Тёмный

MENEJA DING'ANO AUNGANA NA CHINO KUMCHANA MARIOO // TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW,,,CHINO HANA MAKOSA 

PTVTANZANIA online
Подписаться 500 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 5 месяцев назад
Chino pambana unatoboa vizuri utazidi kutoboa tumeshakuona mario kaisha huyoo
@victorcephas3618
@victorcephas3618 5 месяцев назад
Ukijiungamanisha na familia ya Kajala lazima utagombana na watu wako wa karibu au familia. Family ya P Funky Majani iliyumbishwa Familia ya Abby Cham iliyumbishwa Familia ya Wema Sepetu ikayumbishwa Familia ya yule mumewe ikayumbishwa hadi mahakamani Familia ya Konde Gang ikayumbishwa Familia ya Mario bad nation imeyumbishwa tusubirie next family kuvurugwa
@user-nr7zq2rr1r
@user-nr7zq2rr1r 5 месяцев назад
Ding'ano umeongea point,ni wake wayanalize mziki wetu EA uzidi kupenya
@user-gt5yd4no7c
@user-gt5yd4no7c 5 месяцев назад
Huyu fala huwa simpendi hila leo nimemkubali sana
@venasmlega6727
@venasmlega6727 5 месяцев назад
Kwasabab anawachana ukweli wasaf ndomaana humpend
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 месяцев назад
Nikweli nakubaliana nawe huyu kaka hua napenda confidence yana anaongea ka watu mia 😂😂😂😂😂😂
@user-np5ry2bf5q
@user-np5ry2bf5q 5 месяцев назад
Harmonize ameshindwa kimziki sasa akaona uchawi ndio unaweza msaidia kua Staa...Ata Pharaoh alishindwa kwa Uchawi... Subili aibu😭😭😭
@user-vu6pd7pg9e
@user-vu6pd7pg9e 5 месяцев назад
W kalia manen y shobo una hat mia kutwa kumzumzungumzia mwenzio vibay acha ayo Mungu anakuon
@Amuri-pw6wh
@Amuri-pw6wh 5 месяцев назад
Iyo kweli manager D naisi ni kajala kaanza mambo yake yakutenganisha watu kama sio basi Domo na team yake wameanza kuwaonea figisu
@ashrafchande869
@ashrafchande869 5 месяцев назад
We kwel ni kum*** asa dai amefat nen hapo chko wew
@Kaweza-mu6hy
@Kaweza-mu6hy 5 месяцев назад
Huyu Leo ndio nimemuelewa
@user-qh8fv7dp6p
@user-qh8fv7dp6p 5 месяцев назад
😅😅😅😅 Et marioo ataumia sana safali hiii
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 5 месяцев назад
chino ni harmonize wa Mariooo. Ndio tanaelekea😮 kuzibiana kwa harmonize na diamond, Sasa chino na marioo
@felixdestroyer4039
@felixdestroyer4039 5 месяцев назад
Hapo nimekubaliana nawe
@user-gt5yd4no7c
@user-gt5yd4no7c 5 месяцев назад
Yani huyu msenge nilikuwa simpendi kinoma hila leo nimemkubali sana
@Swahili14
@Swahili14 5 месяцев назад
Hahahaha Huyu divano simkubali ila nimeamini huwa anasemaga ukweli japo anaweza egemea upande Kweli Marioo club bangers zake zote sound as if Chino created the idea behind the scenes Chino na Marioo are like ying and yang ☯️ Sema Abbah na Jaivah ni blood relatives Abbah nae kamtoa Marioo na kusimamia kazi zake zote So pamoto hapo
@Rapdoscomos
@Rapdoscomos 5 месяцев назад
Din'gano sasa unaenda wapi Unataka kupata matatizo? Unaingia wapi pambano kati ya Chino na Marioo? Ipo siku utaumia ukifikiri sana. Wanajitambua wenyewe, wewe ni nani kuingia kwenye. mazungumzo ambayo si yako?
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 5 месяцев назад
Marioo msenge tu hapendi maendeleo ya chino kisa chino kamjengea mamaake na kupanga gorofa na kununua magari ndo kinachomuuma marioo paura hataki Sasa siku paura atatembea na chino
@Rapdoscomos
@Rapdoscomos 5 месяцев назад
Tatizo la Din’gano anataka kuonekana kwenye mitandao ya kijamii akiongea vibaya kuhusu watu ambao hata hawakumsumbua. Unaingia wapi pambano kati ya Chino na Marioo? Ikiwa huna la kusema, nenda kamsaidie kijana wako wa konde.
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 5 месяцев назад
Ni wivu wa maendeleo tu Marioo anawivu..
@elinagordon8161
@elinagordon8161 5 месяцев назад
Kweli wewe ni fala
Далее
меня не было 9 дней
12:48
Просмотров 2,1 млн
Вопрос Ребром: Сергей Бурунов 2
1:03:47
SITA BORA ZA YOMBO MSUKUMA
21:00
Просмотров 153 тыс.