Тёмный

MASTAA WALIOPENDEZA KATIKA SIKUKUU YA EID..WENGINE WAMEVAA SARE NA WAMEJISITIRI 

THE THIRD TV
Подписаться 181 тыс.
Просмотров 172 тыс.
50% 1

Habari,karibu sana kwenye ukurasa wetu huu,ili kupata habari za burudani za ndani na nje ya nchi,endelea kusubscribe na ubonyeza alama ya kengele Habari za mastaa, icu chumba cha umbea, UDAKU, mastaa,habari za wasanii, diamondplatinumz, Ayotv, TUFUATILIE KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII Instagram @ the_third_tv?ig... Facebook @ profile.php?... Tiktok @ www.tiktok.com/@thethirdtv?_t... Habari za mastaaHabari,karibu sana kwenye ukurasa wetu huu,ili kupata habari za burudani za ndani na nje ya nchi,endelea kusubscribe na ubonyeza alama ya kengele Jeff kenya justice for Jeff kenya udaku kenya Erick omondi Majizo na hamisa waandamwa na Elizabeth Lulu, Mama dangote, wasafi Media, Habari mpya za moto,bunge,mange kimambi,umbea wa wasanii kongo, Habari za siasa, Exclusive interview za motoo, wasafi TV, mashamsham, lavidavi, jua kali jumatano, wizara, waziristan, bajeti, udaku mastaa bongo, umbea wa juma lokole, chawa, Exclusive interview na millard ayo, carrymastory TV, wa waswahili, Raisi, BBC, swahili, mziki, top ten za moto, top ten, chart za juu, umbea wa mastaa wa bongo, maneno ya kuambiwa, comedian, vichekesho, erick omondi, 8th naswa, wife material, pazia, jua kali, huba, dstv, series, wema na whozu, huba episode, bongo series, binadamu episode, salon mama kimbo, maua sama, zuchu, taarabu mpya, udaku tz, chumba cha umbea ICU, rayvanny, wasafi TV, mashamsham ya pwani,. divatheboss, mwijaku, babalevo, WASANII TANZANIA TOP TEN, Exclusive interview za leo, Habari mpya, Video ya masha love na Jimmy mafufu udaku tz, umbea carrymastory TV, waswahili, mtoto wa lulu,mama dangote, umbea wa dida, divatheboss, mwijaku, babalevo, WASANII TANZANIA, top ten artists, divatheboss, Icu chumba cha umbea Clam vevo Costa, Costastich diamondplatinumz sherehe ya haji manara, 40 ya mtoto wa haji manara rubyna mtoto wa Haji manara mfalme zumaridi yesu wa tongareni mpenzi mpya wa Harmonize Rushyna, mke wa haji manara ,,mke wa Dr mwaka, queen wa dr mwaka Haji manara na faiza haji manara anatembea na Faiza ali uwoya masha love Gigy money na moj ug0mvi wa Gigy money justice for Jeff ,kif0 cha Jeff masha love na Jimmy mafufu Dr mwaka na queen mke wa Dr mwaka talaka ya dr mwaka. mke wa Dr mwaka mwijaku,babalevo, WASANII TANZANIA, udaku mpya leo, umbea wa ICU, chumba cha umbea, bona TV,wolper stylish, wolper, nandy,lulu ushoga tanzania majizo,mtoto wa fayma,umbea carrymastory, bongo flea,udaku mpya, Royal tour,serikaliwolper, nandy,lulu majizo,mtoto wa fayma,umbea carrymastory, bongo flea,udaku mpya, Royal tour,serikali siasa,ccm,chadema,millard ayo TV, Habari mpya za moto, bunge,mange video za hakika ruben na kinasa msukuma hakika ruben shoga kimambi,umbea wa wasanii kongo, Habari za siasa, Exclusive interview za motoo,wasafi TV,mashamsham,lavidavi,jua kali jumatano, wizara, habari, udaku, mastaa wa bongo, diamond plutnumz, kajala, harmonize, interview za wasanii, habari za mastaa, icu chumba cha umbea, UDAKU WA BONGO. HARUSI YA PAULA Habari za mastaa zari na Gigy ...Gigy money habari, udaku, mastaa wa bongo, diamond plutnumz, kajala, harmonize, interview za wasanii, habari za mastaa, icu chumba cha umbea, UDAKU WA BONGO
Ushoga tanzania

Опубликовано:

 

