Тёмный
No video :(

MR BLUE AFUNGUKA KUHUSU BIFU KATI AYAKE NA DIAMOND/ WASAFI FESTIVAL CHANZO!! / NILIKUWA NATAMANI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@antarsangali4456
@antarsangali4456 6 месяцев назад
Wasafi spirit ndio iliowakutanisha tena Bayser Blue na Diamond. It's very interesting story when you listen Blue .
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l 6 месяцев назад
Mr blue hana zarau ni mtu peace mno Yani haeleweki ni msela au braza men kwakifupi ni genius and unpredicted Man
@user-tn6zv2wc3p
@user-tn6zv2wc3p 6 месяцев назад
Nakubal mr blue kikubwa kuachia mawe zaidi ya apa mwamba
@Maycojr.
@Maycojr. 6 месяцев назад
Hahahaha na house girl anaamrusha vizuriiii tu
@ssssd9546
@ssssd9546 6 месяцев назад
Nakukubali sana kuna yibo yako moja naipenda sana niobe mama baka pale nitakapo rudi nitakuleteya nazawadi😊
@user-lr2rc2lo7j
@user-lr2rc2lo7j 6 месяцев назад
Nakubali sana kazi mzuri Apo mjengoni
@chunanachu2529
@chunanachu2529 6 месяцев назад
Namkubali Sana Mr blue
@rwandanhustlers6490
@rwandanhustlers6490 6 месяцев назад
Huyu Dada ampe mtu muda ajibu basi
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 6 месяцев назад
Huyu dada mtangazaji amezidi maneno kiasi anafanya hata mtu aliyealikwa studio asipate nafasi ya kuongea anajifanya anajua Sana lakini kiukweli anaboa na maswali yake yasiokuwa na kichwa wala kiuno.
@cptnbazil6121
@cptnbazil6121 6 месяцев назад
Mondi alishasema kitambo Blue ndio alimfanya afanye mziki kwaiyo ni Rahisi sana kuisha bifu yao
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 месяцев назад
Diamond amekua inspired na Mr blue hio iko dhahiri kabisa .. ata hio kujiita platinumz blue ndo wakwanza kujiita ivo longtime hio .. so its all love Yani
@samchris1914
@samchris1914 6 месяцев назад
Hata ile Holla back ladies,,aliiga kwa Bizzy 😂
@allahisone6386
@allahisone6386 6 месяцев назад
​ Eeweeeeeh_🤔
@davidkifua8465
@davidkifua8465 6 месяцев назад
Na jina la Simba pia kachukua kwa blue😂
@jackmsuya6842
@jackmsuya6842 6 месяцев назад
Weeeee zooombiiiiiii
@kondoatown8765
@kondoatown8765 6 месяцев назад
Brue baki na hiyo broo kaa hapo na diamond sababu hapo Kuna njia ya kufanikiwa kimuziki hapo ndo Kuna njia iliyonyooka mno , achana na wabwia Unga wamepewa chansi wakaichezea afu brue ukumbuke muziki unaudai ujue afu unaudai pesa nyingi mno so hapo ndo mahala pake lazima ukulipe madeni yote broo . Huyo jamaa anajuwa kuuza muziki ukaleta pesa mbali na show kaa nae achna na vijitu ohooo !! Unaminywa sijui nn ? Piga hesabu umekaa hujaminywa umepata nn? Mpk Leo je ? Ukiwa na Mond ukaminywa utapata nn? Ushangae uapate pesa nyingi pindi ukiwa unaminywa . Baki hapo broo
@HipHop_2024
@HipHop_2024 6 месяцев назад
Dem anae hoji aeleweki ana boronga boronga ana tapatapa sana maneno meng mpaka ana choresha sasa
@meshack3266
@meshack3266 6 месяцев назад
Kiukweli adi mm icho kidada kinanikela sana yani kwokote atakapo kua anakua na kilele hele mno
@hlb4lyf701
@hlb4lyf701 6 месяцев назад
Uyu dem huwa anakata sana yani anauliza swali af anajijibu af jamaa akitaka kujibu kabla amalize anauliza lingine daah😅😅😅
@galanamos5957
@galanamos5957 6 месяцев назад
dada ongea kwa utaratibu kama wenzio, halafu uliza maswali ya mashiko
@user-sc9rt9di3d
@user-sc9rt9di3d 6 месяцев назад
😮katisha
@Forester__
@Forester__ 6 месяцев назад
Dah huyu dada anaongea bila mpangilio kbsaaa aah
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 6 месяцев назад
One loveee😊
