Тёмный
No video :(

MBUNGE MPINA AYATIMBA BUNGENI - SPIKA TULIA AMPELEKA KAMATI ya MAADILI - AKALIA KUTI KAVU... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

MBUNGE MPINA AYATIMBA BUNGENI - SPIKA TULIA AMPELEKA KAMATI ya MAADILI - AKALIA KUTI KAVU...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge kwa kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu.
Awali, Mpina alipewa wiki moja kuwasilisha ushahidi wake baada ya kulieleza Bunge kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amelidanganya bunge katika sakata la uagizaji wa sukari.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Sisi kama wananchi tuna imani naye mpina maana alisoma nyaraka
@user-xy2hf5pl5y
@user-xy2hf5pl5y 2 месяца назад
Mimi binafsi mh mpina Nampa heko mungu ampe maono zaidi naona ndie mbunge no 1 tanzania
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 месяца назад
Nonsense, CCM ni janga la taifa namba moja.
@CharlesMaganga-ju3re
@CharlesMaganga-ju3re 2 месяца назад
Mpina yuko sawa
@DavidMMKing
@DavidMMKing 2 месяца назад
Upuuzi wenu tu la muhimu ushaidi ni wa kweli mambo ya kufuata utaratibu wenu mliojiwekea kulindana hauna maana. Mnataka kufichiana siri na kulindana. Mpina katoa ushaidi na ni ushaidi wa kweli sasa kelele za nini. Hati kamvunjia heshima spika na Bunge. Bunge lina heshima kwa kufanya mambo yanayoleta heshima. Bunge lenu haliheshimiki maana limejaa upuuzi mwingi. Watanzania hawakuhitaji Mpina ili waliheshimu Bunge, hata bila Mpina hilo Bunge lenu halina maana na halitoheshimika, mnapitisha na kujadili uozo mwingi. Bunge lifutwe maana hii ni kupoteza hela ya umma ati mnahitaji posho, wizi tu!!
@fadhilyassin5772
@fadhilyassin5772 2 месяца назад
Asante kwa hekima spika tunasubir J3 hio
@ruthsimon5846
@ruthsimon5846 2 месяца назад
Natamani mwanangu awe kama Tulia Acksone!
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 2 месяца назад
Hilo bunge lenu ovyo sana bila mpina hakuna bunge
@oscartalljembemgonya3528
@oscartalljembemgonya3528 2 месяца назад
mh Pina Yuko pamoja na wananchi mpaka kieleweke, Pina oyeeeeh.
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 2 месяца назад
Tatizo ya nchi hii sheria ni mbovu sana ndo mana wanajiona miungu watu
@georgeotete8970
@georgeotete8970 Месяц назад
Wananchi wanasimama na mpina
@nyabendasayumwe8514
@nyabendasayumwe8514 2 месяца назад
Huyu mama nayeye ni mpiga dili
@herijaphet
@herijaphet 2 месяца назад
Halafu Mpina unamuandama Bashe kwa lipi mzee. Mbona Bashe hana baya. Mtu kazi sana. Au kuna nn hapo mbona km unapambana na mpambanaji? Mwache Bashe achape kazi. Mwamba anajua
@kaismwambona9860
@kaismwambona9860 2 месяца назад
Ukweli bashe mtu kazi Sana, tunamfahamu inawezekana mara hii alishindwa kuwakwaza majirani nje ya wizara,
@pancrasflahisha7155
@pancrasflahisha7155 2 месяца назад
Mpina MTU na Nusu APEWE ulinzi 😅🎉
@luganoharuna4217
@luganoharuna4217 2 месяца назад
Kwa iyo ushaidi hauna kazi tena ukienda kwa waandishi Habari
@Visiona897
@Visiona897 2 месяца назад
Mbona Mpina haoenekani hapa bungeni? Ila mpina ni jembe aisee, naona amewakaba kooni mafisadi wanatapa tapa!
