Тёмный

MCHUNGAJI PETER MSIGWA AJIBU MASWALI, HALIMA MDEE, JESCA MSAMBATAVANGU, MBOWE LISSU, CHADEMA UKABILA 

EBONY  DIGITAL
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Msigwa bhana 😂 chadema tunaipenda sana. Yaani wewe unajisumbua 😂 Peoples power.❤
@EsauMwanguku-t5n
@EsauMwanguku-t5n Месяц назад
Mbowe usimjibu mlopokaji huyo ipo siku ataikumbuka cdm mungu bariki cdm mungu bariki tz
@jdanny497
@jdanny497 Месяц назад
Kabisa mbowe hawezi kujujibu
@user-mn5yq3xc7j
@user-mn5yq3xc7j Месяц назад
Mbowe kaa kimya baba, umetufundisha mengi katika nchi hii, hata kama siyo leo mungu atatenda kwa wakati wake,
@Kanyawela
@Kanyawela Месяц назад
Hata uzunguke midia zote lengo lako halítakamilika jifunze kwa Lowasa alivyomaliza kwa heshima kubwa
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 Месяц назад
Ndumilakuwili.
@hosianamosha389
@hosianamosha389 Месяц назад
Mimi kwenye hata sisi ambao sio wana siasa, tumejifunza kuwa tumezungukwa na maadui wengi sana , wakina yuda wako wengi mnoooo , we need to be moore careful some people are so jealous 😢😅😅
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 Месяц назад
Hamna kitu kwenye maamuzi yako! Umejipoteza na utapotea kweli kweli! Pole sana
@nzubukamlekwa2831
@nzubukamlekwa2831 Месяц назад
Huyu jamaa hata km angepewa nafasi yeyote ndani ya serikali halafu akafukuzwa anaweza kutoa Siri za serikali.Wewe unafikiri ccm ndiyo iko salama Sana unavyonifikiria,
@DianaKalinga-ho1cy
@DianaKalinga-ho1cy Месяц назад
Unajichanganya sana mara msimamizi mara mbowe
@dismasmtui729
@dismasmtui729 Месяц назад
Huyu ni kama betri imebadilishwa!!!😂😂
@Fesary
@Fesary Месяц назад
Ungeshinda uchaguzi wa kanda, ingekuwa vip
@edwinlupembe9528
@edwinlupembe9528 Месяц назад
Angeuza chaguzi zote zinazofuata Wenye chama wakamstukia.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Месяц назад
Umewatuhumu sana CCM, uewakashifu sana, mpaka ukamwita Kinana jangili, leo hii wamekuwa wasafi?
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Месяц назад
ndio tatizo la Msigwa hilo unawatuhumu vibaka halafu unakimbilia kuwakumbatia majambazi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Месяц назад
@@user-fr7jj1bo7y sio tatizo la msigwa ni tatizo la alikotoka!!! Walizunguka nchi nzima kumchafua lowasa kua ni fisadi kisha kumpokea na kumsimamisha agombee urais...hiyo ni tabia yao😐😐!!!
@seifjuniorrashid7597
@seifjuniorrashid7597 Месяц назад
Siku akiondoka tundu lisu nae mtamkosoa....😂😂😂hii nii series...na ndo kwanza czon 01epsd 01. Ngoja tuendeleee kusubir...yajayo yanafurahisha😂😂😂😂
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Kwanza msigwa unatamaa,,,ulikoenda ccm unawabania walio ijenga ccm,,
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 Месяц назад
Mch Msigwa ni Mnafiki mkubwa sana ,Mch muhuni
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
Yani kajuso kake kama kachawi kamenasa kwenye tego
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Kabisa
@DianaKalinga-ho1cy
@DianaKalinga-ho1cy Месяц назад
Haaa umenivunja mbavu hakaeleweki hako kajitu kapanya mtu hako😊
@user-yo4mt8cv6w
@user-yo4mt8cv6w Месяц назад
Mh mchungaj jaman pastor
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Ww ccm walikua wanakupa pesa Hadi msukuma akasema kama unabisha wakate mnyororo Tena akasema mwaka 2024 kuelekea serikali za mitaa msigwa atahamia ccm kweli yametokea
@jacksonbalama5990
@jacksonbalama5990 Месяц назад
Wewe umekaa miaka 20 ndani ya chama ilikuaje ukagombea wati ulijua kunaubanaishaji ? Nailikuwaje ukahama ulipo kosa kiti
@babalao910
@babalao910 Месяц назад
MZURURAJI WA TAIFA
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Msigwa acha kelele,,wapo walioenda ccm wakaanza na kelele leo hii wapo kimya,,akina gwajima,,utatulizwa tu na ccm
@abrahammwamlomba8922
@abrahammwamlomba8922 Месяц назад
Hiyo sawa na mtu aliye jinyea
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Haaa haaa kajinyea kweli
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw Месяц назад
Kwa msigwa hapa jamani ccm mtajifua huyu ha mantiki tena
@jobharry9009
@jobharry9009 Месяц назад
Mim nimewah fanya na watu wa Iringa ofis moja nawafaham Msigwa msamehen tu
@user-yl8ze2xy5z
@user-yl8ze2xy5z Месяц назад
WAnafki wAnapenda kuongoza na sio kuongozwa
@AgnesHando-k5b
@AgnesHando-k5b Месяц назад
Ivi kumbe heshima ya mtu inaweza kupotea sekunde tu, jamaa alieshimiwa sana na watanzania ila kwa sasa kajivua nguo.
