Тёмный
No video :(

DJ Sma afunguka kwanini alitabiri jaribio la kuuliwa TRUMP, ‘Aliyehusika ni mbuzi wa kafara’ 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 67 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 247   
@assateke7199
@assateke7199 Месяц назад
Hahahaha Hatuna Dj tuna intelligent 🧠 kwa kweli... Hurrah
@aminaali792
@aminaali792 Месяц назад
Dj Sma with Big Brain Allahumah Bareek 🤲🏼🤍
@noonelike6382
@noonelike6382 Месяц назад
@aminaali792 🙌
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
Alafu huyo jamaa DJ sma nilisha mfatilia toka mda kuna neno amewahi kusema kipindi yuko Ivory Coast, niliamini kua anaweza kua mwana intelligencia, mungu awalinde #vladmir puttin,#hayatollah khamenei,#Xin jinping,#kim jong un #donard trump #aleksandra lukashenko,#shebaz sharif,#nalendra damodardas,#victor orban 🙏🙏🙏🙏
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Месяц назад
Anaweza akawa ni intelligence service
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@africanmandetraveler2847 sure kbs
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Месяц назад
@@africanmandetraveler2847 Hahahahah hahaha
@JOHNINSURANCE
@JOHNINSURANCE Месяц назад
@@africanmandetraveler2847 😀😀
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Месяц назад
Facts and locig & time will tell😂😂 uyo ndy dj sma
@12345678938129
@12345678938129 Месяц назад
Sky kwanini DJ smart asiwe na political show take mwenyewe mara kadha kwa week . Kwasababu iko vizuri sana na history , economics, and research
@Eng2460
@Eng2460 Месяц назад
Fuse ipo and ana mambo mengi anafanya sio rahisi kujigawa,ndo maana tunapaswa kuwasupport kwa kutuma tips ili waweze kujitoa kufanya haya mambo
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x Месяц назад
Hayupo vizuri Ww ndio upo vibaya kaka
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Месяц назад
Fuse ipo
@Eng2460
@Eng2460 Месяц назад
@@zahrababygarl1568 🥂🥂
@elisanteezekiel5998
@elisanteezekiel5998 Месяц назад
Dj Sma is well informed and a good analyst's, ally masubi is detailed, technical details, na Sasa Henry kwenye GPS you guys your making a good team.
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Месяц назад
@@elisanteezekiel5998 yaan unajua kuipanga battline
@valleluoga6258
@valleluoga6258 Месяц назад
Asante sana kwa SNS na kaka DJ SMA, Kwa uchambuzi wenye weledi, Kwakweli political view ya sasahivi Marekani inazidi kuwa complex na hasa upepo wa kimadaraka the more complicated time is coming
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Месяц назад
Smaa nakukubali sana, hongera kwa kazi nzuri
@sakitiyesse5973
@sakitiyesse5973 Месяц назад
DJ smaa naona ulishafanya profiling ya situation mapema, yaani you are a profiler, apo imebaki tu kuanalyse crime scene eneo la tukio. Hongera bro.
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 Месяц назад
Mzee wa fact and logical,
@thadeomwaulambo
@thadeomwaulambo Месяц назад
Dakika almost 6 za kujisifia go straight to the point tutakupa maua yako 🎉 though haipingiki your a good analyst
@JosephMpangala-wd5mp
@JosephMpangala-wd5mp Месяц назад
Jambo la Maana syo kumwinua na kutumtukuza kiasi hiki,bali kitakacholeta baraka dj smaa nikumtukuza Mungu aliyemfanya awehivyo,jina la Bwana litukuzwe sana.
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s Месяц назад
DJ sma kwa kweli dah? Mungu akuhifadhi sana.una akili kubwa sana ya ziada hii Ni zawadi maalumu toka kwa mungu halafu una kipaji chenye maono sana.alla akubaariq DJ sma...
