Тёмный

Mtoto Mdogo Amliza RC Makonda, Alinivua Nguo Zote Akavua na Yeye Akanishika Akani... 

Tiki Tv
Подписаться 412 тыс.
Просмотров 179 тыс.
50% 1

Mtoto Mdogo Amliza RC Makonda, Alinivua Nguo Zote Akavua na Yeye Akanishika Akani...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 479   
@glorywilliam
@glorywilliam 3 месяца назад
Arusha tumepata Jembe wanaoungana na Mimi wako wapi tumuombee makonda Mungu amlinde
@DorcasKwekaAminaBabaKuhani
@DorcasKwekaAminaBabaKuhani 2 месяца назад
Amina.tupo pamoja
@VeronicaMadimi
@VeronicaMadimi 3 месяца назад
Mungu akutunze Mkuu wa Mkoa nakuona kwa kiwango chajuu sanaa
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 месяца назад
Mungu wangu😢😢😢, nimeumia sana 😢😢😢. Mh. Makonda mungu akusimamie katika majukumu yako.😢😢
@user-qd2bz1ik8g
@user-qd2bz1ik8g 3 месяца назад
Daah mungu mfunguliye milanko makonda awe raisi toka ulivyo kuwa mkuu wa mkowa Dr salam nilikuwa nakuelewa sana nilitamani uendelee
@issambarak8931
@issambarak8931 3 месяца назад
Makonda hongera sana kwautendaji wako mungu akuzidishie WEMA hakika WEMA wako utaukuta mbele ya mungu
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 3 месяца назад
Mh mtihNi tunalua kweli jaman
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 месяца назад
Hatari inayowakabili viongozi majasiri kama hawa ni pale ambapo vimbweni Lehi vitakapojitokeza kumchongea kwa mabosi wake wa juu. kumbukeni kisa cha Daudi kumuua Goliath. Wanawake wenye furaha na bashasha wakiwa wamejifunga kibwewe walimpokea Kijana Daudi alipokuwa akirudi kutokana uwanja Vita wakiimba "Mfalme Sauli ameua maelfu Bali Daudi ameua makumi elfu" wasomi wa Biblia mnajua tangu siku kulizuka uhasama na uadui wa kutisha Mfalme Sauli akitafuta kumuua Daudi Kama sio Mungu kuingilia Kati Daudi angepoteza maisha "Tumwombeeni Sana Makonda"
@esterrobart9750
@esterrobart9750 3 месяца назад
Makonda una kazi kubwa kwa sisi wana Arusha Mungu akutetee
@susannipah6563
@susannipah6563 3 месяца назад
Mungu akulinde Mh.Makongo kwa kusaidia wanaonyanyaswa kazi yako mbele za Mungu ni njema sanaa barikiwa
@LameckAkyoo
@LameckAkyoo 3 месяца назад
Duuu Mungu akusimamie RC Kwa kupambania haki za wanyonge
@omuze1290
@omuze1290 3 месяца назад
Mh. Makonda, kuna vitu vingi vizuri najifunza kutoka kwako. Mungu akubariki sana na azidi kukuinua!
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 3 месяца назад
Makonda wewe ni Hiro Mungu Akubarik una kazi ngumu sana lakini Mungu Atakulipa kwa kazi yako nzuri
@thomasmbolonzi
@thomasmbolonzi 2 месяца назад
Watanzania mna bahati sana kumpata Makonda.Hapa Kenya hatuna mchapa kazi kama yeye
@joycemushi1277
@joycemushi1277 3 месяца назад
Mungu akulinde na kukupigania Mh. Makonda Unaibua madudu mengi ya watu waliokosa utu na wameaminiwa na Serikali yetu Tukufu. Jicho la mwovu lisikuone kabisa.