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 6 месяцев назад
Ase huyo dada anaonge san hlf anacho uriza sas hakielewek duh
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 6 месяцев назад
hivi ray mchana kaacha kazi ama
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 6 месяцев назад
Kizazi sana 🎤🔥
@user-mh1uf8oq6t
@user-mh1uf8oq6t 6 месяцев назад
Nc
@KondeBoy-lj3jn
@KondeBoy-lj3jn 4 месяца назад
Bjr
@christopherkihiyo2964
@christopherkihiyo2964 6 месяцев назад
Blue byser
@nishimwenasra5119
@nishimwenasra5119 6 месяцев назад
@amygirl punguza maswali yenye Hayana mana,mpaka msani anashindwa kujibu,
@musasefu6092
@musasefu6092 6 месяцев назад
I'm the first one I need my likes
@user-vu6pd7pg9e
@user-vu6pd7pg9e 6 месяцев назад
Wht is meaning of likes
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 6 месяцев назад
Huu unakua upuzi wa hali ya juu
@mwanamisijuma8044
@mwanamisijuma8044 6 месяцев назад
Mwanaume unaomba likes za nn ama ww ni fathma😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 6 месяцев назад
HUKO NDO KUKUA KISANII
@user-qt9tp9ph6l
@user-qt9tp9ph6l 6 месяцев назад
Blue sorry. Umeķonda kidogo vipi?utapata shavu saivi. Mda mwingi ww upo na Ab skills. Halafu naona nyimbo yako ya mwanzo kuimba na jamaa. Ikiwemo iyo nyimbo vikiwemo vikiwemo vionjo vyako. Siandiki kiengereza we mwenyewe swahili babu. From 507.
@SilaMinanda
@SilaMinanda 6 месяцев назад
Mond kapotea kwenye ramani ya mziki imebaki brand tu, anatafuta nguvu kwenye collabo. Sasa anaimba kama shoga mwenzie zuchu
@RubenDelefa-eg8mm
@RubenDelefa-eg8mm 6 месяцев назад
Kama mondi kapotea kwenye gemu Tanzania hii Kuna mtu wa kufikia muwe mnaongea kitu kinachoeleweka na cyo kulopoka
@benardhassan922
@benardhassan922 6 месяцев назад
Wew team konde acha uchawi diamond jini hawamuwez kumshusha
@njoroboihastla
@njoroboihastla 6 месяцев назад
DAAAH😂 UKIAACHILIA MBALI UMASIKINI KITU KINGINE KINATUTESA SISI WA TANZANIA NI CHUKI NA NYEGE
@mumbatembo2414
@mumbatembo2414 6 месяцев назад
Aliye potea ni wewe hata rafiki zako hawakukumbuki
@SilaMinanda
@SilaMinanda 6 месяцев назад
Ishu sio kushushwa, kwan marekani kuna mtu kamshusha 50 cent?, J zee au Real wayne? Lakn vip this time around pale justin bieber pale Usher raymond nani mkali? Jibu Bieber Usher atabakia kuwa legendary. Diamond legendary Anayeimba kama zuchu kwa sasa, isikilize vzr mapoz ni zuchu mtupu.
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 6 месяцев назад
Mi sionekanagi😂😂😂
@FrankClarkportugal2604
@FrankClarkportugal2604 6 месяцев назад
Akuna kitu wote apo
@kisoso890
@kisoso890 6 месяцев назад
Kitu ambacho kinanikwaza sana ukishafanya kazi ma domo unaanza kuwa mtumwa wa kulipa fadhila kwenye interview za machoko fm yaani utaitwa kila kipindi ulazimishwe utaje wema wa domo 😂😂😂😂 mapozi na inanimaliza ya konde ipi kali 😂😂😂😂😂 nyau nyie muache baisa huyo mtu mzima msilazimishe maji na mafuta
@kisoso890
@kisoso890 6 месяцев назад
Kwani huyo domo na baisa ni mara ya kwanza kufanya kazi si walishafanya kazi hao mbona mnajifanya kama hiyo ndio ionekane kazi bora wakati marehemu ngwea alishawashirikisha kazi ilitaarishwa na AM RECORD😂😂😂😂 au mnajifanya hamjui domo wakati wake umeisha iwe hivyo msilazimishe yeye abaki kama mkuu wa mafanikio tu msilazishe awe namba moja milele
@defranco3100
@defranco3100 6 месяцев назад
😂😂😂😂
Далее
Mapoz Behind the scene Part one (1)
12:47
Просмотров 573 тыс.
🤪Школьники ОЦЕНЯТ🔥
00:30
Просмотров 127 тыс.
Mr Blue mjanja sana
8:55
Просмотров 483 тыс.