@joharymohammedi8963
@joharymohammedi8963 4 года назад
Janeth Bernady niwasungo
@ashajuma970
@ashajuma970 5 лет назад
Uwa libifu wa pesa jamani SubhanaAllah sibora angetoa sadaka.
@felisterapornary2612
@felisterapornary2612 5 лет назад
Kama wanaona Kaka Yao anafaidi basi waolewe wao😋😋😋😋😋
@costanciapeter8578
@costanciapeter8578 5 лет назад
mmmhhh!!! mbona ASHURA kazi anayo!! 😂😂😂
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 лет назад
Costancia Peter Ashura maji ataita mma , kachokoza wakali wa hizi kazi , wamekodi kigoma kumchamba Ashura tu , uswahilini hakuna stress .
@mathaadam2608
@mathaadam2608 5 лет назад
Chuma kobeko kaishiwa maneno uwiiiii dunia si mbaya
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 лет назад
mambo hayooo
@salamajalina7789
@salamajalina7789 5 лет назад
Yaan kama Wanalipwa upumbav m2pu
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@zuhuramwalimushabani8836
@zuhuramwalimushabani8836 5 лет назад
Kikubwa ninachojiuliza pesa zinatoka wapi za kufanya haya yote na wanalalamika maisha magum? Mungu wafungue macho waja wako
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 лет назад
Zuhura Mwalimu Shabani wanaangamia kwa kukosa maarifa
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 5 лет назад
@@husnajohn7466 kweli
@aminasaid7456
@aminasaid7456 5 лет назад
Zuhura Mwalimu Shabani jnapajua uswazi vizur weye au wapasikia...? Mtu yupo radhi alale njaa kwake lakin akapate kijora cha shughuli!
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 5 лет назад
Mi mwenyewe najiulizaga sana
@salomenachunga3590
@salomenachunga3590 5 лет назад
Wamefungwa ufahamu hhh
@nouhamour545
@nouhamour545 5 лет назад
Bi harusi kama chid benz jaman au macho yangu yanaona vibaya 😂😂
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 года назад
Aweee kwelii 😂 nimecheka hadi bac 🙌
@fatumasaid9985
@fatumasaid9985 5 лет назад
Wanawake wataingia motoni mafungu kwa mafungu,Mambo ni haya.. SubhanaLlah Mungu awasamehe,ila hamjadhalilisha mtu mmejidhalilisha mwenyeweeee.Puuuuuuu!!!Ovyoooo
@safikapufi422
@safikapufi422 5 лет назад
mungu ninusuru muda huu bora nikafanye ibada kwa nini wamama tusibadilike
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 лет назад
Mtihani
@safikapufi422
@safikapufi422 5 лет назад
@@salmaalimusa547 kabisa salma
@aishamrsmkunga2143
@aishamrsmkunga2143 5 лет назад
Allah atunusuru kwakweli sheitwani mbaya.
@safikapufi422
@safikapufi422 5 лет назад
@@aishamrsmkunga2143 yani we acha tu ndugu watu tunasubili kiama wakati matendo yetu ndo kiama
@mwajumakoshuma5417
@mwajumakoshuma5417 5 лет назад
Tuombe toba M/Mungu atunusuri
@keshik5330
@keshik5330 5 лет назад
Waah am Kenyan but this Swahili is too deep for me.
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
🤣🤣🤣
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Status tyu yote hayo yametokea, huo mji anakwenda kuishije hapa Sasa naanza kuamini kua yesu kweli anarud Kisha Anza safar
@elizamsilikasi1952
@elizamsilikasi1952 5 лет назад
Nimeuza miguuu ya kuku ninunue sare!!! Khaaaaaaaa ufwalaaaaaaaa huo, kicheza uchiuchi
@asiaissa1700
@asiaissa1700 5 лет назад
wAmekosa dini
@bjzee1981
@bjzee1981 5 лет назад
Watakatika viuono kwa hasira . Kina mange kimambi ni wengi 😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 5 лет назад
😂😂😂
@janekennedy747
@janekennedy747 5 лет назад
Asante Yesu kwa kuzaliwa Moshi....woi Ngachokaaaa.....
@monicamushi5192
@monicamushi5192 2 года назад
Hahahaaa kwaaadeee kyoo
@ashurakambangwa14
@ashurakambangwa14 5 лет назад
Hahahaha khaaa huyo anayemwambia mwenzie mbwa mmmh ye mwenyewe sijui kajiona! Dunia hii khaa
@zaharamsafiri825
@zaharamsafiri825 5 лет назад
jaman embu tumuogope mungu, sasa mwez mtukufu mambo hayo ya nn embu tusomeni dini
@tibekabaka8127
@tibekabaka8127 5 лет назад
Siku zote yatupasa tutende yaliyo mema mbele za Mwenyezi Mungu na si kusubiri mwezi mtukufu tu peke yake.
