Тёмный

MREMBO WAKISHUA ANAENDESHA UBER DSM, ANAINGIZA MILIONI 1.6 KWA MWEZI, ALIACHA KAZI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 112 тыс.
50% 1

AyoTV inakukutanisha na Dorah Kyamba (39) Mwanadada anaefanyabiashara ya Tax Mtandaoni (UBER) miaka miwili nyuma aliacha kazi ya laki 9 kwa mwezi na kuingia kwenye kazi ya Udereva Tax wa Uber hapa Dar es salaam
Dorah amefanikiwa kumiliki Tax mbili (UBER) moja akiendesha mwenyewe na nyingine amemwajiri ndugu yake leo hii anao uwezo wakuingiza milioni 1.6 kwa mwezi, kuyafahamu mengi ya Mwanadada huyu @dorahkyamba amepita Studio za AyoTV hapa Palm Village Mikocheni Dar es salaam.

Опубликовано:

 

25 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@onesmokabia80
@onesmokabia80 2 года назад
Hongera sana ila ushauri wangu kwako achana na mambo ya kujiweka karibu na mitandao na kuweka kipato chako mitandaoni kuna watu wabaya duniani hasa majambazi watakupoteza kwenye uso wa dunia wakachukua kila ulichonacho,fanya maisha yako kimya kimya
@DennisDidas
@DennisDidas 2 года назад
Safi sana umempa ushauri mzuri sana. Hongera sana kwa kutambua hilo na kuweza kuwashauri wengine.
@onesmokabia80
@onesmokabia80 2 года назад
@@DennisDidas ndo ivo ndugu angu watu wa sasa wanaroho za unyama hawachelewi kumvamia na kumpoteza.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 года назад
Sasa we naye 1.2 avamiwe na majambazi?? Una akili kweli ww? Sasa unhefanya mishe zangu je si ungejizima data?? 1.2 sio hela bwana ww
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 года назад
@@masalakulwa7601 ww ndo unasema sio hela ila muhalifu kwake hiyo ni hela,kama wanaweza kuua mtu kisa simu itakuwa hela? Use your brain effectively
@sadickidd493
@sadickidd493 2 года назад
Kweli
@joycekyando4768
@joycekyando4768 2 года назад
Nadhani pia anapenda driving thats why anaenjoy na courage ya kufanya kazi mpk kukesha. Mungu akufikishe mbali dada umethubutu
@joycekyando4768
@joycekyando4768 2 года назад
She loves driving nimemsikia mwishoni huku. Self confindent n goal setter.
@connectionbongo
@connectionbongo 2 года назад
Huyu mdada ameshanipeleka kwangu Mwaka 2020 Niliita Uber nikakuta niyeye ilikua usiku mida ya saa 3 hivi kunitoa kijichi mpaka gongo la mboto
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 года назад
God have mercy mdada nakuombea Mungu akulinde katika kazi zako dhidi ya wahalifu na uhalifu
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Hongera binti yangu. Mwenyezi Mungu akutunze. Unahamasisha vijana wakike na wa kiume kutobweteka na kufanya mambo yasiyofaa wakati wanaweza kujiamini kwa kufanya kazi yoyote aliyo na uwezo nayo. Sijakusikia ukijipangia muda wa kumwabudu Mwenyezi Mungu. Jitaidi uwe unasali. Bila Mungu wewe huwezi.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Namuamkia huyu dada..,Big up sana. Angekuwa mitaa yangu ningetumia usafiri wake kila ninapouhitaji.
@super_boy_tz
@super_boy_tz 2 года назад
Namfwatilia toka mda huyu dogo ko namjua vyema ninoma ana voice ana energy ana ujasili pia
@marympango9247
@marympango9247 2 года назад
Ayoo media nawaelewa sana interview....zenu...Hongereni sanaaaa.....
@babybaby8384
@babybaby8384 2 года назад
hongera sana Mungu akuwezeshe Dada Dora.