21 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@LeahKayange-k6n
@LeahKayange-k6n 11 дней назад
chimama nandy luludiva faymaa nanado gigy💥💥💥
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Zuchu kapendeza sanaaa 🌺🌼🌺🌸❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌺🌸🌺🌸
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Wamependez wote 💙❤️💜
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Na'am
@safiyahabib1230
@safiyahabib1230 Год назад
Sunna hinna amesisitiza Mtume wetu S A W ila sio hio waliopaka hao hio ni rangi mtume alitaka hinna ya majani ambayo mbali ya urembo ni dawa pia
@munaomar9532
@munaomar9532 Год назад
Hinna ni suena ilofanywa na mototo WA mtume wetu Muhammad s.a.w na itaendelea mpka mismo WA dunia
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Na'am...hakuna harusi bila ya hina au siku ya Idi... (Skukuu ) bila ya watoto au watu wazima bila ya hina ni Sunaa..
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Aisee wote wamependeza mnoooooooo, ila J.W kafunika Masha Allah
@jamilabahiti881
@jamilabahiti881 Год назад
Mashallah wolpar ume dashi nimependa kilakitu katika vazi lako
@salamaalihemed6220
@salamaalihemed6220 Год назад
Hinnh n sunnh my siz more lov wamedamsh mashaallh thabrk allh
@mwakamakame1128
@mwakamakame1128 Год назад
Mwalisa. ndiyo. pambee. sana❤❤❤❤❤❤❤
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Год назад
Hinna ni Sunna bi dada ❤
@sahaleabeid6986
@sahaleabeid6986 Год назад
Idris sultan my favourite Eid Mubarak bro
@umfahad2609
@umfahad2609 Год назад
Ommy hajaenda hija. Hio ni umra. Hija ni bado. Sio mwezi huu.
@luckylucky7153
@luckylucky7153 Год назад
Mashallah
@mwakamakame1128
@mwakamakame1128 Год назад
Sema. wote. wamendeza. Sana❤❤❤❤
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
Wakivaa ivyo wanapendeza ni very feminine classy Napenda
@fatmamkombozi6654
@fatmamkombozi6654 Год назад
Mashaallah
@rehemaniyonzima3848
@rehemaniyonzima3848 Год назад
Waooo wot wamependez
@mbwilojenipha8741
@mbwilojenipha8741 10 месяцев назад
Nampenda san zuchu❤❤❤❤❤❤
@MagrethyMalama
@MagrethyMalama Год назад
mmependeza hongera yenu
@bilhakibibi7682
@bilhakibibi7682 Год назад
Wemaa kapendeza sana❤❤❤
@mafilleskitu4500
@mafilleskitu4500 Год назад
Manshaallah
@cutypisy1803
@cutypisy1803 Год назад
💟💟💟wamependeza wotee 💋💋
@mwabiawahadi6247
@mwabiawahadi6247 Год назад
Zuch Umependez San
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
WOLPER SO KIJOLA IKO IZO Z kihidi gauni wema umependeza masha wolpe wengi mmependeza😊
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq Год назад
NNdy yammi zuchu best♥️
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Haa haaa 😂😂😂 Mhhhh tusiharibu mambo ABAYA gani hilo...????
@MaryMwalimu-mt7un
@MaryMwalimu-mt7un Год назад
Wemma❤
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Ommy dimpoz ameenda makkah ummrah sio hijjah
@aby21111
@aby21111 Год назад
Henna is symbol of happiness. 😎
@mwanasitikassimbakari1345
@mwanasitikassimbakari1345 Год назад
inna nisunna daa
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Год назад
Kwa waislamu
@aby21111
@aby21111 Год назад
@@omarswaleh6082 Not necessarily, even Indians put henna in many occasions.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Mtangazaji inatosha ukisema SKUKUU siyo lazima useme.. Sikukuu ya Eid... au sema siku ya Edi...
@fatmayusuf8272
@fatmayusuf8272 Год назад
Ommy hakwenda hijja Kenda umra hijja inafanyika Mara moja kwa mwaka umra inafanywa Mara kwa Mara
@arafatali2796
@arafatali2796 Год назад
Idi ni yawaulam tu wao wanasherejekea kama nan mbona hawakufunga
@cutypisy1803
@cutypisy1803 Год назад
@user-xl9pg3fu7c
@user-xl9pg3fu7c Год назад
Kweli wamependeza Sana hongeren hey Google hey Google ok
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Год назад
Chi mama nyie ni mrembo sana tu
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Год назад
Kapendeza nni Ivo uyo zuchu
@safiyahabib1230
@safiyahabib1230 Год назад
Sio hijja dada ni umrah msimu wa hijja bado ndio unakaribia
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Год назад
Watafutie hiyo hina yamjani wapeleke hatakata.wamepaka hiyo rangi kwamaana kuipata hina yamajani skuhizi ni mwiko.haya kama uko nayo kawa uziye hawatakata wata nunua wtimize hiyo suna sawa.
