Тёмный

EXCLUSIVE: PART 2: BABA LEVO - Azungumzia maisha yake kiundani zaidi 

ZamaradiTV
Подписаться 241 тыс.
Просмотров 95 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

22 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@miracledamian2202
@miracledamian2202 3 года назад
Huyu jamaa ni watu ambao mungu aliwaleta kuja kuwafanya watu muda wote wawe happy brother nice one
@elymsagala
@elymsagala 3 года назад
Baba levo ulimpoteza mwanamke wa maana sanaaa aseee kwa usawa huu mwanamke kukupa pesa zaidi ya 10M asee Golden chance never come twice
@star_guide1
@star_guide1 3 года назад
Baba Levo hachoshi kumsikiliza...asante zama
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 3 года назад
Ndugu yangu Zamaradi Asante sana kumleta tena baba Levo. Maana huyu ni zaidi ya komedian. Pia ni msema kweli hanaga uongo kwa anayoyazungumza juu ya maisha yake.
@mwananimezipendaasantxaana1516
@mwananimezipendaasantxaana1516 3 года назад
Daaaaah,,nimejifunza vitu Ving xaan kupitia bblevo,,me nikuombee kwa allha akufanyie wepes ktk Safari yako 🙏🙏🙏🙏🙏
@zouzou2849
@zouzou2849 3 года назад
Jamani babalevo wewe hunaga kinyongo halafu ujikubali mtaka cha uvunguni lazima ainame wewe ni chawa prox max baba ongera
@ajmastory3615
@ajmastory3615 3 года назад
Jamani naombeni munipe sapoti pia nina youtube channel yangu ambayo nazungumzia habari nyingi za mastaa, asanteni
@georgegunda8868
@georgegunda8868 3 года назад
Namkubali Sana baba levo Sana
@zouzou2849
@zouzou2849 3 года назад
Anaependa interview za babalevo kama mimi jamani nampenda uyu babalevo 🤩🤩🤩eti chawa pro max hahahha
@zouzou2849
@zouzou2849 3 года назад
Huyu babalevo kipindi chake zifanywe episode mana tunapenda interview zake sana
@ramzy5280
@ramzy5280 3 года назад
Hilo nalo neno 😂😂😂
@sawiyaaziz5818
@sawiyaaziz5818 3 года назад
Anatakiwa awe comedian huyu 😂🤣😂i really like this guy
@janethjustin5256
@janethjustin5256 3 года назад
Sure sure
@beatricemugiraneza6552
@beatricemugiraneza6552 3 года назад
@@janethjustin5256 Ee T3wm3 kelw.2je Tk me 3w
@backyardfarmske
@backyardfarmske 3 года назад
Baba Levo endelea kupambana sana 🇰🇪 tunakufuatilia sana
@tynnahpaul8639
@tynnahpaul8639 3 года назад
Ni moja kati ya watu wanaonipa raha sanaa siku hz an daaah 😍😍😍😍😍 i love you baba levooooooo uwa unanipa raha sana
@khamisalfazari9544
@khamisalfazari9544 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiii mbavu zangu jaman😅😅😅 baba levo ni 🔥🔥🔥🔥🔥nimempenda bure ukikaa nae unainjoi
@Donrugi
@Donrugi 3 года назад
The biggest thing I like about this guy is he is very honest na msema ukweli, waache waongee waendelee kuyashuhudia mafanikio yake 🙏🏽🙏🏽
@Donrugi
@Donrugi 3 года назад
Congratulations zamaradi your the best presenter, hauna tabia ya kukatisha maelezo ya mtu, huwa unasikiliza tofauti na watu flani 😄,
@ajmastory3615
@ajmastory3615 3 года назад
😃😃😃
@Randm-
@Randm- 3 года назад
Anaenda mbweo sana😅😅 punguza beer baba Levo. Unacheuwa ovyo
@alberthelmenglid4824
@alberthelmenglid4824 3 года назад
Mnataka mastory yes niwape mastory yes Daah BabaLevo his so funny 😆
@safiaimran712
@safiaimran712 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tizomelele4424
@tizomelele4424 3 года назад
This is one the biggest interview of January, imekiwa inspired sana hongera Zamaradi na baba Levo kwa mawasiliano
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 года назад
nilikua nasubili kwa hamu part2
@ndaganoanastazia2658
@ndaganoanastazia2658 3 года назад
✌️ & ♥️ from Belgium 🇧🇪 2 Baba Levo Tompoooo Pro max....