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 года назад
Wengi wanahisi anadanganya lakini mimi naamini. Niliwahi kuendesha Uber mwaka 2016 nilikiwa naendesha weekend tu (ijumaa jioni na jumamosi na jumapili) na trip ya mwisho nachukua saa 12 tu jioni. Baada ya hapo napumzika. Nilikuwa napata laki 1 hadi 150 kwa hizo siku 2 na nusu tu. Tatizo madreva wengi wa uber na taxify kama huyo dada anavosema hawana mood na kazi. Mtu anaona boss wake ndo anapata faida bila kujali kuwa nayeye anapata pesa palepale. Nimeshafanya hii kazi. Hivo sioni kama anadanganya. Watu wa tanzania tuwe na tabia ya kufanya kazi kwa bidii kuliko kulalama tu
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
❤️
@gidy6502
@gidy6502 2 года назад
yaan na ww kwa uongo uber imekuja dar 2017 hiyo 2016 ilikua uber ya matako yako
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
@@gidy6502 😂😂😂😂😂🙄🥴🥴🥴🥴
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 2 года назад
@Gidy jaman 🤣🤣🤣🤣🤣
@DennisDidas
@DennisDidas 2 года назад
Umbea, Uvivu, Starehe na Ngono ndio kipaumbele kikubwa kwa watanzania wengi, wanashindwa kutumia muda wao vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii badala yake wanapoteza muda kwenye mambo yasiyokuwa na tija kwenye maisha yao ya kila siku. Ushauri wangu ukiwa wewe ni kijana piga kazi kweli kweli, Mafanikio hayapatikani kwa njia nyepesi. Lazima ufanye kazi kwa juhudi sana. Ukiwa unafanya kazi kwa juhudi Mungu naye atakubariki. Dada amezungumza mengi mazuri ila kwa maisha yetu ya kiafrika, Ukipata mafanikio sherekea mwenyewe na familia yako ili kutokuwa au kuongeza maadui maana watu hawafurahii hatua utakazokuwa umepiga maana ndio wanadamu walivyo. Unajua kwanini kinyesi kinafichwa chooni? Kinafichwa kuepuka nzi na harufu mbaya, Sasa ukiweka na kuyaelezea mafanikio yako mbele za watu ni kama unakaribisha maadui kila pembe ya kona na vita itakuwa kubwa sana ndani ya maisha yako.
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 2 года назад
Nampenda sana dorah ameshawahi kunibeba Mashallh 🍎❤️
@agyady6260
@agyady6260 2 года назад
Anakauli nzuri sana mm pia alishawahi nibeba
@sikudhanicharless88
@sikudhanicharless88 2 года назад
Tz tu ndo ajabu lakini huku kwa wenzetu kawaida wanawake wanafanya iyo kazi😊
@tronline6959
@tronline6959 2 года назад
Nimempenda bure huyu mpiganaji.. Utakuta wahuni wanamuwinda wamuue ili wachukue gari. Mungu akulinde Dorah.
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 года назад
Mungu amliende kabisa
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 года назад
Mwanamke yeyote yule akianzisha biashara ya Aina yeyote ile ambayo itafanya aweze kukutana na watu wa Aina mbali mbali ktk hiyo kazi yake kutoboa ni kitu rahisi Sana..
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 года назад
Hiyo ni kweli
@alijuma675
@alijuma675 2 года назад
Amejiweka smart,anamalengo ndio katona,angeendekeza mapenzi kwenye hio biashara asingetoboa
@ladyt1471
@ladyt1471 2 года назад
Hongera sana mamy chapa kazi ununue zingne hata 10 omba Mungu tu utafanikiwa usibaishwe na wenye wivu
@rashidnkumilwa8860
@rashidnkumilwa8860 2 года назад
Ivi uyo dada atuambie ametumwa n campun gani maan awa utokeaga tu kila madereva wa tax mtandaon tunapo dai aki zetu kuhusu unyonyaji wa bei trip ya kilometer 11 kwa elf 5 na makato ya campun apo apo iyo laki moja unafikishaje par day atuelez vzr???
