Ameeleza vizuri sana nimetamani ingelikuwa ndefu. Hilo swala la chakula baada yakujifungua hata mimi nililia. Mkate na chai ya rangi kha. Iliuma mpaka leo inauma.
🤣🤣 jaman am experiencing this now!kuna mda choz linakutoka constipation haikuachi unabakia kuslim tu jaman jaman nyumban ni nyumban mtt usiku ndo kama kawekwa betri analiaaaaaaa woiiii🤣🤣🤣
Kumbe ndomana kama mkenya...huyu binti anafana be a na mdogo angu mmoja ivi anaitwa linda..ila yeye anaasili ya kenya and she's very sweet and beautiful
Kuhusu chakula hospitali za ulaya muwe munaimba kuchagua chakula omba supu ya kuku na viazi omba viazi vya kusaga omba samaki grill utaletewa, vinapatikana tena unaomba double share unaletewa cha kutosha njaa yote ya uzazi inaisha, usipoongea wanakuletea cha kwenye ratiba yao, msijiumize wala kulia muwe wepesi kuongea na kuuliza hata kama lugha hujui wanakua na Menu yenye picha za chakula onyesha picha
Huyu ni mtanzania... kama alihamia TZ akiwa mdogo na utamaduni na lugha ni nzuri ni mtanzania kwa kukulia hapa. Pale sikumbuki kama ameongea kinyarwanda hata chembe.
Dada shena habari samahani naomba kuuliza mana now days au pair wanasema mpaka uwe na A1 Certificate je kama host family kakubali kukulipia shule ukiwa ujerumani wanakubali embassy naomba msaada kwailo
Subutuuuu Shena hakuna kukandwa my dear , Mimi nilijikanda mwenyewe, 😂😅 , hatari Shena , but health care wako Vizuri, but upande wa kulelewa uzazi like nyumbani sahau lah ualike mtu awe tayari kukusaidia ukijifungua