Тёмный

Mpina ajibu Mapigo kwa Waziri Mwigulu Nchemba usiku huu nje ya ukumbi wa Bunge 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina akimjibu Waziri wa fedha pamoja na kumalizia hoja zake wakati alipokuwa akichangia kwenye Kamati za Bunge Jumatano, Februari 1, 2023 ambapo alisema kuwa sababu kubwa ya mfumuko wa bei ni usimamizi mbovu wa Sheria pamoja na Sera za Fedha huku akiibua malipo ya Sh350 Bilioni zilizolipwa nnje ya bajeti ya Serikali.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 388   
@kileojuma359
@kileojuma359 Год назад
I have never ever heard a very nice, incredible, competent and detailed speech from you MP Mhe Mpina like this. Kwa kweli umezungumza vyema kwa hoja zenye mantiki, uzito unaostahili na weledi mkubwa. Umeongea kama mwakilishi wa wananchi na malendo wa kweli na mwana uchumi mahiri. Sinaga tabia ya kusifia vitu vyepesi lakini kwa mara ya kwanza tangu nimufahamu ukiwa mbunge nimekupenda bure. Umezungumzia mambo muhimu sana ktk jamii ambayo serikali inapaswa kuyasimamia kwa ajili ya ustawi wa wananchi wetu. Ubarikiwe sana na Mungu akutunze na akulinde. Ni desturi yetu watanzania kuona wivu kwa mtu aliyefanya vizuri. Pengine tubadilike na tuwe waungwana. Give credit when and where it's due. Sifu pale panapostahili na kemea pale panapotakikana kukemea.
@hatibusozi622
@hatibusozi622 Год назад
Mama Samia muangalie sana mwiguru atakuhalibia
@hazjay4671
@hazjay4671 Год назад
@@hatibusozi622 Hakkaa...
@hazjay4671
@hazjay4671 Год назад
@@hatibusozi622 Hata Makamba Co Poa..
@piusbitta5224
@piusbitta5224 Год назад
Mpina uko vizuri sana.Unatoa madini zaidi ya waziri wa fedha.Endelea kupambana, kuna siku watakuelewa tu.
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 Год назад
Hivyo ni visingizio basi waziri wa fedha asipate mshahara sababu vita ukirein na uviko hizo ni sababu ambazo hata China gonjwa lilikoanzia wa apambana na kuchapa kz na na maisha yanaendele
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Год назад
Hongera brother kwa kuukana uchawa unatuwakilisha vyema sana watanzania Mungu akulinde na maaduwi wakisiasa maana tunajuwa wanakuchukia sana kwa sasa
@isakaibrahim1162
@isakaibrahim1162 Год назад
Mwiigulu wewe umechemsha mbn unahasira kakangu kumbe bado hujitambui,,, mpina uko sahh kaza buti
@zionjoblaiz9432
@zionjoblaiz9432 Год назад
Safi sana mpina. Ukweli unawauma sana. Kujiamulia tu hatuna usimamizi nchini ..tatizo uongozi mkuu.
@petromwashusa9948
@petromwashusa9948 Год назад
Hongera. Wabunge fanyeni kazi kama Mpina. Ubunge siyo kwa ajili yako wewe binafsi. Unawawakilisha wananchi wako jimboni kwako. Lakini watanzania wote wanawategemea nyote kwa ujumla wenu.
@edmundchota2664
@edmundchota2664 Год назад
Hongera saana Mh.Mpina,wewe ni mzalendo kwelikweli na unastahili uongozi wa juu.Hingera sana
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 Год назад
Mwaba mbali ya kua Mtanzania una upeo mkubwa na mpana sana kwa mustakabali wa maendeleo na usalama wa nchi yako. ( ungetufaa sana).
@obeidmpombwe9951
@obeidmpombwe9951 Год назад
Dr mwigulu
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 Год назад
Mh Mpina hongera sana kwa uimara wako. Mwigulu alikataa kupokea ombi lako la kutoa taarifa kwasababu alijua ni aibu tupu kwake. Mwigulu na Makamba wakibanwa kisawasawa kwa hoja huwa wanakimbilia kwenye kivuli cha Raisi. Wanataka kila mbunge asifie hata visivyofaa. Mh mpina endelea kukaza hivyo hivyo Siku Moja Mungu atakujalie Uwe Raisi wa nchi hii maana wewe ni mbunge pekee usiesifi ujinga kama alivyokuwaga Jpm.
