Тёмный
No video :(

MWAKINYO ALIVYOMKANDA MGHANA HADI AMEKATA MOTO/AMALIZA PAMBANO MAPEMAA/HAYA MLETENI HUYO KIDUKU WENU 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 180 тыс.
50% 1

#mwakinyo #zanzibar #vitasa

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 222   
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 7 месяцев назад
Mwakinyo daima NAKUSIFU sana. Mjanja kweli kweli, ni kama paka anavommaliza nyoka. Bravo Kaka
@JosephLugome-mu8tz
@JosephLugome-mu8tz 7 месяцев назад
Mwakinywa bonge la bondia ijapokuwa Azam tv wameamua kukufanyia roho mbaya. Keep up 💪🔥
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 7 месяцев назад
Mwakinyo sio mdomo tu na taarabu za mitandaoni..hata ulingoni anafanya kweli..big up bruh💪💪💪
@thetas08
@thetas08 7 месяцев назад
Watake mstake hassan anapigana kwa malengo sasa mtamuelewa kwanini hapigani ovyo kila week au kila mwezi lengo lake ni international lever kashinda mkanda jina lake limepaa africa mwakinyo anacho anachokitafuta kimataifa na atakipata cuz ana msimamo na hayumbishwi na korosho za watu mtamuelewa day by day anaheshimisha ngumi bongo period congtrulation champ.
@IdarousPossy
@IdarousPossy 5 месяцев назад
We kwel kiazi na hujui ngumi chizi wew
@user-ej3ho5ps4n
@user-ej3ho5ps4n 7 месяцев назад
Uyo ndo Mwakinyo next level usimfananishe na Twaha kiduku
@user-wl8fg8ne1f
@user-wl8fg8ne1f 3 месяца назад
Acha ww twaha ni mtu mwingine 💪
@user-lu5js8lv2n
@user-lu5js8lv2n 2 месяца назад
Mwakinyo ni moja tu.tupo pamoja kaka twakupenda kinomanoma ❤❤❤
@ASALABOY
@ASALABOY 7 месяцев назад
Bondia namba 1 Tz Hassan wengine mudifunze kwa uyu mwamba
@user-rq6tx1pk3y
@user-rq6tx1pk3y 7 месяцев назад
Cheza ngumi mwakinyo mashabiki wako Bado wanakukubali
@richlord22634
@richlord22634 7 месяцев назад
Hongera sana kwa Champez mwamba, Umetuheshimisha Tanzania💪👊. Dar24media highlights zenu za pambano zmekua hafifu sana... Pambano zuri kama hili lilihitaji highlights nzuri zaidi, Kuna matukio mazuri ya baadhi ya round hamja record kama Ile round Mghana akidondoshwa chini kabisa kwa ngumi na nyinginezo, next time tunaomba mjitahidi kwenye highlights zenu za mapambano na matukio mengine makubwa kiujumla.
@thetas08
@thetas08 7 месяцев назад
Hizi ngumi kuna watu wengi walikuwa wanasubiri mwakinyo apigwe iwe gumzo mitandao yote tunalielewa hilo hamna asiyekuwa na akili watu waza tunajua sasa kapiga mghana na wote waliokuwa wanasubiria bongo tuache korosho kwa sana allah akikuandikia kaandika keepin goin champ
@janejoel2465
@janejoel2465 7 месяцев назад
Kwakifupi wame umbuka
@mhandoomary8539
@mhandoomary8539 7 месяцев назад
Me siyo shabiki wa mwakinyo ila jamaa anacheza boxing apigani bwana yupo poa sana ana deserve
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 месяцев назад
Huyu Mgana akikutana na akina Kiduku anajipigia asubuhi.
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 7 месяцев назад
Hakuna bondia hapo
@whiterabbit5600
@whiterabbit5600 7 месяцев назад
Ufanye ulimwengu huu kuwa paradiso!
