Тёмный

MCHENGERWA ATANGAZA RASMI TAREHE YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@clickway..
@clickway.. 2 месяца назад
Nadhani si sahihi kuwa na uchaguzi Serikali za mitaa, Nashauri watendaji wote wa Serikali za mitaa waajiriwe kwa usaili kama waajiriwa wengine serikalini, kuwa na uchaguzi serikali za mitaa ni kupeleka siasa mitaani wakati WANANCHI MITAANI WANAHITAJI ZAIDI MAENDELEO KULIKO SIASA, pia tuondoe nafasi ya Diwani yaani hii ni pure politics, watanzania mlioko kwenye maamuzi badilikeni kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu. Si sahihi hata kidogo kuwa na Mkuu wa Mkoa au Wilaya hizi ni post ambazo ni pure politics yaani ni siasa tu hapo, TUBADILIKE, TUWE NA UPENDO KWA WATANZANIA WENZETU NA NCHI YETU.
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 2 месяца назад
Hiyo gharama mnazotumiaga kuingia kwenye uchaguzi bora mngejenga miundo mbinu maana mshindi hua mnamjua nyingi
@msabahaali758
@msabahaali758 2 месяца назад
uchaguz unasimamiwa na Waziri wa ccm hakafu eti uchaguzi uwe huru na haki ni ndoto bila mifumo huru ya uchaguzi
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 160 тыс.