@user-fs4uh3id3c
@user-fs4uh3id3c 3 месяца назад
Ahh mungu mpe uhai mrefu mheshimiwa makonda aenderee kuwasmamia wananch Haki zao
@magemagohe2019
@magemagohe2019 3 месяца назад
Mungu akuinue ukawe raisi makonda
@hellenenock7458
@hellenenock7458 3 месяца назад
Mungu aku piganie makonda kwa kazi yako
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 3 месяца назад
Halafu unamsikia kiongozi wa UWT, eti nimesikitishwa nimesikitishw na utendaji wa mtu wenu Makonda,, hahahahhahahaha
@hozamussa89
@hozamussa89 3 месяца назад
Asante sana mkuu wa Mkoa mh Makonda. Kazi unayofanya ni nzuri sana. Malipo utapata kwa mwenyezi Mungu
@MwantumJaff
@MwantumJaff 3 месяца назад
Mungu ni muweza wa kila jambo na haki itatendeka juu ya yatima huyu 😥😥
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 3 месяца назад
Makonda kuna watu watachomwa na gesi Makonda badala ya kuni. Inaumiza sana. Embu jifanye ni mtoto wako. Yaani wacha tu mdogo wangu. Yaani sijui. Mungu atusaidie tu.
@cjrtz
@cjrtz 3 месяца назад
Mungu jamani uko wapi?? Nimelia jamanii 😢
@SARAHKATAGIRA
@SARAHKATAGIRA 3 месяца назад
Kwakwel makonda una khof na Allah mungu akutangulie
@nicebeautyfragrance6575
@nicebeautyfragrance6575 3 месяца назад
baba Mungu akuimalishe sana baba na Mungu akuweke uwe hai na udumu sana baba yangu mzuri jaman
@demicratia4071
@demicratia4071 3 месяца назад
Msiwe Mnaonyesha sura za watoto au majina watazomewa shuleni wakati makosa sio yake
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 3 месяца назад
Kwa hiyo kusomewa au unyanyabaliwa ndio kosa ogofya kuliko unajizi ama kunajiziwa???😢😢😮 Ieleweke wazi kwamba ni dhambi kunajiz watoto au watu wazima 😢😢😢na ni haki kuwekwa wazi na adhabu yake bila kupepeza macho 😮😮😮
@rachelmpimbe1331
@rachelmpimbe1331 3 месяца назад
​@@nyiqatonyiqa7114kwani hawezi kusaidiwa hadi sura yake ioneshwe?
@user-ot3tf2jw1q
@user-ot3tf2jw1q 3 месяца назад
Zawa🤣🤣🤣
@SalumModal-cf7nk
@SalumModal-cf7nk 3 месяца назад
Nakuona Magufuri ❤
@QuithernVeronicahwatulomer
@QuithernVeronicahwatulomer 3 месяца назад
I wish ningekuwa Tanzania ningekuwa nimemalixa huyo mwanaume bila kuenda police.... Siwezi kuendelea kuona mtoto wangu ameharibiwa... Alfu police wanakula rusha.... Hii n mchezo
@royalfaith1978
@royalfaith1978 3 месяца назад
Inchi za afrika zote zinamaratizo za rushwa ila TZ imewoza. Makonda mumuwombeye basimuwuwe asaidie wana inchi.. Kumbe nikuona Da ianangaa kumbe inchi ni poli kwa maendeleo. Mutoto abakwe mahakama iwaciliye muhusika. Makonda mungu akulinde. Uyo muwuwaji awekwe ndani.