@ngwayatv2798
@ngwayatv2798 2 года назад
Chizi uyo katumwa na uber uyo
@NgassaKids
@NgassaKids Месяц назад
Huyo ni mwanamke bro jiongezee
@maryamgalu5523
@maryamgalu5523 2 года назад
Masha Allah
@ebrah2468
@ebrah2468 2 года назад
Huyu dada ni marketing manager anatangaza biashara tu 😂😂😂😂😂😂
@babybaby8384
@babybaby8384 2 года назад
kweli kbsa
@marafikistation
@marafikistation 2 года назад
Katumwa kuwa promo uber
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 года назад
Asante umenipa ldee nzuri ntanunua nijaribu
@nipautago8574
@nipautago8574 2 года назад
Hongera sana
@jacklinenyalika5700
@jacklinenyalika5700 2 года назад
Mungu amlinde tu na watu wabaya
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 года назад
Hongera dada
@marympango9247
@marympango9247 2 года назад
Binadam bwana...yeye ndo anafanya anasema anachokipata yeye... Nyie mnasema anadanganya sasa mlitaka aseme mnavowaza ninyi...jmn....duuh mungu tusaidie....
@dennisevarist
@dennisevarist 2 года назад
Dada mtu anayesema anadanganya anakuwa amewahi kufanya hiyo kazi. Mimi mwenyewe nimeifanya 2019, 2020 naijua hiyo biashara, hiyo pesa inawezekana kweli anaitengeneza ila ni nje ya system ya uber. Na kingine Uanamke wake unamsaidia kupata wateja binafsi wengi, Ila kama hujawahi kuifanya ndio utaongea kama uliyoyaongea wewe hapa. Wanawake huwa mnakuwa na advantage hiyo sana kuliko sisi wanaume
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 2 года назад
Coucou Dora courage
@glorymafuru6342
@glorymafuru6342 2 года назад
Tisha sana Dulla umesimama vema kwenye interview nakukubali brother big up sis Norah pia
@jacquelineansigar5140
@jacquelineansigar5140 Год назад
One amongst the best in interviews @dullahtza
@kingfumanizifrommanzese4648
@kingfumanizifrommanzese4648 2 года назад
Dorah mungu anakuona hii kazi ya tax Mtandaoni uwezi ukatangeneza hiyo Pesa acha kudanganya uma labda useme unameshe zako zingine mimi nina gali yangu mwenyewe uo niuwongo kabisa
@marafikistation
@marafikistation 2 года назад
Atakua ana another means na hao abilia wake
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 года назад
Bado hujajua hii biashara vzr. wanawake wanapiga hadi m4 kwa mwezi. Inategemea anawateja wa aina gani na anajiwekaje. Endelea kusema ana mishe zingine. Kwanza anafanya kazi kisomi sio kiboya
@marafikistation
@marafikistation 2 года назад
@@hellendaniel3809 we milion 4 . wew siungekua kiongoz acha ushamba nenda nawewe kajiuze kama nifashion mwezio . Elimu yako itumie kwenye mambo mazuri sio uwaongopee wezio.
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 года назад
@@marafikistation sibishani na wapuuzi mm
@marafikistation
@marafikistation 2 года назад
@@hellendaniel3809 ndio acheni kuwa ongopea watu mnajiuza afu mnasema kazi inalipa . Acheni tabia mbovu mnazalilisha taifa mtoto wako atajifunza nini kutoka kwako wapuuzi nyinyi , na sijui kama umeolewa .
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 2 года назад
Mwak gan alikuw anaendesh uber ? Lbd mwanzon saw lkn kwa sas uber hailip tumefany sasa hv makato ni makubw san mfan kila abiria unaye mbeba uber wana kata asilimia 25 .kwa watu wasiolew mfn abiria akitoa elf 10 wao wanachukua 2500 derev 7500 .bd mafut hp bd hesabu ya boss. Uber mwanzon ilikuw inalip san co sas ase
@pendombinga3584
@pendombinga3584 2 года назад
Kumbuka huyu uber ni yk sy ya boss
@edsonjumbe879
@edsonjumbe879 2 года назад
@@pendombinga3584 Anazungunzia Uber kama Uber sio boss
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 2 года назад
Wote tumefany hy kaz lkn kwa hapo ametupig na kitu kizito san. Ipo hv mwanzon makat yalikuw kdg san kulikuwa na bones nying lkn kwa sas hkn ucku kulikuw na ongezk la bei kwa sas hkn pia .sas hv ukifany kaz ukipat ht laki na ishilin ww kidume . sas hp den utakalo kutan nalo mwisho wa wiki ndio utajua Uber inalipa au una kimbiz mweng .