@hamastien5439
@hamastien5439 5 лет назад
@@tibekabaka8127 swadakt
@vhiedkc859
@vhiedkc859 5 лет назад
ZAHARA MSAFIRI kila mwezi mtukufu
@tanzaniangirl1980
@tanzaniangirl1980 5 лет назад
Jaman tubaki huku mikoan kwetu😂😂😂😂😂😂😂😂
@sokyagalllus4026
@sokyagalllus4026 5 лет назад
ha ha ha,sisi mbona tunaishi nao kitaa,lakn tunaangalia tu yaliyo tuleteta mjini
@msetyntorah804
@msetyntorah804 5 лет назад
Ddah yan ukiangalia matendo ya wanawake wa uswahilini unawezafikiri Wanawake wote hawana akili,, lakin wapo wanaojielewa. Ila kwa wanawake hawa dunia ijipange. 😂😂😂
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 4 года назад
Jamani,wacheni kamati za roho and mbaya. Mwogopeni Mungu. Mabaikoko fanyeni ndani jamani🙈🙈🙈🙈🙈
@umiy1971
@umiy1971 5 лет назад
Ama kweli akili ni mali loh! Halafu hapa kinachokwenda Choyo tu, alijuaje kama hizo status anaandikiwa yeye. ULEVI SI JUICI hahahha
@salmashaban2062
@salmashaban2062 5 лет назад
umiy1971 acheni ushamba huoooo
@umiy1971
@umiy1971 5 лет назад
hahahahhahahahahah..... kutokujitambua ni matatizo makubwa kwa jamii........
@cwttnana128
@cwttnana128 5 лет назад
Wauswazi oyeeee Ashura maharage pole mwaya😂😂😂😂😂
@messengersofgodchoir9435
@messengersofgodchoir9435 5 лет назад
Cwtt Nana hhhhhhhh
@yasintamutayabarwa4448
@yasintamutayabarwa4448 5 лет назад
Dah! Iyo Kali
@pangarasfuko2383
@pangarasfuko2383 5 лет назад
Angalia jilivyojichubua ,rais wetu zuia basi mkologo tuwajue walembo hewa
@maryamkassim1610
@maryamkassim1610 5 лет назад
Cwtt Nana umeona eeh uyo queen anajishaua mijino ileee
@hosianakitomary3236
@hosianakitomary3236 5 лет назад
Ahhahahahaahahhaahhaahahah
@jumaarabin581
@jumaarabin581 4 года назад
taayuri tu hao wanao piga kelele sura zina rangi mbili uyo wanao msema mzuri mashalllah
@abuuaisha9095
@abuuaisha9095 5 лет назад
Daaah...!!! Makurumbembe utayajua tyu..!! Sura zimekobolewa utadhani dengu.....!! Mishipa imewatoka utadhani mizizi ya miti..!!! Mikorogo imewakoroga hadi wakakorogeka sura utadhani madonda...!!!
@khamisamursally2470
@khamisamursally2470 5 лет назад
Yaaani sanaaa kabisa vyombo kapata Geah achana na Waswahili 😂😂😂 kweni na ww wifi etu umekuwa mswahili
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 5 лет назад
Dunia Simama Nishuke 😭😭AstghafiruALlah Wanawake Twaelekea Wapi Jamani
@subirasanga5276
@subirasanga5276 2 года назад
Jaman so kwa ushoga huo! Mbona wana mdharirisha mwenzao. Kwan aliwataja jina. Hii na hata kma bc unge mpa ukwer kwa mda mngine na so hap. Du h! Pole dada wal kuvurugia shuhur
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Год назад
Gea hujambo? Nakutafuta sana. Kuna habari muhimu sana. Nikikuona nitafarijika mno, yawezekana jibu likapatikana.