@faridhamad3678
@faridhamad3678 Месяц назад
Allahumma Amiin 🤲
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 Месяц назад
Dj sma ni kati ya binadamu wachache wenye akili nyingi sana na uwezo mzuri wa kufikiria. Mwenyez Mungu amjaalie maisha marefu yenye afya njema inshallah.
@ABDULShq-wv6st
@ABDULShq-wv6st Месяц назад
Good job sma 👍
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Месяц назад
Hongera sana @djsmaa we ni genius wa Geopolitics..hongereni sana SNS..hongera sana sky..
@MudyBankary
@MudyBankary Месяц назад
dj sm 🙌
@user-si7kv4vl2b
@user-si7kv4vl2b Месяц назад
Dj Smaa pa1 na elimu ulinayo pia una kipaji ndan yko lkn kubwa zaid ulichomuomba Mwenyez Mungu ktk kaz zako ndicho anachokuonesha ili watu wauelewe ule ukweli ambao unaousema siku zote shukran Allah akupe maarifa zaid uendelee kutupa ukweli next ukiwa na wachambuzi wenzako hapo mjengoni.
@user-si7kv4vl2b
@user-si7kv4vl2b Месяц назад
Wakuitwa Mwembe from Mtwara mmetisha sn wana SnS.
@faridhamad3678
@faridhamad3678 Месяц назад
Allahumma Amiin 🤲
@mohamediidrisa1259
@mohamediidrisa1259 Месяц назад
Mwembe yupi jumanne au mtwara home pia chikongola ndio kitaa ​@@user-si7kv4vl2b
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Месяц назад
Jamaa smaaa anajua hatari mungu akuqwke
@matanohassan9667
@matanohassan9667 Месяц назад
Dj sma Hatari sana namuelewa kuliko YOYOTE Yule
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Amuelewa dj smaa, hiyo aliyonayo ni gift hata kama angekuwa hasomk sehemu, ila kitakachomjia hua hivyo
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Месяц назад
DJ Smaa ni mwanadam makini sana naomba kuwakilisha
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 Месяц назад
Nilichofurahishwa na dj smaa ni msimamo wake kwenye videos za mahojiano yake kwa kutowekwa matangazo ya pombe❤, Pombe kwa waislamu ni haramu na wala haitakikani kushiriki chochote katika kuitangaza au kuifanyia promo yoyote.
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 Месяц назад
Wanetu leo tupo trending
@B13-AK47
@B13-AK47 Месяц назад
Nimekupata dj smaa Ile muvi Kali sana Kuna mwamba anaitwa bob Lee swagger. Ileyeshutumiwa mauaji hatariii.
@dmsports255
@dmsports255 Месяц назад
jana tu imerushwa dstv nimeirudia kuangalia ni same story na h
@baizoboy1719
@baizoboy1719 Месяц назад
SHOOTER , 2007 Action Mark Wahlberg- Bob Lee Swagger😅
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 Месяц назад
daah DJ smaa nomaa
@noonelike6382
@noonelike6382 Месяц назад
Please please SNS na dj smaa na brothers wengine hapo studio shalom/bwana yesu asifiwe, Aisee brothers tunahitaji uchambuzi wa mahojiano aliyo fanyiwa yule kijana Joshua okayo raisi wa baraza la wanafunzi chuo cha KSL Kenya, mahojiano aliyofanyiwa na kituo cha NTV, baada ya kutekwa na kupatikana. Please please ilye interview inavitu Naona Ndani yake. Please please.