@johnwallace9842
@johnwallace9842 7 месяцев назад
Mwakinyo ndiye Bondia mkubwa Tanzania na nchi nyingi zakiafrika hawana Bondia mkubwa wakiwango cha Hassan Mwakinyo, ukatae ndio hivyo ukubali ndio hivyo
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 7 месяцев назад
Yan hpo mwakinyo hakumpiga tu bondia bali kapga haters wote yan walomchukia wote na board y ngum then Mungu ni mkubwa maan wanapambn wakushushe but Mungu anakupandisha
@user-em8bl5di9q
@user-em8bl5di9q 7 месяцев назад
oya mwakiny nd bingwa wetu nan kam yey❤
@bongo39
@bongo39 3 месяца назад
Camera man hovyo kabisa baada ya kuonesha tukio linalotakiwa kuoneswha yeye amengangana na kuwaonesha watazamaji
@masawanijumanne4302
@masawanijumanne4302 7 месяцев назад
Safi !!!!!! mwanetu wa TANGA💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 7 месяцев назад
Wewe acha ukabila usiwe kama kondo gang
@kabelwasalim6305
@kabelwasalim6305 7 месяцев назад
Master class👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@user-us6up7bp9n
@user-us6up7bp9n 7 месяцев назад
Bongo Amna ngumi apa kunakituo Cha wauni tu apa
@kabelwasalim6305
@kabelwasalim6305 7 месяцев назад
@@user-us6up7bp9n sawa
@barackmzuru2526
@barackmzuru2526 7 месяцев назад
Champion mwAkinyo
@bboyhassanol1590
@bboyhassanol1590 7 месяцев назад
Huyu kama twaha ati au 😂😂😂 hodari kwakwinyo
@NikasiIssa
@NikasiIssa 4 месяца назад
Na wakijichanganya kumpa twaaa anafia ulingoni kiduku
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 7 месяцев назад
Huyu mwakinyo SI wa mchezo maana anapiga anadokoa .hili jamaa lilikua SI jitu la mchezo lakini limepigwa kama mtoto
@TitusMasimo
@TitusMasimo 7 месяцев назад
Azamu mmeumbuka Kwa kushindwa kupromoti pambano hili
@user-wi4fs4de8t
@user-wi4fs4de8t 6 месяцев назад
Mwakinyo Hana lolote Sema mtu unaweza kupigwaaa ukampa mwenzio Moja bila tu akakata kamba lakini ukweli unabaki kuwa kama sio kumuotea basi angechezea sana
@karimjuma4019
@karimjuma4019 7 месяцев назад
Kiukweli twaha hana uwezo wa kupigana na huyu mwakinyo hata cku moja atapigika sana
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 7 месяцев назад
Unajidanganya
@hamism.ndembezi6633
@hamism.ndembezi6633 7 месяцев назад
Ogopaaa, ni hatari
@karimjuma4019
@karimjuma4019 7 месяцев назад
@@thomasnachenga795 mwambie aombe pambano ujionee atakavyopigika
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 7 месяцев назад
@@karimjuma4019 kwani nani alikuwa anamkimbia mwenzie? Twaha kamtaka sana mwakinyo BABU TALE akaweka mil 100, Au hukumbuki? Mwakinyo alikubali? Nawahakikishia mwakinyo hamuwezi kiduku dunia ITASHANGAA
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 месяцев назад
Wewe ndio unaejidanganya sababu ya chuki au kutojua ngumi, huyu jamaa hachezi na kelele za mashabiki yupo serious sana na anakipenda anachokifanya, huyu jamaa muda mwingi anafanya mazoezi hajiamini maana anajua mchezo wa ngumi huhitaji pumzi na hao unaowataja wao ni pombe na wanawake wanajiamiani muda wote kuwa wananguvu wanasahau mchezo unahitaji akili na pumzi, istoshe watu wako hawafanyi mazoezi kwa mazoea ila wanafanya mazoezi pindi wanapokaribia kupigana hicho tu ndio kinawagharimu na pia wakati mwengine hupoteza mchezo kwa kelele za kushangiliwa. Hivyo hutaka kufanya haraka kupigana bila kusoma mchezo kutaka ushindi wa mapema, wakati mwakinyo hana haraka anausoma mchezo yeye anachotaka ni matokeo mazuri tu, jamaa huyu hakuzidiwa nguvu wala akili ila mwakinyo alimsubiri jamaa amekata upepo misuli imelegea na ndio maana mwishoni hakuwa akirusha ngumi tena na ndio maana alipoanguka na kusimama alojipima hana uwezo wa kiendelea tena.​@@thomasnachenga795
@user-wi4fs4de8t
@user-wi4fs4de8t 6 месяцев назад
Kiduku naamini yupo juu kuliko mwakinyo
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 7 месяцев назад
mwamba huyo hapo kampa mtu kipigo cha mbwa koko huyo ndoo mwakinyo tupo pamoja sana
@user-wv1pu4jo3k
@user-wv1pu4jo3k 7 месяцев назад
Apo ingekua ni twaha kiduku angekaa kwa soja wa Ghana
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 месяцев назад
Tatizo Mtu Mwingine Utakuta Anapigwa Hata Na Mke Wake Au Mchumba Wake Lakini Utamsikia Mwakinyo Ajui Ngumi Hu Ni Uchizi Ambao Watu Wanaishi Nao Watu Wachache Akuna Kazi Ngumu Kama Ngumi Ngumi Ndio Kazi Ngumu Zaidi Kwasababu Ni Matumizi Ya Viungo Vyote Pumzi Ndio Kabisa Iwe Ya Kutosha
@user-em8bl5di9q
@user-em8bl5di9q 7 месяцев назад
anaesem mwakiny ajui aend yey bs tuone anachofany au nd anaongea upupu tu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 6 месяцев назад
Sıku hiz Azam Wamemsusa!!!! 😅 Hamka kitu hapooo!
