Тёмный

MASKANI KWANGU EP. 1(a) | UKWELI KUHUSU MAISHA YA IBRAHIM CLASS 

IBRAHIM CLASS
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 3,2 тыс.
50% 1

Karibu kwenye Episode ya kwanza ya "Maskani Kwangu" Podcast ambayo mimi, Ibrahim Class, nimeshea safari yangu yote ya maisha yangu. Kuanzia nyakati ngumu nilizopitia, mapambano ya kimaisha, na ushindi nilioupata nje ya ulingo wa ngumi, hadi ndoto ambazo ninaziishi na nilizokuwa nazo.
Katika sehemu hii ya kwanza, nimeelezea changamoto nilizokutana nazo katika malezi yangu na baba yangu, jinsi nilivyompoteza mama yangu na mdogo wangu, pamoja na njia zilizonifanya kuwa bingwa huyu unayemfahamu leo. Pia, utapata kujua kuhusu maisha yangu ya kimapenzi, watoto wangu, na ndoto zilizonifanya nisikate tamaa.
Jiunge nami nitakapokupitisha katika nyakati mbalimbali, nikiwa juu na nikiwa chini, nyakati za kucheka na zile za kulia, na kila kitu kilichopo katikati ya maisha yangu.
Usisahau kuLIKE, Comment, na kuSubscribe kwa ajili ya episodes nyingine.
#MaskaniKwangu #IbrahimClass #SafariYaMaisha #Ngumi #Inspiration

Спорт

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@FrankBororo-dk1fv
@FrankBororo-dk1fv Месяц назад
Pole sana,Ibra. Pamoja na hayo yote,huyo anabaki kua mzazi wako tu mpaka kesho kwa Mungu. Heshima baba na mama yako upate baraka tena na siku nyingi za kuishi duniani. Neno la Mungu linasema hivyo. Mungu hajasema akiwa mlevi,jambazi,muhuni,mwenye roho mbaya au aliefanya kama hayo,basi usimheshimu. Kinyume na baraka ni LAANA,Ibra. Tafuta baraka zake utafika mbali zaidi ya hapo. Hayo alioyafanya muachie yeye na Mungu wake.
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 17 дней назад
Mtihani sana.
@ZuhuraWaminani-m2l
@ZuhuraWaminani-m2l 26 дней назад
Pole maisha ndio yalivyo
@alimasoudali9860
@alimasoudali9860 Месяц назад
Pole sana mwamba ndio Dunia ila ni bora kusameh mm ni shabiki Yako ni Pemba nakufatilia kinyama ndugu
@CynthiaWillium-cy5eh
@CynthiaWillium-cy5eh Месяц назад
Pole champion
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 Месяц назад
Good job brother
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Shukran Bro!
@godlovekalinga5984
@godlovekalinga5984 2 месяца назад
Inaumiza kiukweli ila maandiko yanasema samehe saba mara sabini yaliyopita yashapita so msamehe mzee maisha yaendelee
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Sahihi kaka, Shukran sana!
@AishaMtangi
@AishaMtangi Месяц назад
Duu inaumiza sana😢
@justinedeule3321
@justinedeule3321 2 месяца назад
Class mawe, from home sweet home. Mkonge.
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Home boy
@user-qh8fv7dp6p
@user-qh8fv7dp6p 2 месяца назад
Daah pole san broo
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Ahsante Bro!
@user-yt9lx6cv5e
@user-yt9lx6cv5e Месяц назад
Pole sana ndo maisha yalivyo 😢
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Sahihi kaka
@AzizalucasMbiduka
@AzizalucasMbiduka Месяц назад
Pole Ila samehe
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Shukran kaka!
@SabanAmir-mv9lw
@SabanAmir-mv9lw 2 месяца назад
P1 MR CLASS
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Pamoja kaka!
@shakirarashid1249
@shakirarashid1249 Месяц назад
R.IP osswadi😢
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Amin!
@thegoldenpoint5548
@thegoldenpoint5548 2 месяца назад
Ndiyo wazee wetu hao
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
Kweli
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Sahihi kaka
@MonicaPauson-ln6jp
@MonicaPauson-ln6jp 2 месяца назад
Afu ukifanikiwa wanajitokeza nafukuza nashoka
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
Далее
THERE IS HOPE AHEAD JIMMY WANJIGI ASSURED KENYANS
31:37
KINYA MISTARI - MBEGU
2:24
Просмотров 4,3 тыс.
Players vs Ball 🤯
0:29
Просмотров 12 млн