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 2 года назад
Km hy gar ni yk saw itakuw inakulipa lkn pia kuna sevs za gar . Mm nadhan utakuw mgen kweny uber lbd ni kuulz kitu km uber inalip kwann maderev huwa hawatk abiria wa kadi . mwanzon kulikuw hkn bolt wala pin na mitandao mingin abiria walikuw wengi san .ulikuw huwez kukaa nusu saa bira cm kuit ila kwa sas unakaa ht masaa mawil hkn abiria
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p 2 года назад
Hongera sana dada
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 2 года назад
Asa kwani urembo unahusiana nini na kuendesha uba. Si anatafuta chakula Cha watoto wake bwana.
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
👏👏👏
@mrdaniel5223
@mrdaniel5223 2 года назад
Yanii mngekuwa mnajua wanawake wa uber wanavyopiga hela hiyo mbona kawaida sana, coz wanapigwa tip sanaa tofaut na wanaume
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 2 года назад
Thats point!!!ongeza sauti woote waelewee"
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 2 года назад
Hivi ni kwel ?
@godblesstibasana756
@godblesstibasana756 2 года назад
Na hapo ndipo faida ilipo lalia 😃
@DennisAffiliate
@DennisAffiliate 2 года назад
Uber inalipa mimi mwenyewe niko Uber hapa South Africa
@gidy6502
@gidy6502 2 года назад
Unalipa sh % ngapi kamisheni yao
@DennisAffiliate
@DennisAffiliate 2 года назад
Million 2
@gidy6502
@gidy6502 2 года назад
nilijua tu hujitambui
@magembetv5866
@magembetv5866 2 года назад
@@gidy6502 😀😀hajitambui tena
@nataliakenny9499
@nataliakenny9499 2 года назад
Duh hongera mmy
@faharikhamis1042
@faharikhamis1042 2 года назад
Pambana sister wangu
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 2 года назад
Smart
@elinahlawrancemwaipopo7633
@elinahlawrancemwaipopo7633 Год назад
Good job 💕💕💕
@abasisaadivevo4688
@abasisaadivevo4688 2 года назад
hongera xn ccy
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 года назад
Congelicoshen
@bumbuli4170
@bumbuli4170 2 года назад
Hongera sanaa
@jamespatsonjp4935
@jamespatsonjp4935 2 года назад
Kiukweli hii kazi kama unaifanya serious ina hela cz kwa siku ukikomaa vyema hukosi 50k out of fuel.. ila.kama unataka hela myingi fanya usiku day inakuaga changamoto sana foleni trafic jua yani vikwazo kibao ila night mtelezo alafu bei inakuwaga juu kidogo.. 50k unapata vozuri tu ila.tengeneza wateja wa permenent ndio utaona hela chap chap... ila utazunguka sana mjini mpaka upate hiyo 50k .. but inalipa
@jaquilinekabadi37
@jaquilinekabadi37 7 дней назад
❤❤❤❤.
@victorianbenardnachenga6839
@victorianbenardnachenga6839 2 года назад
Cute with brain...keep it up Dorah...!!!👍
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 16 дней назад
Yupo smart ❤❤❤❤
@ramadhansadik001
@ramadhansadik001 Год назад
Sawa sana mamaa jikaze na safari hiyo
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 года назад
hadi raha yani inatia moyo.
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 года назад
AM TZ SUPER WOMAN BIG UP U UMEWEZA SANA ZAKELIKE 🥰🇹🇿❤
@gidy6502
@gidy6502 2 года назад
huyu katumwa na hii mitandao ya online
@alphonceluzigashija3549
@alphonceluzigashija3549 2 года назад
Sidhani kwa sasa kama ni biashara yenye malipo kwa namna hio sababu makato na mengineyo ni changamoto kubwa ila napiga hesabu labda hio gari kama ni yake basi sawa ila endao ni gari ya hesabu lazima tutafakari ooh nimeona amesema ni gari yake anyways inawezekana sababu nje ya uber anaweza kuwa na private contract na wateja wake ambapo akiunganisha anapata hayo mapato.