@katolekiki368
@katolekiki368 7 месяцев назад
😀 😀 😀 Mandoga yeye apo Ata kwambiya amna bondia wakati ata raund moja awezi ku maliza mbele ya mwakinyo
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 7 месяцев назад
Twaha kabebe tufali ukiyatimba kwa mwakinyo anakuua
@user-fq2cg7bu9o
@user-fq2cg7bu9o 2 месяца назад
Hongera
@barakaurassa4942
@barakaurassa4942 7 месяцев назад
Champez💪
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 5 месяцев назад
Mh mapambano yetu yanaboa watu wana dance tuu ngumi hazipigwi😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 7 месяцев назад
Yaani mwakinyo alikuwa anamuiga style mpinzani wake alafu anampiga nazo
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 7 месяцев назад
Sikatai mwakinyo anaongea sana ila pia anahaki ya kuongea kwa sababu hata vitendo yupo vizuri
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 месяцев назад
Twaha anamwili hajui mbinu za ushindi. Mwakinyo anapower na mbinu za kutosha. Huyu Mgana akikutana na akina Kiduku anashinda mapema.
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 7 месяцев назад
Hakuna bondia hapo
@warlexnyamba2601
@warlexnyamba2601 7 месяцев назад
@ginethonjohn8137
@ginethonjohn8137 7 месяцев назад
Congratulations to mwakinyo ❤
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 5 месяцев назад
Angalia tyson furry vs francis Ngannou uje uangalie hii utaona ni kama wanadance tuu mda wote😂
@selemanismail4241
@selemanismail4241 7 месяцев назад
Appreciated ✌️
@issaissa1361
@issaissa1361 2 месяца назад
Uyo mwakinyo ajapata pambano la bondia anaejielewa uyo bondia mghana ni kama mandonga tu
@geofreythomasi2710
@geofreythomasi2710 7 месяцев назад
Mwakinyo hapo ajakutana na Bondia anabahati Sana kukutana na vibonde alitakiwa akutane na msouthAfrica aliepambana na kiduku
@mwalijuma7257
@mwalijuma7257 6 месяцев назад
Hater
@user-nu7tk3rh6l
@user-nu7tk3rh6l 7 месяцев назад
Tyson was bongo Mwakii💪💪💪
@HassanAlly-tq4vy
@HassanAlly-tq4vy 5 месяцев назад
Tanzania hakuna kam wewe bro respect san
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 7 месяцев назад
Hongera mwanang
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 7 месяцев назад
Mabondia wenu wanapiga kama ugomvi mwakinyo anapigana boxing
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 7 месяцев назад
Nenda wew tukuone sio unaongeya tu kama msenge au dada ako apigane ujinga mulionao engepigwa mwengetowa matusi lakn kashinda bado unaongeya kama senge vile
@user-ob5ev6fc2q
@user-ob5ev6fc2q 7 месяцев назад
Yani Twaha asijidanganye kukutana na huyu mwamba ataumia
@JosephMchaki-fy5te
@JosephMchaki-fy5te 2 месяца назад
Mwakinyo siyo bondia mcheza baikoko
@SongoroKasanga
@SongoroKasanga 2 месяца назад
Kuna msauz akimkalisha msauzi nitamkubali lakini hao mabondia anaokutana nao nina mashaka na viwango vyao
@user-em8bl5di9q
@user-em8bl5di9q 7 месяцев назад
acha nimkubaly tu mwakiny nampa maua yake
@cairoshampeny