@petermushi3336
@petermushi3336 Год назад
Nawakubali Sana Kanda ya ziwa kuna Watu na nusu yake ila pesa yetu inapotelea Kwenye Vilabu viwili vya mpira wa Miguu moja ipo Singida nyingine ipo Dampo Kuu la Dar
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 Год назад
Hongera sana Mh Luhaga Mpina tunakuunga mkono kwa hoja zako kufukua uozo wote usiogope tunahitaji wabunge aina yako sio hao wanaopiga makofi kwa kutafuta huruma ya kutaka teuzi huku wakisahau majukumu yao ya kutetea wananchi narudia kukupongeza sana mh
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
KANDA YA ZIWA INATOA WATU BORA SANA.MZEE MPINA ONGEA UKWELI SISI TUNAKUELEWA SANA.
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Год назад
Maneno haya ni hatari. Msifu tuu bila kutumia ukaanda au ukabila.
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
@@bakarikaoneka1080 inabaki hivo hivo by reference.
@englibertruhinda6991
@englibertruhinda6991 Год назад
Wanaelewa tyuu,,!
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Год назад
Umeongea ukweli
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 Год назад
Hongera sana mheshimiwa Mpina una akili nyingi sana, lakini cha ajabu mhula ujao wanaweza kukupiga chini kwa makusudi ili usiendelee kuwabana, ila watanzania tunakuombea heri, wewe unatufaa zaidi kuliko hao wanaotetea serikali kwa kila jambo. Bashe pia alikuwa na akili nyingi kama wewe na alihoji kwa data wakati wa enzi ya rais Magufuli na Magufuli alipoona hili ni jembe akamteua kuwa waziri akashughurikie hayo anayoyalalamikia, hapo alifanya vizuri lakini cha ajabu kwako badala wakuinue wanaweza kukushusha chini zaidi maana wanakuona kama mpinzani SIYO MZALENDO.
@hasanisheiza4901
@hasanisheiza4901 Год назад
Upo vzr sana mpina mungu akulinde mh
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Год назад
Vyama vingi tutampa tu
@kahanakay3339
@kahanakay3339 Год назад
Kwaio wakati wa magu unakubali ndio ulifanyika uchakachuzi wa simbioni kulipwa bila kufuata bajeti Wala shinikizo la bunge.
@imelidamfikwa7954
@imelidamfikwa7954 Год назад
2025 atakuwa miongoni mwa ambao hawakujaza fomu vizuri au alichelewa kuirudisha.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Год назад
Tusisahau huyu nae alikuwa waziri na akapima samaria kwa rula
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 Год назад
Huyu jamaa ni Smart sana
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 Год назад
Usiogope yeye huyo hajihamini na kauli zake nafikiri anahitaji kozi ya uhongozi jmn watu wanabadilika km kinyonga mbona waziri wa fedha jimbo i kwake hakuwa hivyo kumbuka cheo ni dhamana kuna kesho panda ngazi,,,,,, pia wafanye watanzania fadhira usitupeleke bulundi
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 Год назад
Mwamba huyu apa, mitano tena kwa mpina, weka like kama unaenda na mimi kwa Mpina 2025
@alexoxo100
@alexoxo100 Год назад
Mpina ni Magufuli ajaye...mheshimiwa usiyumbishwee..kuwa na msimamo huohuo..mwambie na Stephen masele tunawaelewa sanaa
@exonhub
@exonhub Год назад
Hongera sana Jembe. Wewe ni mfano wa kuigwa. Wewe ni mbunge mtoshelevu na unaongea kwa utulivu sana. Mpe pia Hongera Mrisho Gambo. Tulipenda alivyoongea kwa data na uchambuzi mzuri kuhusu kupanda bei ya vyakula. Mungu awatangulie katika kila jambo.