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 года назад
Dada kweli kabisa customer care ni namba one jambo ambalo sehemu nyingi hakuna
@samwelichupa3931
@samwelichupa3931 2 года назад
Tunaijua iyo
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Huyu dogo yupo vizr mno anafaa kukaa kwenye kiti hicho
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 года назад
Mimi je ?
@pendopanyika1222
@pendopanyika1222 2 года назад
Hongera Sana Dorah Mungu Azidi Kukulinda ❤
@kingfumanizifrommanzese4648
@kingfumanizifrommanzese4648 2 года назад
Shangazi nakusikiliza kwa makini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@netlity5532
@netlity5532 2 года назад
Mmmh tusidanganyane jamani, laki 9 mshahara wa receptionist? Huo ni mshahara wa mtu mwenye degree tena ofisi kubwa tu, mwanajeshi, n.k hapo tu sikubaliani ngoja niendelee kusikiliza zaidi
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 года назад
Sema wewe hujawahi kulipwa mshahara huo!! Wapo hadi milioni moja wanalipwa inategemea na kampuni
@immajuzo2440
@immajuzo2440 2 года назад
Pole wengine hiyo ni posho tu .jiajil acha uoga
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 года назад
🤣🤣🤣Kuna ofc hyo ni pesa ya tishu
@ayoubhussein6625
@ayoubhussein6625 2 года назад
Hujui kitu tulia.... Arusha kuna taasisi mfagiaji analipwa 1.5m w kaa ivyo ivyo na degreee
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 года назад
@@ayoubhussein6625 hapo unatupiga mzee, taasisi gani au na wewe umesimuliwa??
@drmussa1220
@drmussa1220 2 года назад
AWA YA KULIPWA MADENI YAKO m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NzCJvpVkxHI.html
@goodluckymosha2515
@goodluckymosha2515 2 года назад
Hivyo ndivyo inavyo paswa kwa mwanamke kujiongeza kwani hata mwanamke anaweza kufanya makubwa zaidi ya dora nikujiongeza2
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 года назад
Hahaa wakishua afu anaendesha uber 🤣🤣🤣. Tusichoshane
@Mhasibu
@Mhasibu 2 года назад
Hiyo ni aka yake kwani we unamzarau wa uber
@pendokomba8322
@pendokomba8322 2 года назад
Ushua sio pesa tu hata utanashat wake ni ushua
@davidmnyagwia8443
@davidmnyagwia8443 2 года назад
Jiraniiiiiiiii!!!!😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Sawa shangazi
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 года назад
TRA
@super_boy_tz
@super_boy_tz 2 года назад
Huyu dogo anapepelusha vyema bendela Yako Brooo amini huyu dogo mkali wa enteview niamini
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Mapato ghafi au?
@japhetkavishe8
@japhetkavishe8 2 года назад
kwa bei ipi ya mafuta jamani
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Wanajiwahiga kusema single mother 😂
@janethshem5782
@janethshem5782 2 года назад
Kwaniniasiseme kuwa ninsingle mother kama kweli ni single mother
@mbelwapaschal6320
@mbelwapaschal6320 2 года назад
Halali yake kupata hyo helaa kazi indeleeee
@francyprojest2703
@francyprojest2703 2 года назад
Kwa mikoani ukiwa na gari yako unawezaje kujiunga na tax driving kama izo za mitandaon kama iyo uber
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 2 года назад
Ingia Appstore/Playstore, download hzo apps hko Bolt/taxify/Uber.
@francyprojest2703
@francyprojest2703 2 года назад
@@baloziubalozini5074 Tatzo sasa uku amna wateja
@elenlazaro3192
@elenlazaro3192 2 года назад
😂😂😂mikoani kwetu ni daladala baiskel na bodaboda
@flavy_kipps4025
@flavy_kipps4025 2 года назад
Arusha kuna Indrive
@samsonyemmanuel5160
@samsonyemmanuel5160 2 года назад
Unapata 1.3m kwa mwezi, umefanya miaka miwili ni 31.2m. Ununue gari nyingine, ule, uvae, ulipe kodi, ulipe Ada ya mtt, usapoti ndg zako, bado hujafanya service gari yako, Ununue na uwanja 40m hapo hapo!??...Guys akili zakuambiwa changanya na zako.