@zuhuramwalimushabani8836
@zuhuramwalimushabani8836 5 лет назад
😅😅😅😅😅ila Geha unateseka na uswazi yetu jamani pole na hongera kutuletea haya sie wa mbali tunaendelea kujifunza kupitia uswazi yetu
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 лет назад
Duh vituko uswahilini , mjini sikutaki kamwe wacha tu niendelee kulima huku kwetu kijijini
@shamilahasan7344
@shamilahasan7344 5 лет назад
Farida Mkesso
@serbash4212
@serbash4212 5 лет назад
Mimi nimeona ajabu kuyaona haya binadamu wanakoseyana na wanasehemeyana hiyo ndiyo dini na ndiyo ni tabiya nzuri kusameheyana na urafiki unazidi kuwa mzuri sisi ni binadamu ni kawaida kukoseya na kusameheyana kuna watu wanakufa na njaa na nyinyi munachezeya pesa kwa kumfurahisha shetani mungu awaongoze UAE
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 лет назад
@@serbash4212 kweli kabisa usemayo binadamu tunajisahau sana , Mwenyezi Mungu atuepushe na kila balaa atujaalie mioyo ya upendo
@gloryavelin2583
@gloryavelin2583 5 лет назад
Nilikuja mgeni na sasa nimeshazoea maisha ya uswahilini naitwa mama mangi jamani from Kilimanjaro
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 лет назад
@@gloryavelin2583 Mama Mangi nikija mjini kushangaa nitakutafuta maana mie pia ni wa Arusha , ila kwa sasa niko Brussels Belgium
@paulinarichard1789
@paulinarichard1789 5 лет назад
mawifi jamani duh wapo konkiii Mungu nisaidie mawifi zangu wasiwe hivi!!!
@aminasaid7456
@aminasaid7456 5 лет назад
Aisee...kwa vitimbi hivi bora kufunga ndoa kwanza then kitchen party baadae maana hata wakivuruga haikuumi kwa sababu tayar ushaolewa!
@rahisalovely9622
@rahisalovely9622 5 лет назад
Madada mikorogo imekoleaaa midomo sasa waume zenu wanakazi kubwa sanaaa aaah ndomn mafuliko hayaishi jangwani na kigogo afu kutoka apo lazima waloganeeee...Namshukuru Mungu mi mwanamke lkn mambo haya sinaga
@lubatikoseme1446
@lubatikoseme1446 5 лет назад
Waume zao ndio walewale
@kokufelix2186
@kokufelix2186 5 лет назад
Aloooo🤐 kutokuwa na akiri mtihani
@dainesigebo7019
@dainesigebo7019 5 лет назад
Geah mama mjini Kuna mambo duuuuh dar kazi💃💃
@mchomemtuveta6317
@mchomemtuveta6317 5 лет назад
Nashukuru mungu ninaye wifi1 tu Jamani na ananipenda sana kuliko kawaida
@judithtibandebage3227
@judithtibandebage3227 5 лет назад
Biharusi aliempamba mungu anamuona akingia MBINGUNI naandamana sio kwakumpaka unga mwenzie
@safikapufi422
@safikapufi422 5 лет назад
izi pesa wangepeleka watoto shule
@missdee7488
@missdee7488 5 лет назад
Huyu biharus konki fireee Sio Kwa makeup Hyo 😂😂😂😂
@sashababy1321
@sashababy1321 5 лет назад
😂😂😂uswahilini kuna mambo
@missdee7488
@missdee7488 5 лет назад
Acha tu 😂😂😂😂😂
@oliviamboma1347
@oliviamboma1347 5 лет назад
Dia Matunu hahahahahahahah
@marymasanyiwa3529
@marymasanyiwa3529 5 лет назад
Yani sura mbaya dawa yake makeup ila hii imegoma kupambika
@tatumahamoud305
@tatumahamoud305 5 лет назад
😂😂😂😂
@mamyomar1241
@mamyomar1241 5 лет назад
Vyote hivyo ni katika vitimbi vya wanawake. Tuliambia mapema tutakuwingi motoni, kwa ushauri wangu tubadilikeni jamaa. Tumche sana Allah.
@pindotanzania579
@pindotanzania579 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣mawifi wamejikoboa atariiiii🤣🤣🤣ashura maharage ndoa za sikuizi tunatabu unaweza ugair kisa mawifi
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 4 года назад
Mud mume wa mtu 😂😂😂😂😂😂
@asnakudra13
@asnakudra13 5 лет назад
kusoma jambo muhimu sanaa tuwape elimu watoto zetu jamn
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 5 лет назад
SUBHANNALLAH!! Allah Awaongoze ya Rabbi . Hawajui watendalo.
@twllbally925
@twllbally925 5 лет назад
Subhanallah wanawakeee wana mtihan
@faizunmohd9839
@faizunmohd9839 4 года назад
Inalilah wainailay rajiun Allah atawaongoza Dada zangu
@geonycoutinho2943
@geonycoutinho2943 5 лет назад
Ashura Maharage 😃😃😃 utapata tabu sana.