@mariapendael626
@mariapendael626 2 месяца назад
Asante makonda kutetea wantonge wanyoshe hao mashetani na mungu akulinde
@KabiSaidi
@KabiSaidi 3 месяца назад
Next watz.. huyu Mtu mchagueni arithi kiti cha magufuli...juu naona kazi zake kma za hyo mbaba... exactly...be blessed My bro
@user-dc4wh9kc1o
@user-dc4wh9kc1o 3 месяца назад
Niseme nn Mimi zaidi ya kusema Asante mwenyezi mungu kwa kutuletea mtoto mzuri kama huyu nakesha kuomba kwako mungu wangu umlinde makonda wetu ukamuwekee wigo wako na ulizi wako baba yetu wa mbinguni Asante makonda wetu tusaidie wanyonge tusiokua na usaidizi
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 месяца назад
Yani kiukweli inauma sana vitendo vya kinyama sana wanavyofanya ata mi kunamtt wa ndugu yng pia kafanyiwa ivyo ivyo mpk leo kesi bado ipo ni kuzungushwa tu yani mitihani sana Mungu atulindie wtt wetu Inshaallah
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 3 месяца назад
Police wetu tz wanaendekeza njaa kuriko kufanya kaz ruswaa ndio inasaminiwa kuriko kusaidya wananchi polis ndio shida hata makaman polis ndio wanaopeleka mashitaka na ushaid wao ndio wanaopndisha wakishapewa pesa
@MagrethEmmanuel-qn4ud
@MagrethEmmanuel-qn4ud 3 месяца назад
Mungu wangu naomba mlinde huyu makonda
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 месяца назад
dah JPM alifanya kama hivi kwa yule mama kipofu alie lishiwa shamba Na tajili akapelekwa mahakamani akashinda JPM akamwambia OCD kamshike tena umuweke ndani ushuhlike Nayo iyo sasa hapo utasikia2 hao manyangau umeingilia uwamuzi wa mahakamani shenz ilitakiwa hata uyo hakim alie simamia hiro shauli ahojiwe
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 месяца назад
Mungu akulinde MAKONDA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jimmyalfa1694
@jimmyalfa1694 3 месяца назад
Mungu akawe nawe Makonda
@noelnoel4916
@noelnoel4916 3 месяца назад
Makonda anafanya kazi kubwa
@yusuphLucas-vw8fr
@yusuphLucas-vw8fr 3 месяца назад
Makonda Mungu akulinde sana tunakuitaji sana soon
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt 3 месяца назад
Mungu wa mbinguni akawe kivulii chako mabaya yasikufike uwtetee watu wakee your chosen one from god❤ Rc
@RashidMwasiposya-ck6py
@RashidMwasiposya-ck6py 3 месяца назад
Makonda nakupenda bule mungu akukumbuke na akutunze kwenye haki Namin madui wengi lakini mungu awe upande wako
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
Alafu jinga zoba Vanessa ati anamuingilia eti ananyanyapaa watu!!
@akalugira
@akalugira 3 месяца назад
I have cried on this may God help this kid and her grandparents
@kennethgithinji1411
@kennethgithinji1411 2 месяца назад
Mimi pia😢
@esterbegina1022
@esterbegina1022 2 месяца назад
Makonda wetu Mungu wambinguni akawe mlinzi wako bado kunawabyonge wengi hawezi plaza saut zao jamani 😭 😭😭 Mungu akubariki Kwa kazi Yako ngumu
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n 2 месяца назад
Makonda nakupenda bureee Mungu akutunze 🙏
@beyondmediatz1607
@beyondmediatz1607 3 месяца назад
Hii issue imeniumiza sana
@JoyceMkini
@JoyceMkini 3 месяца назад
Jamani ushahidi wa Hospital unadhibitisha wanageuza kesi hivihivi mjue Mungu anawaona Hata hao wanatoa hukum mtakuja kulipwa hapahap hamna huruma kabisa na huyo mtoto
@KingUriotz
@KingUriotz 2 месяца назад
Makonda Mimi nakukubali tangu ukiwa dar kunasiki nilikutetea wakat unaenda kumzika meng nililitukanwa kweli Leo waone sasa unayoyafanyaa mungu akulinde kaka yangu
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 2 месяца назад
Mkuu wa mukoa muchapa kazi, "Makonda Allah akupe ulinzi na nguvu utetee wanyonge"
@norahmogiti6849
@norahmogiti6849 2 месяца назад
Makonda Mungu akubariki na akulinde popote uliko
@user-ps5vn8fk1u
@user-ps5vn8fk1u 2 месяца назад
pole mamangu mungu mkumbuke mama huyu na mtoto huyu
@patricemapike9244
@patricemapike9244 Месяц назад
Mungu wangu izoshida mukubwa utaweza ,,,, niko nakufata nikiwa burundi duniya imekwisha kabisaaa
@KabiSaidi
@KabiSaidi 3 месяца назад
ivi watu hua... mnatoa wapi ujasri wa kufanyia mtoto mdogo kma huyu..wanaume kma hawa Mungu awalaan kabxa
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 3 месяца назад
Mungu akubarki Sana Tena msiwa ache wanao waingilia wa toto
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 3 месяца назад
Mama Samia hakukosea kumteuwa huyu makonda jaman ni neema hii
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 3 месяца назад
makonda kwa mashati makali hahahaha safi sana mkuu
@aminamaulid7371
@aminamaulid7371 3 месяца назад
Watoto wanaharibiwa maisha yao alafu mnapewa pesa kupoteza haki!!!! ALLAH atawalaani wote.