@emanueljoseph602
@emanueljoseph602 2 года назад
Huyu dada mapepe' kwanza hana adabu wala maadili akajifunze nidhamu na hekma tena nyumbani kwao.
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 2 года назад
Kajiongeza muonekano unavutia
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 2 года назад
heeee...hivi unajielewa kweli kaka?amekwambia ana uber 2,hiyo hela inategemea na mwezi wa biashara,kwa hiyo unamuona anadanganya ili iweje?au ulitaka aseme anahongwa?hiv wnaume mna matatizo gani?kila mwanamke anapojituma na akafanikiwa mnaona hawezi bila support yenu, acha makasiriko kaka jitume utafanikiwa..hiyo ni roho ya umaskini
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 2 года назад
@@emanueljoseph602 kitu gan kimekufanya useme hana nidhamu na hana maadili?wapi alipokosea labda?ametukana?amekukosea nn?mbona umetoa kauli mbaya sana kwa mtu usiemfahamu!
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 2 года назад
huyo ni mwanamke kumbuka
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 2 года назад
Itakua wanampa na tip
@ngwayatv2798
@ngwayatv2798 2 года назад
Mnatuletea usanii kwenye jumba la sanaa uyo dada katumwa na bolt awashawishi watu wajiunge zaidi mimi nafanya hizo mishe hiyo hela uwezi pata ata uendeshe UCHI huu ni usanii bei ya mafuta ipo juu plus bei chini za kila trip this is BULLSHIT
@roseolotu629
@roseolotu629 2 года назад
Fact
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 года назад
Ila dorah mmh
@wizzoally8354
@wizzoally8354 2 года назад
Hub yke mbna siyon jmn
@japhetkavishe8
@japhetkavishe8 2 года назад
story tuh
@alumbwagemchilo1047
@alumbwagemchilo1047 2 года назад
Sema naona interviewee ni more intelligent kuliko interviewer, Why unazidi kusema amejiajiri uber yeye anainsist ni tax mtandaoni. Mtangazaji ujue kutofautisha kati ya brand ya uber na tax mtandaoni ambazo zipo nyingi siyo uber tu.
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 2 года назад
Nimependa vile anavyo jiamini
@ellymaduhu8668
@ellymaduhu8668 2 года назад
dAAAH HUYU DADA ALISHANIDRIVE
@jepamacherehani1626
@jepamacherehani1626 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-j22k6Ge2zUI.html Karibuni katika ukurasa wetu ujionee bidhaa zetu
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 2 года назад
Hahahahaaaaa, Hapa unawatengeneza wasio ijua kazi hii......ila sisi kama wakongwe utumbii kitu. Tumeifanya kazi hii toka inaingia hapa mjini tukiwa na application moja tu ambayo ni uber, hapo kidogo kwa kiasi hicho ningeweza kukubali, lakin toka application ya Bolt ilivyo ingia mjini hakuna atakaenidanganya kuwa anaipata hiyo pesa kwa mwezi......Tena kwa hiyo miaka yako katika kazi changamoto zimekuwa nyingi kuliko zamani, sasahv abiria wengi wanatumia Bajaji na Bodaboda kwa hili miaka yako miwili tofauti na nyuma coz Boda na Bajaji havikuwepo na bado hiyo pesa haikuwepo,....sshv kwa usafiri wa mtandaoni Boda na Bajaji kidooogo ndo watuambie kuwa wanapata pesa lakn cyo kwa sisi tunao endesha gari.
@elenlazaro3192
@elenlazaro3192 2 года назад
Lakini huyu ni mwanamke... Na wanawake ni wachache af kila mtu na nyota yake
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 года назад
Mtangazaji upo vizr unajua kuhoji akili imetulia maswali yamejipangilia
@dennisevarist
@dennisevarist 2 года назад
Japo kuna maswali mengine anakosea kumuuliza, hayahusiani na taxi mtandao yanahisiana na taxi za kawaida
@felixally297
@felixally297 2 года назад
Hii ni promosheni tu kiwanja millioni 40m then gari nyingine second end 7.5m total 48m kazi umefanya miaka miwili na miezi kazaa. Kwa mahesabu ya haraka haraka kila mwezi 2m kwa miaka miwili ni 48m inakuwaje hapa wakati ww kwa mwezi ni 1.6m bado ujalipa kodi na school fees. Labda kama unadaga kupitia taxify na uber
@mariamlupenza6657
@mariamlupenza6657 2 года назад
Hapo tumepigwa
@oscarmakoye9920
@oscarmakoye9920 2 года назад
huku Marekani wapo kina Dada wengi sana tuvwanaofanya biashara ya Uber,tena hadi wakina Mama wenye umri mkubwa tu wapo wanaoendesha uber
@fredymkatale3376
@fredymkatale3376 2 года назад
Hiyo dada ni muongo,amenunuliwa na mitandao ili awasafishe,hana lolote mamluki huyo.