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 Месяц назад
Kameamua tu kua kajinga haka kajamaa. 😅😅😅
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Msigwa ungekuwa unapenda haki ungeanzisha Chama chako kama zitto kabwe lakini kitendo cha kwenda Chama cha mafisadi ccm moja kwa moja unaonekana umenunuliwa na huna legality yoyote zaidi ya kuonekana ni mroho wa madaraka
@kihongole87-ns1bo
@kihongole87-ns1bo Месяц назад
Ona anavyotapatapa dhambiii8iiiiiii
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
kinajifanya kinajua kumbe bule kabisa vipi kuhusu pesa za dp wold mbona uumjibu mwambigija
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l Месяц назад
Bara nyie siasa sio yenu nandomana viongozi makada wananujukika
@AgnesHando-k5b
@AgnesHando-k5b Месяц назад
Sipati picha mtoto wake jesca anapomsikia baba ake akizungumza haya anajisikiaje aibu mbele ya wenzake.
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 Месяц назад
Wewe utamsaidiaje RAIS hauna msaada wowote
@StevenThomas-e6s
@StevenThomas-e6s 28 дней назад
Msigwa ni muhuni tu. Uroho wa madaraka ndio kuanguka kwake kumepelekea yeye aende ccm nakuapia leo hii akigombea akapika mungu wangu ayupi hai uyu c mchungaji ila ni tapeli tu.
@chikondanosimon5126
@chikondanosimon5126 Месяц назад
Mmmh huyu jamaa nadhani anakila dalili za kununiliwa na ccm...hivi wote hao watatoka na kwenda CCM Kwa kosa la Mbowe TU ..Mashinji , Kabouru, Na wengine why waende Ccm.
@user-qx6nj3me8x
@user-qx6nj3me8x Месяц назад
Wewe ushekwenda kafie huko
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Месяц назад
Muulizeni Msigwa atuelezee kidogo Mapungufu ya CCM
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Hakuna ukamilifu wa vyama
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Месяц назад
Bro unajizalilisha una lalamika sanaaaa kushindwa uchaguzi dhdi ya Sugu jipange upya chukua kata Moja hapo Iringa uwe hata diwani
@jumannesalumu8290
@jumannesalumu8290 Месяц назад
hunakili
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 Месяц назад
Hata mie naona kweli hujasoma
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Месяц назад
Katuangusha kabisa sissi Wakinga wenzake😂
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
hahahaaaaaa@gidongailo bhana, wapi hapo
@geraldmasengo1576
@geraldmasengo1576 Месяц назад
Yaani makete katuangusha mnooo
@jumamchungu2326
@jumamchungu2326 Месяц назад
Msingwa hana jipya. Hakuna sintofahamu yeyote kati ya lisu na mbowe🤣🤣😭
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 Месяц назад
Kiufupi CHADEMA pale juu kuna ukabila na kubebana kwenye uovu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Msigwa kanunuliwa kama kunia la mkaa🤣🤣🤣
@FrankGabriely-up5yo
@FrankGabriely-up5yo Месяц назад
Mbowe usimjibu huyu mpuuzi mchungaji gani hakuna mchungaji wa. Hivyo washirika wote nawaonea huruma sana
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k Месяц назад
Wewe njaaa inakusumbua
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Месяц назад
siri imefichuka Msigwa alitaka kumpindua Mbowe wakati ule alipokamatwa na kuwekwa ndani na kwa bahati nzuri Mbowe alifahamu huo mpango toka hapo Msigwa alikatiwa mawasiliano Huyu mjamaa ni kirusi hatari sana
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Месяц назад
Alivyokuwa chadema alikuwa anajuwa kujenga hoja ona sasa hivi anavyopata tabu kujenga hoja , sikuzote ukweli nauwongo haviwezi kukaa pamoja wala mwanga na giza kamwe haviwezi kuwa sawa, ndugu mchungaji jitafakali
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 Месяц назад