@josephm4233
@josephm4233 Месяц назад
I was waiting for SnS reaction
@user-nl9mc4ji8n
@user-nl9mc4ji8n Месяц назад
Nakukubari sana
@seemeyou862
@seemeyou862 11 дней назад
❤kazi nzuri sana bro
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Месяц назад
Dj smaa nakuelewa sana
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Месяц назад
Nyie mngefungua chanel ya television mngepata fans wengi sana
@user-tn6yd6cb5r
@user-tn6yd6cb5r Месяц назад
Kwel
@wazirngwadi7311
@wazirngwadi7311 Месяц назад
huyu jamaa ni hatari na ndo aliyenifanya nikaipenda sns niliachana demu kisa yeye aliniomba hela ya bando na mm sina bando nikamwambia bora ukose ila nisimkose kumsikiliza dj sma255🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍😍😍👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👊🏿👊🏿👊🏿
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Месяц назад
😂😂😂😂
@godefroidniyonkuru7332
@godefroidniyonkuru7332 Месяц назад
Kuna video ali shoot before tukio anadai eti anacukia Republicans na Trump ila mwisho akasema eti otea " mulinasa wrong guy"
@morganyiskaka815
@morganyiskaka815 Месяц назад
The shouter niliona kama bendera ya tz ilionekana
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 Месяц назад
Huyu dj sma Bundala sio dj tena huyu ni mwana intelijensia. This guy is so smart aise
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Месяц назад
Dj sma ni hatareee sana na wewe inabid ujilinde sana 😀 maana unatusanua sana
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Месяц назад
DJ anaiba prophecy kwa Mitanndao imetabiriwa tangu 2021
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Месяц назад
Unachambua vizuri mno media za magharibi hawakupendi unawamaliza
@chabrumachabruma
@chabrumachabruma Месяц назад
Risasi imepita na sikio!halikuwa igizo
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 Месяц назад
MUNGU amemsaidia sana trump angekufa,,
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Месяц назад
Warra DJ smaa Asante sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mzomemzome6723
@mzomemzome6723 Месяц назад
DJ. Smaa yuko vizuri
@chande2k250
@chande2k250 Месяц назад
Dj smah nakukubali issue ya trump inaendana na movie ya shooter kabisa
@isayajoseph14
@isayajoseph14 29 дней назад
Shooter ni noma sana inafundisha sana
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx Месяц назад
Sma we inabid serikali yetu inabd ikuajir we ni ktk vichwa adim sana dunian
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 Месяц назад
Unastaili sifa gd kanzi nzuri
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 Месяц назад
Salute 🫡 dj 🙌 🙏 👏 💪 💯 unajua kutabiri
@flaviaurio7957
@flaviaurio7957 Месяц назад
Pamoja sana
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Месяц назад
Wacha tusubirie GPS
@dn.n4983
@dn.n4983 Месяц назад
Selikali tadhania mngetumia kumpa kazi anajua kweli mnawatu wanaakili hamtumii ila watakuja warusi wamerekani watachukua sasa muhamuwe akipaji umakini mfatiaji sio balaa nalka ausifa una haja kusikiliza cnn kumsikiliza tu unajua kila kitu
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 Месяц назад
Yes, on migrants,you are right bro
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Месяц назад
Nakumbuka dj sma alitabiri kweri duuh😮😮 hapa ndio namuelewa dj sma akisema nakupa facts and logic & time will tell🤔🤔🤔🤔
@starjay3052
@starjay3052 Месяц назад
hii tukio linataka kua kama la jay f kennedy
@HadijaJulius
@HadijaJulius Месяц назад
Djsmaa una kitu kikubwa sana🙌🙌
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 27 дней назад
Watu wenye uwezo kma smaa nchi za waenzetu huwachukuw na kuwaeka sehemu inayofaa kwa nchi zetu za Africa wanawapuuzia ila kwa sisi wananchi tunajuwa muhimu wa Smaa ktk swala zima la kutupatia vitu vya uhakika