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 года назад
Wanadanganya sana watu kwanza uyo Dada muizi sana
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 года назад
Alishawahi kukuibia?
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 года назад
Kadanganya nini?
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 года назад
wivuuu.achana na dada wa watu
@dennisevarist
@dennisevarist 2 года назад
Chuki binafsi haifai brother, au alikutosa. Kama alikuibia kwanini hukumripoti
@janethshem5782
@janethshem5782 2 года назад
Uongo huo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Mmmmmh WaTanzania ni waongo waongo yaani una diploma ya business administration unafanya kazi na hair cutting saloon then una kuwa receptionist na mshahara laki tisa, tuwe wakweli receptionist gani Tanzania analipwa laki tisa?? Huo ni mshahara wa mtu ana degree tena inategemea ni degree ya aina gani. Na watu wengi wanaokuwa wa rahisi kusema kiasi wanachoingiza wengi uwa hawana pesa hizo . Huyu dada nahisi yuko mawindoni anatangaza biashara yake ingine na anajitia aibu kwa kudanganya kuhusu elimu yake na kazi ya receptionist ya laki tisa.
@emanueljoseph602
@emanueljoseph602 2 года назад
Anajitia mapepe' mademu wengine wanaendesha mabasi ya mikoani au matenki ya mafuta mbona hawana mauzo kama hayo.
@neylicious_mollel5194
@neylicious_mollel5194 2 года назад
Kbs yaan mi pia nmshanga sana yaan
@cr7tz770
@cr7tz770 2 года назад
Inategemea na reception unaweza kulipwa Hadi 1 million kwa mwezi
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 года назад
Kuna salun kusuka nywele ty za mkono beii ya chin 15...so inategemeaa ni wap ....🤣🤣💅
@meddy4
@meddy4 2 года назад
@@cr7tz770 sio bongo bhn
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 года назад
Kawaida sana
@bidabidatz
@bidabidatz 2 года назад
"KITUTU NA VIN'GASTI WAPANGAJI". _😂😂__😂_ 😂😂😆😆👐__👐 LINK ON RU-vid 👇_______👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qaFPIqMX5yU.html
@stanleyjohn3655
@stanleyjohn3655 2 года назад
duh dada uyu nimecheka sana wakati yeye tumekaa nae airport analalama kazi ngumu ela amna abilia wanazingua leo yupo uku anapata millioni moja na kwa mwezi mh hatari sana basi sawa kama katumwa itakuwa sawa ila ni muongo uyu dada
@ericafransis6663
@ericafransis6663 2 года назад
Sio Kila mtu anaweza kukuweka Waz mzunguko wake
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 года назад
Another way ya kudanga...who is she deceiving🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@msellah1717
@msellah1717 2 года назад
Kama ana own hio gari kupata hio pesa ni ktu cha kawaida wanawake tupendane mtu akifanikiwa kadanga ?
@agyady6260
@agyady6260 2 года назад
Shika moyo jipige sema unawivu na Mungu akubadilishie maisha dada
@nobertmwaweza3713
@nobertmwaweza3713 2 года назад
@@agyady6260 huyo ni muongo dada wenyewe tuna fanya kazi izo sasa anapo sema akatai trip mwambie mm naenda kigamboni fani city usiku saa nane kama ata enda
@virusunityonline5786
@virusunityonline5786 2 года назад
TUFANYE IBADA VIJANA SIKU ZIMEISHAru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-oHXabKKB5n4.html
@noakipajiacademy
@noakipajiacademy 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-J450TzE7Z1Y.html New comedian in town karibuni kutazama guys
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Hongera dada
Далее
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 21 тыс.