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Год назад
Wahindi wengi mwaka huu 😂😂
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 Год назад
😅😅.😅😅😅😅
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 Год назад
😅😅.😅😅😅😅
@alinebakome
@alinebakome Год назад
Ivi umesharudia kwenye the tire thear
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ Год назад
Yes yes ,,,NIMERUDI RASMI
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 Год назад
Baadhi ya wabongo dini wanaichukuliaa poaaa
@wasimbaa6653
@wasimbaa6653 Год назад
Anaweka kwa begi
@joyjustine-hv8vz
@joyjustine-hv8vz Год назад
Fay kawashinda wote
@alichristopher4949
@alichristopher4949 Год назад
Hebu wambogo mnatuchanga sana ao umetereza sasa last week simlituonesha (ZARI)kafunga ndoa sasa vipi unasema alikuwa na baby wake sasa sio mumewake tena!!!!ebu tufahamishe vizuri pls
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ Год назад
Hajafunga ndoa ameveshwa pete ya uchumba.
@saadamohd7976
@saadamohd7976 Год назад
Hinna ina maana ya usafi na furaha kwa hio iddy ni cku ya furaha
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Na'am....hakuna kitu kama nguo za stara...
@norahmakrean525
@norahmakrean525 Год назад
Fayma na ldris ndiyo wamependeza sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Sa Fayma ana ustar gani jmn
@norahmakrean525
@norahmakrean525 Год назад
@@vanessalaizer4363 nimetoa maono yangu kama humpendi shauri yako
@beyondintrusion1663
@beyondintrusion1663 Год назад
@@vanessalaizer4363 aaai 😅😅
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
Wote wamependeza...Shilole tusimsahau...Mashaallah na yeye...❤
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Год назад
Uyo kaja uku kwetu siku ya Eid yupo uchi kavaa chupi tuu hamna kitu apo
@rizbaajil6199
@rizbaajil6199 Год назад
11:31 it’s Not hijah ni umrah bwana, hijah after two months …….
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Год назад
Ni Haram kuchorwa na mwanamume
@mwajaburashid4260
@mwajaburashid4260 Год назад
Ni suna kupaka hina siku ya edi ndogo
@arafatali2796
@arafatali2796 Год назад
Kwan niwaislam mapaka wawe wanasherehekea idi mbina hawakufunga
@ShumnaAli-je3jz
@ShumnaAli-je3jz Год назад
Wengine hata si waislamu shobo tu
@fatmakirungi9926
@fatmakirungi9926 Год назад
Itakuwa anatangaza biashara
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Год назад
Na uliza hawa wote ni wa islam
@user-cv7od7tc8t
@user-cv7od7tc8t Год назад
Jitahidi sana kufanya uchunguzi wa kitu unachokisema hakuna hata mmoja aliyevaa kijora,wengi wamevaa guberi na Abaya,mbona vijora vinajulikana?,Ili uwe international usirushe kitu ukasema wakati ungeweza pata majina yake
@THETHIRDTV_
@THETHIRDTV_ Год назад
Sawa
@zuwenahamad-lz1xm
@zuwenahamad-lz1xm Год назад
Faima ndio kapendeza
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Hivi Fahima nae ni star? Star Wa nini???
@shadyayasir7193
@shadyayasir7193 Год назад
Ni mwanamitindo
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
@@shadyayasir7193 mwanamitindo??? Khaaa hahahhaaaa🤣🤣🤣
@user-bl9nb8jg3h
@user-bl9nb8jg3h 3 месяца назад
C n mwanamitindo na n muigizaji ama star mpka aweje😊
@mesaidalilinendolinendo
@mesaidalilinendolinendo Год назад
Ummra not hijja
@husna7954
@husna7954 Год назад
Mtangazaji hakuna aliyevaa kijora hata mmoja lapili kuchorwa piko na mwanaume ni gharamu kwasababu unapochora piko au henna unatakiwa kutia udhu sasa umetia udhu alafu mwanaume akushike sio sahihi ila dunia kwaajili yaenda mbio sana 😂😂😂twafanya tu
@maryammagembe5553
@maryammagembe5553 Год назад
Zuchu ajapendeza
@najmasaid7057
@najmasaid7057 Год назад
Kiukweli kapendeza Sana tuu
@mwabiawahadi6247
@mwabiawahadi6247 Год назад
Umeona Kapendez Sana Zuch Maryam Magembe Acha Roh Mbay
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Kapendeza bibi wewe acha wivu
@lulually5209
@lulually5209 Год назад
Humu ndani watu wote wamependeza
@beyondintrusion1663
@beyondintrusion1663 Год назад
Unahila mbwa ww humuwezi labda uniroge mpumbavu
@christinekagwiria1515
@christinekagwiria1515 Год назад
Zuchu kapendeza sana ❤❤❤❤❤❤
Далее
КРЫЛЬЯ - ЗЕНИТ: все голы
01:00
Просмотров 85 тыс.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Просмотров 279 тыс.
MASTAA WENYE MIGUU MIBAYA ZAIDI BONGO😃😃😃
11:36