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Месяц назад
Ni woga tu huo, baada ya Marekani Chini ya Biden kuhisi kushindwa kwa Putin ndiyo wameona bora wamuue Trump ili asije akawachafua baada Biden kushindwa Katika Uchaguzi maana wanahisi kwamba Trump akishinda Uchaguzi atauanika kwa Wamarekani Uchafu wote uliofanywa na Democrat ndani ya Uongozi wa Biden kwa mda wa miaka minne ya Uongozi wake.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Месяц назад
Sma upo vizuri
@coolsinare8824
@coolsinare8824 Месяц назад
the shooter naijuwa..ndo mchezo huo
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 27 дней назад
Smaa Genius
@sugumbeya
@sugumbeya Месяц назад
Dj uko vizuri kaka, lakini huyo dogo ndiye muhusika, kwa kuwa wamemkuta hana ID yoyote ile ikawa ngumu kumtambua, then risasi na bastora waliyomkutana nayo zimesajiliwa kihalali kabisa kwa sheria za marekani, na hiyo bastora ni inamilikiwa na baba yake mzazi. Lakini dogo hana historia yoyote mbaya. Naomba kuwasilisha
@user-co1bk7wo7t
@user-co1bk7wo7t Месяц назад
Dj sema 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@CantonaKunona
@CantonaKunona Месяц назад
Iyo risas imempata au mbona hamuongei habar ya kueleweke na kama imempata sehem ganii ya mwili maneno kibaoo mxuuuu😬
@misagosylvestre3356
@misagosylvestre3356 Месяц назад
Imesepa na sikio
@valleluoga6258
@valleluoga6258 Месяц назад
Sasa si ufatilie vema hiyo habari ndg..!? Unamletea nani makasiriko sasa wakati simu kubwa unayo na unaweza kuperuzi chochote...!? Haya nenda DW, BBC au nenda TBC au Jamii forum. Utakuta unachotaka, jiongeze basi siku nyingine, Simu kubwa kutumia akili aaahh...!!!
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Месяц назад
Imempata ktk sehm ya sikio lke la kushoto
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Imemparaza tuu sikio
@user-ls8zn3ho8l
@user-ls8zn3ho8l Месяц назад
😂Dj angalia kwa umakini mkubwa hii ni kiki trump anaigiza angalia reaction ya alie chunoi na risasi from Congo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Dj sma ni bonge la mchmbuzi kutoka nairobi
@ahmedymahmudu9532
@ahmedymahmudu9532 Месяц назад
Safisana Dj smaaa
@youngbona3804
@youngbona3804 Месяц назад
#SMA 🔥🔥🔥
@brightsakafu
@brightsakafu Месяц назад
There's no way trump akarudi madarakani, ila kuna namna trump anarudi madarakani tena
@mynambwambo2072
@mynambwambo2072 Месяц назад
I agree anarudi
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Месяц назад
Dj smaa ni mchambuzi na nusu huwa anawaambia mapema ila vilaza mashoga wanaleta ubishi… ata kenya Smaa alisema mapema Ruto avunje baraza lamawaziri
@jacksonmrema4737
@jacksonmrema4737 Месяц назад
Dj sma sio mtabiri aliyetabiri anaitwa Prophet Eubert Angel tofautisha kunarrate na kutabiri ndugu sns
@murtalla2826
@murtalla2826 Месяц назад
Kuna yule dogo anaitwa Ali masumbwi 😂😂😂 ama kweli yule ni masumbwi 😂😂😂
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 Месяц назад
Very nice
@ASALABOY
@ASALABOY Месяц назад
SnS inaunguruma ukweli n UWAKIKA 🇲🇿🇹🇿
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY Месяц назад
Sma yupo vizuri ata ile notio ya kuwa biden hatagombea pia itabainika na mishel Obama pia possible kuwa nominee wa chama chake
@baizoboy1719
@baizoboy1719 Месяц назад
SHOOTER , 2007 Action Mark Wahlberg- Bob Lee Swagger😮
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Месяц назад
Kweli kabisa propaganda tu alietaka kuua sio wanayosema ni wao manyang'au...DJ SMA salute
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Месяц назад
Putini naye atauliwa na zelesiky pia atauliwa Nami nitakufa na dj Sma nayeye atauliwa
@sereveolivier5395
@sereveolivier5395 Месяц назад
