Тёмный

Mimi, Kikeke tulikuwa watangazaji wa kwanza wa Kombe la Dunia kwa Kiswahili 

BBC News Swahili
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Miaka 65 ya BBC Swahili.
Hiki ndicho anachojivunia Charles Hillary aliyewahi kufanya kazi na Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwa ni mmoja ya watangazaji mashuhuri sana hasa katika matangazo ya moja kwa moja ya mpira wa miguu yaliyokuwa yakitangazwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Kwa sasa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu visiwani Zanzibar
Lakini anakumbuka nini hasa siku yake ya kwanza alipojiunga na BBC Swahili?
Mwandishi wa BBC alimtembelea Ikulu ya Zanzibar na nilizungumza nae.
#bbcswahili65 #bbcswahili #tanzania

Опубликовано:

 

29 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@MK-bk9ww
@MK-bk9ww 2 года назад
The legend himself 👊
@maselemasele5959
@maselemasele5959 2 года назад
Kwakweri BBC ndio mabingwa wa.kiswahili fasaha na.ndio.mabarozi wetu.wakiswahili nawapenda Sana kwa kazi nzuri ya kukikuza na kukiendeleza kiswahili chetu inje ya inchi
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 года назад
Ninapenda sana Dira ya Dunia idhaa ya Kiswahili, huwa sikosi kufuatilia angalau mara tatu kwa juma. Napenda mpangilio wa habari, majadiliano na waandishi au watu wabobezi wa kada fulani kwenye eneo hilo la tukio, matamshi mazuri haswa ya Salim Kikeke, na haswa vibwagizo kama ulivyoainisha hapa. Kiukweli ningependa sana vyombo vya nyumbani navyo vizingatie zaidi weledi huu na siyo kwa kubahatisha tu. Hongereni BBC kwa miaka 65.
@alextercisio
@alextercisio 2 года назад
Nlipenda sana kuskiza huyu gwiji wa mpira mezi za Manchester united vrs arsenal 🔥🔥 BBC
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 2 года назад
Kipindi hicho mwaka 2010 nimekusikiya kwelili ukitangaza kombe la dunia Africa ya kusini
@chazimunishi3339
@chazimunishi3339 Год назад
Hakuna mtangazaji wasoka/Luga/shwaili/kama ww/ongera/xana Mzee wetuu
@hassanjuamchipua9384
@hassanjuamchipua9384 2 года назад
Tafdhali tuojoe Vicky mtetema siku nyingi hatuja msikia
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 2 года назад
Kipindi hicho mwaka 2010 nimekusikiya kwelili ukitangaza kombe la dunia Africa ya kusini
Далее
🤡Украли У ВСЕХ🤪
00:37
Просмотров 193 тыс.
кажется, началось
00:45
Просмотров 1,7 млн
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
Wafahamu waandishi na watangazaji wa BBC Swahili
5:10
Просмотров 126 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 02/08/2024
28:11
DR Congo kuzika jino la Patrice Lumumba
2:17
Просмотров 11 тыс.
🤡Украли У ВСЕХ🤪
00:37
Просмотров 193 тыс.