@kambarageowino7652
@kambarageowino7652 Год назад
Hongera sana mpina tunataka wabunge kama wewe sio wabunge wa kupiga makofi hata kama hoja iliyotolewa na waziri ni pumba
@salama1113
@salama1113 Год назад
Mjomba magu alimtumbuwa sijui kwann alirudishwa😢😢
@babaabro8847
@babaabro8847 Год назад
Angekuwa Tulia angekupa nafasi acha huyu Alieamua kuziba masikio
@kisotatiitye8221
@kisotatiitye8221 Год назад
Very smart mp , Congratulations Hon. Mpina we need representative person
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 Год назад
Big up Mpina,Mungu akubariki
@kishakisha730
@kishakisha730 Год назад
Ni kweli kabisaa. Unatutetea wananchi.
@budaganzagabulu1756
@budaganzagabulu1756 Год назад
Dr.mpina uko vizuri hakika uko fantasitic
@jan6703
@jan6703 Год назад
Huyu mbunge kumzidi kete kwenye hoja kwahitaji akili na kujitayarisha kwa hali ya juu. Mwigulu kapayuka pale bungeni anafurahia makofia na meza kugongwa lkn hakujua kuwa alikuwa anajihusisha na kinachoitwa usahaulifu wa kuchagua (selective amnesia). Anajua mtoa hoja hatapata nafasi ya kulumbana naye baada ya kuongea. Namna pekee ya kujibu mapigo ni kama anavyofanya Mh Mpina. Nje ya bunge. Sio sahihi sana lkn afanyeje? Anayo hoja nzito na hataki au hawezi kuiacha ikaishia hewani.
@gracelukindo1752
@gracelukindo1752 Год назад
Mmmnh ni zogo. Yuko vizuri na anajiamini
@sionloimooja1886
@sionloimooja1886 Год назад
Good Mr Mpina! Komaa mpaka mtu awajibike
@sionloimooja1886
@sionloimooja1886 Год назад
Am looking for Mr Mpina's phone numbers
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 Год назад
Akika tunaitaji viongoz kama wewe
@abdulpagali7476
@abdulpagali7476 Год назад
Yaelekea Mhe. kuwa huu ni mtindo kwa Wateule wa nafasi za Uwaziri kutoa maamuzi yanayowaumiza wananchi. Ulipokuwa CHAWA wa jpm uliwatia hasara sana wavuvi wadogo wadogo wa Busega, Tanga na Bagamoyo kwa kuchoma mitego, nyavu na mitumbwi yao. Ulidiriki kupima urefu wa samaki waliopikwa mgahawani kwa futikamba. Leo unaleta zogo unapomuona mwenzio anapoonesha arrogance yake, economic and financial mismanagement- resulting into the current inflation level, and deterioration of the people's social well-being. Umesahau kutesa kwa zamu; na mara hii zamu ni ya mwenzio. Lakini Wahenga walisema, "no situation is permanent" kwa kila chenye mwanzo huwa na mwisho!!!
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 Год назад
Fantastic, Mpina, umeongea ,kweli na Haki, sasahivi, ni Serikali ya Kikwete, wapigaji wamerudi, Mama Hana , Say yoyote,
@masoudsigali4523
@masoudsigali4523 Год назад
Mwambaaaaaaaa mpinaaaaa msukuma msomi kabisa huyu
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 Год назад
Jamaa ana AKILI...yule waziri ovyo Sanaa
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
🤣mwigulu ni karani msomi
@mmwaupete6265
@mmwaupete6265 Год назад
Very intelligent man, huyu ni mzalendo na pia ni mtu mwenye upeo mkubwa sana katika masuala ya uchumi na fedha, na pia anajua namna ya uendeshaji nchi. Ukipata watu kama hawa katika uendeshaji nchi, nchi itaendelea sana.
