Тёмный

MPINA Aumbuka Vibaya Sakata la Sukari | Bodi ya Sukari yaanika wazi ukweli wote. 

Gilly Bonny Tv
Подписаться 495 тыс.
Просмотров 97
50% 1

MPINA Aumbuka Vibaya Sakata la Sukari | Bodi ya Sukari yaanika wazi ukweli wote.
Kitendo cha kampuni za wazalishaji kutoagiza sukari nje ya nchi katika msimu wa 2022/2023, kulisababisha bei ya sukari kupanda na kuongeza hali mbaya ya upatikanaji wa sukari nchini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), Profesa Kenneth Bengesi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku chache baada ya baadhi ya wadau wa sukari kuzungumzia Sakata hilo licha ya kukosa taarifa za kutosha.
“Kampuni nne zilipewa vibali lakini ni kampuni moja tu ya Kilombero kati ya nne iliingiza sukari tani 2,380 licha ya wazalishaji kupewa vibali vya kuagiza sukari kwa msimu huo. Kitendo cha wazalishaji kutoingiza kiasi chote cha sukari kilichoidhinishwa 2022/23 kilisababisha upungufu na kupanda bei hadi kufikia shilingi 4,000 kwa kilo moja mwezi Juni, 2023,” Alisema Profesa Bengesi.
Katika hatua nyingine, Profesa Bengesi alisema kitendo cha kushindwa kwa wazalishaji kuingiza sukari katika msimu wa 2022/2023 kuliwapotezea sifa ya kisheria ya kupewa vibali kwa msimu wa 2023/2024, lakini bado serikali iliendelea kuwapa vibali vya kuendelea na shughuli ya uingizaji wa sukari nchini Tanzania.

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 9 дней назад
Ninyi mnadhani sisi hatujui? Mnatumia nguvu kubwaaaa! UKWELI TUSHAUJUA,
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 5 дней назад
Mbona makampuni walisema mmewachelesha kuwapa kibali
Далее
O-Zone - Numa Numa yei на русском!🤓
00:56
Просмотров 122 тыс.