Тёмный

MBOWE AFUNGUKA MAZITO SAKATA LA UTEKAJI wa "SATIVA", AMTAJA HAYATI MAGUFULI LIVE,....... 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 22 дня назад
Nyinyi kama hamtamuacha Magufuri mtapiga kelele sana hamtashinda uchaguzi. Kumsema Magufuri kunawafurahisha baadhi ya chadema tatizo lenu hamfanyi tafiti Magufuri bado anakubalika sana na ana wapiga kura wengi kupita CCM na chadema.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 22 дня назад
IPO SIKU ATATEKWA MWANAO NDIPO UTAJUA VIZURI JUU YA MANENO YAKO YA KUKEJELI WATU
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 21 день назад
KWAVILE sio wewe uliotekwa Wala aliotekwa sio ndugu Yako ...endelea
@husseinc
@husseinc 22 дня назад
r.i.p shujaa dr jonh pombe magufuli
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 22 дня назад
Haki iko wapi Tanzania,?tnajifichaa kwenye kivuli cha Tanzania nchi Ya Amani,pole sna Mwanaharakati Sativah
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 дня назад
Hili Chaga ngese Sana,,,Samia angelifunga tu
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 22 дня назад
Wakati wa magufuli haikuwa hivi hii ni enzi ya ulimboka
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 22 дня назад
We mzee koma kumtaja taja magufur tena koma
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 18 дней назад
Kwanini asitajwe magufuli na wakati magufuli ndo mwasisi wa utekaji?
@SaimonMrema
@SaimonMrema 20 дней назад
Udhalim,utekaji unyangaji nauonevu nizao laserikali dhalim
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 21 день назад
Mbowe namuheshimu sana ila hapa pakuwa anamtaja MAGUFULI ndio huwa wanafeli ,aachane na JPM kbs yule alikuwa ni kiongozi Bora kuwahi kutoka hpa Tz.
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 13 дней назад
Ukimtaja tu magufuli umejipunguzia mambo makubwa sana. Halafu hilo kwa chadema, hawajawahi kujua kama ni doa kubwa huwa linawapunguzia thamani kwa watu. Magufuli anaaminika na watu wengi zaidi, ukimsema wanakuona ni miongoni mwa watu usiyependa mafanikio aliyoyafanya magufuli. Hivyo jifunzeni kurekebisha hapo, watu watawaelewa zaidi kuliko kumdharau JPM
@florencemeza6540
@florencemeza6540 22 дня назад
We KENGEZA KOMA TENA KOMA KABISAAA MTETEA TUMBO SHENZI ZAKO
@georgesteven5185
@georgesteven5185 15 дней назад
Kwakuwa anae ongelewa siyo mama yako Wala baba yako Wala dada yako ndomaana unaongea ushubwada wako
@alexvenas2699
@alexvenas2699 16 дней назад
Inauma sana
@halimamasai2234
@halimamasai2234 22 дня назад
Unaongea kama ulikwepo na unaushidi halafu jina la Magufuli ulikome kabisa wacha makufuli alale kwa amani kama nye hamana sera kazi yenu ni kutoa tarifa kama alvyosema komando Makonda 🤣🤣
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 22 дня назад
Tena akome akome akome Papa ame pumzka muachen
@jumaahagu4764
@jumaahagu4764 21 день назад
Ila kila anayehusika na unyama huu kuteka kutesa kuua hasa kwa mtu anayetetea haki bula kujali dini yake au hana dini ajue naye mungu anamsubir kwa msimpeleke vyombo vya sheria
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 18 дней назад
Ninyi mnaye msema vibaya mbowe akiri zenu hazipo vizuri kama mbowe anasema juu ya suala la utekaji halafu ninyi mnaona sawa basi ninyi ni mAchawa ya mama kilemba
@husseinc
@husseinc 22 дня назад
kijana wanafunzi wa chuo aleyekuwa chama cha zitto kabwe abdul nondo alijidai katekwa na kwenda mafichoni mkoani
@dativachuwa3566
@dativachuwa3566 День назад
Usimtaje Magu wewe leta sera zako
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 22 дня назад
Magufuli hakuwahi kumfanya hivi mtu hata siku moja na hutapata kula hata kidogo kumsema magu
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 дня назад
Msigwa alisema Hili jitu halifai ht kdg ,,limegeuza chama cha Baba yake
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 18 дней назад
Police osterbay kuna cctv tunaomba uchunguzi ✌️
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 21 день назад
Kamanda tuko pamoja
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 22 дня назад
HAKI HUINUA TAIFA
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 22 дня назад
Ila watu 😢😢
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 22 дня назад
Wewe paka ulitaka watu wasiseme kwaajili ya matukio yasemee yapi?
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 22 дня назад
MUNGU WANGU SHUGHULIKA NA WALIOTENDA UBAYA HUU
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 16 дней назад
Wakuu tuambieni bado ni mwenda zaka au tumtazamie mwingine ?
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 22 дня назад
Kunaaja ya kulinda
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 21 день назад
Yaani moja ya chama ambacho kimepoteza dira ni Chadema yaani badala ya kubanana na mambo ya sasa mko busy na mtu ambae kashafariki. Huo ujinga kweli kweli 😂😂😂
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 22 дня назад
Awa awana mpya kutekwa kulinzia tanzania wana sela ngaja wanasumbili matukio mbando la pina
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r 22 дня назад
Acha upimbi wewe
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 22 дня назад
Tanzania ni nchi nzuri sana, ukisikia hayo unaogopa sana. Mambo yote chini ya jua ni ubatili tu. Mahakama zipo kwa nini wasikamate mtu akashitakiwa?.
Далее
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 5 млн