@allyhemed2434
@allyhemed2434 Год назад
Mama mpe nafasi huyu Mpina ni mtu makini na anaejielewa
@enocksamwel3146
@enocksamwel3146 Год назад
Mpina wambie hao wanaojifanya mawazili alafu wanajisimamia wao na matumbo Yao ata hawaangalii wananchi masikin wanapata taab,Simamia ukweli Mheshimiwa kama Magu alivosimama na wanyonge endelea kutufariji maana tunakidonda
@augustinomlewa9662
@augustinomlewa9662 Год назад
Respect sana jamaa ni mzalendo Sawa sio chawa
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 Год назад
Trat na trap hahaha 🤣
@richardmafumba1780
@richardmafumba1780 Год назад
Huyu Mwamba ni mwamba kweli,anapoint na hoja za nguvu,
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 Год назад
Tafadhali tafadhali sana waheshimiwa wabunge, naombeni sana mbaneni mwigulu ni fisadi hatari sana katika serikali yetu. Ni mhuni na ni mbadhirifu mkubwa sana wa mali na fedha ya umma.
@jorampaulo7008
@jorampaulo7008 Год назад
Hongera Sana mpina.muigulu hatoshi na ndio maana anapanik na kuropoka
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 Год назад
Huyu ndiye aliyetumwa na wananchi, hawa wengine wamejituma tu😁😁😁
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Год назад
Mbunge mpina yuko vizuri sana
@elymollel
@elymollel Год назад
Umeongea vizuri Sana, Ila mkiingia kweny system hamfanyi hata robo ya mawazo yenu.
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 Год назад
Mpina Yuko vizuri sana kichwani mara dufu ya vilaza walioko hapo bungeni ila huenda bunge lijalo usiwepo lazma jina likatwe maana huendani na mfumo
@josephrutta6834
@josephrutta6834 Год назад
UNEC keshakosa tayari majuzi, hivyo hata 2025 keshajiandaa kisaikolojia. Chezea wanaolamba asali wewe??
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Год назад
Hongera mweshimiwa,Nakumbuka kipindi cha baba Magufuli,alisema ninamawaziri mizigo kweli kweli.Sijui kma mweshimiwa mwigulu huwa yko sawa.Nadhani hta baba aliliona hilo nakwakuwa baba magu ulikuwa huwezi kumdanganya,napia alikuwa makini sana kujua vitu ndiomana alimtumbua.Mwanauchumi lakini majibu yke hta kwamtoto wadarasa la saba alipitia praivt anaelewa.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Год назад
I hope chama tawala kitaendelea kushirikiana vizuri na viongozi wenye maono na moyo wa kizalendo kama hawa. Wasiwachukie.. Maana viongozi wengi wa namna hii, huwa wanapotea tu hivi hivi hatujui wamepotelea wapi, lakini ukweli lazima usemwe.
@ommyzubery8358
@ommyzubery8358 Год назад
Sawa mheshimiwa,inachekesha sana, hapa kwenye uvuvi kuna team zimewekwa na zinafanya opersheni nyingi za kupiga hela tu.kwanza jiulize kwa nini mvuvi afanye uvuvi haramu?linganisha pesa za opereseheni na za kuwanunulia modern fishing gears hao wavuvi wadogo wadogo ili wavune vizuri na kupata mazao/samaki wengi .elimu hawana hawa watu .sasa badala ya kupewa mbinu bora imekuwa ni vita sasa wavuvi na teams za operation baharini,maziwa ni nk .hebu tujifunze jamani nani anatoa mipango hii ya hizi operation za kupiga pesa za walalahoi wa nchi hii.kuna mipango ya ulaji badala ya uboreshaji......
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 Год назад
Sheria yoyote isiyonufaisha wananchi wako ni Sheria mbovu na haifai kutumika. Wabunge wanafanya kazi kwa niyaba ya wananchi. Kwahiyo wasifsnye maamuzi kama wanafanyia familia moja. Kunamfumuko mkubwa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ni mbaya sana. Serikali msikilizeni Mh.Mpina, anawakilisha kilio chetu. Pili, Mwigulu asijafanye Waziri Mkuu Kila hoja za wabunge anazishambulia.. wamepita mawaziri wa fedha wengi lakini hawakuwa hivi.