Hakika umenena sawa Hapo hawezi kuwa na hoja Wako viongozi wazito waliotoka Chadema lkn hakijafa Ataisha Yy hoja aliyonayo ni Mbowe na Chadema tu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Mwulizeni fedha za mbalali
@goodshoo4060
@goodshoo4060 Месяц назад
ww ni mlevi tu
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 Месяц назад
We. Si mtu hata kidogo msigwa ....huyu tumwangalie tu kama. Mwehu
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw Месяц назад
Bro mm nakuonea huruma unaongea mpaka mapovu yanatoka kwani mwenyekiti mbowe amekula nn chako kama moyo unakuuma omba samahani watakusikiliza utarud
@nelsonmwavipa9761
@nelsonmwavipa9761 Месяц назад
Huyu jamaa nilikuwa namwona kichwa kumbe mavii kabisa huku kaenda kupoteza mda wake tu.
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Kanapenda Utawala haka kajamaa pumbavu kabisa
@helenakamenya8680
@helenakamenya8680 Месяц назад
Ccm mmeokota choko somen comments ndio mtajielewa na huyo choko wenu
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 Месяц назад
Umechanganyikiwa father
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Месяц назад
MSIGWA USHAKUWA TAKATAKA...NOTHING MORE
@yayanews6870
@yayanews6870 Месяц назад
Nilijua uko vizuri, unatumia nguvu, kujitetea, but kaka bakiza maneno, simama na hoja ya ccm itakavyo msaadia mwananjee
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Месяц назад
Faratuu wew
@melch3097
@melch3097 Месяц назад
Ccm tutapoteza wanachama wengi sababu ya huyu mpumbavu, ffukuza haraka
@jdanny497
@jdanny497 Месяц назад
Wewe ukikuwa pandikizi la ccm ndio sababu ulilipiwa na magufuli na kuunga mkono wamasai waondolewe
@mickyjoseph5492
@mickyjoseph5492 Месяц назад
Uchungaji na siasa wapi na wapi?,acha ujinga we msigwa na njaa zako.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Месяц назад
Wew jamaa umekomaa Sura sababu ya roh mbaya
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Msigwa upo vizuri baba Hongera sana
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Месяц назад
Acha kujifariji, huyu ni mpuuzi tu
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 Месяц назад
Katiba shida inapaswa kiongoz akitoka kwenye chama chake aende nyumban akasimamia mama na baba yake
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 Месяц назад
Asipewe cheo tuone ksma ataendelea kukisifia ccm
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Mwongo
@yayanews6870
@yayanews6870 Месяц назад
Kaka unaendakuzama politically
@matiredms917
@matiredms917 Месяц назад
Wewe huna hoja yo yote ya msingi. Wewe mwanasiasa uchwara usiyeaminika na hutabadilika kamwe.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Wewe ni mmojawspo ambaye hata chadema digital ulikuwa mbali nayo
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Месяц назад
Tulia msigwa tulia acha mdomo
@etufaniakahemela5879
@etufaniakahemela5879 Месяц назад
Wewe ulisha julikana mapema ulichokua unafanya
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 Месяц назад
Mie sijasoma lakini huyu kwa mambo yako hajapendeza
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Месяц назад
Mbowe kawashika kwenye korodani mccm na machawa wake
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Месяц назад
Huyu ni mhuni cyo mchungaji 😂😂
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Месяц назад
Swali la msingi: Ungechaguliwa mwenyekiti wa kanda ungehama?
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Месяц назад
Ngojeni tu uchaguzi huu wawakani msigwa atajuwa kuwa nguvu aliyonayo ni ya chadema au yake mwenyewe?
