Тёмный

MTENDAJI MBELE YA MAKONDA SIJALIPWA MSHAHARA MIEZI MITANO "RAS HAMISHA HUYU HATUFAI ARUSHA" 

KUSAGA TV
Подписаться 175 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RU-vid : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@AminAbubakar-ye8vw
@AminAbubakar-ye8vw 4 месяца назад
Mwamba miminakuerewa sana makonda mungu akulinde
@kessygilbert4565
@kessygilbert4565 4 месяца назад
Hiki ndio chuma kilichobaki tanzania piga kazi mkuu utalipwa huko juu mbinguni wala sio hapa dunianii
@SilvesterRichard-rk3by
@SilvesterRichard-rk3by 4 месяца назад
Mh makonda nakuaahidi utakuwa waziri mkuu wa Tanzania naomba hii sms uitunze na siku moja ukumbuke kuwa kuna mtu alikutabiria ukuu kwenye mamlaka
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 месяца назад
Huu ni mtambo shikamoo mwl Nyerere ahadi Yako Iko sahihi kweli unatuombea Kwa Mungu
@samweli7985
@samweli7985 4 месяца назад
Huyu ndiyo kopi ya magu, wengine wote kimya
@daslamonline4665
@daslamonline4665 4 месяца назад
Kula bando langu tu jamaa hata siwazi 🤣🤣
@PeterNMzee
@PeterNMzee 4 месяца назад
Makonda ni next level
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 4 месяца назад
Salute kwako makonda
@josephlorri431
@josephlorri431 4 месяца назад
Afisa utumishi roho mbaya.. wapo wa aina yake,ni wengi..wanajionaga miungu
@brysonmchau9384
@brysonmchau9384 4 месяца назад
Nakuelewa san mkuu, piga kazi usiku na mchana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 месяца назад
WEWE KWANINI USIWE RAIS WA NCHI YA TANZANIA???🇹🇿 WATU KAMA SISI TUPO NJEE YA NCHI TOKA RAIS MWINYI TUNATAKA MAELEKEZO YA NCHI KAMA WEWE MAKUFULI JUNIOR 😂😂😂❤❤❤
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 4 месяца назад
Makonda❤❤❤❤❤❤
@MagesaJunior
@MagesaJunior 4 месяца назад
Dah hii nchi tuje tuwape tu watu wa kanda ya ziwa yaonekana wanauzalendo wa kweli na hii nchi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 месяца назад
Daah hi nchi bwana kuna watu wana onewa sana😢😢
@mangaikwelamatengo8556
@mangaikwelamatengo8556 4 месяца назад
Nyayo
@jacklineernest4627
@jacklineernest4627 4 месяца назад
Brother umekiwasha 🤣🤣 ukilipwa unitumie na mi dadaako
@victorcephas3618
@victorcephas3618 3 месяца назад
Huyu mwamba tumpe nchi 2030 Kuna mahali tutafika
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 4 месяца назад
Hehehe one minute issue sorted
@RobertGwelela-zq2fr
@RobertGwelela-zq2fr 4 месяца назад
Mimi nachoshangaa kwanini wakuu wa Mikoa mingine wasiige kwa Makonda? Mbona Makonda ameiga kwa marehemu Magufuli,Lakini anapongezwa Makonda.Hata wao wakiiga watapongezwa wao kwa kazi nzuri sio Makonda.inamaana mikoa yao hamna wananchi wanaodhulumiwa kweli? inamaana mikoa yao haina madudu kweli? Hamna wanaoonewa? Nashindwa kabisa kuamini kama mikoa yao iko salama.
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 4 месяца назад
Hao wengine hawana wito wanajijali wao na familia zao tu
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 4 месяца назад
Wengine ndio walewale
@DanielPaul-x2w
@DanielPaul-x2w 4 месяца назад
Huyu mtu mungu amtunze jamn
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 4 месяца назад
Kweli mmepata chuma, mh. Makonda piga spina hao
@AmadeMbezy
@AmadeMbezy 4 месяца назад
Jembe uriobaki toka afe baba
@AbdalahMsaga-wf6zl
@AbdalahMsaga-wf6zl 4 месяца назад
Mwamba ameletwa namungu SEMA xaxa watampoteza kizur hakidumu
@mathayokaimaima4578
@mathayokaimaima4578 4 месяца назад
Ametokea halimashauri ya wilaya ya mbonga- du
@BestonMfikwa
@BestonMfikwa 4 месяца назад
Vp khs mikoa mingine hali ipoje
@OmaryChipeta-mh2wi
@OmaryChipeta-mh2wi 4 месяца назад
hahaha makonda ww nyoko piga spana
@daslamonline4665
@daslamonline4665 4 месяца назад
Dah huyu ni chuma
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 4 месяца назад
Lakini hapa afisa utumishi hana kosa
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 4 месяца назад
Kosa lake kusema uwongo
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 4 месяца назад
Huyu afsa utumishi atakuwa anaroho mbaya sna ndo alimzungusha yule mwalimu jaman c muwafukuze muweke wengine mbona wasomi ni wengi jaman
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 месяца назад
Ashapigwa chini huyo nafasi yake anachukua mwingine
Далее
ОВР Шоу:  Семейные понты  @ovrshow_tnt
07:21