Тёмный
No video :(

SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo... kwenye link hii kwa EXCLUSIVE CONTENTS
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Опубликовано:

 

21 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 месяцев назад
Yes mkuu habari yako,Nakupata vyema nikiwa Bahrain
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 6 месяцев назад
Ahsante saaana Mheshimiwa tunashkuru saaana Ernest Makulilo
@alphoncemaganga1876
@alphoncemaganga1876 6 месяцев назад
Mkuu asante kwa sana kwa kutuelimisha,naomba utuandalie kipindi cha maelezo ya kina pindi unapofika Washington DC airport,ukishuka na hadi kufika geti la kutokea nje nk.kuna jamaa waliyumba sana
@ishengomanelson
@ishengomanelson 6 месяцев назад
Hivi hayo mambo yote nayafanya ili niweze kwenda Marekani!? Kweli!!? Tueshimiane Bwana. Unapambana kama unakwenda Mbinguni, surely!? Haya mambo huwa yananikera sana. Na kwanini udanganye ili uende Marekani au hata maahala kwingine? Sitakiwi kuwa makini, natakiwi kuwa honest mwanzo mwisho period. Ukipata sawa ukikosa sawa. Wanaohisi wakienda Marekani ndio wameula think again. Tueshimiane Bwana.
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 6 месяцев назад
Nakuelewa vizury kaka, from Dubai
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 6 месяцев назад
Mkuu iyo point nzuri sana
@makongomaulid3157
@makongomaulid3157 6 месяцев назад
Ahsante sana , nimekuelewa sana EBM
@brunonestory9881
@brunonestory9881 3 месяца назад
Hongera sana kwa somo kubwa hakika unasitahili pongezi maana wengi wameshidwa kupata kwa makosa hayo hayo
@brunonestory9881
@brunonestory9881 3 месяца назад
Nimekuelewa sana na nitazidi kujifunza kwako from 🇹🇿Tanzania
@NigerianChicken
@NigerianChicken 5 месяцев назад
Asante sana kaka Asante umenipa nguvu
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 6 месяцев назад
Mungu akubariki sana sana ndungu!
@izereswabri78
@izereswabri78 6 месяцев назад
Hello Mr EBM 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Gaynor1234
@Gaynor1234 6 месяцев назад
Asante EBM, udumu.
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 месяцев назад
Kwakweli Mungu amekupa kipaji cha kuelimisha jamii tena Mungu akuzidishi,nakama sisi jamii hatuelewi basi hatuelewi tena
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 6 месяцев назад
Kazi nzuri live Long
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 6 месяцев назад
Safi mkuu hili darasa muhimu
@zanzibarafrica5945
@zanzibarafrica5945 2 месяца назад
Asante kaka
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 месяца назад
nice content
@izereswabri78
@izereswabri78 6 месяцев назад
Ivi ni kweli Canada imeanzisha programm yakuchukua wafanyakazi Toka afrika
@christopherrobert1948
@christopherrobert1948 6 месяцев назад
kuwa makini na scammers utakuja kupigwa na kitu kizito kichwani
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 6 месяцев назад
Unatuelimish Sisi wa congolese mkuu 5/5 from 🇨🇩🇨🇩
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 6 месяцев назад
Mheshimiwa nakufata vizuuuri
@jumamunga5687
@jumamunga5687 6 месяцев назад
EBM what can happen to Dv Lottery Program when Trump win USA General Election
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 6 месяцев назад
Nipo nakuelewa mkuu
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 6 месяцев назад
Hello! Elimu ya Tz inanafasi Gani USA? hasa QT(high school???
@ishengomanelson
@ishengomanelson 6 месяцев назад
Hii subject haitakiwi kuwa ndefu. BM ungesema tu watu wawe waadilifu na wakweli kujaza form.
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 6 месяцев назад
Kwakua wewe unajua ndio unaona KERO kuwa ndefu lakini Kuna watu wananufaika zaidi anapoelezea Kwa upana maana wanajifunza zaidi ktk mengi!!! Hata EBM akisema aongee kifupi anaweza sababu yeye tayari anajua hayo lakini anafaham Kuna watu hawajui chochote
@madarakambode7072
@madarakambode7072 2 месяца назад
Ni roho mbaya tu hapendi wengine wafahamu zaidi
@user-ql8ex7ge8s
@user-ql8ex7ge8s 5 месяцев назад
Kwa watanzania mtwambie lugha ya kiswahili inaruhusuwa kutumika kwenye interview
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 месяцев назад
Je tukiacha immigrate Visa za green card holder, kuolewa au kuowa raia wa Marekani je kuna visa nyengine za immigrate ?au kwa njia visa za permanent..kwamfano mtu amekosa green,napia hataki kuowa au kuolewa na raia wa Marekan..kuna njia nyengine mbadala ya kuwa kaazi wa kudumu Marekani?
@alhajiabed7479
@alhajiabed7479 3 дня назад
Njia ya kazi mwajiri atakufanyia sponsarship(H1B to EB3 to greencard
@user-sm6ex6ww4n
@user-sm6ex6ww4n 6 месяцев назад
Ema mi nimuumini wako kabisa kuliko woooote wa mambo ya safari
@bestman8182
@bestman8182 6 месяцев назад
Nisipokuja Marekani napata hasara gani kwa mfano? 😅😅
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 месяцев назад
😂
@bestman8182
@bestman8182 6 месяцев назад
@@abdallahdataguy 😄
@geekilimba8362
@geekilimba8362 5 месяцев назад
😂
@alhajiabed7479
@alhajiabed7479 3 дня назад
Kaa kwenu boss
Далее
Муж на час 😂
00:37
Просмотров 931 тыс.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 2,4 млн