@lindaassey2008
@lindaassey2008 Год назад
Mpina Unahoja nzuri sana ila umesahau ccm ni jini la mafisadi Mpina ni ngumu sana kuwazuia mawaziri wetu kutafuta sehemu ya kupiga pasa, unachokiona ni tone tu Peleka hoja iundwe kamati teule ya kumchunguza waziri mwigulu mtaona wizi wa kutisha Mwigulu alilindwa sana ili awanyamazishe wabunge na kuizima hoja kwa faida ya serikali ni aibu
@yustogembege9161
@yustogembege9161 Год назад
Nakupenda sana mbunge wa jimboni kwangu Mpina anakosoa na kufundisha namna ya vipi anapaswa kufanya, hongera sana, natamani kuona mengi zaidi kupitia uongozi wako unafanya makubwa mazuri, wananchi wa kisesa-Meatu tunakuamini sana, japo kuna wachache wanakuharibia cv yako, nakuomba usikate tamaa mungu atakulinda
@joyceemmanuel4144
@joyceemmanuel4144 Год назад
Mh Mpina Mungu akubariki sana unapigania wanyonge.Mwiguru nafasi ya uwazir wa fedha haikuwa yake amepachikwa tu.
@modestmasuba7765
@modestmasuba7765 Год назад
Mpina mungu akulinde sana tanzania kumbe watu wenye akili bado wapo
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 Год назад
Hapo Waziri hatuna
@mohamedngoi161
@mohamedngoi161 Год назад
Sijui tutawapata wapi viongozi wenye uchungu na nchi hii,maana watu wakiteuliwa kuwa Mawaziri wanajiona wao ndio wao,hawataki kusikiliza na kufanyia kazi hoja nzuri za Wabunge ambao ni wawakilishi wa WANANCHI.
@deohaule8161
@deohaule8161 Год назад
Well said bro - I hope someone responsible deep in the system can hear your deep thoughts to our lovable country.
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Usimwogope nchi hii sio mali yake we mwache tuu naona anatuona watanzania wote hatuna akili ila ipo siku yake .
@nicodemmabala1904
@nicodemmabala1904 Год назад
Naiona sura ya marehemu hapa dah! utadhani ni mdogo wake.
@nestor384
@nestor384 Год назад
Mhe. Bashe alipokuwa machachari ambaye alikuwa hajafikia hata 50% ya huyu mwamba, hayati Dr Magufuli alimpa uwaziri, Tumwombe mama ampe huyu jemedari Wizara ya Fedha tusonge kwa speed🙏🏻💪🏻
@teddysanga1840
@teddysanga1840 Год назад
Mkuu unaakili sanaaa
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Год назад
Well said mpina bigup.
@jamesngaluko7076
@jamesngaluko7076 Год назад
Big and broad brain, Professional, well addressed, critical thinking and argumentation. Shida sio sera, sio waziri wa wa fedha wala sio bunge. Shida ni moja tu ile paleeeeeeee..... pls think of it.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hongera sana mbunge mpina ila tahadhari kuna hatari ukapigwa vita kwenye ubunge jimboni kwako kisa kusema ukweli huyo mwigulu mpigaji anataka ajaze Esther luxury bus nk ndiyo maana hayati magufuli alikuwa hamtaki
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Год назад
Hata akienda upinzani tutampa si hatuangalii uchama.
@lenatuswilliam3056
@lenatuswilliam3056 Год назад
Mpina uko vizuri,msema kweli hapendwi ,endeleza mapambano.Mungu yu nawe.
@abdulrwenza986
@abdulrwenza986 Год назад
Good maelezo ya busarsa na hekima hii ndiyo wajibu wa mbunge kuisimamia serikali
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Год назад
Nakuelewa baba
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Год назад
Njoo chadema ccm hakuna watu, makini kama wewe, nakupenda kaka
@shinjimajige9272
@shinjimajige9272 Год назад
Hongera sana kijana hilk swala toka mwaka jana unalifuatilia kwa ukaribu sana, leo ndio imeonekana sasa kuwa kuna wizi mkubwa sana ndan ya serikali.
