Тёмный

MBWADUKE: HUYU BOKA NEXT LEVEL! HIVI NDIVYO ATAFITI KATIKA MFUMO PIRA GAMONDI KUIONGEZEA YANGA MABAO 

Mbwaduke Stats
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Usisahau ku-sybscribe, ku-comment na ku-like...

Опубликовано:

 

6 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 2 месяца назад
Naungana na Wana Yanga wengine huyu Shekhan afunge magoli atakuwa tishio anapaisha sana mashuti
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 2 месяца назад
Sura romarisa au nindugu wanafanana
@robertsalum1968
@robertsalum1968 2 месяца назад
Anafanana na inonga sana
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 2 месяца назад
Tunanaubiri kumuona km kweli
@Ba63828
@Ba63828 2 месяца назад
Kwanini Lomalisa asibaki kikosi kiwe kipana? Lomalisa is very useful.
@phiddeschacha3143
@phiddeschacha3143 2 месяца назад
Sasa mbona safari hii mafriji wameamua kuwa yavuje tuu?
@kevinalpha4716
@kevinalpha4716 2 месяца назад
Mbona anafanana kisura na Joyce Lomalisa
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 2 месяца назад
Nikwari anafanana na waziri wamaji romarisa
@stephenmurangiriruteere2718
@stephenmurangiriruteere2718 2 месяца назад
Tanzania ni ligi kuu kweli?
@user-vh9wt8zh4n
@user-vh9wt8zh4n 2 месяца назад
Huyo shekhan Ibrahim ni mtu wakupigapiga mashutu hata yasiyo na akili abadilike anachofanya ni mpira wa kizamani wa akina abdi kassim babii
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k 2 месяца назад
Sahihi,kiukweli sioni msaada wake.
@salumrwambo9733
@salumrwambo9733 2 месяца назад
ujuwe shekhan bado ni kinda tuseme lakini anakipaji sasahivi huwezi kumjaji kwanza yupo kwenye timu kubwa anamengi ya kujifunza na madamu ana walimu waliobobea atabadilika hao wenye uzowefu wanapiga mashuti nnje kwahiyo huwezi kumlaumu lazima tumpe mada kwa wale wanaoujuwa mpira wanaelewa akikomaa tutafurahi
Далее
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 10 млн
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Просмотров 50 тыс.
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57