@mathayojkjss8615
@mathayojkjss8615 3 года назад
Ware tunaotaka party 3 Like hapa
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 3 года назад
Kunasiku linijisogeza sogeza kwako ukanichaamba nikasema Alhamdulillah 😂😂😂
@misschagga8042
@misschagga8042 3 года назад
Baba levo ana vituko jamani nimechekaaa leo.eti likitu wamelishindwa huko wananisukumia mimi🤣🤣🤣🤣🤣
@LilianMwamwaja
@LilianMwamwaja 3 года назад
Waliosikia Nice dress👗😀😀😀 The man is so much funny
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 года назад
Mungu ambariki Sana Sana jaman his good person 🤣🤣✊✊✊❤️❤️❤️❤️anajua kushukuru mashaallah
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 года назад
ndo mn huyu anafanikiwa kwa wa2 na rahic wa kujua kosa na kuomba msamaha
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 года назад
@@zuleikhakhamis3303 anajua kuishi na Watu
@jamil1547
@jamil1547 3 года назад
Dada Zamaradi naomba umpe ushauri baba levo ajenge nyumba, tuna enjoy story zake.
@mutamapaul7117
@mutamapaul7117 3 года назад
Huyu baba revo anakipaji kikubwa sana damu yake niyakupedwa nabinadamu sana anabwa ushauri mzuri wa bosi wake amuajiri momo kwa moja ampe mkataba hata wa mwaka miwiri amtuzame kipato kitaongezeka sana mujaribu bosse press tunakushawishi asanti sana timu baba revo kutoka dubai
@georgesengenge8262
@georgesengenge8262 3 года назад
Wakwanza npe likes zanguu
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 3 года назад
Hongera sn diamond kwa kuwa na moyo wa upendo,Mungu akubariki sn.
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 3 года назад
Nampenda Sana baba levo kila siku lazima nimuangalie kutoka Cambodia jaman
@ivanyjunior1471
@ivanyjunior1471 3 года назад
Lissa mamboo
@ivanyjunior1471
@ivanyjunior1471 3 года назад
Naomba namba yako ya what's up
@dicksonisakwe3063
@dicksonisakwe3063 3 года назад
cambodia tena😳...c tulikubaliana mwisho kenya?
@alexluzu234
@alexluzu234 3 года назад
Hi Lisa
@gg458hhjbglnngtfdws
@gg458hhjbglnngtfdws 3 года назад
Babalevo he's so entertaining and humble at the same time,much love from Kenya,more episodes please nimecheka sana..
@rosemuba2532
@rosemuba2532 3 года назад
Nampenda baba Levo jamani 😀😀😀😀
@msusasandali5833
@msusasandali5833 Месяц назад
Those who are watching 2024 gather here 🎉🎉🎉
@ibrahimyusuph4908
@ibrahimyusuph4908 3 года назад
Daah aseeh babalevo namkubal san piga kaz babaah usiangalie maneno ya watu aseeh...
@georgegunda8868
@georgegunda8868 3 года назад
Mimi na uzee wangu ni shabiki mkubwa wa Baba levo, nacheka Sana
@dullyseven690
@dullyseven690 3 года назад
B levo mtaalam fundi manyumba, Interview 🔥🔥🔥
@salehemfuchu368
@salehemfuchu368 3 года назад
Unajukuta unalia kuliko mke wake 😅😅😅😅😅😅
@peterm7969
@peterm7969 3 года назад
Hahahaha Daah😂😂😂😂😂Baba levo fala ww nimecheka sana.
@janethjustin5256
@janethjustin5256 3 года назад
Babalevo unatisha sana😁😁😁nakupenda sana
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 3 года назад
Huyo mzee aliyeliwa pesa za kamali alicheza zaid ya mesi🤣🤣🤣 Baba levo tunatufurahisha sana loooh
@safiaimran712
@safiaimran712 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@eliyazacharia7660
@eliyazacharia7660 3 года назад
Daaa nakupenda sana my kaka, kigoma oyeeeeee
@zafaranialmasi1031
@zafaranialmasi1031 3 года назад
Oyeeeeee 💃
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 3 года назад
Latifa Interviews zote za baba levo leo ndo nimeona interview ambayo imenifunza nisikate tamaa hata Kidogo visee love you bro
@reubenson8342
@reubenson8342 3 года назад
Mnataka mastory Yess niwape mastory ?yesss baba levo 😂😂😂😂😂
@sheen2756
@sheen2756 3 года назад
But he talks sense in a crazy way...