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Umeongea point sana mpina nimekuelewa sanaa
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Год назад
Huyo Kiranja wenu sijui ni kimada wa trat na Trac au!!! Mtu anaomba mwongozo anakaushia tu.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Год назад
Yani alionyesha udhaifu mkubwa na aliwakera watu wengi sana
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Год назад
Wazri mwigulu ameonesha kudharau mhimili wabunge kudharau mbunge umedharau watanzania sisi wananchi tunategemea sana majibu yaserkali sio jaziba vyeo vinarevya hivi jamani
@mpwamtaa5173
@mpwamtaa5173 Год назад
Hongera sana mpina
@Dominaevance
@Dominaevance Год назад
Nimemsikiliza Mbunge huyu Mheshimiwa Mpina Kwa Umakini Mkubwa, Nampongeza Sana Mpina Kwa kutuwakilisha Vema na zaidi Kwa Analysis zake huyu Kawa Mbunge Wa Tanzania Nzima kabaki peke yake kutusemea ACHA wamchukulie vyvyte lakin sisi watanzania tunamuelewa Sana, Rais Tazama Waziri wako anavotupoteza
@emmanuelnila1305
@emmanuelnila1305 Год назад
Mpina ni kichwa na si wale wa kusifia tu oooh kaupiga mwingi huku tukiumia watu wa chini
@Dominaevance
@Dominaevance Год назад
@@emmanuelnila1305hakika kbsaa
@samsonnyantori9335
@samsonnyantori9335 Год назад
Mi nakubaliana na wewe Mpina, najua unatafuta maneno ya kiungwa kujibu lakini wazirinwetu wa fedha maelezo yake hayafanani na professional yake
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Umeongea kwa Evidence sana mheshimiwa
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Год назад
SAFI SANA 👏
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Год назад
Nina wasiwasi waziri wetu wa FEDHA haenei kwenye nafasi hiyo.
@kishakisha730
@kishakisha730 Год назад
Umeongea ukweli mh Mpina. Wameshasikia Serikali.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Год назад
Hiyo wizara ya fedha ina kufaa wewe Mpina.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 Год назад
Well said Hon.
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
MWIGULU NI KARANI MSOMI HANA UTU WALA NINI ANAPINGA HADI TAARIFA YA CAG.HILI SUALA LA MPINA SIO LA KWAKE BALI MPINA ALIKUWA ANAPITA MLE MLE KWA TAARIFA YA CAG. KARANI MWIGULU ANAJAA UPEPO BURE NA HAPO NDO UNAJUA MAANA HALISI KWAMBA YEYE NI KARANI TU.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Год назад
Mwigulu hafai kuwa waziri yaani anajibu kisiasa fedha za wananchi
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 Год назад
Mwigulu hafai kuwa wazir hana maono ya mbali
@costavmunisi5227
@costavmunisi5227 Год назад
Mwigulu ni waziri mizogo jinga ajivue gamba
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Год назад
Mpina wew Ni ginius
@petersilas4234
@petersilas4234 Год назад
Wewe kweli hufahamu uchumi, inflation haiji kwa diversion ndogo kwenye bajeti. Hakuna static budget duniani. Pia unachanganya mambo Sana.
@kingngojea
@kingngojea Год назад
Mimi nakupenda bure mupina maana unahoja za maana wakizingua uko njoo uku maana wataanza figisu kwenye wajumbe wewe ni faida ya nchi mungu akulinde
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 Год назад
Ni kweli kabisa
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Год назад
Waziri wa fedha hatoshi kabisaaa anamuumiza Rais Samia mwenge upite naye tu
@tumainichao7885
@tumainichao7885 Год назад
Umeeleweka vizuri sana
@anatholypole2889
@anatholypole2889 Год назад
Mh.Mpina ukweli anafahamu changamoto za nchi hii. zinasababishwa na baadhi ya waliokabidhiwa mamlalaka ya nchi hii.Bunge Zima mtusimamie Sisi wananchi wa Hali duni.
@fadhilimbena3097
@fadhilimbena3097 Год назад
Very true
@stephenmseti5539
@stephenmseti5539 Год назад
Mwigulu ni mtu wa hovyo sana kama ni watu wanalitesa Taifa hili kwa sasa ni Mwigulu na Januari Makamba. Kibaya zaidi wana kiburi cha madaraka. R. I. P JPM watu kama hawa wenye ndimi mbili ungewatumbua
@2002-h6c
@2002-h6c Год назад
Mwigulu anadhani nchi ni ameiweka mfukoni, anatudanganya sana, wanasema wanafunzi wote waliokuwa wamekosa mikopo, ni uwongo mkubwa, kuna watoto tele wanasomea udaktari, uhandisi, kilimo etc wazazi wao hawana uwezo lakini wamenyimwa mkopo
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Год назад
Nilisema maga mwigulu hatufai Mama mwondoe huyuanajikusanyia pesazetu
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
Ngoja kwanza amalize shule yake anaijenga ILONGERO SINGIDA NDO AONDOKE
@kishakisha730
@kishakisha730 Год назад
Mh unaona mbali sanaaa.
