Тёмный
No video :(

DK. MCHUNGUZI KWA UCHUNGU: "CCM WASIMUADHIBU TENA MPINA, 4R ZA RAIS ZITAKUWA HAZINA MAANA TENA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 306 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 Месяц назад
Sisi. Wananchii hana..kosa..huyo. Bwana..mwenye..haki..hakubaliki..kwa..wanyonyaji..🙏🙏🙏🙏
@gilbertmwakalebela2862
@gilbertmwakalebela2862 Месяц назад
Mpina akiadhibiwa na ccm itaonesha kwamba wabunge wa ccm hawana haki ya kuikosoa serikali watakua wanawaziba midomo wabunge wanaofichua makosa ya mawaziri. Mbunge ahoji chochote bila kuzibwa midomo kwasababu wao ndio wanaishauri serikali bila kujali kua ni ccm. Wabunge wakishindwa kuhoji kwakua mawaziri na serikali kwa ujumla ni ccm basi nchi imefika pabaya.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
MUSUKUMA HANA USHAWISHI WOWOTE. ALIPOTEZA USHAWISHI WAKE KWA KUTOKUWA NA MUSIMAMO.
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Месяц назад
Jimbo la Mpina, nao waiadhibu CCM Kwa kuinyima kura. Hiyo itasaidia sana!
@TinaZimba
@TinaZimba Месяц назад
Sula baya kama shetani
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Месяц назад
Dah😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Месяц назад
😅😅
@EK-kp2np
@EK-kp2np Месяц назад
Enh 😮, haya huyo kaumbwa na Mungu unamtia kasoro, tuonyeshe wa kwako uliyemuumba🤔
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Месяц назад
HII TAKATAKA INAYOITWA SIJIU SANGOMA MUCHUNGUZI (Maana Hakuna Phd kwa Kima Kama Hii) INA KIHERE HERE SANA!
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Mimi nalishauri bunge lisipoondoa adhabu kwa Mpina serikali ijipange,licha ya kuongeza adhabu anayosema Dkt.Dennis ndio kabisaa wananchi watalichukia sana bunge na serikali kwa ujumla, wakisikia Bwana asifiwe,laa wakipuuza Haleluya....
@pastorypetro6861
@pastorypetro6861 Месяц назад
Safi sana Dr
@user-lb8yy8vl7n
@user-lb8yy8vl7n Месяц назад
Kwa nini nchi ni yetu halafu hatuna haki ya kufanya judgment? Haya mambo ya kuwa passive ni mabaya sana. We must judge for issues concerning us in our country. This Dr anatudanganya.
@user-ii3xo5jw9y
@user-ii3xo5jw9y Месяц назад
WEWE DR ABLAKADABLA WEWE NIMTU MBAYA SANA. WAHAYA UNATUFANYA TUJIONE KUWA NI WANAFIKI. KAMA UNATAKA UKUBWA NENDA UKAKAE NA WAUAJI WETU.
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 Месяц назад
Bunge la maigizo na huyu atasemaje?
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Месяц назад
Hivi wewe ni nani???
@henricomuhoja3368
@henricomuhoja3368 Месяц назад
Eti Doctor,Mchunguzi,pumbavu,Unazidi uwaudhi watanzania ,Umelipwa na Mafisadi kuja kwenye Midia kusema ujinga,
@MollelMollel-il4rg
@MollelMollel-il4rg Месяц назад
Kumbe huyu jamaa hovyo sana nani mwenye imani na ccm hata wasipomrudisha mpina
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze Месяц назад
Mbona serikali haiadhibiwi ikikosea mf.wizi, dhuluma basi adhabu zifutwe abaki Mungu atoe adhabu
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Месяц назад
Yaani wewe mzee ni hovyo kabisa, nyie wazee ndo mlio lihalibu hili taifa. #NONSENSE.
@henricomuhoja3368
@henricomuhoja3368 Месяц назад
Acha upumbavu wewe,unaongea ujinga tu,Kamati ya bunge haijajibu kitu,Bashe anapaswa kujihudhuru ,Wewe unadharilisha hadhi ya taaluma yako,Mpina tunamuhitaji sisi watanzania,Ni mzalendo wa kweli,Sipika huyu tumemdharau sana Watanzania si Mwana Democratic.
@kukuz4588
@kukuz4588 Месяц назад
Bivi nyinyi vyombo vya habari mnakosaga watu wa kuhoji? Asa huyu anajua nn?
@ndogosatv8684
@ndogosatv8684 Месяц назад
Sijakuelewa kati ya swali ulilouzwa na maji haya be reconciled
@HamzaHeri
@HamzaHeri Месяц назад
HUYO MPINA HAFAI YEYE HAWEZI KUWA JUU YA CHAMA ATIMULIWE KABISA HAWEZI KUWA ANATUMIWA NA WATU WACHACHI KUIJUMU SEREKALI ALAFU TUNAIFUNGIA MACHO NIMJINGA SANA
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 Месяц назад
Sio bure wabunge wanashangilia tu hata ujinga
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Месяц назад
Kumbe kada
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Месяц назад
Nawasiwasi na digrii za huyu mzee. Uchawa wa mzee huyu umevuka mipaka...