sns kwakweli napenda Sana kuwafatiliya ila ikiwa hamtakua makini na wafatiliaji watawavuruga Sana Iyo tabiya yakiubaguzi siju wamoja DJ sma Ally masubi wengine wanaenda mbali Zaidi wanaleta hadi ubaguzi wa kidini na ninavyo one kwasasa vimaanza kuwasili muweni makini Sana Izi siku Ally tunamusikia Sana ila sio kwaubaya but not again just because people trying to separate you guys love you all Wana sns Yusuf from 🇿🇲
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 Месяц назад
You dont need cristal ball to see what is coming, give the atmosphere right now😮
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
Afu skilizeni. Mungu akiamua uende we unaenda tu...kwa ile ile moja...hao walinzi ni mifumo tu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Месяц назад
Angekua ni muislam tungeambiwa ni shambulizi la kigaidi na waislamu huko wangejuta kuwepo marekani
@davidngomeni2608
@davidngomeni2608 Месяц назад
Nimekuelewa sana ulivyoonganisha na #shooter
@hubertgodwini3574
@hubertgodwini3574 Месяц назад
Inaitwaje hiyo movie
@richarddavidmk
@richarddavidmk Месяц назад
Mnachqmbua vizuri
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 Месяц назад
DJ Sma umeongea ukweli yule ni mbuzi wa kafara
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 Месяц назад
Dj sma nakukubali chukua soda hapo ntalipa
@KidawaMzee-xr3mv
@KidawaMzee-xr3mv Месяц назад
Ah bro unakitu ndani yako bana sio bure
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Месяц назад
kuna mtu atasema alikuwa atafuta kiki😂😂😂
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 Месяц назад
Dj sma Jin aiseee
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Месяц назад
Wabongo bana..,hizi story zimesemwa saana na watu kibao.,years back. Sasa huyu amepita mulemule anajifanya ni yeye kapatia.
@nicksonmbilinyi5843
@nicksonmbilinyi5843 Месяц назад
Una roho mbaya kuliko wachawi
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
Dj sma 🎉🎉🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺👏
@Gilgal-fx5sh
@Gilgal-fx5sh Месяц назад
Sns Ni Zaidi Ya Media
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Месяц назад
Kabisa SNS ni zaidi ya media.. wapo very unique na wanajua
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje Месяц назад
Good job . Pia Kuna channel ya Cartoon inaitwa Simpson Huwa wanatoa Matukio kama hAya kabla . Walitabiri nyingi tu ukiangalia utajua vingi sana
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e Месяц назад
🙏🙏
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb Месяц назад
Hapa sns ndio kuna wa andishi wenye uandisi wa kiahabar fact zimeshiba kazi kubwa na bless kwa sky smaa Ally. Na mwinuka mnatufanya kuwa watu watofsuti sana hata uku mtaani
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Месяц назад
Ally hamna kitu xio mchambuzi mtowa hadith tu
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
​@@hamicpina1151Mkuu mpe moyo mwenzako, una maneno makali sana na yasiyo na adabu pia.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Месяц назад
Dj smaa Wewe utakua KGB intelligence service cz unavyo chambua na kutabiri uko smart sana kwenye anga ya Geopolitics. Jamaa katolewa kafala ila FBI,CIA wako nyuma ya assassination attempt dhidi ya Trump.
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Watuwenyeakilinyingi tunaendramwishon yanabakia kizazichapili kutokazombi wejamaa unaonambali unanishinda kupangiliamada kutokana naelim aliokujaalia mwenyeiz mungu
@francisdavo
@francisdavo Месяц назад
Kweli Kaka nishaona hiyo muvie
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso Месяц назад
Genius smaa
@user-ew9cp4jh9e
@user-ew9cp4jh9e Месяц назад
Ok
@EstherJulius-cv9tk
@EstherJulius-cv9tk Месяц назад
Unajisifia wee
@Josephkamau12
@Josephkamau12 Месяц назад
I want to join fuse group? DJsma
Далее