Тёмный
No video :(

Mufti Aingilia Kati Sakata La Kufungwa Kwa Msikiti Kisarawe Afunguka Haya Suala Kufanyiwa Kazi 

QIBLATEIN ONLINE
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM RU-vid @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@user-yy5qf4gz6q
@user-yy5qf4gz6q Месяц назад
Mashallah mufti kwa hekma na busara zako,dhahir yule mkuu wa wilaya alinikwaza sana
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
Sasa nini alikukwaza? Yule alikuwa sawa bhana coz yeye hakukataza ile madrasa bali alichokikataa ni hali mbaya ya wale wanafunzi kimalazi, ilikuwa kama ghetto tena ghetto ya kishenzi Hata yeye mwenyewe kachangia na madrasa safi inajengwa sasa.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
​@@MilloWamilonga-ft8irhakuwa sawa bali udini umemjaa yule..!
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
@@hassanmfaume4522 hilo nakataa kabisa Kwa mfano wewe uwe DC na ukaikuta hali kama ile nadhani ungelia mchozi, pia ungewashambulia vibaya wale wakubwa wa masjid. Ukweli hawakuwa silias kabisa yaani Na hata sheikh wa mkoa aliridhika na ujio wa DC coz hata yeye hakujua kinachoendelea Pale sio udini mkuu Mbona kawashambulia vikali maaskofu au hujaona wewe?
@EmmaPonera
@EmmaPonera Месяц назад
Amekukwaza nn Kwa serikal ifuate dini au utaratibu na Sheria za nchi
@user-lk3qc7vr2n
@user-lk3qc7vr2n Месяц назад
Masha'Allah Allah akuweke Mufti wetu tunajilazimisha Subra Insha'Allah
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Месяц назад
Sawa Sheikh wetu Vurugu sio Uislam
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Месяц назад
Inshallah,bakwata mjenge hiyo madrasa ya kisarawe,,,,mipesa ya aina hyo kwa ukweli ni chap kukusanywa,,,,,tupo ok kuchangia kisarawe madrasa,,,,,amejitahidi sana maalm wa kisarawe,inshallah uislam stand up,,,
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Месяц назад
Bakwata ijenge?
@user-st3hv8pi9i
@user-st3hv8pi9i Месяц назад
Me mwenyewe nimeumia sana mkuu kuwaambia wale watoto wanajifunza ugaidi
@EliasPaul-qs2ib
@EliasPaul-qs2ib Месяц назад
Yaweza kuwa ni kweli
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
​@@EliasPaul-qs2ibkweli itoke wapi nyiye makafiri mnapenda sana kuwafuata fuata waislamu na dini yetu tukufu hii wao hawana dini mungu wala mtume wanachukua mzungu uko ati wanamfanya mtume..!
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Serikali iwe makini isije ikachangia kuharibika kwa vijana wetu sie tuna uchungu na watoto wetu kuliko serikali Kwa nn hamuendi kufunga mahotel ya mashoga na mwayajua yapo mnafunga msikiti watu wanasoma dini yao
@FridayMwassa
@FridayMwassa Месяц назад
Mmezoea vurugu tu,hizo hotel za mashoga umeziona wapi,kama ni ushoga upo siku nyingi sana hasa mikoa ya pwani.Kila mahali dini yenu ndiyo chanzo cha machafuko,nenda somalia,Mali, Afghanistan, Pakistan, Nigeria nk nendeni mkajifunze kuishi kwa utulivu kama wahindu, wakristo, wabudha nk kwanini iwe ninyi kila siku
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Ndugu yangu uliona yale mazingira lkn??? Hta kma kuna malezi ya kiimani ila sio mazingira rafiki kwa wtt
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
Mjinga sana wewe bwege, kilichofungwa sio msikiti bali ile madrasa ambayo ilikuwa sawa au zaidi ya ghetto la ovyo. Vijana waliishi kama watumwa bhana. Sasa kuna kosa gani serikali kuingilia suala PA wananchi wake ambao walikuwa ktk taharuki ya maisha mabovu?
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
​@@FridayMwassawewe acha kupotosha watu kama mwendazake 😅😅😅
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
​@@MilloWamilonga-ft8irhivi kwanini jambo la waislamu mnapenda makafiri kuingilia mbona hamuendi kanisani huko kuwafukuza wanaosoma Sunday school mkawapa nembo ya Christian fundamental..!
@salummussa9871
@salummussa9871 Месяц назад
Pele limepata wakunaji yetu macho.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Mm naona angewataka warekebishe changamoto zilizopo kisha vijana waendelee kusoma dini yao sasa hv amekatishia masomo wataenda kuharibika huko mitaani na ndio wanavyotaka kama hawataki watoto waharibike wange waacha wakaendelea kusoma sisi waisilamu kulala chini na kusoma kitabu cha allaah ni ibada pia na kujidhalilisha kwa allaah ndio maumbile yetu waisilamu
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Месяц назад
Haswaaa
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Месяц назад
Al-islam nadhwifu nadhani hadithi hii inajulika acha hizo
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 Месяц назад
Umesema kweli jamani wahusika tusome ujumbe wa ndugu yetu huyu kwa makini
@MaulidiJongo
@MaulidiJongo Месяц назад
Yan tok niumbwe Leo kdg ila mwisho 😢
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky Месяц назад
Duh
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Sheikh kwani mazingira Yale kweli yakusomea kwa watoto wenye umri ule?