@drtobias_
@drtobias_ 3 месяца назад
Hv we video editor unajua miiko ya videographer?Huyo mtoto Kwanini umemweka hadharani? Lakini pia hata RU-vid hawaruhusu kitendo ulicho kifanya,Sasa nakupa masaa mawili usipo ifuta hii video tusije kulaumiana,Sikutishii ila utachagua
@user-wq7zm9bo6l
@user-wq7zm9bo6l 3 месяца назад
Upo sahihi kabisa mkuu kwann aweke wasi sura ya mtoto bado mdogo jaman
@dismashayola3596
@dismashayola3596 3 месяца назад
Nan amelia kama mimi😭😭
@fortunatahulilo8411
@fortunatahulilo8411 3 месяца назад
Mimi
@atipatraders1767
@atipatraders1767 3 месяца назад
Mimi pia
@user-ql6ny2ze6w
@user-ql6ny2ze6w 3 месяца назад
Mm nimejikua nalia tu
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 3 месяца назад
Jomn sisi binadam hatunaa hurumaa kabisaa jomn daaa. Nmeliaaa kwelii Mimi
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 3 месяца назад
Jamnii nimelia mnoo halafu ni yatima'Yarabi tusaidie watoto wetuu
@AlipoMwasenga
@AlipoMwasenga 2 месяца назад
Makonda mungu awe nawe unajukumu kubwa hapa tanzania
@eddydejulumedia2227
@eddydejulumedia2227 2 месяца назад
Mungu akutunze sana Makonda
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 месяца назад
Mkiambiwa kuna mahakimu wa mchongo mnabisha.... Na hiyo ni kidogo tu. Watu wanapoteza haku zao. !!
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 3 месяца назад
Wapo wengi tu wamchongo tena ndio waliowengi
@dorahy1579
@dorahy1579 3 месяца назад
Unyama umezidi kupindukia, Mwenyezi Mungu nashindwa kujua nini kinaendelea.hii kazi RC Makonda Nngumu sana.
@HelenaMatiasi
@HelenaMatiasi 3 месяца назад
Unae kazi raisi wetu mtalajiwa, du iyo kali, angekua mimi ndo wewe sijui.
@engisack9610
@engisack9610 3 месяца назад
The Lord bless you very much Mr. Paul Makonda, It is very sad to see a small child being abused by an adult and then the sharia are being twisted because of the power of money, until I can't understand that we should put our children in the same league with these pharaohs. 😢😢😢
@esterbegina1022
@esterbegina1022 2 месяца назад
Ahsante mh Grory kinyerez ulitudaidia kupata haki ya mtoto wetu natamani nahii ingelikua dar usaidoe pia nimelia Kwa uchungu mkubwa sana nimekumbuka ulivyotupambania Mungu akubariki naimani kupitia mh makonda mtoto huyu atapata haki
@Albertmwagandi
@Albertmwagandi 3 месяца назад
May Allah bless you makonda .