@cairoshampeny 7 месяцев назад
😂😂😂😂msimfananishe mwakinyo na milima ya morogoro
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 7 месяцев назад
Huyu jamaa anajuwa sana
@alextercisio
@alextercisio 7 месяцев назад
Huyu mghana aonekana kuwa na nguvu zaidi
@erickodhiambo6994
@erickodhiambo6994 7 месяцев назад
Mwakinyo ni PRO
@ivoivory255
@ivoivory255 4 месяца назад
🔥🔥🔥👊
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 7 месяцев назад
Mbna mwakinyo mnyonge . kwa twah hatoboi
@user-sj9tt4ti6d
@user-sj9tt4ti6d 7 месяцев назад
Kiukweli huyo mpinzani wa Mwakinyo ni Mzuri sana tatzo Refa kazingua cjaona ngumi nzito yakumfanya ashindwe kuendelea na pambano
@stephenbondo9633
@stephenbondo9633 7 месяцев назад
Unajua maumivu ya ngumi?mpinzani kafwata kaulizwa kasanda,zile ni ngumi na zinauma kwa style tofaut si lazima uamguke au ufe ndo ionekane umepigwa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 месяцев назад
Ile uper cut ilikuwa nzito Mwakinyo Left inanguvu Sana alimtafuta muda mrefu akakutana nayo ikitokea Mwanakwerekwe mwanaume kaenda chini ungemuuliza uko wapi angesema Ghana😂😂😂.
@user-bt7ki5pz9t
@user-bt7ki5pz9t 7 месяцев назад
Mimi mwenyewe sijaona refa kakimbilia tu
@abdulysheky1057
@abdulysheky1057 7 месяцев назад
​@@user-bt7ki5pz9tbahsti nzuri refa ni mgana na sio mtanzania
@wildlife5730
@wildlife5730 7 месяцев назад
Acha unafiki ndugu mtu kaulizwa kaona hawezi kuendelea,,, alafu unasema ujaona ngumi nzito!! Unatakiwa ujee kua ko haitokani na ngumi moja mjumuiko wa ngumi zote alizo pigwa kwa iyo maumivu yeye ndoanayajua iyo iliyo muangusha inatokana na maumivu ya ngumi za mwanzo,,,NB usicomment kama hujui unacho ongea
@josephukugani
@josephukugani 7 месяцев назад
Huyu mwakinyo anawapiga hawa wa hawana mwili
@akberyuda5950
@akberyuda5950 7 месяцев назад
MWAKINYO NDIYE TANZANIA ONE ANAJUA KUPIGANA NGUMI KINA KIDUKU BOYA TU🤣🤣🤣
@herrymbele1821
@herrymbele1821 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@benorocky382
@benorocky382 7 месяцев назад
Super champezz
@MenAbdy-ct1iz
@MenAbdy-ct1iz 6 месяцев назад
Kwangumi hzi kampan anampoga mwajinyo ko
@saddammasige1481
@saddammasige1481 7 месяцев назад
Ungepeleka uso wako kama ukiona ngumi ya yeye kuendelaea acheni utufudenke mwakinyo ni mwamba na anajua roho mbaya tu
@decodesuza6996
@decodesuza6996 2 месяца назад
Wakinyo bado sana
@decodesuza6996
@decodesuza6996 2 месяца назад
Mabondia anaokutana nao wakawaida sana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 7 месяцев назад
Msulimoto mwakinyo
@danielmrombo
@danielmrombo 5 месяцев назад
hamna vita hapa
@philbertnestory670
@philbertnestory670 7 месяцев назад
good parformace mwakinyo
@MidaMapunda
@MidaMapunda 7 месяцев назад
Ngumi mbovu... Mwakinyo hajaonyesha mchezo mzuri.. Kacheza chini ya kiwango na pia bondia liechezanae hana uwezo wowote... Ukiuwangali vizuri uwo mchezo utajuwa kama mpinzani wake pumzi hana.. Ndiomaana kapigwa.