@GidionBukwimba
@GidionBukwimba 2 месяца назад
Trulia acson wewe nimiongoni mwamafisadi
@georgeotete8970
@georgeotete8970 Месяц назад
Hauna lolote huwezi kumuadhibu mbunge mwenzako kwa interest yako Tambua kila kitu kina mwisho na one day na wewe utafika tamati
@DavidMMKing
@DavidMMKing 2 месяца назад
Hilo Bunge lenu limejaa wezi wala hamna maana yoyote. Bunge lifutwe tu!!
@MasanjaLucas-jf9cg
@MasanjaLucas-jf9cg 2 месяца назад
Nadhani haki itatendeka kote...
@Nkonyololuchana
@Nkonyololuchana 2 месяца назад
Bunge la hovyo na la kijinga sana, kazi kulinda wezi na kuwahujumu wananchi
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 месяца назад
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 wachumia matumbo kazi mnayo. Nonsense
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 2 месяца назад
😂 siku zote mtu anayesema ukweli hawezi kupendwa
@nshoyachacha3497
@nshoyachacha3497 2 месяца назад
Mpina alisoma baadhi ya receipts za mamlaka mbali mabali. Pamoja na chuki anazoweza akawa nazo dhidi ya waziri lakini baadhi ya hoja zake zina mashiko
@user-nn5oz4cn2g
@user-nn5oz4cn2g 2 месяца назад
Unajua hiinchi niyakwetu wote mimi hatakama ni ccm siwezikukubali ujingahuu unaoendelea kwakweli selikali hii kamaimetuloga wananchi kilakitu nikusifia tuu kwakweli ila??
@user-nn5oz4cn2g
@user-nn5oz4cn2g 2 месяца назад
Yaani haya yenyewe kilakitu nikushangilia tu lakini spika huyu alisema yeye hataipinga selikali kwahiyo mpina yukopamoja na wananhi spika yeye yukona selikali lazima mpina ahalasiwe tuu iliwakina mwigulu wauzenhi vizuli jamani MUNGU akutangulie mpina kwakujitoa kwaajili ya wananhi
@Salummichael
@Salummichael 2 месяца назад
Wana chi tuna vumilia ushahidi kamaupo uzingatiwe kama uongo bac mbunge mpina alijipanga
@mussamakame3650
@mussamakame3650 2 месяца назад
Huyu sialiomba aletewe ushahidi?
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 месяца назад
Hawezi kutoka nje kuongea au kuliambia bunge bila kuwa na ushahid vipi wakati wa escrow na richimondi ilikuwa kama hivi lakini mpaka leo kuna watu hawajawahi kuchukuliwa hatua
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 2 месяца назад
Tunaelekea uchaguzi...Mpina anataka kujizolea "u popularity" ili iwe chachu katika mustakabari wake kisiasa jimboni ingawa yeye ni popular tayari. Anataka public attention imsaidie kwenye uchaguzi.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Mpina anaonekana kuwa na chuki binafsi awe mwangalifu anaweza kupewa hata ushahidi usio yeye akaona sawa kumbe katoswa
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 месяца назад
Mpina hana chuki binafsi. Mpina ni mbunge Ana haki ya kuwaeleza watanzania ukweli. Mpina Anahitaji support na sio lawama. Kwa kawaida viongozi wanao sema ukweli huchukiwa.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 2 месяца назад
Apuuzwe tu. Kanuni anazijua, amechagua kuzivunja kwa ajili ya political advantages
@augustinopanga9622
@augustinopanga9622 2 месяца назад
Dogo Kalikoroga😂
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Katumwa nakikundi chawahuni wenye ccm yao
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 2 месяца назад
Mpina wasikuyumbishe tuko pamoja na wewe
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 2 месяца назад
Akatafute kazi nyingine ya kufanya.😂😂
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 месяца назад
Amechagukiwa na watanzania. Wewe ni nani kumwambie akatafute kazi ya kufanya. Tanzania sio mali yako
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 2 месяца назад
Mkila mkashiba na kuhongwa vocha Huwa akili zinawatoka,,,kenge
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 месяца назад
Mpina Raid hajao
Далее
HOW DID SHE DECIDE TO DO THIS?!
00:27
Просмотров 7 млн
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
MGOMBEA AMGUSA MBUNGE KINGU SWALI LAJIBIWA KISOMI
7:07