@JuliethMziray-yy2nw
@JuliethMziray-yy2nw 3 месяца назад
Mungu ikukupendeza naluomba umpandishi kiwango cha juu zaid ya hapo juuu zaid amina
@kudabamneza8959
@kudabamneza8959 2 месяца назад
The late magifuri on the fleek...!I just cried cos of this
@mastidiadionis3335
@mastidiadionis3335 3 месяца назад
Kwanini mnaonyesha sura ya mtoto????
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 3 месяца назад
Kwani kosa ni lipi! unamficha nani? acha mambo ya kikoloni bwana!
@rachelmpimbe1331
@rachelmpimbe1331 3 месяца назад
​@@enezermwafrica7443duh unaakili nzito
@mastidiadionis3335
@mastidiadionis3335 3 месяца назад
​Naona hufahamu haki za watoto, jifunze.. Au assume ni mwanao katendewa kitendo hicho halafu anakuwa exposed sura mirandaoni ndiyo utaelewa.​@@enezermwafrica7443
@owuocheoduor5189
@owuocheoduor5189 3 месяца назад
Hongera RC mtetezi wa haki.
@user-jl1ck1zo6b
@user-jl1ck1zo6b 3 месяца назад
Tanzania nchi ya amani ila kina watu wana roho mbaya sana watanzani wengi wanafanyiwa mambo ya ajabu sana mungu atusaidie sana
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 3 месяца назад
Tanzania kunashida sana ingawa kimvuli nitaifa laamani wakati kunawatu wanateseka bila bunduki
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 3 месяца назад
Hakika mungu pekee ndio hakimu ila jamani wote sisi binaadamu tumesahau kabisa kua kuna kufa na tutaulizwa kila kitu hasa kuwaonea binaadamu wenzetu na shida kubwa tulio nayo uongo ndio imekuwa ukweli na ukweli ukawa uongo tumuombe mungu sana
@SparksGrey
@SparksGrey 3 месяца назад
Amin
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 месяца назад
Tanzania hakuna amani tunapumbazwa tu
@dorahy1579
@dorahy1579 3 месяца назад
Unyama umezidi kupindukia, Mwenyezi Mungu nashindwa kujua nini kinaendelea.
@mwanaishamasoud
@mwanaishamasoud 3 месяца назад
mungu wngu kila siku afazali ya jana yaani mm nisingehuzuria vikao hivi mana ningerudi kila siku nimewiva sura kwa kulia jmni watu wanapitia mengi mungu waone waja wako
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 месяца назад
Mungu babaaa,wazazi tuombee sna kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SomagroupAfrica-eh8uh
@SomagroupAfrica-eh8uh 3 месяца назад
Mungu wangu tuhurumie!
@gladysnyambura3947
@gladysnyambura3947 3 месяца назад
Aki watu ni wanyama Hadi nmemhurumia huyu mama
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 3 месяца назад
Mungu akutunze sana makonda hakika sikuwahi kujuwa kama kunamtu atatokea kama ww
@ngusubilambope9122
@ngusubilambope9122 3 месяца назад
Mungu akutunze Makonda mtetezi wa wanyonge 🙏🙏
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 месяца назад
Pole sn brother makonda MUNGU ATAKULIPA KWA KAZI YAKO HII NZURI INAUMIZA MNO
@DSFAMILYGRAPHIC
@DSFAMILYGRAPHIC 3 месяца назад
Najifunza vingi sana kutoka kwako RC
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 месяца назад
Kwann wanamuonesha mtoto jamani bado mdogo pole mdogo wangu, na huyo jamaa afungwe maisha anaharibu watoto
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 3 месяца назад
Kila kitu mnajua nyie kila kitu kulaumu na kukosoa jamani😢😢😢😢😢 sijui watu wamitandao tukoje . Yaliyozungumzwa hapo yote umeona sura ya mtoto tuuu
@barakamachard1944
@barakamachard1944 3 месяца назад
Hawakujua anataka kuongea nini
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 3 месяца назад
Hif hao.askar na hao watu wa mahakam ingekuw ni wao.watot wao wamefanyiw ilo.jambo wangesikiyaje
@user-pb7tm2cd7g
@user-pb7tm2cd7g 3 месяца назад
Hongera baba makonda mungu aendelee kukutumia
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 3 месяца назад
Mungu akutunze Mkuu wa Mkoa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@patrickshoohakihuinuataifa5882
@patrickshoohakihuinuataifa5882 2 месяца назад
Pamoja na kwamba,kila mtu ana mapungufu yake,lakini Makonda ana talanta ya uongozi,Mwenye enzi akufanyie wepesi
@user-sc1gx5zi8i
@user-sc1gx5zi8i 3 месяца назад
Dah inaumiza sana hii nchi masikini sio nchi yetu. Wenye pesa kidoho tu mahakamani mahakamani kidogo tu wenye pesa wanadhinda.