@samuelpaul5733
@samuelpaul5733 7 месяцев назад
Acha unafki MTU muangalie upiganaji wake unajua hii nilevel nyingine
@zalelbalawy2459
@zalelbalawy2459 7 месяцев назад
Video nzuriii
@jumannekunambi9855
@jumannekunambi9855 2 месяца назад
Sijaona upinzani wala Radha ya pambano inaonekana kama wamepanga matokeo
@paulinusmrope4930
@paulinusmrope4930 7 месяцев назад
Jombaa kawajibu haters kihuni
@user-fu8fb5pl7k
@user-fu8fb5pl7k 7 месяцев назад
Hili pambano jamaa kashtukizwa2 naamini angepata muda wa kujiandaa Nayeye kama hasani mechi ungekua ngumu sana ila hongera hasan
@jumampopajuma7064
@jumampopajuma7064 6 месяцев назад
Nakubali kk
@williambetty4052
@williambetty4052 6 месяцев назад
Champez one time
@user-vh7ts1fc2e
@user-vh7ts1fc2e 7 месяцев назад
Honhera mwakinyo
@user-ou8nj8dr3r
@user-ou8nj8dr3r 7 месяцев назад
Nakukubali home boy
@AaronRumz
@AaronRumz Месяц назад
Harmonize atakua
@justinambrose3577
@justinambrose3577 7 месяцев назад
Kwa hyo Azam mmeamua kumkazia Mwakinyo ??
@user-vm1yw6yh5u
@user-vm1yw6yh5u 7 месяцев назад
Nani kama mwakinyo
@user-mg9fg6vc9w
@user-mg9fg6vc9w 7 месяцев назад
Me sijaona ngumi hapa Zaidi ya kubonyea bonyea tu Mabondia wazito ku shek kama wamefunga Mizigo miguuni wote Wabovu Namleta Gervant hapa
@rukydaudy3005
@rukydaudy3005 7 месяцев назад
Amna kitu apa ,papatu papatu tuu😊😊😊
@user-ch8ly8lq8w
@user-ch8ly8lq8w 7 месяцев назад
Wewe ni time ya taifa
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 2 месяца назад
Usanii hakuna ngumi hapo
@nelsongeorge6756
@nelsongeorge6756 7 месяцев назад
Mwakinyo kwa Ibrah Class atoboi
@zuberimussa16
@zuberimussa16 7 месяцев назад
Mwakinyo upo vizr kaka ,najua unawachawi wengi hawakupend
@abdulkarimmwagize6259
@abdulkarimmwagize6259 4 месяца назад
Yaleyale
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 7 месяцев назад
Mwakinyo amekutana na mshamba tu..kapmiga asie jua
@user-jf2wz2rm8u
@user-jf2wz2rm8u 7 месяцев назад
Viatu havicherewagi kubana
@user-hi7ro2of3k
@user-hi7ro2of3k 7 месяцев назад
kama sobondia mbona kapanda ulingon
@RamekJastin
@RamekJastin 3 месяца назад
Kubebwa2
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj 7 месяцев назад
Yuko vizuri ila jeuri sana.
@SelemaniKidundo
@SelemaniKidundo Месяц назад
Hizi ndiongumi
@AnnoyedRagdollCat-tc6xx
@AnnoyedRagdollCat-tc6xx 7 месяцев назад
Hakuna chochote
@Bizzman556
@Bizzman556 7 месяцев назад
Camerman kazingua kinom
@SurprisedMixer-ho6le
@SurprisedMixer-ho6le 7 месяцев назад
Kiukwel twaha hanauwez
@molenicharles9107
@molenicharles9107 7 месяцев назад
Mghana au njombanchumali huyo🤣🤣
@abdullahhongo6021
@abdullahhongo6021 7 месяцев назад
viatu naona havijabana this time😇
@blackwellmakundi1027
@blackwellmakundi1027 7 месяцев назад
hiv mna uhakika kua anamweza kiduku
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 7 месяцев назад
Sio level ya kina kiduku champez ni high level boxer
Далее
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 83 тыс.
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 287 тыс.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 11 млн
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 71 млн
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 83 тыс.