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Mm muislam kweli lkn mwanangu hawezi kwenda kuishi ktk yale mazingira
@user-gn9rh7sw7r
@user-gn9rh7sw7r Месяц назад
Tusikurupuke kulaumu waislam yale mazingira ni hatarishi kwa watoto kuna walioona wakanyamaza DC magoti kawatoa ukungu machoni,mashekh tembeleeni madras,vituo sio kukaa misikitini tu kagueni mbaini mapungufu na kuyasahihisha😊
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 Месяц назад
Waislamu wote tulio soma walio na vyeo na tusie kuwa na vyeo tumesoma mazingira hayo wewe tangia uzaliwe ushawahi sikiaTV au redio ikitangaza serikali imejenga madrasa? sisi tuna wachora sikuyenu inafika
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Месяц назад
Ila Mufti ukemee hii kwa jinsi tulivyoona wale watoto wanavyposhi pale je wa kwako wanaweza ishi vile?mbona hukemei unaovuta maneno mengi tu,,,mkuu wa wilaya hajafunga msikiti ni ile mlundikano pale watoto mazingira ni hatarishi
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Месяц назад
saa kwani kwani yeye kakataa au karuhusu au unadhani alikua anajua kuna hali ile, ni jambo liledundulika linafanyiwa kazi na tayar serikal imetoa cement itajengwa mabweni kwa watoto, sio vizuri kumuattack muft kwa lugha chafu
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Месяц назад
@@hajimgwami5224 Sikiza kwanza sija muattack mufti kwa lugha chafu...pili mm ni mkristo mila nimesoma shule za bakwata kinondoni muslim form mpaka six..mwaka 91 mpaka 98..nimeongelea Mufti aliona pia kwenye mtandao kama mimi akasema msikiti umefungwa ,,hapana mkuu wa wilaya hakufunga masikiti,,,ila ni ile madrassa ya mabweni ya wale watoto hayako ktkt mazingira salama...jitahidi kusoma vizuri,,,,,ukiwa kiongozi ni haki yako kushauri ,kukemea na kuonya pia na kufundisha pia,,kwahyo mimi nilitegemea akionnya lile lisifanyike sehemu zingine,,,je wewe mtoto wako aliishi pale?
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Месяц назад
Wakemee na shule za kata maana mazingira mabovu sana
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Месяц назад
@@mangulimanguli3974 Angalia vizuri ile video..thn ufananishe na shule za kata ni shule sio msikiti au kanisa kulaza watu ndani...tuwe na subira...nafikiri watu watajitoa pale wapate mabweni na sehemu salama kwa wale watoto ni wadogo pia...
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Месяц назад
Kabisa
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Месяц назад
Si kweli mufti,unaweza kutukanwa,halafu unapewa pipi,
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Месяц назад
❤❤❤
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Sasa kuwajaza watoto wengi kiasi hicho wakubwa na wadogo tena wakiume watajamiana tu hilo kosa kubwa sa hiyo yote ni ktaka misaada tu kwa kutumia hao watoto dini zote sasa hivi zimekuwa zinamazingaombwe ya ajabu kila dhehebu ziko kimaslahi zaidi
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 Месяц назад
Na izo skuli za jinsia moja je?
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 Месяц назад
Waislam bhaa wanajikutaga kwamba wao ndo wanahaki sanaaa eti wasifanye fujo jaribuni siku kufanya fujo afu muone maagizo yametolewa na mkuu wa wilaya Sasa apo fujo sijui mtulie yanatoka wapi Tena kawa ulizeni uamusho wako wapi saiv
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 Месяц назад
Wewe nyamaza huna unalo lijuwa sasa shanga ivyo ivyo fujo inakuwaje ipo siku utajikuta upo ukimbizini kwa ujinga wa mtu mmoja hakuna binadamu mdogo ktk duni kwasababu Allah kamuumba na ufahamu
@stedeteam531
@stedeteam531 Месяц назад
HEBU WAENDE SHULE ZA PRIYMARY KATA WAONE VYOO VILIVYO KIUKWELI MASHEIKH WOTE WAMEPITIA MAZINGIRA YA KULALA MSKTN KWA AJILI YA KUSOMA DINI PIA NI ASLI YA KUSOMA UISLAAM TANGIA MASWAHABA AKINA ABUU HURAYRA TUACHENI MAZINGIRA YA KUWALEA HAWA WATOTO NI MAGUMU SANA MWENYE KUINGIA MSKTN NI SEHEMU YA AMANI
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Umeongea sahihi mufti wetu tunakuunga mkono sie masalaf
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Месяц назад
Kweny uislam hakuna madheheb msijikweze cijui salafi ahlu sunna n mengineo mnaleta tofaut katika dini muislam w kweli ni yule anaefuata qur an n mafundisho y mtume acheni kujigawa gawa ukiulizwa mtum alikuw kundi gan hun jibu.
@lifardKombolela
@lifardKombolela Месяц назад
wew pia nitatizo sisi waislam kuzurumika akika mungu atatunusuru pasina wewe
@walker-96
@walker-96 Месяц назад
Dhurma gani wewe...... Watu mia chumba kimoja basi wapunguze waende misikiti mingine
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n Месяц назад
Mufuti jitahidi kumaliza matatizo ya wanao chukia wisilamu
@josegambi7149
@josegambi7149 Месяц назад
Uje uwaelimishe na wa huku pemba
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Месяц назад
Mtengeneze matatizo, halafu mjitokeze kutatua
Далее
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 10 млн
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Просмотров 235 тыс.