@mariapendael626
@mariapendael626 2 месяца назад
Asante mungu kwa kutupa mwingine tena
@rehemamwamakula7328
@rehemamwamakula7328 3 месяца назад
😂RC Makonda Mungu akupiganie kutuoa wanyonge
@willymwakibinga62
@willymwakibinga62 3 месяца назад
Mungu aendelee kukuonhezea hekima ya maamuzi
@msafiriomary893
@msafiriomary893 3 месяца назад
Angekuwa mtoto wangu Mimi akamfanyia hvyo asinge marza hata wiki moja angekuja kikatiri sana
@theodosiahaule4098
@theodosiahaule4098 3 месяца назад
Unasema tu ungesamehe kkng
@IbrahimMkwizu
@IbrahimMkwizu 3 месяца назад
Blazaa nakuelewa sanaaaa Mungu akupiganieee❤
@faridamatata1950
@faridamatata1950 2 месяца назад
Do something Makonda please
@ashajumanne2441
@ashajumanne2441 3 месяца назад
Makonda tea wanyonge ,watu wanateseka sana ,
@paulinalukumay8043
@paulinalukumay8043 2 месяца назад
Ee Mungu wangu duuu watu wabaya sana 😢
@GeogiderMuriki
@GeogiderMuriki 3 месяца назад
Kazi zuri sana mkuu👏👏👏
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 3 месяца назад
Vizuri sana makonda
@hemedi1922
@hemedi1922 3 месяца назад
Makonda sasa umekuwa mlez wetu munngu akulinde uzid kuitetea tanzania
@sixpaschal9244
@sixpaschal9244 2 месяца назад
Makonda unayo kazi saidia watu mungu akulide
@esterbegina1022
@esterbegina1022 2 месяца назад
Huyo Hakim Sheria itamfunga kama alikula rushwa nae akafie mbali
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 3 месяца назад
Yani mbaka unaona shida kuingia mtandaoni kila siku nimambo yakuumiza tu jamani ivi mema ayapo tena eee mungu tusaidie😭😭😭😭😭😭🙏🙏
@ambwenejobbin4463
@ambwenejobbin4463 2 месяца назад
Yani umewaza kama mimi. Kila ukiingia humu unatoka na hasira, maumivu na chuki na watu. Mungu atusaidie
@rithaurassa
@rithaurassa 3 месяца назад
Watu kama hawa wahasiwe kabisaaaaaaa nchi nyingine wanauawa kabisa. Ila MUNGU Kamteua RC MAKONDA MUNGU amlinde iliaendelee kukusaidia.
@MariamuOmar
@MariamuOmar 3 месяца назад
Mungu tunusur watanzania matukio ni mengi Sana makonda tunakuomba utushike mkono watanzania wenzako
@ShilooAbdallah
@ShilooAbdallah 2 месяца назад
Pole saan mdogo angu
Далее
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 91 тыс.
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32