@DaudiKiango-ms6yr
@DaudiKiango-ms6yr Год назад
Tuna kukubali mh mpina usiogope sema,mwambie na mzee ole sendeka nae aongee nyi ni wabunge halali mlochaguliwa na wananchi,achaneni nayule mbunge wa dodoma anaeonhea utopolo,msaidieni mh dc mama samia raisi wa nhi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Год назад
Wanaume wakisukuma wanahakili nyingi sana,sasa mwiguru hapendeki KBS,hakiyamungu tena, January,riziwani nape,kwwnye Taifa hili hwawapendwi mno.mungu atatulipia tu kwani hakuna kitu kina uma kama Inchi kwani niyetu Wote,siyo kuumiza watu
@jucaedward1237
@jucaedward1237 Год назад
Katiba Katiba Katiba
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Год назад
Sisi wakulima tunashangaa wabunge wetu chakula kimepanda sisi tunamshukuru Mungu,lakini nyiye mnasema ni mfumko wa bei.Yani sisi tuwalimie nyiye mle kwa bei ya chini ni haki hii. Mbunge unaombea chakula kishuke bei ili wakulima washindwa kupata maitaji yao na unaona uko sawa ,badala ya kututafutia soko kubwa tunufaike kumbe unataka sisi tusipate. Wananchi wabunge kama huyu asirudi tena
@tabasamu-lk8xy
@tabasamu-lk8xy Год назад
hujamuelewa mpina anatetea wakulima waliokosa mbolea na kusababisha bei ya kuwa kubwa kwa wananchi wengine hakuna mkulima aliyeuza shambani mchele kwa 3,000 kilo wanaopata hiyo hela ni madalali na sio wakulima
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 Год назад
Yaani kwa saiz wasukuma ndo wanaekekea kua viongozi wa kwel lkn ss wengne tumejaa unafik
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Год назад
😮mpina wa maana sana
@Nedjadist
@Nedjadist Год назад
Hii nchi itaangamia kwa vile vyeo vyatolewa kwa utashi wa mtu/ watu na siyo kwa vigezo. Sifa gani anazo Waziri huyu wa Fedha zaidi ya utashi wa rais tu? Nawasome kitabu cha Lee Kuon Yew, Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore aliyesema ameifanya Singapore iendelee kwa vile hakuwaonea haya viongozi. Aliweka wale tu waliofaa. Si ni aibu Waziri kutojua au kudanganya kuwa hakutoa fedha nje ya Bajet kuilipa Simbeon. Mpaka lini Watanzania watadanganywa na viongozi wao?
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
raisi wa hovyo anaweka mawaziri wake wa hovyo taifa limebaki kudidimia kila siku .
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
Ishaangamia musa mrf.wkt rais mwinyi anakaa na wafanya biashara kupunguz makali ya bidhaa,huku bara tunatetea kupanda kwa bidhaa.KUNA MTU ANAIUWA HII NCHI NA BADO WATU WA BARA HAQAJASHTUKA.TUMELALA SA A WABONGO.
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 Год назад
mpina upo sahihi nakuunga mkono
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Jo kweli kabisa
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Wewe mheshimiwa mpina upo peke yako wabunge waliobaki bungeni kazi yao kupiga makofi tuu. Wabunge wa ccm wanakazi mwaka 2025 ya ziada maana hawatarudi bungeni.
@josephmwangake5146
@josephmwangake5146 Год назад
Kwa katiba hii wanarudi wote
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Uko sawa... Iwe heri Kwa watz
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 Год назад
Mpina uko smart bro hiyo ndio big brain vilaza hawawezi kukuewa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Sana sema usiogope sema kwa hayati magufuli ujinga kama huu haukuwepo
Далее
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: USISUBIRI UKAOMBE KUZIMU.
5:48