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 лет назад
Hayo majina yao sasa😂fatuma jua na ashura maharage
@glorysaruni7252
@glorysaruni7252 5 лет назад
Nafisa Mohamad kuna chuma kobelo alfu kakomaa uso hatr
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
@@glorysaruni7252 🤣🤣🤣 Chuma kobelo naongea
@reubendick4033
@reubendick4033 5 лет назад
Jaman tuangalie na familia za kuolewa duuuh gonga like kama unaamini hawa malaya gonga like
@coftv6643
@coftv6643 5 лет назад
Mungu asante san sikai dar wala sio mzaramo!!!!!!!. Fatuma jiwe/ Ashura maharage.......
@juniorabdul2467
@juniorabdul2467 5 лет назад
Inasikitisha sana kuona ss tunaoangalia huu upuuzi ,mbaka ikifika 2090 tutakua tumeshakufa ,
@beatricerodgers4945
@beatricerodgers4945 5 лет назад
Tena mizoga kabsa
@juniorabdul2467
@juniorabdul2467 5 лет назад
Mtihani sn kwetu tuliobahatika kubakiwa NA pumzi
@sadiaabed6687
@sadiaabed6687 5 лет назад
Hheeee jamani dada geh waambie kaka yao mawifi waniozeshe mm
@mwasitiramadhan5605
@mwasitiramadhan5605 5 лет назад
Ngachokaaa mieeee sura zenyewe duuuuuhh mungu nisaidie mie wengine wafata mikumbo mh shikamoooo hyo ndo habar DAR kwa heruf kubwa
@mwasitiramadhan5634
@mwasitiramadhan5634 5 лет назад
Wajina😂😂😂😂😂
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 лет назад
Hahahahaha hawajaolewa malaya tuh hawa wivu piteni mbali chefuuu ndio kashaolewa
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 5 лет назад
Vidume wenzangu Kuoa uswahilini ni hatari kwa afya yako.
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@munawwarabeid8634
@munawwarabeid8634 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kinga ni bora kulko tiba
@nadhifahzena290
@nadhifahzena290 5 лет назад
Pwahahahahaahahaah 254
@priscalorinius9368
@priscalorinius9368 2 года назад
Mecheka hadi nalia ..... pole Geah maana sio kwa mishuhuli hiyo mwali....
@bhokemasyaga4654
@bhokemasyaga4654 4 года назад
Mh !. Bi harusi hyo makeup hapana aise.. Mungu anamwona aliempaka hvyo dah! Kwa kweli mambo ya uswaz Mungu aniepushe nayo kabisa mana dah
@suleimanniragira3370
@suleimanniragira3370 5 лет назад
mama unasauti nzuri ama kwel waislamu tumejaaliwa kisha unamvuto nalegea nikiwaza ulivojaza neema za Allah uko chini nakupeeeenda!!!!
@vivanamacha5256
@vivanamacha5256 5 лет назад
Axhula poleeee
@ngidal7708
@ngidal7708 5 лет назад
Suleiman Niragira yuko vizuri sana
@saadsalum3253
@saadsalum3253 4 года назад
Wee Ashura maharage 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@binatasnim8831
@binatasnim8831 3 года назад
hahaha Wuwii
@lindambilinyi8579
@lindambilinyi8579 2 года назад
Najiulizaga hv hawa wanawake waswahil hv wanaume zao wakoje jmn,maana me navyomuona mume Wang alivyo hapendi uswahil nadhan hapo meno ya sebulen nisingekuwa nayo looh uswahilin shida
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 4 года назад
Huyo ashula mahalage 😃😃😃😃wivu jamani mbaya lakini bongo wa2 wamezidi kwa ujinga
@faridabakari8511
@faridabakari8511 4 года назад
Kizaza mm wangu alienda mbele zahak Allah yarham.... ila mawifi nyie Allah awaongozee
@shamsamuhammad3677
@shamsamuhammad3677 4 года назад
Ujinga huoo
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
Uliyempaka Bi harusi make-up mungu anakuona 🙂
@mmajonnhykenya5034
@mmajonnhykenya5034 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
@@mmajonnhykenya5034 😆
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
mngekuwa mnamjua Allah wallah msingefanya hayo YaaaaAllah niepushie na haya ya dunia YaaaaAllah
Далее
Камень, ножницы, нейронка
00:33
Просмотров 655 тыс.
Elden Ring DLC - ПОДОЖГЛО ПОПУ!
07:26
Просмотров 446 тыс.
MTOTO WA AUNT EZEKIEL ATOA SIRI YA BABA YAKE
10:25
Просмотров 1,2 млн
NI SHUGHULI YA KUMCHAMBA MTU KWA SARE NA MZIKI JUU
24:21
Камень, ножницы, нейронка
00:33
Просмотров 655 тыс.