Ujenzi wa ghorofa huongezeka kwa wingi wa floors au ghorofa ambapo Nondo zege kokoto nyeusi milunda huhitajika mingi zaidi na ndio huongeza gharama lakini ghorofa moja eneo kama lile vyumba vya mbanano bilioni moja ni uongo. Ile anayoita swimming pool iko sehemu ya hatari na ngazi ya kupandia huko ni ya hatari. Katika kuhadithia magorofa kale ni kagorofa kwa wazoefu waujenzi na waliojenga pale ni milioni mia mbili mia tatu au mia NNE lakini si bilioni.kwa floor moja eneo dogo.
Endelea kuwa chawa😂 wenye faida😂Kama mwijaku uxiwe maneno tu mwxho wa siku unataka tukuchangie unatumia nguvu kubwa ku brand harmonize nayy akulipe vzr ili ufanye maisha mengn maan uchawa huna mda