@aniveaderickson4174
@aniveaderickson4174 3 года назад
exactly
@janethjustin5256
@janethjustin5256 3 года назад
True
@ramaaisha887
@ramaaisha887 3 года назад
I love this guy he ez so humble nd funny thou
@happyhema2457
@happyhema2457 3 года назад
Namkubari Sana baba revo his so fun aiseeee😂😂😂😂
@jumarajab5316
@jumarajab5316 3 года назад
hata mimi nyeto naipenda maana haiombi hela wala kuingia blid na nikikosa sabuni napigia bamia
@pickfordjustin3432
@pickfordjustin3432 3 года назад
Mimi ni mrundi zamaradi Tv mnafanya vizuri kuindeleza story ya fundi manyumba. Natamani mumwambie Clayton huku Burundi tunamuitaji
@gatekabel-benit827
@gatekabel-benit827 3 года назад
Pickford Justin
@maggiemuenimueni1627
@maggiemuenimueni1627 3 года назад
Babalevo ni mtu poa Sana keep up for taking care of your kids
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 3 года назад
Yes Baba levo yupo funny sana yaani huchoki kusikiliza interview zake
@mariammwiso
@mariammwiso 3 года назад
He is so relatable, Baba Levo
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 года назад
😂😂😂😂😂Nilitaka kushangaa asimtaje Peter Msechu?!!
@basamtz8674
@basamtz8674 3 года назад
Nataka nione faida ya kuwahi kwa like zenu
@helenakidimwa
@helenakidimwa 3 года назад
Unaburudisha Sana baba Levo
@ajmastory3615
@ajmastory3615 3 года назад
Nimelike lakini hata mimi sijawahi pata like zenu☺️
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 года назад
Sijui chawa sijui mende!😅😅😅😅😅😅😅😅 Baba Levo unatuchekesha sana!
@syphroseshazala6854
@syphroseshazala6854 3 года назад
Mutch love from Kenya baba levo ,, keep going
@emanueloloo2758
@emanueloloo2758 6 месяцев назад
What I have loved about these guy is being honest about himself, bigup bro.
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 года назад
Hichi KiPINDI au HADITHI zamaradi kabaki Mhh eeeee eeee anaongea yeye tu Baba Levo kama Bar
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 года назад
hahahaha baba levo ni mkweli sana
@ashamohamed857
@ashamohamed857 3 года назад
Ninempenda sana Baba Lovo wewe ni mtu mzuri na una toa ya moyoni sio muongo. Ubarikiwe nimecheka sana. Kuhusu mzee na maji machafu.haaaaaaa
@Donrugi
@Donrugi 3 года назад
Dakika ya 23:36 baba levo anasema anataka akasomee utangazaji, lakini interview yake ya kwanza I mean party one ya hii interview kasema aliishia darasa la saba. Najaribu kuwaza anasoma chuo kipi na kwa utaratibu upi maana vyuo vyote registered na nacte lazima uwe umemaliza at least form four with awarded certificate sio uwe ulifeli kabisa ukakosa hata devision four.
@sumahilimsenga3633
@sumahilimsenga3633 3 года назад
Ataenda formation
@godfreysanga8930
@godfreysanga8930 3 года назад
Atasoma course fupi fupi
@erickbmaxunga6019
@erickbmaxunga6019 3 года назад
Baba Levo unapiga puchu!!!!!!!!