@OmaryAthumani-db3vp
@OmaryAthumani-db3vp Месяц назад
Msigwa wewe njaa tu ndio umekufanya Ukimbilie CCM
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Месяц назад
Ng;ombe akikatwa mkia
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Месяц назад
Mambo ya kale anayetumiwa kama ww ni lazima akimbie
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Kalale
@jdanny497
@jdanny497 Месяц назад
Humuwezi Jesca wewe tuliza njaa
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Месяц назад
Kama mtu Mmoja Mbowe mnamshindwa ., Mngekua wapgania uhuru mngeweza???
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Kirusi hovyo
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 Месяц назад
Kweli njaa kukosa mwenyekiti wa kanda na kuhama target yake ni cheo hana lolote huyo
@PiusMaswili-wq8wc
@PiusMaswili-wq8wc Месяц назад
Pambana baba upate mkate wa watoto.ila jua ukumu ipo juu yako wewe unayeacha kweli ya kuwasaidia wanadamu
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Месяц назад
Tumpe muda mfupi tu mwezi miwili haipiti atakuwa amaliza uharo unaomuwasha na atatakiwa kuwaambia wana iringa kwa nini wasichome nyumba yake moto.?
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
😂😂
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Месяц назад
Mnafiki mkubwa huna adabu na mroho wa Madaraka
@emanuelmushi9917
@emanuelmushi9917 26 дней назад
Kwa ujinga huu unaongea mbowe akikutana na ww bdo atakusalmia kwa fraha tu mzee wa watu hana hata chuki
@PrincePrinceDanielmsafiri
@PrincePrinceDanielmsafiri Месяц назад
Kunduchi😂😂 njaaa
@geraldonditi3926
@geraldonditi3926 Месяц назад
Ukitoka CCM utawasema?
@janeshija6638
@janeshija6638 Месяц назад
Ukimsikiliza anaonekana kama unamsikiliza kichaa. Wanaotoka CCM wala huwasikii wakisema chocolate cha CCM lakini watu wakitoka CDM kama huyu MWEHU anayetos maneno ya shombo kuhusu MBOWE. Alikuwa kama TEJA lakini Kishasahau alikotoka. MANENO MENGI KAMA MVUTA BANGI.. KWELI MBOWE Hana bahati anawalea mwisho wanamgeuka.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Месяц назад
HATA UMSEMEJE MBOWE HUTAFANIKIWA HIKI NI CHAMA TIMAMU NAVIONGOZ MAKINI SANA HARAFU WE MSIGWA USISAHAU KUSOMA KOMENT JINGA USIE JITAMBUA UKISHA TOKA KWENYE HAKI HABARI YAKO NDO IMEISHA
@RajabuNzovu
@RajabuNzovu Месяц назад
Mbona Hukusema hayo kabula ya kushindwa
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 Месяц назад
Mbona maswali ya mtangazaji mnayakata ?
@safielfadhili8307
@safielfadhili8307 Месяц назад
Unaongea upuuz tu
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Месяц назад
Hili huyu jamaa anasoma hizi comments za wananchi. Alison's hata enda haja kubwa.
@marionoti5760
@marionoti5760 Месяц назад
Sijaona mpumbavu na mjinga kama huyu, kwa kawaida mbilikimo ni waongo sana. ccm ni lichama lililojengwa na watanzania wote. Mbona Nyerere alikuwa mwenyekiti wa ccm na Tanu kwa miaka mingi? upinzani lazima ujengwe kwa gharama yoyote ile kwa manufaa ya wananchi. Hata Tanu ikiwa changa wapumbavu kama wewe (wachumia tumbo) walikimbia na kutoa kashifa nyingi kwa Nyerere. Mtoto akikua, anaoa na kujenga nyumba yake na huishi humo akitatua changamoto mbalimbali, ikiwemo nyumba kuvuja nakadhalika. Lakini toto zezeta hurudi kubanana kwenye nyumba ya wazazi wake. unatuabisha mkoa wa akina Mkwawa, kamuulize mama yako baba yako halisi ni nani? Msigwa ni ukoo wa kupachikwa. 15:10
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is Месяц назад
Huyu Mzee ni mpuuzi
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 Месяц назад
Huyu hata huko CCM hafai hana shukurani
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Месяц назад
Naomba Chadema msimjibu mwehu huyu atajipa umaalufu, chizi huona watu wengine ndiyo chizi.
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 610 тыс.
MEDANI ZA SIASA NA MCH.PETER MSIGWA
1:07:42
Просмотров 15 тыс.