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa Месяц назад
Linataka sifa hili zee
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Месяц назад
Huyu mzee vp hajasijiliza clip ya wazeshaji wa sukari na pia sheikh bunge ni la mipasho huna lolote bunge limekuwa la hovyo wananchi siyo wajinga Na tunataka KATIBA mpya
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Huyu kątoka wapi? Kanunuwa wapi PHD yake? Kuna shida gani Mpina kuwaelezea watanzania ukweli? Kama Tanzania ni nchi ya haki na demokrasia? . Bunge limejitia aibu kumuadhibu Mpina. Mpina ni mbunge ana haki ya kuwaeleza watanzania kama kuna udanganyifu wa mali zawo. Musukuma ni mbunge asiyekuwa na elimu yeyote. Watu wengi walimuamini, lakini tangu alipobadili Kauai yake kuhusu Magu, wengi tulimudharau. Wabunge wengi ni opportunities. Wako Tayali kusifia na kupiga makofi kulinda nafasi zawo. Mpina ni mbunge Mwenye musimamo na elimu, huwezi kumununuwa. Musukuma kasema speaker kapigiwa kura na wazungu kwa hiyo aaminiwe. Kwani kapigiwa kura na wazungu ndiyo nini ? Hata Trump anapigiwa kura na wazungu. Tanzania inahitaji katiba mpya. Ina sheria mbovu sana za ku kandamiza watu. Anayetowa habari ya ufisadi, ndiyo anakuwa mutuhumiwa. Nchi żenie haki ya kupigana na ufisadi, Mpina angetunukiwa zawadi, sio Tanzania, tunaoigia makofi mafisadi, ndiyo maana hatuendelei. Viongozi wetu wana bahati kuongoza watu wapole na wengi hawaelewi haki zawo. Unaweza kuwa professor, na bado ukawa mjinga. Watanzania tuna ugonjwa wa woga. Viongozi wetu wanatuongoza kwa ku tuziba midomo. Viongozi wenye nia nzuri ya kutuelimisha wakijulikana wanazimwa na kuambiwa wakae kimya, ama watatupwa Cuba ambako hakuna Internet. Hii itaendelea mpaka lini? Viongozi kama Polepole, Bashir, na wengi wenye ujasiri na sauti ya kutetea watu , wote wamenyamazishwa.
@ndogosatv8684
@ndogosatv8684 Месяц назад
Kwao sio kisesa
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Месяц назад
Wewe ni wale wale mnaolishwa keki kupotosha ukweli hovyooo tafakari chukua hatua.
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Месяц назад
Njaa yake iko kichwani Haiko tumboni
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Месяц назад
Doktari Bweeege Zwazwa, Seee nngeee etc ad infinitum
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 Месяц назад
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Месяц назад
Wewe mzee ni mpumbavu kumbe nikajua una akili kumbe wewe ni mchumia tumboni
@mtakamatv
@mtakamatv Месяц назад
Unaongea ujinga na kishabiki si kitaalam
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 Месяц назад
Mpina hana kosa lolote
@hbdina
@hbdina Месяц назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Nataka mumuhoji kwenye uwekezaji wa wakening hasa kwenye Madini, ardhi na uvuvi.Nadhani hizi sekta tuwawezeshe technologically Watanzania wazawa ili tuzishilie kwa wingi ili tusije tukageuka tabaka la chini kama wazawa wa South Africa. Tuna wawekezaji wa kigeni wengi sana kwenye madini,viwanda mandarin serikali inafanya jitihada gani ili tuibe technology/tujifunze ujuzi wao ili mbeleni tujitegemee kwenye hizo sekta.
@fmleli.tz2004
@fmleli.tz2004 Месяц назад
Hueleweki
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Месяц назад
Mnafiki wewe
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
ToA ushambA wako wewe.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Месяц назад
Ww Yani unaongea tu utafikiri Sasa pesa zinazojenga nizako Pesa mnakopa kopa bila mipango ilikusudi mtengeneze miradi Yenu.. Halafu huku nyuma mnatuachia vumbi la shida mnatutoza makodi kulipa mamikopo yenu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Месяц назад
Uyo Samia msikivu kwa kitu kipi nenda zako
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Месяц назад
Typing and deleting.....
@barakakevela245
@barakakevela245 Месяц назад
TUONDOLEE MKUDA HUYO PARA KUBWA KAZI UCHAWA TUU MPINA NI MWAMBA ACHANA NA HUYO MSUKUMA NA KIBAJAJU HAWAJUI HATA KUCHAM UA MAFAILI
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Huna akiri wewe treni busis na kote unakokutaja hakuhusiani na anguko lenu .nyie mmeshaanguka tayari.na mpina mmeshampa adhabu unajiongelesha nini?.
@JacksonMtese-gn4so
@JacksonMtese-gn4so Месяц назад
Ok tolerance muhimu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Ha! Huyu profesor vipi?!, anasifu watu kwa itikadi zao!, huwezi kumlinganisha Lusinde na Musukuma hata kidogo.Msomi anayewaza kwa kichwa atasema Musukuma ana kipaji karibu sawa na cha mbunge Kishimba,na wote sio mafrofesorio! Lusinde wa elimu yao hana lolote zaidi ya uchawa wa kujipendekeza tu! Kishimba na Musukuma wakizungumzia hoja wanatoka nje kabisa ya kusimamia upande ama kujipendekeza, rejeeni maneno ya Lusinde akiunga mkono adhabu na kuongeza yake ya kashfa kwa Mpina, mlinganishe na hoja zake za nyuma mtaamini lusinde tofauti kabisa na Kishimba na Musukuma. asemayo Drkt.Dennis hayana utafiti wowote ni uchawa tu...!
@FelicianSimon
@FelicianSimon Месяц назад
Ww mzee umefeli ww
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Месяц назад
La hovyo hili
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Месяц назад
Aloo ninyi hatuwapend iv mnalijua ilo
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 Месяц назад
9
Далее
Мухочирон эхтиёт бошед!
01:31
Просмотров 117 тыс.
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Просмотров 46 тыс.
MAMBO 4 YANAYOATHIRI NGUVU ZA KIUME | Deo Sukambi
46:36