@namsamson3443
@namsamson3443 3 года назад
Leo sauti iko vizuri sana . Bila background noise
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Been waiting
@nbmax1405
@nbmax1405 3 года назад
Levo ba mtaalam fundi mnyumba
@lucymlawa9131
@lucymlawa9131 3 года назад
Baba levo mungu akupe maisha marefu
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 3 года назад
LEVO ni mtu muwazi sana yani kama njano ni njano ananyoosha maelezo ili walimwengu wamsome vizuri na wapate funzo kupiti yeye
@fetysaidsaid708
@fetysaidsaid708 3 года назад
zam mlete tena kwakweli nimefalijika na story zake pia nimejifunza kitu baba lavo ♥️
@pritymoraakirera5066
@pritymoraakirera5066 3 года назад
I love these guy
@hawahassan835
@hawahassan835 3 года назад
Mashaaallah 😘
@sundayeyenga4269
@sundayeyenga4269 3 года назад
naomba nikuoe zamaradi.....nakupenda zama
@medinaji7927
@medinaji7927 3 года назад
Yaaan Zama akimuangalia Baba levo to anacheka🤣🤣🤣🤣
@mzurzamzam1877
@mzurzamzam1877 Год назад
KIGOMA HATOKI FARA..❤❤🇹🇿..WANA USAMAKIN TUJUANE
@esterygeorge2321
@esterygeorge2321 3 года назад
Hahah eti ukiherehere tyu hahah big up sana bilevo mtaalam
@mankacharles4559
@mankacharles4559 2 года назад
Best of the best interview
@mahinga
@mahinga 3 года назад
Baba Levo nimukweli 👌👌👌
@jovinishengoma8060
@jovinishengoma8060 3 года назад
Jamaa inabidi arudi for story zingine za burudani na funzo at the same time😁 ..... Ukikosa/kuishiwa ishiwa watu wa kuwahoji, mrudishe tena jamaa
@esterantapa5041
@esterantapa5041 3 года назад
Mama ana rohoo ngumu kumuacha mtoto
@naimanaima4715
@naimanaima4715 3 года назад
Ni shetan kbs
@elizabethsakina9987
@elizabethsakina9987 3 года назад
Nasemaje interview za baba levo si zakukosa🤣😂😂😂😂😂
@directorngogo
@directorngogo 3 года назад
Exactly
@rebecasanya8910
@rebecasanya8910 3 года назад
eti tunaweza kujikuta tunauza daraja🤣🤣
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 года назад
Baba Levo 😀🔥❤
@dannymoses1882
@dannymoses1882 3 года назад
baba levo nakukubali sana we chiz
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 3 года назад
Unahariiii sn baba levo
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 3 года назад
Sikilizeni pale pa dakika 49:15 baba levo kasema anapenda nyeto hahahhaahaaa daah hata siamini 😂😂😂😂
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 3 года назад
Hhahaha babalevo anapenda kupiga nyeto kiliko kufanya mapenzi😂😂😂😂😂😂😂😂
@harounali9057
@harounali9057 3 года назад
Nime angalia part 1 na hii part 2 sija kuona hata kunywa maji.
@mr.pilipili5289
@mr.pilipili5289 3 года назад
Nice dress falaa sana Baba levo dah
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 3 года назад
Gamble ni ugonjwa mbaya, kuna dada aligamble £15000 kwa wiki pesa aliachiwa na mumewe. Alitafuta pa kukimbilia
@isayamayogu8229
@isayamayogu8229 3 года назад
B levo 🔥🔥
@omarkibwanabaluna2410
@omarkibwanabaluna2410 3 года назад
baba levo linapiga nyeto🤣🤣🤣🤣🤣
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 3 года назад
Piga kelele kwa baba Levo akeeeeeeeeeeeeeeeeee
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 года назад
Eti tutauza daraja😁😂 yani huyu jamaa ni mtambo aisee
@georgenkini6176
@georgenkini6176 3 года назад
Kupatwa kwa zamaradi
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 года назад
Najua kwa nini diamond anampromote sana huyu baba levol, atamshawishi abadili dini awe muislam afate dini ya mwanamke Diamond ana udini sana
@michaelvonsider3412
@michaelvonsider3412 3 года назад
Hater
@idrisasaid4586
@idrisasaid4586 3 года назад
Co vbaya muhimu furah
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 года назад
Da zama vipi mbona dada wa kazi imesimama?
@killerbona5018
@killerbona5018 3 года назад
Matangazo weka mwisho
@fikirinehemia7394
@fikirinehemia7394 3 года назад
Safi sana Baba Levo
@jescamaro6226
@jescamaro6226 3 года назад
Baba Levo nakupendaga sana ulivyo mwazi
@josephmwabili6675
@josephmwabili6675 3 года назад
😂😂😂😂my guy Baba Levo
@irenejackson3227
@irenejackson3227 3 года назад
B levo b fundi manyumba a boy from kg😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Gambling is an addiction; ni ugonjwa
@hamenyaanthonympeke5047
@hamenyaanthonympeke5047 3 года назад
Fundi manyumbaaaa
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 296 тыс.
#краснодар
0:14
Просмотров 2,2 млн
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,4 млн