Mpina wewe Wafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania uwezo huo unao na Uongozi unauweza. Hakika Mungu akusimamie Tanzania ikipata wabunge 100 tu wenye nia thabiti kama wewe Nchi yetu itapona kwa yanayoendelea na tuyaonayo kiukweli yanaumiza mioyo yetu kama watanzania.Endelea kututetea.
MAONI YANGU MWANAINCHI " MHESHIMIWA SPIKA TULIA NI MWANA SHERIA ,ASIACHE WABUNGE WA WIN KWA KILA WANACHOTAKA AU KUFILIA! WAKIFARANSA HUSRMA" JE TE LAISSE PAS GAGNE " TON PANSE"😂!ADHABU IKITOLEWA HAIPUNGUZWI ,WALA KURUDIWA TENA ! ITAMANISHA NINI AU KULETA PICHA GANI KWA,SPIKA NA WANAINCHI??